Best of the best. ..Msondo Ngoma band ambayo ujumbe wake ni mpya kila siku ...wazaman walifaid sana...R.I.P RD MOSHI NA WAIMBAJI WOTE WA MSONDO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI
David this is very brief, a guy is telling of what he endured after being ditched by his mom and was found,taken care of by neighbours brought up to learn that he is with no tribe, relatives religion and other biological attachment and hence crying of what happened to him.
Mbwembwe,Momba,Moshi ,Maalimu Ngurumo ,Maina na mabeala woote hawapo Dah ..... udogo umebeba watu
The old is gold
Said mabela Tanzania one solo 🎸
Ujumbe mzuri! Unatufundisha
Hongera hayati mabela,ama kweli gitaa ulilijua vizuri sana.
Solemba
Mbwembwe,moshi,momba,ngulumo,mabera,abdul ridhiwan,mahina.mng'ande,zahoro bangwe,muhidin kisukari,
Sina la kusema na huu msondo
Mama.kanitupa
namkumbuka sana mama kisa kinanihusu sana hawa msondo noma
Pole sana
Mze wangu hawa Waze alikuwa anawapenda Sana mungu ampumzishe kwa aman
Ali rashidi marashi ya zanzibar
Hadi nalia😂
muziki no fundisho
Best of the best. ..Msondo Ngoma band ambayo ujumbe wake ni mpya kila siku ...wazaman walifaid sana...R.I.P RD MOSHI NA WAIMBAJI WOTE WA MSONDO WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI
Mamakanitupa
Ujumbe unaoeleweka
Hawa jamaa wameacha historia hasa Gurumo
Nyimbo hii imegusa sana moyo wangu
Mchanga huu unameza watu
Vipaji vya asili R.I.P Tx Moshi baba ya muziki
Na haitatokea kama Msondo ngoma na Sikinde
Mzee wangu anapenda hii band nimeijua kuputia yeye
Maneno mazito
Akuna band bora kama msondo ngoma
kobelo hashim sanaaaa miaka mia msondo juuu
Nawakubali sana Msondo
Msondo bendi kongwe
B
Can anyone provide the lyrics + translation into English, please?
David this is very brief, a guy is telling of what he endured after being ditched by his mom and was found,taken care of by neighbours brought up to learn that he is with no tribe, relatives religion and other biological attachment and hence crying of what happened to him.
@@phakundigervas1360 Thanks
@@phakundigervas1360
Jui