EXCLUSIVE: TAZAMA WASIFU wa IBRAHIM LIPUMBA/PROF. MWENYE AKILI NYINGI TANZANIA/ELIMU YAKE INATISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Leo Tumekusogezea Wasifu wa Professor Ibrahim Lipumba Huyu ni Professor Mwenye Uwezo Mkubwa wa AKILI katika Kushauli,Kutatua na kuchambua masuala ya Uchumi Tanzania na Nje ya Tanzania..
    Elimu Yake inatisha...????

КОМЕНТАРІ • 20

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 4 дні тому +1

    Mfalme wa Simulizi ilitakiwa uwaunganishe Kikwete na Lipumba ambao ni watani mkwere na mnyamwezi ukionyesha mahusiano yao kama wanasiasa. Ingenoga zaidi.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 дні тому +1

      Shukrani sana,Tutafanyia kazi Maoni yako🤝

  • @suleymanomary6694
    @suleymanomary6694 Місяць тому +2

    Tanzania hatutumii watu wenye uwezo wa kuishauri serikali katika masuala ya kiuchumi kama huyu jamaa, Ibrahim lipumba yupo vizur sana kiuchumi

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 Місяць тому +1

    Big up prof wa ukweli

  • @mrishojuma4857
    @mrishojuma4857 Місяць тому +1

    Mtu smart sana. Namkubali mno

  • @SomoeKhasani-q6x
    @SomoeKhasani-q6x Місяць тому +1

    Simama imara na siasa dunia ni mapito lkn haki ipo kwa mungu

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Місяць тому +1

    🎉elimu ya madaftarini kweli lakini ya UCHA MUNGU HANA

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 Місяць тому +1

    MTU wa hovyo sana...

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Місяць тому +1

      Kwann?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo Місяць тому

      Naona wewe na Watanganyika walio wengi ndio wa hovyooo!

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Місяць тому +1

    Haenda i na sifa mnazompa na yaliyo moyoni mwake
    Msaliti wa kisiasa kwa maslahi yake binafsi na sio kitaifa
    Atueleze ilikuwaje kishindo cha kukubalika kwake kisiasa kuporomoka na hadhi yake kisiasa kupotea
    HATUMSIKII TENA HUKO BAADA YA KU KUISAMBARATISHA CUF

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Місяць тому +1

    Umesahau pia ni kibaraka wa CCM kwa kujificha kwenye kivuli cha CUF

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Місяць тому

      Nimekupata @MfalmeKaitaba2425 Mtu wangu wa Nguvu kabisa👏