Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Lina mnatufundisha jinsi ya kuelewa huo mfumo?
Tra wanabambika kodi za uongo kwa raia ! Kwa kweli watanzania tunateseka na hao tra kwa dhuluma zao za wazi na hatuna pa kwenda kulalamika
Waandae na ripoti ya Rushwa wanazo waomba wafanyabiashara kwa kuwatengenezea matatizo. Feki na endelevu.
Sasa kama kila kitu ni kodi kuna shida gani kupunguza asilimia za kodi
Tra ni ovyo wameshindwa hata kutuma bill sms
Yani tax system ni wizi mtupu .ulio halalishwa .. ...yani hata ukiuza nyumba yako mwenyewe bado unatakiwa ulipie kodi.. ...na uliinunua kwa hela ambayo ulishaa ilipia kodi .....duuu hawa nimajambazi kabisa
😅😅😅