Mch Moses Magembe - NDOTO YA NEBUKADREZA | MLOWO 04
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2023
- Mkutano wa Uponyaji na Miujiza katika mkoa wa Songwe - Mlowo chini ya Mch Moses Magembe.
Ujumbe: NDOTO YA NEBUKADREZA
Andiko: DANIEL 2:1-49
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 08.09.2023
Vipofu wanaona KWA JINA LA YESU
VIWETE WANATEMBEA🙏🏾🙏🏾🙏🏾kwa JINA LA YESU KRISTO 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Amen and amen
Amen amen
Amen. Amen 🙏🙏🙏🙏
Asante Sana Mch Kwa mahubiri mazuri hata kama tuko mbali tunabarikiwa Kwa Neno la Mungu .
Amina
Asante3
HALLELUYAH tunapokea toka ULAYA🙏🏾🙏🏾🙏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
amenii amenii
Mungu ni. Mwema kilamasaa
Amen 🙏🙌🙏🙌
Barikiwa Baba Neno limenisaidia
God bless you my papaa😍🎉
Amen
Asante baba yangu MUNGU akubariki saaaaaanatu mahubiri yamenifunza mengi habari za ndoto na kumtangukiza MUNGU kwakila kitu amen baba yangu
Wow I can't get bored. I'm blessed in Jesus name Amen. May God bless you pastor
amina sana mtumishi wa Mungu , barikiwa sana kwa kutujulisha mambo makuu ya ufame wa mbinguni , Bwana Mungu na akubariki sana
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu💪
Hakika ni hii ni saa ya uhamsho na matengenezo....mlowo🔥
AMINA BABA MCHUNGAJI. TUKO PAMOJA HUKU AFRIKA KUSINI.MUNGU AWABARIKI.
Mungu akubariki sana mchungaji
Mimi nataka kitabu cha uamsho na Roho Mtakatifu. Nakiptaje? nipo dar.
Fika ukonga -Majumba sita, kanisa la Tag ndipo mzee anapo hudumu
Amina