MLIMANI CITY YA USWAHILINI (MAREKANI)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Leo naomba niwapeleka Walmart, hili ni duka kubwa sana na naweza kulinganisha na Mlimanı city. Maduka ya Walmart yako kila sehemu huku Marekani, nisehemu ambayo watu huenda kununuwa mahitaji yao ya kila siku.
Dada nakuelewa sana kwa clip zako ukweli ww uko sawa umeenda paka kule jeshini daaaaaaaaaaaaaaa✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋
Mambo dada mzima ww na wewe umeshelekea sikukuu ya bata mzinga 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hapo marekani 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷💪🙏
🤝🤝🤝🤝 na enjoy sana ila vipi kazi hapo warmat zipo dada je wanaitaji nini vipi kuhusu rugha 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Dada vipi kazi hapo warmat zipo
Nice tour!!! Ninulie 75" tv nitakutumia pesa😅
lol😅
Vipi dada, naweza kuruhusiwa kufanya kazi masaa 20 kwa mwajiri mmoja kwa siku moja?
Kaka Kennedy inawezekana, Ila inategemea na Kazi. Kisheria Mwajiri anakupa masaa 40 kwa wiki na kwa siku Kisheria ni masaa 8. Ukipiga masaa zaidi wanaita Overtime. Kwahiyo kazi ni kwako, ukifanya masaa mengi. Maokoto yanaongezaka.😅
Sister please
Kitanda na godoro simple sh ngapi?
Simple $79
Thanks