KAZI ZA MAREKANI
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Leo naongelea kuhusu kazi za Marekani. Pia nimejibu maswali machache kutoka kwenye comment. Topic ya kazi ni kubwa sana ila kwa leo nimeiongelea kwa ufupi sana. Naandaa video nzuri itakayokuwa na Information za kutosha kuhusu Kazi, na jinsi ya ku apply. Enjoy
wenzetu wako very social and politely njoo bongo sasa ukiuliza hv utaonekana unachawia kaz za watu😊
Asante sana dadaangu mm naitaji kazi.pia nina paspoti.kabisa
Dada nimegupenda wala sijaangalia video nimegupenda ❤❤ jamani mungu unifikishe uko mimi najiamini kwa gufanya kazi za mkono maana Sina elimu ila najiamini 💪💪
Je pesa ya process za visa unayo au passport
Thank you Sister nimekuelewa sana dada yangu
I Like your energy and confidence confidence keep it up
Thank you so much.
tatzio ni jinsi ya kuja dada co kufanya kazi watu wanataka sana ila shida ni njia ya kufika dada,
Hakika kufika mtihani wallah
Nimeipenda hiyo nzuri sana dada angu
Kazi nzuri dada kwa taarifa
Nakukubali Sana dada ,na mamb ya kazi ni nzur sanaa,na toka nimeanza kuangalia hii chanel naona in kua siku Hadi siku
Asante sana Kaka.
@@hapanilipo hi madam
Kumetulia sana❤❤
Naomba nitafutie kazi dadaangu nateseka mm
I'm very inspired of your videos keep it up and thank you sis
Thank you.
Dada nakukubali sana Mungu akubariki sana
Asante Ubarikiwe.
Mungu akubariki kipenzi, unatutia Moyo sana sana.
Jamani asante sana.
Namba Yako nipataje pls
Hongera sana utafika mbali sana
Asante sana.
Thank you for the nice video
Glad you liked it.
Mungu akuweke unajua kuelezea sana
Asante sana.
Shukrani swali langu umenijibu vizuri kabisa
Dada ubarikiwe sana
Nice encouragement
Thank you.
Hapo ni kijijini kweli kweli
You have the good vibe for helping people GOD BLESS YOU 🙌
Thank you so much, Be blessed.
@@hapanilipoam Steven from Tanzania
Dada naomba nisandie nije uko.kufaya kazi
You are so humble❤.. May God continue to bless you so much sister
Thank you so much, Be blessed.
Yes am interested plz kindly plz
@@hapaniliponiwapi plz am watching in Qatar plz
@@hapanilipoplz kindly
vERY NICE CONTENTS MASHAALLAH HONGERA SANA
Thank you so much.
Nakupata dada yangu natamani sana kuishi marekani
Safi sana
Nice sis
Thank you.
Can you help me i want to come
Thank you
Your number one fan is here, tupo pamoja sana
Dah...Asante sana.
Hello dada very nice my dear nimekuelewa Sana bg up excuse me naomba kuuliza mara nyingi tunaambiwa kupata vsa ya marekani ni ngumu Sana hebu nisaidie inakaaje au inakuwaje?
Habar! ? hyo city gan
Intresting
Nitafulai sana ukiniunganisha uko
Pambana upate visa kazi zipo nyingi tu na connection za kazi zipo kama utahitaji reply namba yako nikupigie tuongee
Shida dadaangu connection mamaangu natamani ila dah hongereni mlio barikiwa
Iv gharamaake inakuaga kama kias gani
Shida nyingine maagent wajweli wapi na waongo wanao jifanya wakweli wapo dah ndo shida inapoanzia wengi sana naona wanatapeliwa wengine wa kuwashuudia dah utaftaji huu ni ful mitihan
Dada nambayangu watsap naitaji connection
Nice information dada, watching from 🇰🇪
Thank you so much
Hapo kunakanisa na shule jamani natamani kuishi hapo madamu sorry dada whattspp yako dada am proud of you 👊👊👊👊👊🌹🌹
Nambayakoyasim
Phoenumber.sister
Nifanyie mpango wa kaz
Dada ukiwa huna kibali cha kazi inakuaje wengine uzoefu upo lakini kibali hamna🙏🙏❤tupe muongozo
Kikubwa upate visa ukishaiingia tu hayo yote yanawezekana
Iam ready madam na,usiniangushe pls
Nawezaje kufika huko?
Weww dada ubarikiwe sanaaa naomba msaada wako jamaniii
Je unahitaji usaidiwe kitu gani ?
Dada ni saidie na njia unapitaa namna gani kuhusu visa
Naomba kaz
dada mimi nidereva wa magari makubwa nahitaji kupata kazi pasipot ninayo shida kubwa ni viza
Dada umenifurahisha Sana kwa ujasiri ulionao nimeenda hiyo utafika mbari Sana nasisi pia utatufikisha mbali thanks you so much
Asante Sana kwa kutupa madini
Karibu sana.
Yani dada mi nihmekuelewa ombi langu Mimi kwako mi sjawah fwatilia maswala ya VIZA naomba nileweshe kidogo na garama zake na tiketi pia maana namani sana kuishi huko
Dada habari Kama mtu Hana chochote unamsaidiaje! Ila ana nguvu za kufanya kazi unamsaidiaje huyo mtu?
Mimi ni mtalamu wa kutengeneza vitu mbalimbali vya mbao
Dada mungu akubariki nimeipenda chanel yako naomba unisaidie Ili nije huko pls da hapa nilipo pls
Je una passport ?
@@InformationMarketer007mm passport ipo nipe process tuu mkuu
Big up. My daughter!! Am asking you!! Which location in the USA?? Sorry!!
Texas
Dada huwezi kuwa na mtandao wako kuita watu nnje?
Kufanya kazi us unahitaji work permits au huko uliko working permit si lazima?
Kufanya Kazi US Unahitaji kuwa na Work permit, haijalishi uko jimbo gani.
dada naomba nisadie nilishaenda ubalozini wa marekani kuomba vissa nikakosa ila sjakata tamaa bado ninataka kuja marekani nina kipaji cha makeup artis nywele pls naomba msaada wako
Walikwambiaje kipenz
Inabidi utengeneze travel history nzuri na utafute strong ties ili upate visa
Dada msaada wako naitaji kuja huko passport tayari ninayo
Mm pia natamani kuja marekani lakini mwongozo cjapata
Dada naweza kupata kazi ya kapenda
Jamani my umenichekeshaa,eti me work here🤣🤣🤣
Umeonaeeee...😅😂😂😂
Daa tufanyie mamboz pia sisi tuje 🎉🎉
Channel yako ni mpya lakini nakutabiria utafika mbali sana na pia weka subtitle za English pia upate hata watu wasiojua Kiswahili, chanel yako itasaidia wengi sana
Jamani Asante sana.
@@hapanilipo state gani unaishi baby
Dada naomb tuongee inbox plz🙏
Dada ni Jimbo gani hilo
Nahitaji kuja, huko nipe mwongozo ela, ipo pia ni Oparetor wa mitambo tofauti ya lifting
😂😂😂😂😂😂😂 nicheke kwanza mie, Yaaani Dadaa unavyoongea utazani rahisi, Hayaaa kwa sie wanawake unapata kazi ganii kwa maeo ayo
Kazi zipo nyingi tu Dada, Wewe tu. Kwa kuanzia unaweza kuwa Cashier.😊
Jamani sijasoma natamani nijepaspot ningejitaidi tu.sema English sijui my dear itawezekana?
Jimbo gan hilo dad ?
Channel yako muhimu mama 🇧🇮🇧🇮
Nitafutie kazi yakuleya watoto au wazee mm lakini sijui Eglishi
Je una passport?
Wewe upo wapi?
Dada Mimi n Dereva Wa magar makubwa nsaidie nafanyaje nifike uko??
Ndugu una passport au bado ?
How you doing , huo ni mji gani ? Au state gani ?
Uko vizur
Asante Sana.
Grory habari nakupataje kwa maongezi zaidi dada ninamaswali
Dada Lucy naomba unicheki Instagram DM @hapanilipo
hello dadngu mm niko kenya nmetafuta passport na nkapata cv na goodconduct hivi naomba unisaidie n vipi naeza kupata kazi yoyote mm sichagui kazi tafadhali nisaidie dadangu
Ndugu yangu kama upo Kenya nimepost kazi ya Proofreading plaase anglia Video. ua-cam.com/video/-IKTEKDxMxA/v-deo.htmlsi=lVPa2bDSwXzK187Y
Dada please naomba ushirikiano wako nisaide
Hi nimependa achana nitafute passport nitakutafuta
Dada namba zako tunazipataje m niko tanzania
Je unahitaji kufanyiwa maombi ya visa ya marekani ?
Kwani hizo kazi za kukata manyasi wanawalipa pesa kiasi gani kwa mwezi?.
You’re right lakini watafikaje in America?
Wajina
Jamani nduguyangu.😊
Naiyo New York City kwa mbali sana jamani mungu nisaidie 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Nitafikaje huko passport niko nayo nitapata vip visa
Mji gani huo
Saf san dada
Habali yako dada yangu naitwa Robson niko Alabama mobile naomba unisaidie namba yako mini ndo nimefika sijapata kazi
Habari ndugu mie Nina jamaa zangu wapo USA Portland-oregon na connection ya kazi wanayo je utapenda nikuunganishe naye ?
Im interested nafikaje huko,ilinifike huko naomba, msadaa wako,my sister for me
Je unahitaji kufanyiwa maombi ya visa ya marekani ?
Dada niandae bei gani ili nitimize ndoto yangu hii kubwa kwenye maisha yangu ya kuishi Marekani na ni VISA aina gani rahisi ambayo nitakayopata kirahisi na kwa gharama ambayo kidogo itakuwa na afadhali kuimudu
Visa rahisi ni ya matembezi Kisha ukishapata na ukifika tu USA unachange visa status na unafanya kazi
Me work there jmn dada ake 😂
Dada nisaidie nipate kazi Mimi ninafanya kazi yoyote
Ahsant dada
Dada naomba namba yako tuweze kuwasiliana nisaidie nauli ninayo kilakitu lakini sjui nianzie wap
Mambo
Mamb
Na mimi nahitaji kuja kufanya kazi ya kulea watoto nitakupataje
Mimi naitwa jaka nipo dar esalam natafuta kazi
Habari naweza pata mawasiliano kwa maswali zaidi
Dada nierekeze
Sister natamani sana kufika huko nisingechagua kazi hataa kusomba kinyesi kwa mikono ,shida nafikaje huko ?nifadhili basi dada yangu jamani
My dear friend please tusaidie sie wengine kupata kazi na hasa namba zako ili tu kujua twafanyaje kufika huko
Jamani nduguyangu, si nimetoa Website 5 za Ku apply Kazi. Nenda kaiangalie basi.Link:ua-cam.com/video/hDep33-jUiA/v-deo.html
Sister naomba number yako ili nikuombe vigezo vyakunifikisha huko
Waooooh!
Namba madam
Hapo ni jimbo gani na maeneo gani
Wewe ni mtanzania
Mambo vip sister america life kuku
Sister naomba no yako
Nimeona na kanisani hapo Lutheran hapo😅😅😅😅😅nimekuelewa dia
Nafikaje huko Dada.
Nimekuelewa naomba yako tuwasiliane