JOEL LWAGA - MIFUPANI (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • New album "TRUST - EP" Out Now.
    Download/stream li.sten.to/0V6...
    Subscribe to the Joel lwaga channel for all the best and latest official music videos, behind the scenes and live performances. 
    / @joellwaga
    Written and produced by: Joel Lwaga
    Music production : Gripa Music
    Acoustic guiter by: Emmanuel Gripa
    Mixing and Mastering by: Dickson Gripa
    Bass by: Benja Bass
    Video directed by : Ivan
    Follow Joel on...
    Instagram: / joellwaga
    Twitter: / joellwagamusic
    Lyrics
    Unipae afya mifupani mwangu
    Ninakwamini Ninakwamini
    Nimekujua na nimekuona
    Ninakwamini Ninakwamini
    Unipae afya mifupani mwangu
    Ninakwamini Ninakuamini
    Nimekujua na nimekuona
    Ninakwamini Ninakwamini
    Tumaini langu
    Ni wewe tu, Ni wewe tu
    Msaada wangu
    Ni wewe tu, Ni wewe tu
    Kimbilio langu
    Ni wewe tu Bwana ni wewe tu.
    Mungu wangu
    Ni wewe tu ni wewe tu
    Unipae afya mifupani mwangu
    Ninakwamini Ninakwamini
    Nimekujua na nimekuona
    Ninakwamini Ninakwamini
    Tumaini langu ni wewe tu
    Msaada wangu ni wewe tu
    Kimbilio langu ni wewe tu
    Mungu wangu ni wewe tu.
    Japo machozi yanatiririka
    Ila acha yatoke yasafishe macho
    Ili nikwone wewe tu wewe tu
    Wewe tu wewe tu
    Nikwone wewe tu
    Nikujue wewe zaidi
    Kupitia haya zaidi uuh!
    Nikujue wewe zaidi
    Kupitia haya zaidi
    (Wewe unipaye)
    Unipaye afya mifupani mwangu
    Ninakwamini Ninakwamini
    Nimekujua na nimekuona
    Ninakwamini Ninakwamini
    (Bwana nguvu zangu) Unipaye afya
    (Wewe ushindi wangu) Mifupani mwangu
    Ninakwamini Ninakwamini
    (Nimekujua wewe ni mwaminifu sana)
    Nimekujua na nimekuona
    (Natukuza jina lako)
    Ninakwamini Ninakwamini
    Msaada wangu ni wewe tu
    Kimbilio ni wewe tu
    Tumaini langu ni wewe tu
    Msaada wangu ni wewe tu
    Mfariji wangu ni wewe tu
    Nitakuona wewe tu
    Hata gizani nitakwona wewe tu
    Wewe tu wewe tu wewe tu.
    Nimekujua na nimekwona
    Nimekwaminini Nimekwamini
    Copyright ©℗ 2021, OSPO MUSIC GROUP, Heaven culture Entertainment . All rights reserved

КОМЕНТАРІ • 908

  • @calebeske923
    @calebeske923 3 роки тому +204

    Kama umemwamini Mungu anayetupa afya mifupani, chapa like ya Faith in GOD

  • @watamuholidaying
    @watamuholidaying 3 роки тому +4

    Wow.
    Wow
    Wow
    Wow
    Wow. Wow
    #wow Nakuamni Bwana Wangu.
    Like back

  • @asabalor
    @asabalor 3 роки тому +20

    Japo machozi yanatiririka wacha yatoke yasafishe macho ili nikuone wewe Mungu nikuone zaidi wewe unipaye afya mifupani mwangu nina kuamini🙌🏽🥺 God is real

  • @ishimweestella5731
    @ishimweestella5731 3 роки тому +2

    Kimbiliyo langu ni wewe tuu Mungu wangu

  • @hildajepkirui6509
    @hildajepkirui6509 2 роки тому +103

    Nothing has been Working in my life , relationship, even finding a stable job has been so frustrating but whenever I listen to this song, I find peace and I hope things will work out someday in Jesus name.

    • @beriamlowe3631
      @beriamlowe3631 2 роки тому +5

      Faithful is our Lord Jesus,

    • @catrinavampire8547
      @catrinavampire8547 2 роки тому +5

      May God answer your prayers as soon as possible

    • @anneodeke3640
      @anneodeke3640 2 роки тому +5

      You are not a lone sister but in God we trust

    • @robertmwangikamanjirikaman1210
      @robertmwangikamanjirikaman1210 2 роки тому +2

      Thanks for trusting in God

    • @elizabethnjuguna3891
      @elizabethnjuguna3891 2 роки тому +5

      Things will surely work out for you.I was in the same position few years ago and God answered my prayer.If he did it for me he will do it for you.Just keep hoping

  • @elizabethmakyau8896
    @elizabethmakyau8896 2 роки тому +1

    NINA KUAMINI SANA

  • @aminaalid9745
    @aminaalid9745 3 роки тому +3

    Yani mi ni muislam lkn kwahuyu kaka hapana kwakweli.... Mungu akutie nguvu uzidi kututia nguvu ya moyo ....

  • @ThereciaMattaso
    @ThereciaMattaso 2 місяці тому +2

    Aminaa kubwaaa

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +15

    Wanao jivunia kua uhai siku ya Leo tujuane .... sio kawaida kua buheri wa afya ni mungu tuu

  • @Globalhits254
    @Globalhits254 3 роки тому +1

    Tumaini langu ni Wewe tu💪

  • @japhethambuka8998
    @japhethambuka8998 2 роки тому +5

    Working in a hospital as a care giver . I declare healing on all who I come in contact with

  • @deogratiusjoachim5526
    @deogratiusjoachim5526 2 роки тому +8

    Huu wimbo umenigusa sana, unavuta hisia kwa Mungu wetu aliye mkuu kuliko hata vyote alivyoviumba. Hakika Mungu yupo na ndiye atupaye afya na kila lililo jema. Joel unaitendea haki karama yako kutuinjilisha. Keep it up bro, May God bless you.

  • @gracegasper8833
    @gracegasper8833 2 роки тому +1

    Kazi nzuri ubarikiwe Joel lwaga

  • @JudithPam-gp1qt
    @JudithPam-gp1qt 9 місяців тому +4

    Ninakuamin wewe tu Mungu ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @barakambisse3710
    @barakambisse3710 Рік тому

    huu wimbo naupenda sana na nyingine pia zako

  • @mrkibali6075
    @mrkibali6075 3 роки тому +13

    My Brother Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya Juuu Unainua wengii katika Huduma yako.👏

  • @CatherineNjeri-o7c
    @CatherineNjeri-o7c 7 днів тому

    Sang this when I was sick 😢
    But I heard him say
    I am the God who healeth thee 😊
    Jehovah Rapha 😌😌

  • @daisypchemut3645
    @daisypchemut3645 3 роки тому +114

    How many liked before even listening to it? because you know he never disappoints..You are a blessing Joel

  • @kelvooonowbert7427
    @kelvooonowbert7427 Рік тому

    Asante joeli unatupa raha mziki mzri.

  • @frankbill5257
    @frankbill5257 2 роки тому +29

    This guy is underrated , it's fantastic listening his songs every morning before my breakfast, peace Tanzania and Mozambique my soulmates 😍😍

  • @benmwasakujonga3575
    @benmwasakujonga3575 3 роки тому +1

    Joel wewe ni fundi hakika Mungu ali install kipaji ndani mwako. Wimbo una ujumbe wenye hisia na kuponya. Enewei alopiga beat hakika kakutendea haki. Wow

  • @rahelmtwale718
    @rahelmtwale718 3 роки тому +51

    I was listening to this song to give me strength when my Dad was sick at the hospital... He's in heaven now😭

    • @Ty125y
      @Ty125y 3 роки тому +3

      Oooh, Very sorry, hope dad rests in heavenly peace, keep up the faith that God can still do extra ordinary things in your life, may our Father rest well in heaven🙏

  • @kezziestiv9608
    @kezziestiv9608 3 роки тому

    Tumaini langu ni wewe tu,,, powerful song

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 3 роки тому +70

    Mithali 16:24 Maneno yapendezayo ni kama sega la asali; Ni tamu nafsini, na afya mifupani.
    Yeremia 30:17a 17 Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA.
    Wimbo wa Nyakati na majira yote.. Kiri uponyaji IJN.

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 2 роки тому +1

    Wimbo huuu umeishi ndani yangu kutwa nzimaaa ya leo Naamini kuna jambo Mungu Wangu Anafanya ndani yangu leo kulingana na pito nililonalo

  • @bimaphd8301
    @bimaphd8301 3 роки тому +62

    Nikwambie tu My brother Joel, Mungu amekutuma na kazi unifanya. Nimesikiliza hii nyimbo mara 15 tangu umeupload. Barikiwa sana

    • @prophetamanimloy405
      @prophetamanimloy405 2 роки тому

      Kila siku huu wimbo kwangu ndio kama umetoka kimsingi ni nyimbo zake zote. I pray that apate malezi Bora kiroho yatakayolinda alichobebwa maana one of the most targets of the enemies

  • @witnessmalangalila91
    @witnessmalangalila91 Рік тому

    Amen asante Yesu😢.

  • @StephenKaingu-ts2ko
    @StephenKaingu-ts2ko 9 місяців тому +3

    Ni wewe tu imegusa roho yangu barikiwa Joel lwaga

  • @gracemrosso202
    @gracemrosso202 Рік тому

    Tumaini langu ni wewe❤

  • @estherthea8180
    @estherthea8180 3 роки тому +12

    Psalms 34:19-20
    Many are the afflictions of the righteous,
    But the Lord delivers him out of them all.
    He guards all his bones, not one of them is broken.

  • @murugiwanganga
    @murugiwanganga 2 роки тому

    Tumaini langu ni wewe tu... Msaada wangu ni wewe tu, kimbio langu ni wewe tu, mungu wangu ni wewe tu, mfariji wangu ni wewe tu... Deep song 2022 July...

  • @mercymungai812
    @mercymungai812 3 роки тому +10

    Mungu nakwamini,nimekujua, nimekuona katika mifupa yangu, Amina. My help comes from you Lord. God bless you Joel for this masterpiece.

  • @shironguru8665
    @shironguru8665 3 роки тому +1

    Japo machozi yanatiririka
    ila haja yatoke yasafishe macho
    ili nikuone wewe tu...
    Unipaye afya mifupani mwangu ninakwamini
    After this season, may I come back to this comment with a testimony.

  • @nantezahenry4259
    @nantezahenry4259 3 роки тому +5

    I cried nilivojua maana ya huu wimbo🥺🥺🥺.....hii nyimbo utaielewa endapo utajua anaejua thamani yako japo sisi ni w dhambi.......Mungu akubariki alikua na maana kukupa kibali mbele zake🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @queenthomas336
    @queenthomas336 3 роки тому

    Mungu akubariki brother kwa kazi nzuri pia nyimbo zako ni nzuri sana

  • @bettymwangi9069
    @bettymwangi9069 3 роки тому +6

    Heavenly father.... come to my rescue.... give me the strength to push on.... it's really hard,,,, being motherless,,,my husband said called me motherless..... Please God replace all my lost blessings.... restore me....to the glory of your name

  • @marthajeremiah
    @marthajeremiah 3 роки тому +1

    Sauti ya mbinguni 🙏🙏

  • @latiphajackson4901
    @latiphajackson4901 3 роки тому +3

    Mungu wangu ni wewe tu😭
    Unipae Afya mifupani mwangu ninakuamini nakuamini ee Bwana 🤲🤲🤲 Tumaini langu ni wewe tu❤️❤️🙏🏿🙏🏿

  • @TheESEMELE
    @TheESEMELE 8 місяців тому

    this song got me through a lot that appoint in my life it encouraged me and th lord healed me of my pain.

  • @mariaanthony5092
    @mariaanthony5092 Рік тому +9

    This song blesses my soul and each time I listen to it, I feel like it's a new song. I put all my trust in You God. Thank you Joel and may God continue inspiring you.

  • @sichalitz6619
    @sichalitz6619 2 роки тому +1

    Amen🙏🙏🙏 ✌✌Ubarikiwe sana kaka

  • @thisiswaithira
    @thisiswaithira 2 роки тому +15

    I'll never forget when I heard this song. It came when I needed such words . I'm forever blessed by the Lord through you sir.

  • @evamakassy9856
    @evamakassy9856 3 роки тому +1

    Hakika ...nimekujua ww bwana yesu na nakuamini milele daima binadamu hawawezi kuniponya....Bila damu yako yesuuu na nimeshakuona bwana

  • @asmahussein2779
    @asmahussein2779 3 роки тому +3

    Huyu mkaka anajua sana jamani tumpe support yakutosha.

  • @timothstephano3128
    @timothstephano3128 3 роки тому

    Kaka joel unanibariki sana. Ninamin skumoja ntaimmba nawewe

  • @Gikonyoea
    @Gikonyoea 3 роки тому +46

    Joel you're a blessing to us, keep on doing what you're doing and all these other things will be added unto you!
    Matthew 6:33.
    Be blessed!❤️

    • @4kcreative100
      @4kcreative100 3 роки тому

      ua-cam.com/video/jmf9bX8Rs9I/v-deo.html

    • @jowi3450
      @jowi3450 3 роки тому +2

      Nakuona mtumishi ☺

    • @lytinesnicodemu8601
      @lytinesnicodemu8601 2 роки тому +1

      Brother Joel be blessed much this song is lifting my faith in my situation. I just believ that God will do according to his power...!!!

  • @tinnedmpumpa3803
    @tinnedmpumpa3803 Рік тому +2

    I thank so much my God wen I heard this song my mummy was in critical condition was very sick but this song gave peace in my heart and now she is doing fine,I thank you My Lord for continuing protecting my mumy.

  • @eugenemusumba6297
    @eugenemusumba6297 3 роки тому +7

    Tumaini langu n ww tu yesu. This part heals me forever

  • @magdalenajuma6229
    @magdalenajuma6229 3 роки тому +1

    Huu wimbo nikimaliza kuisikia kwa imani kijana wangu Densi akapokee uzimaa mifupani mwake uzima ukaingie ndani yake in Jesus name Amen

    • @athanaskitime1484
      @athanaskitime1484 2 роки тому

      Na iwe sawasawa na kama ilivyo Amini katika jina la YESU....

  • @misskoi5057
    @misskoi5057 3 роки тому +53

    A day can't pass without hearing his songs ..kwanza WADUMU MILELE that song lifts me up...May God bless you man of God

  • @mathiasjoel5361
    @mathiasjoel5361 3 роки тому +1

    Mtumish shalom,taja majina ya ushindi katika nyimbo zako kama Jehovah,Yahweh,Yesu ndio majina ya tumaini letu nyimbo nzuri

  • @ministerryanelly915
    @ministerryanelly915 3 роки тому +7

    I'm not leaving here till it plays guys......

    • @kenchords7974
      @kenchords7974 3 роки тому

      😂😂😂so as me... can't wait

  • @Happizo
    @Happizo 3 роки тому +2

    Hio wheel chair imecost sh ngapi I need it 😫😫😫😫😫😫😫😫😫 imechomwa, bado namwamini MUNGU
    Beautiful message

  • @nsajigwarichard1951
    @nsajigwarichard1951 3 роки тому +3

    Kaka kaka nimeuhitaji sana wimbo huu kwa majira haya...May God bless and increase You Joel

  • @gifttv6903
    @gifttv6903 Рік тому +1

    ❤am blessed

  • @stanzaafrika5206
    @stanzaafrika5206 3 роки тому +4

    From Rwanda, kweli I was in need of such message, wacha tumuamiin Mungu ataendelea kutupa afya mifupani mwetu.💛🙏

  • @miriamwambui373
    @miriamwambui373 2 роки тому

    Plz God hear my prayers and I'll treat him right

  • @gospotv
    @gospotv 3 роки тому +70

    God Bless you man of God Joel Lwaga

    • @4kcreative100
      @4kcreative100 3 роки тому

      ua-cam.com/video/jmf9bX8Rs9I/v-deo.html

    • @scolarmarwa3703
      @scolarmarwa3703 3 роки тому +1

      Nafarijika kwa wimbo wako kaka barikiwa uende mbali usikengeuke

  • @thomasmakala2082
    @thomasmakala2082 3 роки тому +1

    Mtumikie Bwana Mungu wako katika siku za ujana wako angali bado unanguvu, Ipo Leo na Leo ndio tunaiishi, kuiona kesho yetu inabaki kuwa Neema Tu.

  • @msafirilwihulainternationa2414
    @msafirilwihulainternationa2414 3 роки тому +3

    Powerful saana, Msaada wangu ni WEWE TU MUNGU

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 3 роки тому +1

    nasikia melody za matias na godfrey walichupa sikiliz kwa makini utazisikia dah song kali sana thx bro

  • @wambuiwagura1114
    @wambuiwagura1114 3 роки тому +18

    It's interesting that I just discovered this song yesterday- it was been played in my neighbor's car.. From then it has been on replay. This is a true prayer for any believer / person seeking God. Thank you Joel for allowing the HolySpirit to minister to you and through you to strengthen God's people. God bless and increase you. Amen

    • @wambuiwagura1114
      @wambuiwagura1114 Місяць тому

      21st December, 2024 - I still believe in Jesus

  • @andrewluyali764
    @andrewluyali764 2 роки тому

    Sir your are always in spirit not flesh
    God bless the ministry you carry
    When the spirit is ministering

  • @cynthianyakio6542
    @cynthianyakio6542 3 роки тому +8

    I relate with Joel Songs so much...I remember 9 months ago I had an accident..And I listened to his songs while I was in hospital for 3 months ..Am ok now...back as normal..It's Joel's God Who did it #Nimekuamini.. Trust in God and he will do Miracles for you😘

  • @holykitaluka6138
    @holykitaluka6138 2 роки тому +1

    Good I have loved it bro👍

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 3 роки тому +7

    #creativity100%
    Kuchoma #wheelchair
    #Mifupani
    #congratzJoel

  • @witnessnyamba9238
    @witnessnyamba9238 Рік тому

    Wimbo unanibariki sana

  • @collettewanjiru
    @collettewanjiru 3 роки тому +26

    Today is my mum's birthday 🎉🎈🎉 and this song makes me thank God for her good health and wellness 🙏🙏 THANK YOU GOD🙏🙏 Be blessed Joel ❤️❤️

  • @shedrackathanasio8001
    @shedrackathanasio8001 3 роки тому +1

    Barkiwa mtumish

  • @brandvine3208
    @brandvine3208 2 роки тому +7

    this songs heals everything straight to the soul.

  • @stephbilkim6574
    @stephbilkim6574 3 роки тому

    Tumaini langu ni wewe tu... msaada wangu ni wewe tu ... kimbilio langu ni wewe tu ... Mungu wangu ni wewe tu ... Christ Jesus the King of kings.

  • @susanwangui3969
    @susanwangui3969 2 роки тому +7

    First time listening to this song and I am blown away. It will be on repeat all day long

  • @RebeccaEliji-ds6ge
    @RebeccaEliji-ds6ge 7 місяців тому +1

    Joel Lwaga Hakika wewe watosha kuitwa Maktaba inayotembea

  • @singtorres6049
    @singtorres6049 3 роки тому +42

    Joel Lwaga, your songs are a blessing, motivating and encouraging. May God continue to use you to change the world.

    • @anithatemba5503
      @anithatemba5503 3 роки тому +1

      Well done, keep it up! God bless you.

    • @4kcreative100
      @4kcreative100 3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/jmf9bX8Rs9I/v-deo.html

  • @mbokamwasumbi4149
    @mbokamwasumbi4149 3 роки тому +1

    Ndaga fijooo!

  • @meshackkyungu4338
    @meshackkyungu4338 3 роки тому +3

    Amina nyimbo nzuri ubarikiwe mtumishi

  • @karenvocals2549
    @karenvocals2549 3 роки тому

    Natamani siku moja nikapate Kuimba Nawe. Mungu Akubariki Sana!!! Hakika Mungu Yu Hai.

  • @olivierigani5850
    @olivierigani5850 3 роки тому +28

    Oooh my God ,I am crying what powerful lyrics ,God bless you Papa Joel we still need more from your ministry for sure

    • @4kcreative100
      @4kcreative100 3 роки тому

      ua-cam.com/video/jmf9bX8Rs9I/v-deo.html

  • @nicodemebaraka4867
    @nicodemebaraka4867 2 роки тому

    Mwalimu mzuri

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 3 роки тому +19

    Joel u never disapoint us big up bro 💪"UNIPAE AFYA MIFUPANI MWANGU NINA KWAMINI🙏"

  • @josephkuria1257
    @josephkuria1257 2 роки тому

    Had an accident broke my right femur luckily am well apart from that .....
    i believe and i recieve healing in Jesus name

  • @luciesheekow2496
    @luciesheekow2496 3 роки тому +12

    Lost my collegue Yesterday 😭,and this song is giving me strength

  • @sharonchepkoech2931
    @sharonchepkoech2931 3 роки тому

    Woooow....ni wewe tu...what a blessing...God bless you and expand your territories Joel

  • @ruthm8177
    @ruthm8177 3 роки тому +13

    This song is carrying me through grief… God bless you

  • @siahchao5132
    @siahchao5132 2 роки тому

    May GOD Reign moh and moh in your life

  • @chegehjmusic3449
    @chegehjmusic3449 3 роки тому +17

    I don't miss out on any of your release Joel! You're a blessing in this generation!

    • @4kcreative100
      @4kcreative100 3 роки тому

      ua-cam.com/video/jmf9bX8Rs9I/v-deo.html

  • @johnmogope8520
    @johnmogope8520 3 роки тому +1

    Mifupani xo sweet

  • @MinKenGeorge
    @MinKenGeorge 2 роки тому +3

    This song is supposed to have over 10 million views by now😭, such a blessing man

  • @ruthogutu3600
    @ruthogutu3600 2 роки тому

    I believe In you God

  • @joelkalama9449
    @joelkalama9449 3 роки тому +7

    You'll agree with me that he really ministers to many,more grace 👌

    • @justustiego.tiego.365
      @justustiego.tiego.365 3 роки тому +1

      Yes he does, he is so anointed, and I've just noticed you are his name sake..

  • @mercymutheu9860
    @mercymutheu9860 Рік тому +1

    Am listening to this song hoping tomorrow I will wake up healed in Jesus name

  • @robertmulinge2476
    @robertmulinge2476 3 роки тому +12

    I really like this have never commented but this song tripped my heart in memories and i remembered how my story is from my childhood. I suffered i had memories that deserved depression, tears and even suicide but i thank and i have all the reasons to say i trust GOD. He gave fruits out of my hard work and i will forever dwell to respect and worship him. Thank you

  • @philipinakobelo604
    @philipinakobelo604 2 роки тому

    Joel your the best gospel singer

  • @elishamamwakagali3972
    @elishamamwakagali3972 3 роки тому +4

    Chuma cha maana sana kaka! Big up 🔥💪

  • @KibongeWaYesu
    @KibongeWaYesu 3 роки тому +2

    Jamani ee tunaosubiri hii baraka naomba tujuane

    • @olivierigani5850
      @olivierigani5850 3 роки тому

      My name is Olivier Igani love from burundi Bujumbura broo

    • @olivierigani5850
      @olivierigani5850 3 роки тому

      I am also a singer learning from Lwaga

  • @sophiasamuel4903
    @sophiasamuel4903 3 роки тому +4

    Oh my goodness... This my favorite song of you, though I don't know what it means but each time listen to the song or sing it, I feel it's a Thanksgiving song and I'm grateful to God for the Grace to connect with Eastern Africa songs and I really love a gospel song coming from that place. I just can't love you less sir and I pray for more higher grounds, much love from Nigeria

  • @danielmpopela1663
    @danielmpopela1663 2 роки тому

    Kaka huduma yako inanibariki sana zaidi ya sana,I pray to God that may you do so great than what you do now broo.

  • @inocentkapufi7436
    @inocentkapufi7436 3 роки тому +13

    I feel like crying 🥺🥺🥺 This song really touched my heart God bless u minister

    • @4kcreative100
      @4kcreative100 3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/jmf9bX8Rs9I/v-deo.html

  • @jacobomwiru-xg7lx
    @jacobomwiru-xg7lx 6 місяців тому

    Mimi.sina la kusema ila na Mupigia Mungu.magoti kwa sababu amenipa mifupa iliyo.hodari katika maisha.yangu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @zawadiwachira4554
    @zawadiwachira4554 3 роки тому +10

    This song goes deep,deep to my spirit, reflecting on how far the Lord has brought me,just how much He has given to me,.😭😭😭God I trust you,this song at just the right moment,...may You bless Your Faithful servant all his life,..You have blessed us through him..