MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- #MwanaFA #WeEndeleaTu #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091976] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.bio/ao7drgr
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Anayesema uyu Jamaa, mistari yake ni ujumbe tosha, gonga like hapa twende pamoja
Watoto waliachiwa wakaharibu bongo fleva...sasa ma Legendary wamerudi...Mwana FA
😂😂😂😂😂😂😂Duuuuhhhh umeniweza 😂
Kabisa
Kabisaaa wale wenye mziki wao wamerudi madogo wengi na wanahippop wanatuandikia kutuchania vitu vya ajabu
Baaas ukweli 🔥🔥
Hawawezi peke yao mkuu
Naona bendera za kenya ziko nyingiiii hayaaa waTz🇹🇿🇹🇿gonga like hapa 🎶🎶🎶🎶🎶💣💣
ua-cam.com/video/qcUxdygOk8I/v-deo.html
Watanzania unafiki umetujas kwani hujui
Bendera ni mingi sababu Mwana FA ni mkali Ndugu! Kazi kali
😂😂😂😂😂😂
Nice
Hapa ndo unapoweza kutofautisha kat ya MwanaMUZIKI na MSANII.
Nalikubali kubwa mwana fa from Kenya+254 kama unamkubali mwana fa ngonga like hapa big bro 😘😘😘😘
Hata wachawi pia wanafiwa 😂😂😂😂😂😂 sharti nimevaa LA Jana ila gari nmebadilisha #FA unajua kinomaaaa mzeeee like 1000 kwa FA
This is madness
Hata mchawi Hua anafiwa 😂😂😂
Kama message siipendi na mshoot mpaka messenger 😂😂😂 meen...... Gonga like ya kibabe
Kama una amin FA ndo Best MC wa muda wote gonga like twende sawa.
Huyu mzee yupo katika best mc wa all time
atar we endelea 2
@@winnermlaki2520 faya
@@mugadimon3563 mtu mbaya asiye na mambo mengi
Tafata her ira usipig nazo pch
🇹🇿 🇰🇪 Ni Rehma za Mungu tu na maamuzi yake.. Kwa Mungu hakuna majungu mi nina Mungu.
Mkongwe wa Hiphop Afrika!
Nimerudi tena kuomba like we endelea tu kuninyima like
kama umetazama hii ngoma zaidi ya mara 40 WE ENDELEA TU!!!👊👊👊sema nn FA weeeee niii maaafyaaaaaaaa!!!!
We endelea tu
TANZANIA kimuziki tuko juu East Africa Soma hiyoooo 🇹🇿🔥
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2)
ua-cam.com/video/iEKdIwy48O8/v-deo.html
Kabisa
Wamlambez
Hili lijamaa linajua thamani ya mb zangu
kwa ngoma hii Kwanini nisimalize bando
👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪
Endelea tuu Bonge LA nyimbo,falsafa katisha
Hahaha! Hata mm nimerudia zaidi ya mara 20..kweli huyu mwana FA
From Kenya this Extravaganza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
second home kenya salute
Hawa ndoo ma legends sasaaaa.. mziki safi
"anaejifanya anakuamua anakushika upigwe babu,mtie mitama siku nyingine ashike adabu" #weeendeleatu
Kaliii fa is back gonga like km umeangalia zaidi ya mala 2
ChoirMaster❗️
Dah vijana wameharibu bongo flavor.... Asante ma legendary
mmbuyu ulianza kaa mchicha ila mchicha haujawai kuwa mmbuyu💣
Hata kama hukipendi kukiheshimu inabidi🙌
Wangapi wamepata vibes za 2010
👇
kama umerudia zaid ya mara kumi gonga like here
Mm
Nmekuelewa man
hao walio dislike wanaujua mziki kweli au wamezoea zile video za marangi rangi na uchi uchii....
this is a good music
Waambie Watoto hawajakua
Hata me nimeshangaa sana una dislike nn sasa hapo
Hao wanao dislike walishazoea nyimbo za mikelele nyingi
All the way from 🇰🇪 the legend is back with a great message❤️❤️💯
AUGUST 2024 HAPA LIKE NYING KUHESHIMISHA BONGOFALVOR HALISI🎉
Tafuta hela ta kutosha ila usipige nazo Picha.. FA mwisho wa mawazo
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2)
ua-cam.com/video/iEKdIwy48O8/v-deo.html
....maisha yanabadilika
Dope song
We endelea tuu kuninyima like, team mwana_f_a na team east_cost__team gusa like
We endelea tu kuachia Ngoma kimya kimya. Keeping the good music alive
#WeEndeleaTu
anasema nini hapo eti, ...............,kishua au kimtaa ni kucheza na number kama mtu mbaya Salah.
Hilal Mtangi mbna biti zilezile
We endelea tyu kwa mungu amna wanafki
Tafta hela zakutosha ila usipege nazo piacha😊👏👏👏
Kama ngoma umeielewa kama mm gonga like🔥🔥🔥🔥
Wa kwanza ku comments gonga like kama unamfatilia huyu jamaa 💥🔥🔥
Habily Boy huwa akosei mwamba%√
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania)
ua-cam.com/video/Sd6ZVMsxLxY/v-deo.html
Mzee... umetishaaa. Hakuna hata comment 1 inaepinga hii ngoma.
Legendary... nakuita Hamisi
Hao walio thumb down wote wana utindio wa ubongo...what the hell🙄..masikio yao yapo sawa kweli...this issa💣💣
Hahaha
I wish siku moja tutapuga Featering kaka.
Napenda voice beat na maneno.❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Tuliorudia kuitazama hii video weka moto🔥🔥🔥🔥
Wapi likes hapa Toka + 254🇰🇪 Bado Mwana FA ako juu ama vipi GONGA 👍
Kaka ujawai kuniangusha.....
Ma legendary are back with a bang💪💪💪💪,we endelea tu 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nahis hii ndio ngoma bora zaidi kwa mwaka 2019
Swalehe Haruna oyeaaa
Kanyaga
Uyu jamaa ajawai kuchuja mana mziki anaujua xana angekuwa anaupromoti mziki wake km wanavyo fanya wenzie wakina Mondi basi africa nzima kusinge kalika. Weeeeeee ENDELEA TYU. UMEUWAAAAA F. A. SAFI XANA. napenda xana mziki wako napenda xana mziki mzuri. Sichagui wala sibagui nasapoti mtu anae imba mziki mzuri basi
mwana MUZIKI hutoa ngoma bila kiki msanii ndo huangaika na kiki#WE ENDELEA TU#fa
Mw AF mm nakupaa big up wimbo endelea tu . Umetimia mashair na biti imetimia ila. IPO ndogo
subira haivuti bangi haigongi nyagi inavuta kheri tu haijawahi kubugi 🔥🔥🔥 nice jam
I beleve in you Mwana Falsana lazima tujifunze kwa waliofanikiwa ili nasi tufanikiwe i swear nitatafuta pesa na nikipata Sipigi nazo picha ng'ooo
We endeleaa tu
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania)
ua-cam.com/video/Sd6ZVMsxLxY/v-deo.html
Show
JD online
@@josephdaudi4471 nam
Kbsaa
Oyooooooo... Wanao amini kwa MUNGU hakuna majungu.. waendelee tu... Like mingii hapaa
Kipo kitu hapa, we endelea tu!
Wakikuuliza unaendeleaje wajibu zaidi ya jana....Legendary FA
Amua mwenyewe Utazika? Utasafirisha? (mwana FA).
Hii ngoma hatari sana....inapaswa kupigwa remix na malegends karibu wote..awa watoto waskuiz wanazingua sana....thanks for good music
Noel Philip Mollel real
Uko sawaaa
Hizi flow za kigadhabu achia warabu
disi hip hop za wenye hip FA Whatsap
Miendo ya ngamia juu ya maji eeh ya filauni
Huku tunakanyaga tamu na kutetema,
Kwangwaru kwa mademu sio mchezo Wa kusema
Haujawahi kufel bro,, nakukubal Leo kexho mpaka milele
Imekuwa tofauti na wasanii wengine kwa mfalame FA kila kukicha ndo anavyozidi kuwa mkali
Hahahahahaha big daddy #mtu mbaya #mwanaFa #big dady #mwanafalsafa # we endelea tu. We jamaaaa unatisha kama EBOLA ✈️✈️✈️
Sisi ndio wagosi tunaweza uza Ng'ombe kwa kesi Ya kuku lazima tushinde big up Mwana FA mgosi wa ndima Kama mbwayi mbwayi tu
Hatufeligi kindezi wagosi wa tanga
Mshaanza ukabila mnataka kutambika au
@@johnsonjoshua6707 😂😂😂
'Amua mwenyewe utazikwa utasafirishwa'
wakikuuliza naendeleaje waambie vizuri zaidi ya jana,,,miluzi mingi ila kubwa la jibwa sipoteii,,,dah respect sana brooother💪💪💪💪💪
Nakupend xana mwanafA .....unajuwa kaka. Anayebixha mbana pua.
Kimewaka 🔥🔥🔥🔝 gonga like twenzetu na burudani🎬
Bonge la nyimbo kama unamkubali mwanafa like hapa twende Sawa 👌🏼👌🏼
Mimi siyo mgeni hapa,najua miili inapozikwa/
Nina kitabu hapa,najua nini kimeandikwa.
#WeEndeleaTu.
Huwezi kutupangia. Tushavuta sana milango iloandikwa push..na trust me inafunguka..
You always make music feel easy maana mistari migum ila unaitema kama umezaliwa nayo. Big up FA.
Keeping th good music alive.
Kila ninapohisi ubongo unanjaa na unahitaji chakula kitamu ambacho kitantoa stress zote basi huwa nawatafuta watu wawili ambao wanauwezo wa kuongea maneno ambayo huwezi kuyafikiria ni Mwana FA na Fared Kubanda"Fid Q"
We weendelea tu...
Facts
Mm ninavyoon hii ndio itakua ngoma boraa sanaa katika huu mwakaa nani anabishaaaa
Nyimbo kali sana Mwana Fa sema hapo kwenye chorus angekaa G nako ingekuwa kizazi sana
G nako au belle 9
But tayr ipo kwa hewa
Sasa unadhani nani kama c gnako
@Ahmed Ally mawazo yako Kama yangu
Chorus angekaa mtu mzima belle tisa
Anayejifanya anakuamua anakushika ili upigwe mtie mitama Siku nyingine ashike adabu 😂😂😂😂😂
Binam huku ni zaidi ya kujua
👏👏👏👏👏👏👏👏
nipeni like Hata 20 tu jamani
Huyu mtu hatar broo
Kwani nyimbo umeandika wewe?
Likes za nini? 😎🤔
mwanaFA Wee endelea tu usingesema wewe ningesema mimi
heshima kwako FA umekaa chini ukaumiza kichwa na kutoa nyimbo yenye ujumbe uliojitosheleza
Springs Media
🙌🙌🙌
My big brother FA hujawahi kuyumba the best lyricist of all time
Mc KobaTz kabisa
Miruzi mingi mbwa sipotei we endelea kuskiliza utaelewa tyu
Huyu Ndoo msanii namba 1 Bongo nzimaa hatarii gemuu imemisi hizi kaziii sio zogooo la Vumbi
Hata wachawi wanafiwa we endelea tu
FA......................................................
LIVING LEGEND
Imenyooka Mzazi, Kali i sei
one of the best in E.A without a doubt! Hujawahi kutuangusha mafans wako!
This man deserves Grammy
This man mentions God in most of his songs like every beautifully crowned eternal soul
That’s why he’s called the “PHILOSOPHER” aka falsafaaa🥳
baba nasikiliza everyday nikama MOTIVATION
The one man Army 🔥🔥🔥🔥🇰🇪👏👏👏 najua kuna wenye wameanza kustuka juu hii real hip hop come back💕🔥
Mziki unawatu wake bhna
kanyaga + mbio + vumbi+never give up+rhumba=we endelea tu
Ukibisha kunya UA-cam inuke 💪💪💪💪💪💪 Binam Wewe ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We endelea tuu
naomba uni subsbcribe comments katika youtube yangu nami pia nitakuja kwa kusabu na ku share katika ACCOUNT YAKO TAFAZARI NAOMBA NAOMBA UJE NA U SUBSBCRIBE
Daa!bonge la hit 🔥👊💥Subira haivuti bangi!......
Conguratulation Mr 🇨🇲🇨🇲🇨🇲
Nilikua nangoja sana Mzazy FA utapakua nini na lini but umeangusha mzigo mkali FA yuleyule misemo full kujiachia
Kisasi hakitanitibu ila na ww utakuwa umeumia!👏👏👏👏😁
TAFUTA HELA ZA KUTOSHA ILA USIPIGE NAZO PICHA,MAISHA YANABADILIKA KAUSHA NTAKUFUNDISHA
2024...... 5 years ago nimeirudia hii ngoma niliisikiliza kipindi nikiwa mdgo sina nishakuwa sasa
Respet MwanaFA video nzuri wanawake wako nguo za stara sio kuvaa vichupi utu uzima dawa big up broo wengine waige hii
Kwani je haya ndo mambo sasa misamiati kama yote ::::: we endelea tu kwa Mungu hakuna majungu
Subira haivuti bangi,haigongi Nyagi ina vuta kheri Tu #WendeleaTu 🇹🇿👐 Binamu
binamu katishaa
Kubugi maanake nn mjamaa?
"anayejifany anakuamua anakushik upigwe babu, mtie mitama skuingine ashik adabu" 🗣🗣Faaalsaaafaaa hatar sanaaa
nakukubali sana mwanagu🔥🔥🔥🔥
Mi nna mungu we endelea tuu safiii fa
Tafuta hela za kutosha ila usipige nazo picha🙈🇹🇿✈️
Tuliikumbuka hii sauti na imeludi kwa kasi ya hatari 👑👑👑 nakuele mfalme mwana f.a we endelea tu kutuletea mistari bora Tanzania
Dah naombeni like hata moja jmn
Hiii itakuwa mara ya 50 naisikiliza jamni maana hiii hip-hop ya kweli na song ni amazing kabisa anayebisha we endelea tu kwa mungu hakuna majungu
Kaka umewaza nini...... Tanga juuuuuuu
Ila hii nyimbo ukifanya masihara unaweza usijue kilichoimbwa umu ndan,,,Bonge LA ngoma father...GOD BLESS YOU
Heshimu pesa baada ya dini ......... We endelea tyuu... Eeh bhn gonga like hapaaa
Mwana FA ...this is wat real Legends are made of ...mashairi yamekomaa...more love bro 🔥🔥🔥
Wee ni kiboko
Bonge la ngoma tuko live na maisha
Hatareee mazeeee mwanafa is back
Woooyoooooo the coming back of a Legendary. 🔥🔥🔥