Nimeishi mwanza kwa miaka mi 3 na sasa naishi dar. Kuhusu ukubwa mwanza na dar huwezi fananisha, dar ni kubwa sana. Kuhusu idadi ya watu, dar ina watu wengi zaidi. Kuhusu huduma-hospitali, taasisi za elimu, benki nk dar zipo zingi sana. Ila kuhusu gharama za maisha mwanza ina maisha rahisi sana. Ila ukiniuliza wapi ningependa kuishi kati ya dar na mwanza nitachagua Mwanza.
Mi pia si mwenyeji wa Mwanza but nilishapata mchumba na alinipenda saana sitaweza kusahau ukarimu wake alivyonileta Mwanza nilivutiwa mno kuishi huko. lakini namuombea mema tu na aliyenae kwasasa🙏🌺🤷♀️
Tatizo mwanza usiku Kama Kijiji jiji linakuwa Giza na ikifika saa nne tu daladala zimekata, mm bdo napenda sura ya Tanzania Dsm huduma toka asubuhi hadi asubuhi nyingine town ni town mzee
@@BMGOnlineTV karibu mbeya ni Jiji kubwa hata mwanza haifii ila ni jiji lililotawanyika ukiyakusanya magorofa yote ya Jiji LA mbeya hata magorofa yaliyopo Arusha yatakuwa machache alafu ni Jiji tajiri CCM tuu na serikali Yao wanalitenga Sana jiji la mbeya. Wanakusanya tuu mapato lkn Jiji la mbeya ni Jiji muhimu Sana katika nchi hii
@@magigesabai8674 Dodoma hamna kitu kwanza Dodoma kuwa Jiji mwendazake alilazimisha Dodoma haikuwa na hadhi ya kuwa Jiji mwendazake ndiye alilazimisha kuwa Jiji huwezi kulinganisha na mbeya Jiji lenye uchumi mkubwa na Jiji LA tatu kuanzishwa nchini
Aise usije ukataja jiji inayoitwaga Dar es salaam!!! Hii sio jiji tu, inatakiwa iitwe nchi. Nakwambia ina watu wa kushangaza afu magari mengi hadi utafikiri ni New York kule marekani!!! Watu, utafikiri watu wote wa Tanzania wamehamia hapo Dar es salaam!! Nakwambia hii inaitwa Dar es salaam!!! Nchi tosha. Ni kubwa mbaya mbovu!!!
60% ya Magari yote Tanzania yapo Dar Es Salaam, kutakosekanaje msongamano? Dar haiwezi kufananishwa na sio tu Mwanza bali na mikoa mingine hapa Tz.. Dar Es Salaam ni NCHI sio Mkoa
Kweli kabisa Miji mingi Tanzania inapanuka kwa Kasi Sana kutokana na Vijana wengi kupendelea kuhamia mijini lakini itachukua muda mrefu Sana kutokea mji kufikia Jiji la Dar es salaam😂
@@modestwenceslaus9sawa ila sio jiji zuri la kuishi saiv Dar hata uwanja kupata ni shida Alaf utambue mbeleni Dar itakua kama mombasa ina eneo dogo sana la mkoa na imejaa Lkn majiji yaliobaki yana nafas na eneo kubwa la kupanuka mji
Nimeishi mwanza kwa miaka mi 3 na sasa naishi dar. Kuhusu ukubwa mwanza na dar huwezi fananisha, dar ni kubwa sana. Kuhusu idadi ya watu, dar ina watu wengi zaidi. Kuhusu huduma-hospitali, taasisi za elimu, benki nk dar zipo zingi sana. Ila kuhusu gharama za maisha mwanza ina maisha rahisi sana. Ila ukiniuliza wapi ningependa kuishi kati ya dar na mwanza nitachagua Mwanza.
Uko sahihi kabisa, Dar inaongoza mambo mengi kisha inafuata Mwanza lakini kwenye mazingira rahisi na rafiki kuishi, Mwanza inaongoza.
Mwanza the beautiful city in TANZANIA
Sure
Nampenda mwanza nampenda samaki na Hali ya hewa no zako za simu bro
Karibu sana mdau
Ndoto yangu kubwa nikuish mwanza love somuch mwanza
Ni mji sahihi kuishi
Safi sana kaka MWANZA Jiji la miamba na maji baridi Tena bila chumvi
Kabisa
Mwanza kwetu mashaallah ❤
Jiji zuri kabisa
Habari, tunaomba mwendelezo wa mv mwanza hadi October 2023
Npo Dodoma nlfka Mwanza 2021 ni Mji mzuri na mkubwa kulko hapa Dom ila ina uchache wa Barabara sana
Karibu tena
Favorite City to visit. I’ve been here, it’s beyond expectations 👌🏽
Wow! Great, u ar most welcome
Asante sana kaka kwa kazi nzuri
Tunashukuru kwa ushiriki wako
Mwanza is the best city in Tanzania.
Sure
Salam inayfaham chuo cha thaqeb mwanza sokoni kilmahewa ustath Adam? ?????
Kila nikilala nawaza kuishi mwanza kujenga mwanza yaan apa nasomea saloonilist nikimaliza nakuja mwanza kufungua saloon mwanza 🪨❤❤❤❤❤❤❤❤
Karibu sana
Kaka naomba ukiweza ututengenezee video exclusive ya Capri point pekee.
Sawa
The Rocky City ...home sweet home❤❤
Pamoja sana mdau
Hata mimi nimetembea sana Tanzania hii, lakini jiji zuri la kuishi ni MWANZA.
Kabisa
Barabara za nje ya mji bado zinasumbua pia matuta kwenye barabara za ndani ya mji ni kero
Yes zinahitaji maboresho na tunaambiwa ziko kwenye mipango
Mi pia si mwenyeji wa Mwanza but nilishapata mchumba na alinipenda saana sitaweza kusahau ukarimu wake alivyonileta Mwanza nilivutiwa mno kuishi huko. lakini namuombea mema tu na aliyenae kwasasa🙏🌺🤷♀️
Ooooh jamani, hamko pamoja tena
@@BMGOnlineTV Yah ila namuombea tu maisha mema.
@@tiffanyakramJr822 amen
@@tiffanyakramJr822 Amen
mwanza kuna baridi kali? ndo joto kama dar?
Daladala bdo ni Hiece inazidiwa hata na Mbeya daladala za coaster
Hivi Mbeya ndipo yule mbunge alisema mji haujulikani uliko?
My home town
Nice
No ya whatzap brother
0757432694
Likosafi safiiií
Kabisa
Tatizo mwanza usiku Kama Kijiji jiji linakuwa Giza na ikifika saa nne tu daladala zimekata, mm bdo napenda sura ya Tanzania Dsm huduma toka asubuhi hadi asubuhi nyingine town ni town mzee
Tunakusoma mdau
🎉🎉🎉🎉
Home city home
Hongera, Jiji zuri sana
Mwanza a.k.a Rock City bonge la CITY asikwambie mtu ni JIJI la kipekee
Hakika
JIJI ZURI TATIZO GIZA SANA USIKU TAA ZA BARABARANI HAZIWAKI
Naona wameanza kuifanyia kazi
@@BMGOnlineTV Kwa BARABARA ipi Kwa mfano? Ya airport iliyoishia nyamanoro?
@@josephwilliam5813 Ndiyo
@@BMGOnlineTV Kwa ILO bado sana
Nimefulah san
Karibu sana
Me ni mkenya hila natamani sana kuja Mwanza kutembea hila sijui mtu yoyote huko na pia sina undugu huko hila natamani sana hii mwezi
Karibu sana, ukifika tuwasiliane +255757432694
Jiji zuri kuishi ni mbeya jiji la kijanja na kidijitari yaani mbeya ni full mzuka
Siku moja tutafika Mbeya
@@BMGOnlineTV karibu mbeya ni Jiji kubwa hata mwanza haifii ila ni jiji lililotawanyika ukiyakusanya magorofa yote ya Jiji LA mbeya hata magorofa yaliyopo Arusha yatakuwa machache alafu ni Jiji tajiri CCM tuu na serikali Yao wanalitenga Sana jiji la mbeya. Wanakusanya tuu mapato lkn Jiji la mbeya ni Jiji muhimu Sana katika nchi hii
@@Aminmwansile-we8vnwewe unaota ndoto kama Dodoma imekushusha utafikia jiji la pili kwa ukubwa Mwanza?
@@magigesabai8674 Dodoma hamna kitu kwanza Dodoma kuwa Jiji mwendazake alilazimisha Dodoma haikuwa na hadhi ya kuwa Jiji mwendazake ndiye alilazimisha kuwa Jiji huwezi kulinganisha na mbeya Jiji lenye uchumi mkubwa na Jiji LA tatu kuanzishwa nchini
Aise usije ukataja jiji inayoitwaga Dar es salaam!!! Hii sio jiji tu, inatakiwa iitwe nchi. Nakwambia ina watu wa kushangaza afu magari mengi hadi utafikiri ni New York kule marekani!!! Watu, utafikiri watu wote wa Tanzania wamehamia hapo Dar es salaam!! Nakwambia hii inaitwa Dar es salaam!!! Nchi tosha. Ni kubwa mbaya mbovu!!!
Hahahahaaaa umetisha sana
@@BMGOnlineTV safiiiii mwaga unga!!! Safi sana best wetu wa nguvu!!
Dar es Salaam ina nini zaid ya uchafu kila kona tembea uone
Mwanza Ina balaa
Lipi
Dar ndio kilakitu
Mwanzani jiji linajengwa kila leo ni mji wa biashara.
Kabisa
Mwanza
Safi
Jiji zuri mno hilo
Nilia siijui mwanza nilipanga nikitoka Qatari nitembelee mwanza nasukulu kunipa muongozo
Unadhani lipi Jiji pendwa, zuri Tanzania? Shirika nasi hapa!
Mwanza
@@luhendesoloshija9502 kwa nini?
60% ya Magari yote Tanzania yapo Dar Es Salaam, kutakosekanaje msongamano? Dar haiwezi kufananishwa na sio tu Mwanza bali na mikoa mingine hapa Tz.. Dar Es Salaam ni NCHI sio Mkoa
Kweli kabisa Miji mingi Tanzania inapanuka kwa Kasi Sana kutokana na Vijana wengi kupendelea kuhamia mijini lakini itachukua muda mrefu Sana kutokea mji kufikia Jiji la Dar es salaam😂
Hajasema kwamba Mwanza inaizidi Dar, muelewe anacho kisema.
Mwanza ni jiji la pili Tanzania, kwa maana Dar namba moja, Mwanza namba mbili, hata kwa idadi ya watu, Mwanza namba mbili.
@@modestwenceslaus9sawa ila sio jiji zuri la kuishi saiv Dar hata uwanja kupata ni shida
Alaf utambue mbeleni Dar itakua kama mombasa ina eneo dogo sana la mkoa na imejaa
Lkn majiji yaliobaki yana nafas na eneo kubwa la kupanuka mji
@@magigesabai8674mombasa tena
me nataka kwenda mwanza kuishi vp biashara zipo na masoko kama ya kariakoo yapo?
Soko la Mwanza ni kubwa, zaidi ya watu milioni tatu Mwanza tu. Lakini pia ni kitovu cha uchumi kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.
Soko lipo, siku zote ujue biashara ni watu, Mwanza pia ina idadi kubwa ya watu