MSUKUMA UMEONGEA VIZURI 🙌🙌 ILA SIJAPENDA ULIVYO KUBALI KUBADILI KAULI ULIYO IONGEA YA WANAWAKE KAMA WANAUME. TULIA ANAJUA MWANAUME ATABAKI KUWA JUU YA MWANAMKE MPAKA DUNIA ITAKAPO ISHA KABISA
Msukuma siku zote huwa unaongea point sana ingawa hukupata elimu rasmi,ila wewe umebarikiwa na akili mingi sn,..ila kwenye bandari uliharibu najua unajua....kip it up....kutusemea sisi wananchi wa chini.
Tangu bunge hili lipitishe uuzwaji wa bandari za Tanganyika ninachokijua kwa sasa hatuna bunge hapo mnashabikia msamaha wa hao 15 tu lakini sioni mnaizungumzia gharama ya hiyo bima na hiyo takwimu ya watu masikini siyo asilimia 26 watanzania ni masikini wengi sana zaidi ya hiyo 26%
Propaganda za ccm ni zilezile! uchaguzi unakaribia kura zitatafutwa kwa mbinu zote! Hawahawa ndiyo wameuza bandari! hakuna jipya kwenye bunge hilihili la ndiyooooo! Kwa kila kitu!
Mungu akubark msukuma ukweri ungonjwa huu watuu niwengi ila garama ndio chazo Cha vifo vingi Mimi pia ninaumwa Figo ninamwaka Sasa garama ni zaidi ya hiyo uliotaja Ninazo garama za kila siku ni 240000, mpak 300000
Msukuma hakusema kuwa wanawake hawawezo, ila alizungumza neno mwanaume kwa kumaanisha "imara".Ndg spika ungemwacha amplifier hakuwa na nia ya kubagua wanawake
Muhimu siyo watu kuwa na bima ya afya. Muhimu ni kumwezesha mwananchi kujikinga na maradhi na hasa yale yasiyoambukiza.Tuimarisbe elimu ya afya ambayo it's aidha kujikinga na maradhi. Lakini serikali iwe na mikakati ya kuboresha vipato vya wananchi kwa kuweka mipango endelevu ya kuwawezesh kuwa na vipato vya kujikimu na maisha yao.
Mbunge Musukuma kusema wabunge ndo wasemaji WA serikali Hiyo kauli is nonsensical Bunge linatakiwa kuisimamia serikali na siyo kuwa msemaji wa serikali
Sasa muheshimiwa Tulia atakuja kukubaliana na wazungu, maana wazungu walianza hivi hivi, mpaka sasa wanawake kwa wenzetu nao wanajiita wanaume na wanaume wanajiita wanawake, Mwanaume atabakia kuwa Mwanaume.
Ushauri wa bure. TBS wafanye kazi yao kuhakiki ubora wa bidhaa tunazotumia hasa vinywaji na vyakula. Tunaweza weka nguvu nyingi kwenye matibabu lakini chanzo tumekiacha na tukaendelea kupata wagonjwa zaidi.
Ninkwelu kabisa na hilo swala unalipa leo baada ya miezi 3 ndio inaabza kufanya kazi kwa kweli huu ni upigaji sii halali ni dhulma pesa yeyu mnakuwa mnaizungusha mnatia faida kisha badae ndio inaanza kazi inaumiza hii

Your excellent Dr Musukuna! Uko vizuri sana dogo. God bless you.
Msukama,
Uko vizuri, bongo inachemka, wewe ni zaidi ya doctor
Mheshimiwa msukuma umeongea points sana kuhusu bima 👏
Mh. Msukuma huwa nakuelewaga sana Hongera sana 👏🏾👏🏾
Huwa nakuelewa sana mbunge wngu
He the one of the greatest congressman hakuna kama yeye hao wengine wote wapigaji kelele za shangwe
Msukuma nampenda sana Uwa anachangia Uhalisia kabisa
hongera saana msukuma huyo mama amesha kuwa kitabu Chaa hospital 🏥 ya taifa
Pure intelligence❤
Msukuma siku zote huwa unaongea point sana ingawa hukupata elimu rasmi,ila wewe umebarikiwa na akili mingi sn,..ila kwenye bandari uliharibu najua unajua....kip it up....kutusemea sisi wananchi wa chini.
Tangu bunge hili lipitishe uuzwaji wa bandari za Tanganyika ninachokijua kwa sasa hatuna bunge hapo mnashabikia msamaha wa hao 15 tu lakini sioni mnaizungumzia gharama ya hiyo bima na hiyo takwimu ya watu masikini siyo asilimia 26 watanzania ni masikini wengi sana zaidi ya hiyo 26%
Bandar nisemu yakazi ukitaka kujenga kanisa tafuta hapo ulipo mjomba siasa pereka mbeya
Propaganda za ccm ni zilezile! uchaguzi unakaribia kura zitatafutwa kwa mbinu zote! Hawahawa ndiyo wameuza bandari! hakuna jipya kwenye bunge hilihili la ndiyooooo! Kwa kila kitu!
Kama nhif inakosa dawa hospital hiyo ya wote mtanambia ukienda hospital majengo mazur lkn dawa hakuna
Masha Allah shakurni sana
Lasaba tupo nyuma Yako na tuko wengi lasaba oyeeee
Msukuma, Jumanne Kishimba Luhaga Mpina na kuna mwamba mwingine iv jina limenitoka ni watu kweli kweli huwaga nawaelewa sana
Msukuma uatuwakilisha wananchi kweli kweli unachangia katika kiwango ambacho hata mtu wa hali ya chini anakuelewa
Musukuma ana akili sana.
Mungu akubark msukuma ukweri ungonjwa huu watuu niwengi ila garama ndio chazo Cha vifo vingi Mimi pia ninaumwa Figo ninamwaka Sasa garama ni zaidi ya hiyo uliotaja Ninazo garama za kila siku ni 240000, mpak 300000
Hapana private sector inatoa huduma bora serikalini hakuna uamifu
Huyu msukuma akila yy pesa atasema kweli? Mmmhhh kakosa mgao tu huyu
Mh. Msukuma😂😂😂 ww ni mwanasiasa kwel, na unajua kuitumia ,piga hela tu ... Mpaka ukistaafu ubunge utakuwa boss😂😂😂😂😂piga
Hiki kichwa Sana aise.ngosha kweli kweli.
Shida huko serikalini tutatibiwa kwa wakati usituletee shida serikali idhibiti tuwe huru kutibiwa popote
Msukuma hakusema kuwa wanawake hawawezo, ila alizungumza neno mwanaume kwa kumaanisha "imara".Ndg spika ungemwacha amplifier hakuwa na nia ya kubagua wanawake
Ndo maana nakupendaga Msukuma kuwatetea watanzania bila kujali jimbo lako
Muhimu siyo watu kuwa na bima ya afya. Muhimu ni kumwezesha mwananchi kujikinga na maradhi na hasa yale yasiyoambukiza.Tuimarisbe elimu ya afya ambayo it's aidha kujikinga na maradhi. Lakini serikali iwe na mikakati ya kuboresha vipato vya wananchi kwa kuweka mipango endelevu ya kuwawezesh kuwa na vipato vya kujikimu na maisha yao.
Hii imeenda!!!
Tuongezeeni madaktari sasa kwa kuwa wataongezeka wakutibiwa wengi walikuwa wanakwepa gharama
Mbunge Musukuma kusema wabunge ndo wasemaji WA serikali Hiyo kauli is nonsensical Bunge linatakiwa kuisimamia serikali na siyo kuwa msemaji wa serikali
Mwnamke si mwanaume asiende mwezini. Tulia uchomwe sindano mwana wa mwenzio si ako cccm si chaddemaa bisha na iyo.
Kwamba wabunge ndo wasemaji wa serikalli?😂😂😂😂
Msukuma tunaomba mwaka 2025 uchukuwe fomu ya urais🙏
Kweli muache kwanza alitikise bunge 😂😂
Hapana hapo umekosea hospitali zenu sio nzur
Mhuuuu makubwa haya
Sasa muheshimiwa Tulia atakuja kukubaliana na wazungu, maana wazungu walianza hivi hivi, mpaka sasa wanawake kwa wenzetu nao wanajiita wanaume na wanaume wanajiita wanawake, Mwanaume atabakia kuwa Mwanaume.
Kupitisha siyokitekeleza namsije mkajidanganya mkajua hiyo itawasaidia kipindi chakampeni.
Anahuruma gani shetani Samia huyo
Ummy Mwalimu ni zaidi ya mchapa kazi ni mtu haswaaaa Mwanamke wa Shoka haswa huwaga namuelewa sana huyo bi mkubwa
Una akili nyingi sana.ongera kwa kusema ukweli.
Msukuma huaminiki unatetea wazanzibari watuuze bandari zetu ZOOTE wameuza unashangilia tuu huna msaada wowote fala wewe
Musukuma huboi
Mnazo story nyingi huko ndani wote ni giza tu
Mwanamke akojoe motoni kama mwanaume
Tupo busy na Makonda.
Ushauri wa bure. TBS wafanye kazi yao kuhakiki ubora wa bidhaa tunazotumia hasa vinywaji na vyakula. Tunaweza weka nguvu nyingi kwenye matibabu lakini chanzo tumekiacha na tukaendelea kupata wagonjwa zaidi.
Pentium miaka hii 2023😁😁😁
Bunge la wajanja😂😂😂
Ninkwelu kabisa na hilo swala unalipa leo baada ya miezi 3 ndio inaabza kufanya kazi kwa kweli huu ni upigaji sii halali ni dhulma pesa yeyu mnakuwa mnaizungusha mnatia faida kisha badae ndio inaanza kazi inaumiza hii
Beijing 😂
Brabrabra daily
Una akili nyingi sana!
Tuko bize Na makonda