UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 489

  • @johnriwa2854
    @johnriwa2854 6 місяців тому +1

    Very moving story ina mafundisho mengi. Dada shana you are exceptional 👏 umebarikiwa bring people together. Let be short
    1> pole sana kwa yote been through a lot.
    2> katika maisha Kuna watu huletwa na Mungu. This guy ndio alikuwa ame amekuwa your story yako.
    3. Katika maisha kila mtu ana bahati yake. Uswahili kwamba ni lazima na sisi tutokee hapo hapo ni ujinga na kubebeshana mizigo. Ndugu yako hawezi kukusahau mwache aendee na maisha yake mwombe mema. Kama sio mtu wa kusaidia sio mtu wa kusaidia.
    Sasa maisha yake yamechelewa kisa ndugu ambao wamekucha nganyia madawa 😮 at times tunashikana sana too much na sio maisha ni kurudishana nyuma. What a topic ya kujifunza uswahili tupa kule

  • @SheilaMaregesi
    @SheilaMaregesi 7 місяців тому +7

    Usipozaliwa familia ya kichawi ni baraka. Pole Chendwa

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 Рік тому +8

    Naanza kuamini kweli uchawi upo. Ashukuriwe MUNGU atupaye kushinda Asante dada Shena kwa hili

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому +2

    Ndugu wamemfelisha Sana maskin nayeye Kwasababu alikuwa mdogo akashindwa kujisimamia vyema na akawaamin ndugu zake lakin wakamfanyia husda na roho mbaya na wakamroga yeye na mzungu wake ... kiukwer waswahili wanaroho mbaya Sana..mungu atakulipia kipenzi..pole sana

  • @Alice_Kazaura
    @Alice_Kazaura 3 місяці тому +5

    Katika Haya maisha nimejifunza kitu, kabla mambo yako hayajafanikiwa sio vema kumshirikisha kila mtu. Huwezi kujua Nani mwema kwako na Nani mbaya kwako. Mara nyingi watu hawapendi kuona unafanikikiwa/ kupiga hatua/ kuwazidi. Binadamu hawana huruma, anayeweza kukuonea huruma ya kweli au kufurahia mafanikio yako kwa moyo mkunjufu ni wazazi wako.
    Mimi watu ni bora wanichukie kwa kutowashirikisha mambo yangu lakini nifanye kimya kimya, Mimi maranyingi sishirikishi progress zangu ila nita share Success tuu. Hapo hata kama kuna anaetaka kupinga hawawezi ila watakubali tuu.

  • @minabelle353
    @minabelle353 Рік тому +6

    Pole sana dear this should be a lesson kwake and others usiseme mazuri yako hata kwa ndugu yako ni bora lawama kuliko shari
    Mdogo mzungu wako akija au kufanya mipango ya kwenda kaa kimya paka ukishafika ndo useme..
    Maskini mtoto anapata shida na wewe pia na huyo babu yako hana anachofaidika

  • @paulinemakame9178
    @paulinemakame9178 Рік тому +6

    Nimeumia sana
    Yaani mnoooo
    Huyu dada Mungu amlinde kama mboni ya jicho,Binadamu nimekosa maneno ya kuongea juu yao hao ndugu yani hata sielewi nyie 🙌🙌🙌

  • @sadakimwaki9791
    @sadakimwaki9791 Рік тому +5

    Uchawi upo maisha bila kua na imani ya mungu ni changamoto pole sana binaadam hatuaminiki

  • @maissaranahigombeye6562
    @maissaranahigombeye6562 6 місяців тому +1

    Mungu amjalie maisha marefu dada huyo amuondoleye mitihani iyi ni Kama storie yangu mimi, nilijikuta nabakia mjane na mtoto wa miezi 9 ,ila alicho andika mwenyezi mungu akuna wakuki badilisha watachelewesha tu ila Allah atakamilisha ,Leo hi nipo Norwey na mzazi wangu ndugu zangu ,walio yafanya Leo mimi nakuwa msada kwao.Allah akupe maisha marefu.vita utaishinda❤❤

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому +10

    Nimejifunza kitu, adui yako ni yule unayekula naye sahani moja, familia wamemharibia kabisa huyu binti na mtoto wake. Na nafikiri hata huo ugonjwa wa mjerumani ni bomu lililorushwa na babu na sio kazi ya mungu. Tuzidi kumuombea baba ya mtoto mungu akatende muujiza hatimaye siku moja skaweze tena kuongea kwa kinywa chake na kuikuta familia yake.

  • @AminaRajabu-rv8ef
    @AminaRajabu-rv8ef Рік тому +7

    Hizi familia zinatutesa sana wakiona mtu na watu weupe tu basi mtu atakufanya chochote kile anachojisikia,pole sana dada angu

  • @tatumhogo5742
    @tatumhogo5742 Рік тому +4

    Tatizo letu sisi watu weusi hatuna upendo ukizingatia wazazi wote wametangulia mbele ya haki waliobaki ni shida sana kujaliana kwa dunia hii ya sasa mungu ampe roho ya subra na uvumilivu katika mapitio apitayo mungu ni mwema mwenyewe Rehema

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Рік тому +23

    Tabia ya wazungu wakipenda wanapenda ila yote aliokuwa anafanya tz alikuwa anawaambia familia na inaonekana katumia pesa nyingi sana uyo mzungu alikuwa namawazo yaliopitiliza ndugu zako wamechangia sehemu kubwa sana, mimi nilipata mzungu nikamtambulisha kwa mama kaka yangu alivyosikia ninamzungu akaja eti nisiondoke na mzungu mpaka atowe mali nilitowa maamuzi kuwa hakuna mali wala nini nikaondoka.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Рік тому +3

      Kuna family nyingine wanakuwa na tamaa nyingi sana

    • @edithamajura5566
      @edithamajura5566 Рік тому

      Inasiikitisha sn hii jamani. Familia nyingi zina watu wanateswa na ndugu zao wenye tabia za kichawi ila hawajulikani. Kusali na kupata watu wa Mungu wa kweli, inasaidia sana kuwabaini wanga ndani ya familia ila inatakiwa kuwa na kifua maana unaweza kuzimia maana unakuwa hauwezi kutarajia.
      Mungu awalaani, ila tulishaambiwa katika kitabu cha Kutoka 22:18 Usiache mwanamke mchawi kuishi... Ni kuwaua kwa kutumia neno la Mungu tu shenzi kabisa.

    • @nanguniMtaita-hz4zt
      @nanguniMtaita-hz4zt 7 місяців тому

      Dada wewe Mungu awabariki na huyo mzee wako apone mufurahie maisha yaliyobaki. Mume bila shaks alichezwa na hawo jamaa zake, Wabongo.

  • @blessabbykyando2496
    @blessabbykyando2496 11 місяців тому +2

    Jaman haya mambo yapo sana kwenye familia nyingi hata mm yalinikuta baada ya kuonekana nimeolewa na familia yenye uwezo. Ila baada ya kuokoka Mungu alinisaidia sana maana walifunga tumbo nisizae na pia ndoa yangu ivunjike. Ndoa yangu ilivunjika ila Mungu alinisaidia kabla sijaachana na mume wangu nikapata mtoto. Mungu mwema dada usimwache Mungu

  • @SophiaAlice-xe3xi
    @SophiaAlice-xe3xi Рік тому +6

    God is the great physician and the miracle worker. God has the final answer! Receive restoration with compensation 🙏

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 Рік тому +1

    My dya pole sana. Ndg zetu ni mashetani sana. Ila tumuombe sana Mungu roho mbaya za kichawi ziitoke familia

  • @annamussa185
    @annamussa185 Рік тому +5

    Pole sana Mungu wako Yuko hai atakutetea,ila jifunze usiwape ndugu nafasi kubwa kwenye maisha yako

  • @RebecaIsdory
    @RebecaIsdory Місяць тому

    Daaaaaa hii story inaumiza sanaa Mungu akutetea na kukuvusha kwenye hicho kipindi kigum😢😢😢😢

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому +8

    Shendwa usithubutu tena kuwashirikisha hao ndugu zako hata hali inavyoendelea ya baba mtoto wako usiwafahamishe, tena uwaeleze kuwa huna mawasiliano nao tena. Na akipona ikibidi kwenda sepa kimya kimya achana nao hso wanga hata huyo kaka yako usimfahamishe cho chote.

  • @sarahsesa8851
    @sarahsesa8851 Рік тому +3

    Mungu akutie nguvu dada ukipata mzungu usiingize family zima zima chukuwa maamzi enda ukaishi nae hata kama ajatoa mahari mbona wambogo mnaishi nao bila mahar miaka namiaka namateso juu anakupa

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 10 місяців тому +4

    Jamani niwambie watanzania unapotaka kusafiri usiwambie ndugu wala marafiki uchawi upo

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 Рік тому +3

    Whuue Ogopa Binadamu kwa kweli ,He Will be Well in the Mighty Name Of Jesus Christ 🙏🏿🙏🏿😢😢😢❤️❤️🇰🇪

  • @JACKLINEPETER-t9p
    @JACKLINEPETER-t9p 3 місяці тому

    Pole sana ndungu.Hzi family sa nyingine sio za kuamini sana.pengine ni family yako ndo chanzo ca yte hayo.Mungu awe nawe. na ukifanya mambo yko usiwashirikishe. Yamenikuta na mm nimelia hadi nishajinyamazia zangu tu.

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 6 місяців тому +1

    dada wafrica wivu ,uchawi upo sana kwa hawa ndugu zetu,ukiondoka tena usiage mutu,wenzako hata hatuagagi mtu ,mshike huyu Mungu dada..ndio mtetezi wako,dada ndugu wabaya mdogo wangu ,yametukuta hayo ,ila Mungu arituvusha , Mungu akutetee dada na baba watoto wako, mdumu sana kwa maombi, damu ya Yesu wanazareti iwafunike ,

  • @eunicepaul2435
    @eunicepaul2435 Рік тому +3

    Huyo Dada Anachosema Ni ukweliii kabisa Africans family’s ni shida Aisee 😢😢😢😢😢😢

  • @marynakei2621
    @marynakei2621 3 місяці тому

    Pole chendwa
    Kilichompata mpenzai wako
    Ni kile kilichokupata omba Kwa bidii bila kukata tamaa

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 7 місяців тому

    Pole sana Chendwa pole asante sana Shena kwa kwa hii story atafutiwe namna aende kwa mume wake.

  • @josephmilandononi1096
    @josephmilandononi1096 Рік тому +1

    Pole Sana Mungu,anakwenda kufànya maajabu ya uponyaji juu ya mzazi mwenzako Kwa mamlaka aliyotupa Mungu uponyaji upo juu Yako na juu y mzazi mwenzako.sema Amina.

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Рік тому +7

    Adui mkubwa ni wale wa nyumbani kwako. What's a sad story. Walimfanya kitega uchumi. Mungu amtetee. Ikiwezekana ahame tu kwenye hiyo familia hao sio ndugu kabisa.

  • @MARYLembeli
    @MARYLembeli 7 місяців тому +1

    Pole sana shendwa . Endelea na maombi kumuombea ķuti atakaa sawa. Pengine akiona mtito wake na wewe atapona

  • @agnesslema8087
    @agnesslema8087 Рік тому +4

    Pole sana shendwa anaekuchoma ni wakaribu yako mungu akupganie.

  • @pendoclement6672
    @pendoclement6672 Рік тому +8

    I saw this lady at karambez with her son and the other two ladies. It was her birthday day if I remember well. Two things l noticed one she was devoted mother to her son but secondly one plus one wasn't two.Undugu (siblings relationship) is only good when we treat each other as human n red flags isn't only for lovers but also ndugu.she still very young to pass through the worst but she has God n l hope she is surrounding with real people whom she can count on.sending ❤ and prayers to her n the son,all shall pass.

  • @judithawadhi3510
    @judithawadhi3510 Рік тому +3

    Pole sana mdogo wetu
    Ndo mana siku hizi watu kusaidia ndugu hakuna tena

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 10 місяців тому

    Pole sana Dada!Shida ya watu wetu ni wivu. badala ya kutumia mafanikio ya mmoja kwenda mbele.

  • @NadhimaAlRiyami
    @NadhimaAlRiyami 6 місяців тому

    Inshaallah mola atamnyanyuwa mumeo na mtaanza maisha mapya na mtoto wenu. Mola hamtupi kiumbe chake.

  • @mohammedally9236
    @mohammedally9236 2 місяці тому

    Pole sana dada, utafanikiwa tu kwa uwezo wa Mungu

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji49 6 місяців тому

    Very sad story wallah😢 Mungu ampe nguvu na amsimamie yeye na mtoto wake pole sana beautiful

  • @SabrinaMFuru
    @SabrinaMFuru Рік тому +3

    Pole sana dada angu mungu akutie nguvu hata hili litapita ucjl uso wa mungu ukatembee pamoja na ww na mwanao mzungu wako❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Рік тому

      Amen kwake
      Tumuombee mwenzetu

    • @kisalaTV
      @kisalaTV Рік тому

      Pole sana dada hivyo familia yako inaroho ya kimskini sana , yani wanaona wivu mpaka wana kupa magojwa , khaaaa
      Pole sana dada omba mungu sana

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 Рік тому +6

    Aisee jamani, pole sana dada kwa uliyoyapitia ni mengi na mazito sana, story inahuzunisha mno...nimeumia dah😢 Mungu aendelee kukutia nguvu mpendwa. Lakini ulikosea kuwashirikisha watu wa familia yako ilihali ulishawajua ni wachawi😢

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 Рік тому +1

    pole dada Shedwa aende kwa padre RIMISHO yupo chuo kikuu mliman amesaidia watu wengi aende aombewe mambo yatakaa saw

  • @margarethshirima5654
    @margarethshirima5654 Рік тому +3

    Endelea kuomba, pia nenda ubalozi wa Austria na mtoto. Waombe mtoto akamwone baba yake. Tumwamini Mungu, ukiwaelezea watawapa nafasi ya kwenda kumwona. Tuachane na haki nyingine kwanza. Ni muhimu wakaonane kwanza. Pole sana binti yetu

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 9 місяців тому

      Yes vile mtoto ni wao watafanya DNA kila kitu kitakua sawa.

  • @jeniphersemagongo8328
    @jeniphersemagongo8328 Рік тому +18

    Don't share your plans to anyone Don't trust people people are evil

  • @MissKaliz
    @MissKaliz Рік тому +4

    Baba wa Mbinguni aka tende jambo kwa binti huyu na mtoto wake MAANA Yeye ni Baba asiye shindwa 🙏🏾 , PIA aka mrudishie furaha na kutimiza yale maombi yake makuu🙏🏾.
    Praying for you Chendwa, hugs ❤️❤️

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Рік тому

      Amen 🙏

    • @Eve200Allawi-hg6of
      @Eve200Allawi-hg6of Рік тому

      Mpaka nimelia Sanaa namuombea kwa Mungu akae sawa

    • @leonardmary83
      @leonardmary83 Рік тому +1

      Inasikitisha sana ,binadamu kutokuwa na Hutu ,Mungu ni mweza Wa yote furaha itarudi maradufu.Yeremia 33:-3 niite nami nitakuitikia nitakuonesha mambo makubwa magumu usiyoyajua.Ameen

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Рік тому +4

    Nawe mjinga Sana unheondoka Kunaa mambo ya kuhusisha familia Ila sio hayo mie dada angu alitilia sumu kbs eti mdogo wangu mie Niko kivyangu na watu ukiwaeleza watakuona mswahili nyokoo hayajakuta mie dada yangu kabisa tumbo moja

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 11 місяців тому +1

      Poleee

    • @farhannahomary5505
      @farhannahomary5505 11 місяців тому

      @@LucyKapinga-fg4dk Asante mwaya hii dunia hii we acha kabisa Kuna watu tunapitia maisha ambayo watu Wala wasikuchukie .haya kikuta wewe shukuru Ila hkn kitu kinachooumiza km kutendwa na ndugu huwezi kueleweka Ila daah

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 Рік тому +7

    Hii story hadi nimelia jamani😢 pole dada Mungu akusaidie, amsaidie na mzazi mwenzio apone kabisa!

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w Рік тому +2

    Mungu atakufanyia wepesi,kila jaribu Lina mlango wa kutokea,Kuna siku usiyotegemea atakufanikisha maana Mungu yeye hachelewi Wala hawai na tena hana choyo adui zako atawaaibisha

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 3 місяці тому

    Dada umefanyiwa uswahili, kaka zako kaa nao vizuri, wamekutumia kama kitega uchumi

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 6 місяців тому

    Jamani, mama yako na baba yako wakiondoka duniani, huna familia. Baba yako akiondoka kwenye maisha ya mama yako , pia sio baba yako tena. Usingewashirikisha hao familia, ungeondoka kimyakimya.
    Pole sana.

  • @faridafakir4310
    @faridafakir4310 5 місяців тому

    Pole sana mdogo wangu Allah akupe nguvu na subra kwa sababu ya Mtoto wako Aamee 😢

  • @evamoshi6980
    @evamoshi6980 11 місяців тому +1

    Hawa ndugu wataenda kujibu nini kesho kwa Mungu. Mbona sio waoga.
    Mungu wa mbinguni mpiganie mama na mtoto wake. Kashushe uponyaji wa ajabu kwa baba wa mtoto.

  • @hellenyyusuph
    @hellenyyusuph Рік тому +2

    Mungu aponye tu jamani mungu yupo nimelia Kwa ajili Yako Amen na hakika utamuona tu mungu aponye huyu baba

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 Рік тому

    Pole sana sada Mungu akuondokee ukiwa wote akupe furaha AMINA

  • @daynessmbaga5885
    @daynessmbaga5885 6 місяців тому +1

    Tunampa pole sana, naomba contact yake tuweze kujukia haki na kumfariji.

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog Рік тому +2

    Omg😢😢. Mungu akupiganie dada yangu. Mungu akapigane vita yako yote.
    Shetani mbaya sana. Ndugu zako wana roho mbaya na ni wachawi. They had something to do with it. Vitu vizuri kama hiv you keep it to yourself. Adui akijua your next move ana jua pa kukuattack.

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 Рік тому

    Kuna lakujifunza hapa , chendwa ulivyongundua ndugu zako ni wapigaji juu ya mzaz mwenzio, usingewaambia kitu kuhusu kwenda huko wala taarifa zako zozote na angekuja huyo mzungu wako kwania kukuchukua ungeondokea mwanza kwa yule bimkubwa na hata wangefunga ndoa yake ya simple sana akasepea hukohuko mwanza na angefika huko akaendelea na maisha yake kimyaaa

  • @tatumzelela5515
    @tatumzelela5515 5 місяців тому

    Daaah nimeumia sana hizi familia zetu pamoja na ndugu zetu mungu atusaidie tunapokuwa tunapambana sio wote wanapenda imenigusa sana hii story pia nimejifunza kitu unapokuwa unataka kufanya maamuzi juu ya jambo furani jiangalie wewe kwanza ndugu watafuata pia huenda alishindwa kufanya maamuzi kwasababu alishakuwa amelogwa hakujua nini chakufanya alikuwa anapelekwa kama upepo daaah 😢

  • @missbena9452
    @missbena9452 Рік тому +2

    Pole sana shendwa sad sad ndugu shikamooni🙌 mungu akutie nguvu

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 Рік тому +2

    Duhhh pole sanaaa
    Hapo ndio umuhimu wa kuwa na maamuzi binafsi kuliko kutegemea ndugu

    • @nellyrukundo8718
      @nellyrukundo8718 6 місяців тому

      Ni kweli atamimi yalinikuta mambo kamaayo sikuwa namaamuzi binafsi😌.

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 Рік тому +1

    Pole tunakuombea. Mungu hatakuondolea yote. Amen. ❤❤❤❤

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog Рік тому +3

    Jesu😢😢😢😢 . Mama mmoja baba mmoja. You can expect worse from anyone

  • @berthatz
    @berthatz Рік тому +5

    Dah!Familia hizi ni shida..Adui huwa hatoki mbali kwakweli..Mungu awafanyie wepesi kwa dada yetu huyu..😨

  • @WinfridaNdege
    @WinfridaNdege Рік тому +2

    Mbona Kama vitiligo jmn, sio kila kitu kurogwa, pole sana Chendwa, familia yako ni mfano wa familia nyingi sana Tanzania

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 Рік тому

      Kuna watu. Wanarogezewa magonjwa ili mjue hii vitgo kumbe sio

    • @WinfridaNdege
      @WinfridaNdege Рік тому

      @@anastaziamathias8861 kama unaamini uchawi hata magonjwa ya kawaida utachelewa kutibiwa, hayo ni maoni yangu I’ll not go back and forth with this

  • @muka7354
    @muka7354 Рік тому +2

    Jamani pole sana. Kama inawezekana arudi part 2 kama Hani 🙏🏾😕

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 Рік тому +3

    🤔 very sad story, huyo kaka yake alikuwa tapeli tu. Mungu ampiganie huyo mme wake. Kama ni ischemic stroke Mungu atamsaidia kwake yote yawezekana.

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 Рік тому +2

    Nimeamua ku like hii post hata kabla sijaiskiliza coz I'm sure itakua nzuri sanaaa big up Shena

  • @saysophyfarm1780
    @saysophyfarm1780 Рік тому +1

    Shena napenda nywele zako, it's so beautiful ❤️

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому +1

    Naitamanu no yk nikuombee kiopiga hio roho iliyotuma kuharibu maisha yk Kwa jina la Yesu

  • @HopeMasika-es3ik
    @HopeMasika-es3ik 7 місяців тому

    Hii stori inaumiza sana Mungu mpe huyu dada moyo wa uvumilivu

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Рік тому +1

    kuna story zinaumiza sana so sad Mungu atafanya jambo kubwa sana kwenye maisha yake

  • @annamussa185
    @annamussa185 Рік тому +4

    Mpaka nimelia jamani lakini Mungu atafanya Nina Imani Mungu atafanya lakini Kaa mbali na family yako si watu wazuri watakumaliza na Kinga yako na siraha yako ni maombi tu Mungu hajawahi kushindwa jambo kama amefanya kwa wengine na kwako atafanya kwa Imani yote yanawezekana,Tulio olewa na wazungu tunaelewa vzr anachoongea huyu Dada📖❤️🙏

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Рік тому +1

    Inasikitisha sana 😢😢😢pole sana my Mungu yupo pamoja nawe

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 6 місяців тому

    Pole sana chendwa mungu atakusimamia jamani magumu ni mengi umeyapitia na usiache kumuombea huyo mzungu

  • @olivianiwagila3109
    @olivianiwagila3109 Рік тому +3

    Tutamuombea shendwa..Mungu atamvusha hapo

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 Рік тому

    Doooh ndugu wachawi kweli wameweza kukufanyia hivo pole sana.😊

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому +1

    Pole sana sana inabidi haende ubalozi wa austra apste msaada wajua pia mtu haki yake wasimzulumu

  • @ednaednamillanzinia2826
    @ednaednamillanzinia2826 Рік тому +3

    Hii story kwa kweli mm pia imeniuzunisha,asiache kuomba ,Mungu ashindwi kitu,,aombe asichoke akiweza kufunga afunge na kuomba,,mm nilikua siachi maombi mpaka sasa nipo Finland, naomba nikijisikia kufunga nafunga na kusali pia..Asiache kuomba ilo

  • @lindamassawe2137
    @lindamassawe2137 3 місяці тому

    Damu ya Yesu ikafanye uponyaji kwa baba mtoto wa Shendwa. Amen

  • @olympiamtenga8761
    @olympiamtenga8761 Рік тому +1

    Pole sana dear, hakuna lisilowezekana kwa Mungu dear, Mungu azidi kukuimarisha

  • @fatumawario9281
    @fatumawario9281 Рік тому

    Pole sana dada mwenyezimungu akufanyie mambo rahisi.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Рік тому

    Mungu ATAKUSAIDIA atamnyanyuwa na atakuwa Kama zamani mtaishi pamoja. Amin🎉 kweli huyo kijana ni MUUGWANA SANA na nimzungu huyo.

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 8 місяців тому

    😢😢😢so sweet and lovely story❤❤❤

  • @husnakaka8949
    @husnakaka8949 Рік тому

    What a sad story aki nimelia sana mungu akusaidie mdogo wangu

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 Рік тому +1

    Pole shendwa wabaya ni ndug zako na hao ndo wanakuchezea wewe pamoja na huyo baba inauma sana jmn

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Рік тому +1

    Pole sana Shendwa, Mungu akutetee na mtoto na amponye Baba mtoto, kweli kikulacho kinguoni mwako ukute hata Kurtz haohao ndugu wamempiga gonjwa 😢😢kaa nao mbali hao pia usichoke mawasiliano na ndugu wa Kurtz ili mwanao asipoteze nduguze.

  • @TaratibuKikonyo-zo9fe
    @TaratibuKikonyo-zo9fe Рік тому +3

    Pole sana dada, yaani ni kama hadithi kumbe ni uhalisia

  • @CynthiaOtieno-yj2ym
    @CynthiaOtieno-yj2ym 5 місяців тому

    Pole sana dadangu usife moyo mungu yupo

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA Рік тому +2

    😢😢nimelia jamani uwii....haya mambo yapo jamani🙌nilipata mchumba sweden tulikuwa tunawasiliana poa tu ma mwanangu alimpenda ni mtanzania anaishi huko eeh ghaflaa 😢tuu yaani ananitxt "sorry endelea na maisha yako" nyie wanadam 🙌

  • @avelinafurahaoisso5491
    @avelinafurahaoisso5491 Рік тому +3

    Mungu amsaidie jamani aendee kumwombea asimkatie tamaaa

  • @SarahKherdin
    @SarahKherdin 10 місяців тому

    Allah akupe subra so sad mungu atakupa furaha yako km mwanzo Aameen

  • @pamelaouma6400
    @pamelaouma6400 Рік тому +5

    Dada acha kulia Anza kuamini fuatilia UA-cam arise and shine kila saa tatu usiku shida zako hizo zimeisha tena Ni ndogo Sana,hatujamaliza live imekatika cjui mume wako anaendeleaje atapona haraka tu utakuja kunishukuru hapa.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Рік тому +2

      🙏🙏

    • @ednajacob-b4t
      @ednajacob-b4t Рік тому +1

      Exactly Haya mauzauza, dada chendwa nenda Kwa mwamposa tena omba appointment Nae ..Mungu atawafungua hivyo vifungo...hayo Ni mazingaombwe

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Рік тому

      Kwa kweli asimame na maombi atafanikiwa

    • @ChikoMathias
      @ChikoMathias Рік тому

      Pole binti hizi familia za kiafrica. Acha mungu akutetea

    • @ChikoMathias
      @ChikoMathias Рік тому

      Nipe namb ya whatsap nikupigie notake ushauri kwako

  • @veronicathomas89
    @veronicathomas89 3 місяці тому

    Wangapi wapo hapa Leo baada ya ushuhuda wa Chendwa kweli MUNGU mkuu🙏

  • @fridamollel1568
    @fridamollel1568 4 місяці тому

    Ooh lord this is too painful jamani. Aisee uchawi upo, ni kusimama na Mungu.

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 Рік тому

    pole sana. sikuhizi ukiwa na mipango yako hakuna kusema. maana ngumu kujua adui yuko wapi

  • @DevotaBagambe
    @DevotaBagambe 7 місяців тому

    Pole dada Mungu atafanya wepes

  • @joycehagman3086
    @joycehagman3086 Рік тому

    Good blessings, mungu atakusaida mama

  • @hawahawa4288
    @hawahawa4288 Рік тому

    Pole sana mdongo wangu mungu akupe subira yaani nimeumia sana njamani

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому +1

    Kweli Daktari sio Mungu,Mwite Mungu akutetee

  • @fridamollel1568
    @fridamollel1568 4 місяці тому

    Mungu amponye huyo baba in Jesus name, naamini iko siku atajoin familia yake,😢

  • @isaacmusau5380
    @isaacmusau5380 3 місяці тому

    Pole jamani MUNGU yupo

  • @Selestinabenedict
    @Selestinabenedict Рік тому

    Pole sana lakini usikate tamaa kwani Mungu aliye kuponya atamponya na baba mtoto wako kwani yamkini wanamfuatilia, mtafute yule mtumishi aliyekuombea mshirikkishe atakusaidia.