KILA UNAPOJICHUA MAMBO HAYA 5 HUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA KIROHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 694

  • @Gujay7
    @Gujay7 7 місяців тому +73

    eeh mwenyezi mungu nisaidie nisamehe Sana kwahio dhambi ya kujichua Leo nakiri nakuomba nisameh sanaaa mungu nipatie tena UWEzo wangu 🙏🙏🙏🙏

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 7 місяців тому +50

    Mungu aniokoe kwa uweza wake na kunisamehe, pale nilipomtumikia shetani kwa kosa hili, na kukosea Mungu wangu, leo natubu dhambi hii

  • @CharsPeter
    @CharsPeter 7 місяців тому +15

    Ubarikiwe brother mungu akubariki sana na elimu ulio tupa mungu akubariki sana brother

  • @StevenSane-g5e
    @StevenSane-g5e 7 місяців тому +49

    Mungu atusameh wote tunao pitia hili janga..na tumludie mungu wetu😢.akika tumemkosea sana

  • @IsayaPeter-ew7gp
    @IsayaPeter-ew7gp 5 місяців тому +26

    Mungu naomba unisamehe kwa hii dhambi naomba unibariki na kuniepusha tena kurudia dhambi hii naomba rehema yako ee baba

    • @mayeka66
      @mayeka66 3 місяці тому

      🙏🙏🙏

  • @jeilanikhamisi
    @jeilanikhamisi 8 місяців тому +16

    ujumbe umefika na hakika tumejifunza mashallah ujumbe mzuri sana kaka hakika ya wewe umeongea ukweli kabisa Allah akubariki

  • @noahotieno4291
    @noahotieno4291 7 місяців тому +6

    Thank you so much for this an amazing teaching coz it has really changed my mindset, pliz Dear God,am a sinner & I've sinned against you for many years my Lord, Please Forgive Me Father 🙏👏🙏😓😢😥😓

  • @Salma-uz4gl
    @Salma-uz4gl 6 місяців тому +20

    Daaa shukran sana brother me mwenyewe nimefanya sana 2 eee ya rabbi nisamehe mie

  • @linetcharo765
    @linetcharo765 20 днів тому +1

    Amen barikiwa mtumishi wa mungu kwa neno la ukombozi hili ulopeperusha hewani.Hili neno mungu alitumie kutoka watu walinaswa na kunasika katika maovu

  • @Waziri77
    @Waziri77 7 місяців тому +14

    Barikiwa sana, nimebadilika toka leo Ee Mungu mwenyezi unisaidie na uniongoze

  • @ValenceKazoba
    @ValenceKazoba 7 місяців тому +6

    Kweli Asante kutukumbusha na Mungu akupe ufahamu ili uzidi kutupa mwelekeo muzuri Amina ...

  • @kingsahlawin317
    @kingsahlawin317 2 місяці тому +3

    Kaka shukran kwa advice nzry mashaallah nimejifunza vitu vingi saa hii saa hii nimeelewa kwa nn nguvu za kiroho sina nilikuwa niko nazo hizo nguvu naona kitu ambacho kitakuja tokea kisha naanza kusema nishawahi kiota hichi kitendo anyway bro shukran

  • @Nadia-sz1ig
    @Nadia-sz1ig 7 місяців тому +7

    Subhana Allah nikweli mane no yako shukran Sana Allah atupe subra

  • @LenatusPosiano-hi7tk
    @LenatusPosiano-hi7tk 7 місяців тому +19

    Ehh mungu nisaidie rudisha kila nilichopoteza katika maisha yangu mungu naomba nisaodie

  • @AlexKaguo-i9g
    @AlexKaguo-i9g 2 місяці тому +7

    Nimefanya hii dhambi kwa muda mrefu sasa ee mwenyezi mungu nisamehe na ninaomba unipe nguvu ya maono ya kiroho kama ilivo kuwa hapo awali, nimekuwa mhanga wa hili na nimeona wazi kuwa uwezo wangu kiroho umeshuka kwa kiasi kikubwa sana, naomba mungu uniwie radhi mimi na kizazi changu na unisamehe kabisa mimi.

  • @barakanyuha
    @barakanyuha 2 місяці тому +5

    Ee MUNGU unirehemu Mimi mwenye dhambi, kwa maana nimekutenda dhambi hii. tangu sasa ntashinda kwa msaada wako. Amen

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 7 місяців тому +45

    Nia ya mwili ni mauti , bila kumkubali Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako ili akusaidie kuuweza mwili wako kwa kuithibiti sheria ya dhambi na mauti kwenye mwili kwa sheria ya Roho wa uzima, huwezi kamwe kuacha matendo ya mwili ambayo ni pamoja na kujichua. Warumi 8:1-2

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 7 місяців тому +5

    Mungu akupe .Maisha marefu my brother asante umenifungua nilikuwa sijui mazara yake.. Binafsi namshukuru Mungu ninamika 23 nasijawahi kufanya ujinga kama huo. MUNGU AKUBARIKI SANA.

  • @islamabdallah414
    @islamabdallah414 7 місяців тому +7

    😂 Kweli kaka hata mimi pia napata shida nikitaka kuacha asante sana kwa mafunzo

  • @DickSon-g4h
    @DickSon-g4h 7 місяців тому +146

    Mungu ninaomba unisamehe kwa dhambi hii chafu ambayo niliifanya kwa muda mrefu mungu nisaidie niweze kuacha 😢😢😢😢😢 na ninaomba uwwabariki wengine ambao ni kama mm na utusaidie 2ache

  • @AndasonJoas-th8xw
    @AndasonJoas-th8xw 5 місяців тому +3

    Mungu naomba unirehemu unitakase sawasawa na mapenzi yako uniepushe na mambo hayo kuanzia leo sito rudia katika jina la Yesu nijaze roho wa maombi 🙏🙏🙏

  • @MeryElias-l9q
    @MeryElias-l9q 4 місяці тому +8

    Eee Mungu nakuja mbela zako naomba unisamehe Ee mwokizi 🙏🙏

  • @Manadriller-m2e
    @Manadriller-m2e 6 місяців тому +18

    Mungu nipe mawazo mazuri nisifikirie maovu kama kujichua nisamehe sana kwakufanya mambo haya😢😢😢❤😭😭🙏🙏

  • @neemaludovick
    @neemaludovick 7 місяців тому +10

    Ahsante sana ndugu mm pia no muhanga WA hii dhambi vehova baba anisamehe,na snipe nguvu ya kuweza kuacha kabisa

  • @yonaKipoi
    @yonaKipoi 7 місяців тому +3

    Asante sana Mungu akubariki sana na sisi pia tuna kupenda sana

  • @HaronOrioki
    @HaronOrioki 3 місяці тому +8

    Kakangu umenihubiria vizuri Mungu akubariki

    • @HaronOrioki
      @HaronOrioki 3 місяці тому +1

      Kweli ndugu ubarikiwe saaana saana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @IbrahimuNyamsera
    @IbrahimuNyamsera 2 місяці тому +4

    Naomba ee baba nisamehe naomba unijalie nataka katika familia yangu na ukion wetu ee Mungu

  • @alphoncymatara5108
    @alphoncymatara5108 3 місяці тому +3

    Eee mwenyezi Mungu nakuomba unisamehe dhambi hii na kunipa mwisho mema juu ya maisha yangu na kwa familia yangu kwa ujumla

  • @PirfaImanipirfa-vj3oz
    @PirfaImanipirfa-vj3oz 5 місяців тому +9

    Daah inaumiza sana bro yaa Allah qalallahu uta-allah tujalie mwisho mwema 😭🤲☝️🕋😭😭😭

  • @netstudiofilms8874
    @netstudiofilms8874 Місяць тому +1

    Asante sana kwa ushauli huu. Mungu akubariki sana ubarikiwe

  • @antonynziokawambua
    @antonynziokawambua 15 днів тому

    Wah asante kwa haya mafuzo sikujua .. nmekuwa nkifanya hivi kwa muda mrefu ,naomba Mungu nisamehe kwa hilo dhambi.

  • @nakimanakhadija4329
    @nakimanakhadija4329 7 місяців тому +47

    Astaghafirullah 😢 Ya Allah nimekiri Leo makosa yako nilikuwa nayafanya sijuw madhara yake😭😭ya ALLAH nisamehee makosa yangu Na kuanzia Leo naanza maisha yangu upya😢😢😢😭😭😭

    • @ninjaisma7983
      @ninjaisma7983 7 місяців тому

      Unadhani ni rahisi kuacha

    • @saidsidaz
      @saidsidaz 7 місяців тому +3

      Kuanika dhambi yako hapa ni kosa jingine tubia mwenyewe basina mwengine kujua itapendeza sana

    • @wasongachaplain3800
      @wasongachaplain3800 7 місяців тому +1

      ​@@ninjaisma7983 Hakuna kisichowezekana. Tuko na wenye wako na ushuhuda baada ya kuachana nayo

    • @victorburser1717
      @victorburser1717 5 місяців тому

      Wewe

    • @mupenzifaithful5432
      @mupenzifaithful5432 4 місяці тому

      Wewe ndio mutu umenipa faida nilikua nadjiwaza saana Leo nimeelewa vizuri

  • @constantinmoita6855
    @constantinmoita6855 7 місяців тому +2

    Ubarikiwe Mutumishi n'a Mungu aku funuliye ya zaidi Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @meshakawafula2923
    @meshakawafula2923 7 місяців тому +4

    najuta sana kwa kosa langu, Mimi , nimekua nikiteleza huu uovu. mungu anisamehe, mungu baba unisamehe.

  • @PetroRobert-y5z
    @PetroRobert-y5z 7 місяців тому +5

    Emwenyezi mungu nisamee mm mkosefu maana kujichuwa kwangu nilikuwa naona Jambo la kawaida tu naomba uniondolee mikosi ya aina yeyote ile nilionayo na iliombereyangu inayo ziba mafanikio yangu.amina.

  • @Hidaya-os1pg
    @Hidaya-os1pg 6 місяців тому +11

    Mungu nisamehe mm kwa dhamb hii naomba unisaidie kwa kuniongiza na kuniepusha na janga hili ya allah

  • @Samuel-m7e
    @Samuel-m7e 4 місяці тому

    Asante sana ndugu, nimefanya kwa zaidi ya miaka 15, nimejaribu kuacha najipata nimetenda, naamini sitorudia tena, Ee Mungu nisaidie🙏

  • @AndasonJoas-th8xw
    @AndasonJoas-th8xw 5 місяців тому

    Amen napokea kufunguliwa kujiondoa na mambo hayo Mungu naomba unirehemu unijaze roho wako mtakatifu

  • @siscoministry8400
    @siscoministry8400 7 місяців тому +8

    Nmewahi kusoma Novel moja inaitwa TEACHER CHUKS, opeyemi wrote it ... siri kubwa sana hii😢😢😢 MUNGU TUREHEMU, MUNGU NIREHEMU .

  • @PascalLukungu
    @PascalLukungu 7 місяців тому +4

    MUNGU azidi kunipa wepesi hakika nimejifunza kitu muhimu sana EE MUNGU unisaidie na unisamehe mm mkosefu na unipe maishaa mema na mepec

  • @netstudiofilms8874
    @netstudiofilms8874 Місяць тому

    Mungu anisamehe kwa dhambi izi.asante Mungu kwa knisamehe madhambi

  • @Nahjojo2016
    @Nahjojo2016 7 місяців тому +1

    Asante kwa nakala hii. Tafadhari sana ndugu zangu tusifanye haya, ni chukizo kwa MUNGU wetu

  • @Footbal-lt8nc
    @Footbal-lt8nc 7 місяців тому +2

    Asante sana Mungu aku jalie mema

  • @renaldcosma5551
    @renaldcosma5551 3 місяці тому +3

    Mungu atusamehe maan wengi tumeshayafanya

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 8 місяців тому +4

    Ni kweli kabiza mutumishi wa mungu unasema ukweli kabiza ❤❤

  • @JimmyMadalitso
    @JimmyMadalitso 4 місяці тому +2

    daaaaaah kaka angu ni bora umeniambia mapema mimi nime athirika kwa miaka minne tu mungu azidi kukusaidia uzidi kuielimisha jamii

  • @Ksjabbkdjsj
    @Ksjabbkdjsj 5 місяців тому

    Kaka Ubarikiwe Sana, Sina la kusema ila Namshkuru Mungu Aliekueka apa leo, Ubarikiwe Sana Naomba,Maana Kazi yako ni njema sana🙏

  • @KendyEmmanuel-k2p
    @KendyEmmanuel-k2p 3 місяці тому

    Eeebabaaaa Mungu ulie na nguvu kuu na mamlka kwakila kiumbe nisamee zambi ya kujichezea nisamee damu ya Yesu inisafishe na popote shahawa zangu ute ute wangu popote vipopelekwa kiuchawi na tuma moto ucome kila kitu na Naondoa laana hio kwa wanangu wasipate lana yoyote kwajiliangu awu kwajili ya ukooo wangu katika jina la Yesu amen

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 8 місяців тому +6

    ASANTE KAKA HAKIKA Nimejifunza, Mwenyezi MUNGU atanisaidia Nitakua sawa naamini🙏🏼

  • @mohtalanta
    @mohtalanta 8 місяців тому +4

    Mungu akupe maisha marefu Sana hakika wewe nimkombozi!!

  • @BongoleSaidi
    @BongoleSaidi 2 місяці тому +1

    Mwenyezi MUNGU atusamehe, hata atuondolee dhambi zetu, sisi tulio wakosaji ❤😢Amen

  • @Espoir-u9f
    @Espoir-u9f 2 місяці тому +1

    Eemungu wangu naomba unisamehe mungu kuwa kinga na mlinzi wa maisha yangu maana mganga mkuu ni wewe na oma rehema yako bwana

  • @ElisanteNkuba
    @ElisanteNkuba Місяць тому

    Funzo zuri naapa nitakifanyoa kazi nakufurahisha muumba wetu amen

  • @stephanojohn378
    @stephanojohn378 7 місяців тому

    Mungu ni mwema atusamehe Sana thanks my dear Kwa ujumbe wako

  • @AmisiAbdi-um9xq
    @AmisiAbdi-um9xq 7 місяців тому +2

    Mungu wangu nisame sitarudi tena kujichuwa mungu wng sitarudiya tena mungu wng nisame mungu wangu wangu sikukuwa najuwa najuwa ss nisame sana mungu wangu

  • @Paulolugimba09
    @Paulolugimba09 7 місяців тому +5

    Good lesson bro,,,,..

  • @ibrahimabdallah7639
    @ibrahimabdallah7639 6 місяців тому +10

    Asante nimeacha kwa uwezo wa mungu

  • @VictoriaMazagwa
    @VictoriaMazagwa 2 місяці тому +1

    asantee sana kwa ujumbe huu
    Ubarikiwe sanaaa

  • @KanikiClaude
    @KanikiClaude 8 місяців тому +6

    Mungu atusamehe kwa sababu tumemokoseya mungu kabisa aturehemu

  • @chrislionel2056
    @chrislionel2056 4 місяці тому +3

    E mungu wangu nisamehe na nisaidie nirudishie nguvu zangu zakiroho Baba.. nimekiri kuanzia leo nimeacha tabia ya kujichua

  • @veronicahnorah3306
    @veronicahnorah3306 8 місяців тому +3

    mafunzo ya kweli kabisa,Mungu akubariki.

  • @Jeshitztz49
    @Jeshitztz49 5 місяців тому +1

    Mungu namba unisamehe kufanya ifo mda mrefu na naomba unibariki niache kufanya ivo amen

  • @maninhocassamo1525
    @maninhocassamo1525 7 місяців тому +8

    Hee Allah nisamehe Mimi nja wako narudi kwako na sito fanya tena kabisa😢😢😢😢

    • @Destin-b.12
      @Destin-b.12 5 місяців тому

      Usiseme autafanya ivo tena mwambie mungu akupe nguvu yakuacha

  • @shijacharles5394
    @shijacharles5394 7 місяців тому +1

    Mungu nisamemehe mm kwa hii dhambi ambayo nimekwisha ifanya, naomba Mungu anipe nguvu nisirudie tena

  • @EliaLukas-di9mr
    @EliaLukas-di9mr 7 місяців тому +4

    Eee YESU wangu naomba nisamee mm mwana mpotevu na uwasamee pia ndugu zangu wengine wenye tabia kama yangu utujenge nguvu ya kuacha dhambi hii uturehemu YESU

  • @SHABANIJUMA-q7r
    @SHABANIJUMA-q7r 3 місяці тому +1

    Mashallah Allah s.w akulipe malipo makubwa sana kaka inshallah❤❤❤

  • @RobertMzuga
    @RobertMzuga 7 місяців тому +1

    Ahsante sana mpendwa mungu akupe nguvu zaidi ukowe vijana

  • @j_phantom2413
    @j_phantom2413 Місяць тому

    Shukran sana kaka 🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🎉🎉🎉🎉

  • @HassanSeif-k6p
    @HassanSeif-k6p 3 місяці тому +1

    Nimejutia sana na sidhani kama kwa sasa Kuna cha kuniokoa hata nikiacha. Ee Mungu tusamehe sisi

  • @mwenyemalialembe6362
    @mwenyemalialembe6362 7 місяців тому +2

    HONGERA sana n'a tumeshukuru

  • @mourineblessed3245
    @mourineblessed3245 8 місяців тому +4

    Mungu nirehemu 🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️

  • @evaleen4359
    @evaleen4359 8 місяців тому +4

    Asante sana kaka maana hiyo tabia niko nayo asante sana barikiwa

    • @MuganwaPatrick-jy3fx
      @MuganwaPatrick-jy3fx 8 місяців тому

      VP rafiki umejichuwa Kwa miak mingapi

    • @abdulyshafii
      @abdulyshafii 8 місяців тому

      Naomba masiano yako tuwasiliane evs

    • @abdulyshafii
      @abdulyshafii 8 місяців тому

      Number ako tuwasiliane

    • @kabikamussa2393
      @kabikamussa2393 7 місяців тому

      Dah kudadeki naumia san hii tabia nashindwa kuacha 😭

    • @kabikamussa2393
      @kabikamussa2393 7 місяців тому

      Dah kudadeki naumia san hii tabia nashindwa kuacha 😭

  • @PaulWachira-ug4we
    @PaulWachira-ug4we 5 місяців тому

    May God have mercy upon us as youth ...this is a great hindrance to our great destinies...oh heavenly father redeem us from this great sin we commit without knowing

  • @kengbizzy.
    @kengbizzy. 7 місяців тому +3

    mungu naomba anaisamehe na kunirehemu mja wake nakiri kuanzia leo sitorudia na ntaacha kamwe

  • @RuthMilish
    @RuthMilish 2 місяці тому +1

    Mungu nisamehe na unibadilishe mungu nimekuasi baba kwa uchafu

  • @CheedyBenz
    @CheedyBenz 2 дні тому

    Eheee mungu mwenyez nisamehe meme mkosefu
    Kwajina la baba na lamwana amina❤❤😢😢

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 8 місяців тому +4

    Mungu anisamehe kwa kufanya dhambi bila kujua and out of ignorance 😢,

    • @MuganwaPatrick-jy3fx
      @MuganwaPatrick-jy3fx 8 місяців тому +2

      VP rafiki umejichuwa Kwa miaka mingapi

    • @HappyChona
      @HappyChona 8 місяців тому

      ​@@MuganwaPatrick-jy3fx na wewe mara ngapi

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 8 місяців тому

      @@MuganwaPatrick-jy3fx unataka kufanya Nini ukijua my friend

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 8 місяців тому

      ​@@MuganwaPatrick-jy3fx mbona unamuuliza kila mtu myaka aliofanya😮

  • @BravoTanganyika
    @BravoTanganyika Місяць тому

    Asante munguwangu kwakumpatia kipawa hiki kaka huyu uzidi kumbariki

  • @J-AFRICA339
    @J-AFRICA339 2 місяці тому

    Mungu niko mbele zako,, naomba msamaha na naomba uniepushe na kurudia haya makosa🙏🙏

  • @ilhamrashid-z9e
    @ilhamrashid-z9e 2 місяці тому +1

    Asante sana kwa taarifa hii

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 7 місяців тому +1

    Asante kwa kutupatia elimu yakutosha

  • @BLACKGENIUS-z3u
    @BLACKGENIUS-z3u 4 місяці тому

    Asante sana kaka kwaushauri mkubwa
    Mungu akubariki sana

  • @tomnandwajeymuziq6193
    @tomnandwajeymuziq6193 7 місяців тому +2

    Ewe Mwenyezi nisamehe kw hayo nliokua nikifanya kw kutojua Aminaaa naomba msamahaa Mwenyezi Mungu naombaaaa kuchukua njia mpyaa kimaisha Amina..😢😢😢😢😢😢😢

    • @VitusMakala
      @VitusMakala 7 місяців тому

      Amina🙏🙏 atusamehe

  • @EsterWavu-it7fg
    @EsterWavu-it7fg 4 місяці тому +1

    Mungu naomba unisamehe kwa zambi ambayo nilikuwa nafany sitoludia kwakuwa nimejua makosa yangu sasa nakuomba mwenyezi mungu nipe nguvu mpya ma mwenenda mpya niachane na uchafu huu wote

  • @johnmichael-zg6sd
    @johnmichael-zg6sd 6 місяців тому +2

    Ehh mungu nisaidie namna ya kuenenda utakavyo amen

  • @Abdulaziz-tb1gd
    @Abdulaziz-tb1gd 5 місяців тому +2

    Ya allah nakuomba unisamehe na unijalie nisigikirie kitendo hicho kichafu na uwajalie wale wote ambao wamo katkchezo huu bac waweze kuacha aamin😢😢😢😢

  • @IbrahimBrooklyn-ro2fu
    @IbrahimBrooklyn-ro2fu 7 місяців тому +2

    Asantee sana kaka kwa kunisanua

  • @DidierPascal-w9n
    @DidierPascal-w9n 7 місяців тому +4

    Mungu wahuruma atusamehe Sana

  • @FrankHezron
    @FrankHezron 7 місяців тому +6

    Duuh mungu atusamehe kwa kwer atuludishie baraka zetu kwanzia leo tuanze maisha mapya

  • @VeronicaMahimbo
    @VeronicaMahimbo 8 місяців тому +5

    Thanks broo

  • @samywabenga6186
    @samywabenga6186 5 місяців тому

    Mungu atusamehe na atupe nguvu ya kuacha,asante mwalimu kwa mafunzo

  • @AmossyohannaYohannamoss
    @AmossyohannaYohannamoss 25 днів тому +1

    Ee mwenyezi Mungu naomba utusamehe vijana hote tulio fanya Zambi hii nasi tunaomba na kuamini katika jina la yesu kristo hatuta ludia tena aminna😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @fredymapunda196
    @fredymapunda196 8 місяців тому +2

    Nisamehe sana Mungu wangu, mkosefu mimi. 🙏 🙏

  • @FabriceKombi
    @FabriceKombi 8 місяців тому +7

    Mungu nisamehe nimetubu kabisa kwanjiya Léo naacha kabisa mungu nisaidiye

  • @MwesigyeTuryachra
    @MwesigyeTuryachra Місяць тому

    Narudisha nyota yangu kwa jina la yesu na kurudisha uwezo wa kiroho mungu nirehemu na picha za shetani kwa jina la yesu

  • @khamisseifu3002
    @khamisseifu3002 7 місяців тому

    Asante sana.. umetusaidia mnooo

  • @MasungaMagembe-c9c
    @MasungaMagembe-c9c Місяць тому

    Asante Sana brother

  • @Travisghost99
    @Travisghost99 7 місяців тому +6

    Mwenyenzi Mungu naomba unisamehe sana maana nimefanya sana huu mchezo Mungu naomba tena sana kwasababu nimefanya makosa makubwa kinyume na sheria zako😭😭😭😭😭😭 naamini nimebadilika kwaniza mda huu

    • @FAFANUOMEDIA
      @FAFANUOMEDIA  7 місяців тому +1

      Hongera sana kwa kuamua kubadilika

  • @tuyengel1874
    @tuyengel1874 5 місяців тому

    Mungu nisamehe sitorudia kufanya huo ushenzi tena, Nipe nguvu zangu nikuludie, niwe mtu bola na mwenye kujua mazuri na mabaya yote Amen

  • @ChristinaManyangu
    @ChristinaManyangu 6 місяців тому +1

    Mungu nirehemu mm nakizazi changu🙏