JENEZA LANGU 《01》

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah 9 місяців тому +44

    Hoo lutha Man, mimi hapa wa kwanza🇧🇮man nipeni man likes zangu Man .❤

  • @japhetmweke52
    @japhetmweke52 9 місяців тому +10

    Napenda sana kufuatilia filamu zako ila unaboa kitu kimoja humalizi moja ndo uanze nyingine unachosha wafuatiliaji #boncena

  • @HamorapaSamuel
    @HamorapaSamuel 9 місяців тому +17

    Napenda sana kazi zako man niko Mozambique Man naomba like zangu man 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @faithndanukombe254
    @faithndanukombe254 9 місяців тому +3

    Gumbo this round umeweza kuongea vzr 😊😊ata mkitoa movie zingn usibadlshe saut one lov from kenya ❤🎉🎉🎉lutat man tunakungoj ufik kenya man mie apa natamani nikuone onedaya man 🎉😊

  • @januariotitos2004
    @januariotitos2004 8 місяців тому +2

    Nyimbo nimipenda sana 🎉🎉 jina la msany

  • @zuluRaphaelItangishaka
    @zuluRaphaelItangishaka 9 місяців тому +2

    mimi wasaba!gumbwa umejifikia kwenye jeneza langu,Ruthaman weye muandishi mukari,love from burundi❤❤❤❤

  • @morrisg.j4052
    @morrisg.j4052 9 місяців тому +6

    Umeharibu kazi Yako kabisa sijapenda kabisa . Unyago haijaisha ,mgeni haikuisha,Sasa umetuweka kwenye jeneza lako , kweli? Yaani tamaa mbaya sijapenda hapa Kenya .😮

    • @amissemkanapate8249
      @amissemkanapate8249 9 місяців тому +1

      Kweli kabisa huyu jamaa hayuko series na kazi zake

  • @boncenagottalent
    @boncenagottalent  9 місяців тому +17

    KARIBU KUTAZAMA #JENEZALANGU HII NI NZURI KULIKO ZOTE SHABIKI YETU TUME JIRWKEBISHA KUWA NA WATU AMBAO HATUTA IKATISHA TENA TUNA OBAMA LADHI KWA WALE TULIO WA KWAZA

    • @HappyDaudi-ub4hw
      @HappyDaudi-ub4hw 9 місяців тому +1

      Heeeee🙄🙄🙄 unyago ndo imeisha au???

    • @tetri-numz96
      @tetri-numz96 9 місяців тому

      Hautukwazi Tajirii 🎉

    • @sofiaabdallah8741
      @sofiaabdallah8741 9 місяців тому +2

      Mgeni wa kijiji unyago zote zimeisha kati

    • @japhetmweke52
      @japhetmweke52 9 місяців тому +1

      Nzuri sana lakini kuwa na mtiririko wa filamu zako, mgeni wa Kijiji haijaisha, unyago haijaisha Sasa una jeneza langu

    • @RehemaSalim-d3g
      @RehemaSalim-d3g 9 місяців тому

      Kz nzuri San boncena.ila mbn unyago hutoi ama ND imeisha😮😮😮.

  • @unclejayjay6379
    @unclejayjay6379 9 місяців тому +21

    wa kwanza from🇰🇪 naomba likes zenu

  • @MussaNtungi
    @MussaNtungi 9 місяців тому +1

    Unafeli sana mwana ungetakiwa umalize moaja alafu uingie nyingine ila uko vizuri mungu akubariki kazi njema

  • @ZabibuFundi
    @ZabibuFundi 8 місяців тому

    Congratulations my brother unaweza scene zote napenda unapojuwa kuvaa kila uwusika Mwenyezimungu azidi kukuinuliya kazi zako man😍👌

  • @zuluRaphaelItangishaka
    @zuluRaphaelItangishaka 9 місяців тому +1

    belina acha wajipendanie!naona umekuja kwenye ingine sula siyo yawunyago,ajili yawunyango umekuwa mupambanishi yamapenzi yakakaako❤❤❤

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 9 місяців тому +1

    Kwani nifa na tifa ni mapacha😮mnafanana sna afu Belinda iyo part ya roho mbaya ndo inakufaa sasa..na kumbe wazuri nyie mcpojichorachora...yni tifa na nifa mnafanana pka sauti na kuongea kwenu wooow🎉

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 8 місяців тому

    Kumbe Gubwa Ni HB Kiasi Iki Kma Nimemkufua Nami😂😂😂😂❤❤❤❤Kushinda Kwenye Uyango Iliishia Wapi

  • @MariamRashidi-n7u
    @MariamRashidi-n7u 9 місяців тому +2

    Nimoto kbs 🎉🎉🎉🎉kazi njema kbs 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 niatar

  • @arnauliahakizimana-hn8jz
    @arnauliahakizimana-hn8jz 9 місяців тому +1

    Lutha unanifurahisha sana kwakucheza movie namunaweza nyinyi wote nawapenda sana naangalianga movie zenu me niwakutoka 🇧🇮 lakini sai niko 🇰🇪

  • @merickshadrack4509
    @merickshadrack4509 9 місяців тому +3

    Huweee una malizaaa movie bwana mbona ya kijijiniii umeiachaaaa

  • @Idrisakasimu-s3l
    @Idrisakasimu-s3l 9 місяців тому +1

    Mimi wa mwisho man naomba like zangu man,

  • @ZainabSaid-n3v
    @ZainabSaid-n3v 9 місяців тому +2

    Huyu luta vip mbona anashindwa kumaliza move zake anapenda kurukia rukia baba filam zako ni nzuri ils unatuboa kwa kutuacha njiani

    • @rehema-lg5cl
      @rehema-lg5cl 9 місяців тому

      Na nikama hapitii hoja za mashabiki zake mana habadiliki kabisa wala hatoi sababu😢

    • @amissemkanapate8249
      @amissemkanapate8249 9 місяців тому

      Mwisho wa siku atapoteza mashabik

  • @Bonniemurithi-tu8bd
    @Bonniemurithi-tu8bd 9 місяців тому +1

    Lutah man uku Kenya lamu visiwani tunakubali kazi yako fresh man.Ila man tunataka ii kazi ifike mwisho usituachie katikati kama ulivyofanya kwa unyago

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 9 місяців тому +2

    Waah nmewahi man nipeni like zngu 🎉🎉🎉💃💃

  • @jacobbuhaha1098
    @jacobbuhaha1098 9 місяців тому +5

    Oy mr.luta a.k.a boncena kazi zako nazifatilia sana lkn punguza ilo neno "man" Kila series saiv lzma uweke ilo neno "man" inaondoa ladha kias flan.

  • @asmajuma4960
    @asmajuma4960 9 місяців тому +1

    Mbona hammalizi movie vizuri unyago aijaisha mnaleta jeneza langu na unyago je inakuaje kuaje😌

  • @RemigiofelixFelix-uh2vg
    @RemigiofelixFelix-uh2vg 8 місяців тому

    Rhuta man nampenda sana man filamu sako man mimi niko mzumbiji uku ❤🎉

  • @AliceGathigi
    @AliceGathigi 9 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤ mashaalaaa part two waiting

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 9 місяців тому +2

    Njooo kwangu wandy , mimi ndio mwanaume ambayo ninafanya kazi km mwanaume achana na huyo mkaka ambayo awezi kazi

  • @Ushindipeter
    @Ushindipeter 9 місяців тому +1

    Nzuri iyi kinoma😂😂😂😂😂😂🎉 nimeipenda Congo 🇨🇩

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 8 місяців тому

    Ruta man once again❤❤❤🎉🎉🎉

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 9 місяців тому +1

    Latifa na anifa kama mapacha❤ ila belina umechezaaje humo😢 ila sio mbaya weee ni star

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 9 місяців тому

    Aky belina umecheza na roh mbay humu.i sey naumia sana.😢😢😢daaaaah!! Haufanani ila kz nzr

  • @IbrahimAliahmed-rm6tc
    @IbrahimAliahmed-rm6tc 9 місяців тому +1

    Ruta utatufanya na sis tulieeee bana aaaaaaa move mzuri sana

  • @agahmsweden5812
    @agahmsweden5812 8 місяців тому

    Hii ni best nimeielewa

  • @saumosoro9799
    @saumosoro9799 9 місяців тому +1

    Nimeipenda hiyo man 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤kaz smart sanaaaa

  • @HusnaMasenga
    @HusnaMasenga 8 місяців тому

    Kaka. Mungu awabariki kwa kazi nzuri wapendwa Luta man unajua kaka ❤❤❤❤❤❤❤

  • @YoungsHilary-xd2ml
    @YoungsHilary-xd2ml 9 місяців тому

    Ruta man umetisha sana,,nakupenda sana

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban 9 місяців тому +2

    luta man tubadilishie kdg mapez tu ndio kila picha ni mapez

  • @super_boy_tz
    @super_boy_tz 9 місяців тому +2

    Nimekili kwa kunywa changu Gumbwa 💯🙏🙏🙏

  • @ObedyMtweve
    @ObedyMtweve 9 місяців тому

    Acha lombaya wewe muache apate kitu loo inapenda❤❤❤❤❤

  • @MichaelNyakunga-q1t
    @MichaelNyakunga-q1t 8 місяців тому

    Unazinguaaa,unyago imeishia wapi tenaa.mnatukata stimu sana.

  • @aishapogwa2916
    @aishapogwa2916 4 місяці тому

    Hayo ndio mapenzi bwana ruta Mani

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 9 місяців тому +1

    Wew berlina muach tupenda sis masikini bwan

  • @joshuasakwa1548
    @joshuasakwa1548 9 місяців тому +1

    Kazi mzur sana, tena zaidi, lakini mbona hamumalizi kazi za kitambo jameni

  • @FaudhatiOmary
    @FaudhatiOmary 8 місяців тому

    Lutaa mani nakupenda sana mana unavoongea mani

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 9 місяців тому +1

    Nakumbe gumbwa umzuri ivyooo daaah ckuwai tarajia😂😂😂tatizo lko huwiki duuh😢

  • @HubySay-of2cb
    @HubySay-of2cb 9 місяців тому +1

    Natamani niifatilie Ila kila nikiwaza kuishia njiani naona Bora tu niache mgeni wakijiji niliipenda Ila ndo Ivo

  • @Fatmajereko-mz2rs
    @Fatmajereko-mz2rs 9 місяців тому +2

    Kumbe uyu mtoto wachifu nimzur jmn lkn kwenye unyago anakera kwel😂😂😂

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 9 місяців тому

      Nimempenda mpaka sauty yake kanivufia💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @JovinJosephat
    @JovinJosephat 9 місяців тому +2

    Lutaman unatoa movie nzuri sana. Changamoto ni kwamba movie zako hazifiki mwisho. Mfano MGENI WA KIJIJI haijafika mwisho, UNYAGO nayo naona kama umeiacha. Ingependeza unamaliza movie ili kukidhi kiu ya mashabiki wako

  • @LovelyDandelion-dv5ht
    @LovelyDandelion-dv5ht 9 місяців тому +2

    I love you from Kenya man❤❤❤

  • @puritydavid9003
    @puritydavid9003 9 місяців тому +2

    Mnaigine na atukuona mwisho wa ileya unyago

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 8 місяців тому

    Alafu tiffa umenepe mashallah ❤❤❤

  • @winniebee5584
    @winniebee5584 9 місяців тому +2

    From kenya....mgeni wa Kijiji tunawait

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 8 місяців тому

    Kila mtu from kenya,,kenya,, haya much love from tamil,🤐🤐🤐🤐🤐

  • @YusuphYona-e5b
    @YusuphYona-e5b 9 місяців тому +2

    Nakubali man ❤❤

  • @amonsanga
    @amonsanga 8 місяців тому

    yaaa man nime kubal kazi yako man🤜

  • @ZainabSaid-n3v
    @ZainabSaid-n3v 9 місяців тому +1

    Anafanya filamu anakata njian hadi anatia kichefuchefu maliza kazine kazi nyny

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard 8 місяців тому

    Kumbe gumbwa mucuteee hivii😂😂😂

  • @NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc
    @NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc 9 місяців тому +4

    Tatizo yk haumalizie movie

    • @boncenagottalent
      @boncenagottalent  9 місяців тому +4

      Kaka hii itaisha vizuri timu ya sasa uhakika man trust me

    • @IsaacKupe
      @IsaacKupe 9 місяців тому +1

      apo sawa

  • @SaideajualeAjual
    @SaideajualeAjual 8 місяців тому

    Best film🎉🎉🎉

  • @ZainabuMohamedMakwatila
    @ZainabuMohamedMakwatila 9 місяців тому

    Napenda Sana move zen❤❤❤❤❤

  • @Wazungujey
    @Wazungujey 8 місяців тому

    Usikose kumalizia hii
    Man usipomalizia hii utakosea sana

  • @ashelysimwinga3790
    @ashelysimwinga3790 8 місяців тому

    Kaka mimi PENGO TZ Nakupatia maua yakooo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NiremaSamuel
    @NiremaSamuel 9 місяців тому +4

    Luta man💪💪

  • @ukweri2ebiyati661
    @ukweri2ebiyati661 8 місяців тому

    Hakika hakika hakika hakika unaweza mwanawitu

  • @1czay
    @1czay 9 місяців тому

    Hii nikali sana to much love from kenya🎉🎉🎉🎉

  • @zebiclassicTz2051
    @zebiclassicTz2051 9 місяців тому +5

    Uachekutoa series ndefu Ambazo zitakufanya ushindwe kumaliza

  • @tetri-numz96
    @tetri-numz96 9 місяців тому +2

    Weeh iyo kiss irudiwe inakitu hiy 😂

  • @mfalmebonoko9205
    @mfalmebonoko9205 9 місяців тому +1

    Pongezi ..namwona Gumbwa hapoo

  • @lilianfantasticonyuma5199
    @lilianfantasticonyuma5199 9 місяців тому +2

    Kazi nzuri but muwe mnafika mwisho wa kipindi 👏

  • @jimmyActor-em4fn
    @jimmyActor-em4fn 9 місяців тому +2

    Napenda sana man😂😂

  • @jumahamisi4660
    @jumahamisi4660 9 місяців тому +1

    Afu nifa mani ulitoka kwenye Red eyes mani macho mani

  • @LucksonChama
    @LucksonChama 8 місяців тому

    Bro very nice move from zambia 🇿🇲

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 9 місяців тому +2

    Mmmmh jaman😢😢😢😢

  • @miracleasawile8912
    @miracleasawile8912 9 місяців тому +1

    Pamoja man piga kazi mani

  • @rosekayombo
    @rosekayombo 9 місяців тому

    Kinacho boa unaanzisha movei hf unaishia njian mgeni wa kijiji hujamaliza unyago hujamaliza upo huku tena nako utaishia njian

  • @Credokiwaga01
    @Credokiwaga01 9 місяців тому +3

    Kumbe gumbwa ni mzuri sikujua 😂

  • @BornifaceMwaLubanda
    @BornifaceMwaLubanda 9 місяців тому

    Kazi nzur

  • @JuliusCharles-sd2tt
    @JuliusCharles-sd2tt 9 місяців тому

    Unyagoooooi jaman

  • @Brianmari17
    @Brianmari17 9 місяців тому +1

    Uyango vipi

  • @TRPICTURE
    @TRPICTURE 9 місяців тому +1

    Nakubar ma blood mmetisha Sana 🎬🎬🎬🎬

  • @Steven_daudi
    @Steven_daudi 9 місяців тому +1

    Daa nimecherewa ila nilikua nimechelewa kukopa bando,, ila nipo nacheki utam,,

  • @EmanueliMarcomabe
    @EmanueliMarcomabe 8 місяців тому

    Najua me wa mwisho nipeni like ata 2

  • @SalhaSandra-f4c
    @SalhaSandra-f4c 9 місяців тому

    Nampenda❤❤❤

  • @TresorJerome-yr8nt
    @TresorJerome-yr8nt 9 місяців тому +1

    nawakubali sana ❤❤❤

  • @successr1617
    @successr1617 8 місяців тому

    Shemeji umeuwa tana na hiyo lafudhi ndio kabisa yaani unafanya mtu afurahie kuisikia tuu

  • @amosathuman7366
    @amosathuman7366 9 місяців тому

    Mbona man unyago umetuachia njia panda

  • @laurencejuma1377
    @laurencejuma1377 9 місяців тому +2

    Oya man atakama umefanikiwa ndo utufanyie hivi kuna mda views utakuta 10 tu

  • @BornifaceMwaLubanda
    @BornifaceMwaLubanda 9 місяців тому

    Umetisha home boy

  • @IsabelaSute
    @IsabelaSute 9 місяців тому

    Mbonaa unyago hamtoiii jmn

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 9 місяців тому +1

    Kumbe gumbwa ndo mzur ivi alikuw anajiharbu kweny unyago na kuetua mdomo sas mbn unyag aujaish

  • @Nizigamaaline-w7x
    @Nizigamaaline-w7x 9 місяців тому +1

    Unaanza sasa kuvuruga vitu

  • @StarBwoiyz
    @StarBwoiyz 9 місяців тому +3

    Fireeeeeeeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @willykijanaa004
    @willykijanaa004 9 місяців тому +1

    Kila mmoja wenu nmempa like ambae hjaona yake anambie nmpe mm nko hpa kpeana like kwa wale wanaotaka like yaaan naitwa M LIKE

  • @AziziRashid-c4t
    @AziziRashid-c4t 9 місяців тому +1

    Ila we jamaa unapenda kujipakulia minyama misotojo duuuh sio poa

  • @impixelmusictz3044
    @impixelmusictz3044 8 місяців тому

    Shida haumalizi story

  • @frankjackson4435
    @frankjackson4435 9 місяців тому +2

    Sjawahi ku comment lakini hapa imenirazimu ❤❤

  • @Jaydannychawaboy1.
    @Jaydannychawaboy1. 9 місяців тому +2

    Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😂😂😂😂❤❤

  • @chadiaofficial
    @chadiaofficial 9 місяців тому +2

    Love From Chadia Official to🇧🇮

  • @marynamachanja1836
    @marynamachanja1836 9 місяців тому +2

    Malizia mgeni wa kijiji bana

  • @KamfwaManda
    @KamfwaManda 8 місяців тому

    Bro nakubali sanaa

  • @ZephaniaDunda
    @ZephaniaDunda 12 днів тому

    mbna chapili sion i mov ya jeneza