RISKY |《 01 》
Вставка
- Опубліковано 4 кві 2024
- SUBSCRIBE BONCENA GOT TALENT
FOLLOW US IN
+255659096471
FACEBOOK; / angess.nsyengula
INSTARGRAM; boncena_tz...
TIKTOK ; / boncena_gottalent
YOUYUBE ; / @boncenagottalentfaceb...
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ
Wamezowea uchawi na uganga 😂😂😂leo wapo tofaut kabisa🎉like zenu nyote
asnte
Tuna subiri na hamu lakini usisahau mgeni wa Kijiji mimi kutoka Congo 🇨🇩 nipeni likes zangu
Ni wangapi wamefurahi kumuona baisa kuwa ni security wekeni likes hapa
abaki ivyo ivyo
Nimeipenda sana hii move yan zimeshinda zote hii kali sana endelea na moyo huo huo ❤❤❤
Jamni inikizani mimi ndowakwaza naombeni lik hata 5 nafurahi kuona baisa kuwa mlinz nasi muganga ten hiii film ninzuri niwangap wameipenda mimi 1❤️❤️❤️❤️
Noma kabisa, kobelo na rose wasikose kwenye iyi movie
Leo nmefunga chapter 😂😂😂❤❤❤
Ni wangapi wamefurahi kumuona mama mwenye kiti amengara wekeni likes zenu hapa 😂😂
Wangapi wamegundua kwamba baisa n handsome kama hajavaa nguo za uganga 😂😂😂gongeni likes hapa
asante
Ya moto sana hongela kwako bon na tim yako👏👏 nasubil ya pil kwa ham
Leo mie huyu kutoka Kenya 🔥🔥🔥
Wow tumekutana tena nmekua nanyi kwa mgeni wa kijiji ❤watching from kenya nawapenda
Mutumishi na mchungaji boncena big love from Saudi to kenya
Ila Jamaa angeweka lile Neno Man mwisho ingenoga😂😂😂
Jamaaa una talent kubwa sana mm nimfuas wako na imanhii itashinda mgen wa kijiji 2kopamoja man
Hii movie labda ujalibu mbele huko lakini umecheza vitu vyakweli nabii niwatu wanao teseka sana kua nabii nikaz ngumu sana hii nimeipenda
Watching 👀 from 🇰🇪 likes naomba jameni😊
JAMAA RUTA MAN UNA JUA AISEE DAAA MOVIE KALIMAN
Mm nahitaji muendelezo wa unyago boncena aka Ruta man unafeli wap
Mwendelezo uwe unatoa mapema boncena move nzuri sana
Thank you for translating this Nigerian movie😂
It's so sad 😂
😂 Can you please tell me the name of that Nigerian movie? I really like it 😂🙏🏿
@@abakkukmutabwe5383 Abido shaker
😂😂😂 name of movie plz
Name plz
RUTA MAN WEWE UNA JUA SANA YAANI UNA BADILIKA KAMA KINYONGA WEWE MOVIE ZAKO HAZI BOI HATA KIDOGO KAKA
Toka pale acaa wivuu Bencena songa mbele bro we are here for you
Boncena tusaidie kobelo na rose wasikose ndani ya iyi movie kobelo awe chawa wako tena 🙏🙏🙏😂😂
Leo WA Kwanza nipe hata like moja
😂
Boncena kazi zuri😂 sana
Mama mwenye kitu muzuri jameniiiiiii yooooooo
Hii nzuri sio kila siku mauchawi
Hii ndio movie tunaz tak fumbo ata aielewek
😂😂😂😂😂Nigeria oyeee to TZ
Mtu na chawa wake😂mwanangu patruck🥰🥰❤🎉much love you baba
asnte
❤ Big up sana bro
Bon nakuelewa san toa hikokidude shingoni ndio italia po njombe hapaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Fireeeeeeeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥
Hii ngoma ni ya moto kuliko mgeni wa kijiji
Kazi zinafanya watu wachukuwe dini yoyote?kwani huyu mama mwenye kiti ni mkristo?kwanini mnaikuza dini yawatu nasio dini yenu?😢😢😢
Kwan akiwa mkristo kuna shida ? 🙄🙄🙄
Ss hi ndo yenyewee yenye mafunzo kiroho hongera sana 🎉
Hapo sasa inashika kabisa na usisahàu kuendelea na mgeni wa Kijiji be blessed bro bon
Much love from Kenya 🇰🇪 kobelo askose hapo
Hahaha hahaha hahaha hahaha 🤣🤣🤣 ukiwa uko utakiwi kuwa na tamaaa😂😂😂😂
Movie tamu sana😊😊
Ni copy ya movie ya Nigeria
Nimeipenda sana iyo movie nakubali xana kutoka kwa mgeni wa kijiji mpaka hapo mlipo
Malizia mgeni wa Kijiji hii risky umeikopi kwenye mv ya Nigeria ya ZUBE MICHAEL Sjapenda yaani umeikopi kama ilivyo kasoro Lugha tu😢😢
We kumbee😕
Kumbe hata wewe umesawatch Zubby Michael 😢😂😂😂😂 huyu amecopy kila kitu😅😅
Boncena hahaha hahaha 😂😂😂😂😂
Waaa 😢 inakaa Kali..much love ❤❤❤from Kenya ila usisahau mgeni wa kijiji
Haki boncena Ur more talented hii nayo Ni moto❤❤❤❤
Mbona inafanana na movie nyengine niliona yaki Nigeria
Next kaka ❤❤
Love from burundi❤❤❤
Much love from DRC congo 🇨🇩🇿🇦🤗
😂😂😂😂😂nabii. Umetishaaaa 🔥🔥
Much love boncena keep it up nice work
😂😂 Ruta Nabiii 😂😂😂😂🎉🎉🎉
Nabii WA mchongo 😂😂 malaika amevaa uniform
😂😂😂😂😂
Nice movie, keep it up man
Iko safi sana kama mageni wa Kijiji ❤
Ruta man unajw mpk unajw tn hongera sana❤❤❤🎉🎉🎉
Ni nzur sana kwel bon we ni atar umetishaaa utunz mkal san
VIP man, kazi zuri 🔥🔥🔥 man
Good story, plaise next
Movie kali big up broo hiyo ndo maana halix ya kuwa muigizaj unaximam na uhuxka wwote ❤❤much love from USA
Safiiiiii🤝🤝🤝
Safiii Sana nimeipenda ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Waaaoooo!!!! Hii movie kalii sanaaa
Nabii Boniface 🤝
Hogera sana❤❤❤
Mach love ❤️ from Kenya 🇰🇪
Big up boce
Bonge la movee 🙌🙌🙌🙌
Akh bayser Ivi umeoa? Wee n handsome saaana
bado
from kenya kwa mpigo mwanangu😂😂 we😂
Baiser 😂😂ni handsome
Safii mnaweza nwapenda 🎉🎉🎉🎉🎉 hii 🔥🔥🔥🔥
Ila bwana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Aki hii Kali 😂😂😂😂😂 💞💞💞💞💞hongera saana
Aki bona boncena anateseka na maisha magumu jameni anahurumisha
Wewe unajua uhalisia wake!
@@rehemamgata224 aki si angeacha ata atumie hela kiasi jameni ananyanyasika Sana lakini best film
Boni kutoka unalila iwiji nakukubari au boncena au rutamani
Kiukweli huu moto ni mkari sana usicheleweshe ya 02
BONGE LA DUDU NIME IPENDA
Ongera sana Ila uyo binti ambaye yuko nakutokeya wamengemutengeneza kama malaika
Kweli kabsa 😂😂malaika amevaa uniform
❤❤bwana yesu asifiwe man
Rutha Mungu alimwaga damu yake au dam yetu 😂😂😂😂😂😂😂
HAPO KATU PIGA MAN HAHAHAHHAHAHHA
😂😂😂😂
hahahah kumbe ulimckia rutha*hahahhaaa
Good job hii inaweza kua Kali kuliko zote
Iyi kazi❤🇨🇩 Like zetu...
Kaz nzr tupo tnaendelea
Good job kaka from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
😂😂😂😂😂mama mwenye kiti amejiremba kweli kweli
Wacha wee pastor 😂😂😂😂
Kumbe baisa mzur ivo
asante
Creative❤
Waaaa kali sana tunagoja nest
Ila wajua kuomba boncena
Mbona kama iyo movie tiari wanaija wameicheza zamani
Khakhakhaaaa fungu la kumi na moja
Wngne tupo nyuma,,,muonekan mzur san
Ulimwaga demu yetu pale msalabani ? Wangap wamesikia bwana nabiii akichapia maombi
Mmmmmh khikali sana bonny lispet
Nani ameona mama mwenye kiti, angali kwa fikiraza za uganga, 😂😂
44 daaa movie nzuri sana maua kwenu❤❤❤❤
KWANZA IME TULIA KUANZIA PICHA SAUTI STORYY YAANI JAMA ANA JITAHIDI
🎉Kutoka marekani nkupata man
Wow nimekuwa wa kwanza alaf ajitokeze mtu aseme yy wa kwnz nasoma comment
Great translation of Abido Shaker in Swahili. Waliotazama Abido Shaker nipeni like zenu.❤❤❤
Oh kumbe Ndo maana zikaitwa Igizooo, hapo ndo nimeelewa😂😂