Mko Salama ndugu zangu... ...naombeni NAMI kujua namna ya kufanya application ktka bahati nasibu hii tafadhali sana... ndugu zangu...maan napenda na huwa kila nikilala na kuamka nawaza niende Canada .
Kaka samahani nna ndgu yngu nataka acheze sasa sijajua anaweza kucheza wakati huu au mda Ushapita asubiri mwakani tafadhali kaka nifahamishe kama inawezekana nikutafute umchezee
More love from Kenya 🇰🇪,am also hoping for the best,nilijaribu kuucheza
Finally find my fellow Burundian winner wa DV lottery
Good work mwe murabarundi ariko ntumugomba gufasha abarundi benewanyu erega sibose bazi igiswahili
Napenda kipindi chenu sana kazi zuri sana 💪💪💪
Kazi swafi sana kaka.from kenya n coming soon mungu akinijaria
Hakika tupo pamoja
Tunashkulu sana🎉🎉 nasi tuko njia✈️✈️
Nakuskiya from burundi 🇧🇮 kwa majina ni Amédée nimeceza green card labda uyu mwaka ni bahati yangu mungu mbele🙏
Hakika tupambane nadhani tukifika kwabahati tutakuwa pamoja
Asante
Safi kaka yetu nimecheza nasubiria matokeo,
Pamoja
Mko Salama ndugu zangu...
...naombeni NAMI kujua namna ya kufanya application ktka bahati nasibu hii tafadhali sana... ndugu zangu...maan napenda na huwa kila nikilala na kuamka nawaza niende Canada .
Asante maman
Gharama kias gan inaweza kutumika
Ok jekama umeshinda ggren na huna nauri,je Kuna msaada wa nauri ili nikifiika nimlipe?
Wakati unasubr green card Kwa bahati nasibu jitahidi kupambana uwe na akiba gharama zipo ambazo unatakiwa kugharamia binafsi
Tubasavye kuza muratanga ikiganiro mukirundi kuko s'abarundi bose bumva igiswahili.
Je ukishida utapewa muda gani kujitayarisha ili usafiri
Hutofautiana kutokana na utakavoitwa mwezi gani sio watu wote wanaitwa Kwa siku moja
@@emanuelcholela8679 thanks
But wanasema unalipiya nauli ya Ndege
Jitahidi kuwa na akiba
Sasa tunawapata ajee
Bahati nasibu
Wameongeza siku mbili za maombi hadi tarehe 07/11
Nikweli mpaka 7th November 2024.
Ni kweli walitangaza kuongezwa mda
Ukishinda nauli ni ya marekani wanakuripia
U pay everything kuenda embassy kuenda medical and tickets wewe mwenyewe unalipa
Kaka samahani nna ndgu yngu nataka acheze sasa sijajua anaweza kucheza wakati huu au mda Ushapita asubiri mwakani tafadhali kaka nifahamishe kama inawezekana nikutafute umchezee
Muda wa kucheza green card lottery ni Kila mwaka kuanzia mwezi wa (10 October)Hadi (11 November)
Email yenu tafadhali
No no wewe sio raia wa marekani.
Ni kweli unakuwa na sifa kama raia wa marekani
@@emanuelcholela8679u are just a permanent resident not a us citizen u can't vote remember