you don`t know how I feel when I listen to TZ cath music esp the way you play instruments!! so amazing talented composer and organists! big up from Rwanda.
I can listen to this beautifully played organ every day of my life. Hongera sana dada kwa kazi yako njema. Wewe ni miongoni mwa wanawake wachache sana dunia hii!!!!
Kanisa lina wajibu Wa kuwashika mkono hawa walimu Wa mziki.Kuwawezesha hata kimitaji.Utaratibu Wa sasa siyo kabisa mapadre ndiyo wanafikiriwa Zaidi.Huyu Dada asipoangaliwa vzr atakosa motisha kwa jasho kubwa analotumia.
Hongera Sana Dada🔥🔥👏🏾👏🏾This is so Inspiring and Beautiful! Be Blessed 👏🏾 Ningependekeza urejelee Nakala kidogo sehemu ya Bass, pale kwa neno "ataishi milele" ya kwanza kwa wimbo , silabi au tamko "le" "le" zimepewa Solfa notation ya "Soh" kwenye Nakala na siyo "reh" Itakua tamu zaidi ukiishika hiyo "Soh" kwa Bass! Maoni tu, Asante!
Yupo vizuri Sana Sema sasa dressing code jeans mbele ya yesu wa ekaristi na hizo bangili za chuma mkononi Kwa binti haipendez . Tuvae kulingana na muktadha
Wawoooooo, it is so sweet. Keep blessed Dada Diana na Mungu mwema akuongoze ukatimize ndoto hii njema na kutumia karama hii katika kumtukuza yeye. AMINA.Love you. Please may I have contact if possible.
Wow!Mungu akubariki sana na Mimi natamani kufika huko kipenz
Mpaka machozi yamenitoka🙏🙏🙏Ongeza bidii kujifunza harmony ikusaidie kwenye maimbilizi.Yesu wa Ekaristi akubariki sana🙏🙏🙏
mungu na akubariki katika kazi yako nzuri,,,,kuna ingine gani umecheza.....
Jamani huyu binti hadi raha asee
Mwalimu Naomba unichezee wimbo wa sadaka yangu kwako ewe bwana . Otherwise good job praising God is the key nowadays thanks be blessed
you don`t know how I feel when I listen to TZ cath music esp the way you play instruments!! so amazing talented composer and organists! big up from Rwanda.
I can listen to this beautifully played organ every day of my life.
Hongera sana dada kwa kazi yako njema. Wewe ni miongoni mwa wanawake wachache sana dunia hii!!!!
Dianaaaaaaa aaah, basi tu, mungu akubariki miaka 200+++++
hamna shida na mavazi,dada,ongeza juhudi tu.
Hongera sana Mtaalam
Unajua sanàaaah mamaaaaaaaa
The total beauty of Tanzanian Catholic church
Hongera ipo vzr , wadada mnaweza !
congratulation sister Diana...... umecheza vizuri sanaaaa
Mimi ni mchezaji wa kinanda anayeendelea kujifunza jugo mwaweza kuniunganisha na wachezaji wa hio sehemu yenu nijifunze zaidi nipo kenya
Sijasikia PEDAL au maskio Yangu 😇😇. Good job again….
Waooooo so amazing mung akutie nguvu
Barikiwa sana na bwana Diana.
Huyu binti amepiga nota zenyewe kabisa, congrats sister.
nice melody nice fingering. Hongera sana dada yetu kazi nzuri sana.
Safi sana2 mamiee!
This lady owesome.I wish she teaches me
Wueeeh madam💕💕🔥🔥🔥💋
Ubarikiwe sana ktk utume huu
Barikiwa saana Dada endeleza usirudi nyuma ..Asante jugo media
Very professional. Umewashinda wengi
Jamani... Namtafuta huyu mwanadada.... Anachezea kwa umahiri wa juu kweli😂🎉🎉naweza mpata wapi aisee..
Nice one madam bado kidogo to unifikie 👏
Hongera dada yangu
You know my sister, be blessed, sema ungebadili mfumo wa mavazi ili uuvae uasilia wa kipaji chako, ungependeza sana
Huu ni ujinga Sana.
Get a life
Kvp,wewe ndio mjinga!!mwache dada aninafasi,amenikonga saana,naomba awe mwalimu wangu namm,nampataje huyu anifundishe mm ndoto yangu,hiyo.
Kwani mavazi yana shida ngani?
Why focus on the unnecessary. She is dressed well. Well done for the good music.
Vizuri dada Mungu akubariki
Madam @ko sawa kabsaah
Excellent Diana.
Hongera aisee! Napenda miondoko na mapigo.
Kanisa lina wajibu Wa kuwashika mkono hawa walimu Wa mziki.Kuwawezesha hata kimitaji.Utaratibu Wa sasa siyo kabisa mapadre ndiyo wanafikiriwa Zaidi.Huyu Dada asipoangaliwa vzr atakosa motisha kwa jasho kubwa analotumia.
Umeongea point kubwa sana
Dada upo makini sana huna mambo mengi batton zinalia ipasavyo hongera sana
Hongera sana kwa udhubuti ni amina mama wachache wanao cheza kinanda umedhihirisha kwamba inawezekana pindi utakapotia juhudi ubarikiwe sana
Namuomba Mungu nipate binti mwenye kipaji kama chako God bless you🙏
Hongera sn
Hongera saaaana
🔥🔥🔥🔥uko vizuri dadaa.
Congratulations dee
Hongera sana mpendwa, unatupa moyo wa kujifunza piaa
Hongera sana kwa kazi nzuri na kipaji Mungu alichokujalia na tumsifu kupitia wewe
Congratulation sister diana nimependa upangaji wako wa vidole very fantastic
Napenda sana anavyocheza huyu Dada, naomba mnisaidie na train ya vidole kama anavyocheza
Hongera Sana Dada🔥🔥👏🏾👏🏾This is so Inspiring and Beautiful! Be Blessed 👏🏾
Ningependekeza urejelee Nakala kidogo sehemu ya Bass, pale kwa neno "ataishi milele" ya kwanza kwa wimbo , silabi au tamko "le" "le" zimepewa Solfa notation ya "Soh" kwenye Nakala na siyo "reh"
Itakua tamu zaidi ukiishika hiyo "Soh" kwa Bass! Maoni tu, Asante!
waoooohhh hongera you have soft hands on playing kinanda
Dada uko vzuri Sana upigaji wako umenibariki
That's wonderful play, Dada Diana. Keep up.
Congratulations Diana ,you have got talent 👏👏
Just loved this💞🎶💞🎶💞🎶💞may the Lord keep you lady
Diana uko tight sana 🔥🔥🔥
Wooo Dada dayana nice
Safi sana dear, feel blessed haki, tembea Nairobi to motivate our ladies also,God bless
Kazi safi sana Organist Diana🔥🔥🔥
Dah!! Kazi safi, utunzi mzuri
Congratulation sana Diana👏
Umenibarik Sana dada
Sijaridhika na kazi Yako
Umenifurahisha sana. Congratulations you did very well
Great...
Napenda xana unachokifanya dada
Aisee ni fireee
Excellent diana
Imekaa vizuri sanaaaaaaa
Hapa mwanza mnabranch. Napenda wanangu wawe kama huyu binti
Nakubal mama
Big up sanaaa sister
Very good bravo
That is good playing Diana C 😻
Congratulations siz diana🔥🙏🙏🙏🙏
Fantastic indeed
sina hata maoni..kazi njema yajidhihirisha..hongera sana Bi Kitika..🇰🇪😍
Very impressive indeed
🥳🥳 bravo👏👏
Gongraturation my dear
Hongera sana, kazi safi
Yupo vizuri Sana Sema sasa dressing code jeans mbele ya yesu wa ekaristi na hizo bangili za chuma mkononi Kwa binti haipendez . Tuvae kulingana na muktadha
Kwavile hakuwa katika Misa ya Jumapili.Kwa maoni yangu, mavazi hayana uhusiano wowote zaidi nana ni Moyo uliopondeka...!
The power of talent
Congratulations...nice work ❤️
Extremely good
Excellent
Congratulations big up
Safi
Kudos, excellent
Tremendous work anbelievable
Beautifull. Keep it up.
So sweet
Ubarikiwe sana
Hello my dear .. am happy for you. Hebu nitafute pls
Noma sana
Nimependa umaakini wa kucheza kwake piano 🎹
Amina sana mkuu
Ahsante
This is absolutely beautiful ❤️
bravo....
Appreciated
Wawoooooo, it is so sweet. Keep blessed Dada Diana na Mungu mwema akuongoze ukatimize ndoto hii njema na kutumia karama hii katika kumtukuza yeye. AMINA.Love you. Please may I have contact if possible.
Mungu aendlee kutumia nakupa paji la unyenyekevu Kwa karma mzur tamu yenye sifa lukuki,amna
Safi sana
i appreciate