ENOCK BELLA - WALIFUATA JINA (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 703

  • @matata24
    @matata24 3 роки тому +1

    Kubwaa🔥🔥🔥

  • @rommycee3380
    @rommycee3380 3 роки тому +1

    Kaka nakubali sana kwanza hunaga kumvimbia m2 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @essauphilimen667
    @essauphilimen667 4 роки тому +2

    Umeuwaa,,,, sanaaa ngomaa karii xanaa,,,, pa1 xanaa Tz mojaaa

  • @mcgeniusgwiji4045
    @mcgeniusgwiji4045 5 років тому +262

    wapi likes toka 254 Kama unahisi hii ni fire

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 6 місяців тому +2

    Ninani tazama hii ngoma 2024 kama mimi nimuone😊😂😂

  • @FootballMoviesLaugh
    @FootballMoviesLaugh 5 років тому +38

    Anaengalia hii nyimbo hadi sasa gonga like hapa 🇹🇿

  • @dattyamma4630
    @dattyamma4630 5 років тому +1

    Hii nyimbo yangu pendwa kabisaaaaaa kwa kipindi hikiiiiiiii

  • @amirirashidamiri2369
    @amirirashidamiri2369 5 років тому +3

    Huyu chalii fire kama unamkubali gonga like hapa chini

  • @hashimuismail5587
    @hashimuismail5587 5 років тому +19

    Huyu jamaa anapaswa kupewa support kwani ukiangalia mziki wa mboso na Enock Kuna utofauti gani?

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 років тому +1

    Kama unamkubali enock bella kwa sauti sound like twende sawa 🔥🔥

  • @roidamusa6635
    @roidamusa6635 5 років тому

    Hiii nyimbo ndo nyimbo yang kila asubh na jion lazima nisikilize big up enock

  • @g.p.ubandusa7564
    @g.p.ubandusa7564 5 років тому +4

    Ndogo naye kaja vizuli kwa hii mrushiye like hapa

  • @samuelmureithi9419
    @samuelmureithi9419 4 роки тому +3

    Naona Enock ajiunge na Konde gang kwa harmonize

  • @johnjackson5660
    @johnjackson5660 5 років тому +40

    Kwa kweli Leo umejitahd
    Nisikukatae sku zote
    Kwa Leo hongera

    • @burudanitv22
      @burudanitv22 5 років тому

      John Jackson umeona aendelee na mziki wa dizain hiii

  • @emmanuelheroty254voice
    @emmanuelheroty254voice Рік тому

    Enock his real munch love pande hii kutoka 254 unatisha

  • @jaymeddyclassic1871
    @jaymeddyclassic1871 5 років тому +11

    Walio disike mnataka muziki gan.i au ndyo kifo cha mende mmmh mashabiki wa wa miaka hii nawavulia kofia
    Keep #goodmusic alive

  • @denquekym9845
    @denquekym9845 5 років тому +9

    song imeweza bana....nani ameona ka mm huyu msee anafanana na Harmonize...love frm middle east doha....

  • @Agizo..Festus
    @Agizo..Festus Рік тому

    Brother,you're strong na namuomba mungu akutiye nguvu
    From DRC Goma

  • @victorndege6470
    @victorndege6470 4 роки тому +1

    All the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪, napenda hyo

  • @samlove1897
    @samlove1897 5 років тому +70

    Binafsi nakuelewa sin yamoto we ndomsanii wangu bora muda wote tz.

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 5 років тому +1

    Sasa unafanya good music

  • @danydanielart6227
    @danydanielart6227 5 років тому +10

    Ume change voice 😍❤️🔥🔥
    Hata ni ile voice ya mwanzo imekuwa sawa tuu❤️
    #gonga_like 👍🏿kama ume kubaliyana nami

  • @kevinowinookumu2002
    @kevinowinookumu2002 5 років тому +7

    After Mbosso, Bella.... I love their spirit of proving a point, very versatile artist. Mad respect and love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @peterzebedayo
    @peterzebedayo 5 років тому +13

    daaaaa watabaki midomo wazi Kwa ngoma hii mambo fire

  • @kibudastone5596
    @kibudastone5596 5 років тому +2

    Wapi enock weweeee sana solo usipagawe na mahsidi one man army 🤜💪

  • @abdiyjaaz8180
    @abdiyjaaz8180 5 років тому +1

    Umetishaà mwanaaaa

  • @fredrickngasa6514
    @fredrickngasa6514 5 років тому +1

    Tuuue baba noma sana fundi

  • @wartizo_music381
    @wartizo_music381 5 років тому +10

    Braza zidisha vivo... Napenda muziki wako message tele.

  • @Director2nyifx
    @Director2nyifx 5 років тому +3

    ipo siku wakati wako utafika kaka ,uta trend hadi watu watashangaa nakuamini sana mkuu , uko vizuri sana usikate tamaa mashabiki wako wa damu tupo

  • @omarimutayo9798
    @omarimutayo9798 5 років тому +1

    Poa man jitume mungu atakujalia!!!!!

  • @lavvyboyKe
    @lavvyboyKe 4 роки тому +1

    Kweli hawa watoto hufuata tu jina

  • @felixbenos6365
    @felixbenos6365 5 років тому +18

    Komaa dogo langu utafika tu unapopataka nakukubali sana.

  • @isaiahkatana1270
    @isaiahkatana1270 5 років тому +2

    Swahili to the world....Big love from mombasa south coast kenya nakupend .san likes hapa +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @eddyaliston210
    @eddyaliston210 5 років тому +63

    Huyu enock bella ako far, gonga like kwake

  • @yussuphkazumar6229
    @yussuphkazumar6229 5 років тому +3

    Dah enoq umenkuna dah guud song

  • @gubajajean3814
    @gubajajean3814 5 років тому +5

    Nyimbo tamu sana BELLA big up brother Nairobi tuikubalizlsana walifata jina

  • @jimmyrocky5789
    @jimmyrocky5789 5 років тому +2

    unaujumbe mzurisana jamaa mungu aku safari nzuri

  • @Vickyoung_Ensanako
    @Vickyoung_Ensanako 5 років тому +2

    Walipenda jina🔥❤️ Alka Music is dope

  • @UduduComedy
    @UduduComedy 5 років тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ekotastanley9809
    @ekotastanley9809 5 років тому +2

    Bro do a colabo of this song with Davido or Dimond and u will see miracles. Is a very wonderful hit, bangaaa😍😍

  • @saidiamiri2126
    @saidiamiri2126 5 років тому +13

    Eee.. hivyo divyo tunapenda bonge la ngoma vizuri sana bella

  • @alenabelkinoni6571
    @alenabelkinoni6571 5 років тому +1

    Nyimbo kariii

  • @victoromondi4873
    @victoromondi4873 5 років тому +1

    Maaamaa yeee

  • @hassanngea8430
    @hassanngea8430 5 років тому +7

    Ngoma kali sana brother @enokbella

  • @geoffreytonui4314
    @geoffreytonui4314 5 років тому +131

    nakupenda sana Enock I like this song it his fab And cool

  • @halidirajabu8776
    @halidirajabu8776 5 років тому +1

    Iko pow broo jina

  • @samderulo7032
    @samderulo7032 5 років тому +1

    Nimesubri sanaa hii video hongera

  • @aictv3062
    @aictv3062 5 років тому +7

    Nakubali dingoo unajuaa

  • @BenCheck-jx9lo
    @BenCheck-jx9lo 5 років тому +3

    I swear hapa nimesubscribe na kulike kabisa. I swear ni wimbo mzuri pia wa Enock Bella.

  • @greysontv7972
    @greysontv7972 5 років тому +204

    Kama uneikubari hii ngoma gonga like yako hapa twende sawa

  • @oscaroscaroscar7974
    @oscaroscaroscar7974 5 років тому +1

    katika nyimbo zako zote hii kali kwakweli 🔥🔥🔥

  • @nambilili4269
    @nambilili4269 5 років тому +2

    🙌🙌🙌 wap wanangu wa enock Bella km ako mbali jioneshen kwakufata #jina #nipe #like APO
    🙆

  • @mbarakamsham3091
    @mbarakamsham3091 5 років тому +1

    Uyu jamaa fundi sana daa unajuwa mzee baba 👏👏👏👏👏👏

  • @markjuliusdaud8005
    @markjuliusdaud8005 5 років тому +1

    Goma Kali

  • @msgina5171
    @msgina5171 5 років тому +1

    huu wimbo unafaa uwe na 1m views jamani 😭
    😘♥😍❤

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka4466 5 років тому +1

    Tunaanzia Chini, tunaenda Juuu. Safi

  • @meckkomba8725
    @meckkomba8725 5 років тому

    Changamoto unazopitia ulizopitia mpaka hapa ulipofika Mungu anaelewa na atarahisisha njia zote
    Ni kweli wakat upo yamoto walikufuata sababu ya jina anguko lilipokukuta woooote wakakuacha ukaanza upya
    God bless you
    Hard work pays

  • @Sarah-pu4le
    @Sarah-pu4le 5 років тому +1

    Wow.....naipenda

  • @joelypascal2861
    @joelypascal2861 5 років тому +6

    Nahuu ndio mda wa Enock Bella umetisha brother

  • @martinlayus2131
    @martinlayus2131 3 роки тому

    Congratulations bro ziindisha kipaji tunaku fata sana uku Congo DRC 🇨🇩💪

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 5 років тому +1

    Thts how music should sound. Watching from +973

  • @olafontaia5791
    @olafontaia5791 5 років тому +1

    Enock nimekubar kinoma

  • @selemanngendanayo1287
    @selemanngendanayo1287 5 років тому +4

    Ongea sana kijana wangu from Michigan

  • @mcpambe8063
    @mcpambe8063 5 років тому +1

    Nazama najua nakutana na lile sauti unique la kibabe lililonifanya nikukubali sana Enock kiupekee kabisa. Kumbe kwenye "Slow-Jams" pia umetimia namna hiyo! Asante sana kwa ujumbe mzuri ndani ya wimbo huu; melodi imekaa safi; kwa ujumla wimbo ni mzuri - hongera sana!

  • @s.garcia3102
    @s.garcia3102 5 років тому +1

    Mamaeeeee ngomaaaaaaa 🔝💯💯

  • @kubry07mtutala49
    @kubry07mtutala49 5 років тому +1

    This is your first hits song tangu mvuruge kundi lenu' Kaza dogo mziki hauna uchawi, nikurelease vitu vizuri tu basi...

  • @jackvence9412
    @jackvence9412 5 років тому +1

    Enock luks alike with harmonize

  • @peternyaki3792
    @peternyaki3792 5 років тому +2

    Kaza t brother one day utakua JUU t

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 5 років тому +1

    umeuwaaaaaa kumamaeeeee!!!!! safii

  • @pacipichichi3196
    @pacipichichi3196 5 років тому

    Enock nyimbo nzuri kbx endelea hivi hivi utawafunika wale walijifanya wanakuzidi nyota ndo mla ya kwanza ku replay ngoma UA-cam ila ww umenifanye hivo

  • @kushcultureralph568
    @kushcultureralph568 3 роки тому

    Mda utafika bella,unachokiimba hakuna anaimba bongo!wewe ni wapekee sana

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 5 років тому +17

    Dogo Unakipaji Kikubwa Cna tatizo Nyota tu Ngoma Zako Zote Kali Zina Ujumbe Mkubwa Cna

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 5 років тому +1

    Bonge la ngomaa!!! Nmependaa.. japo namuona harmonize kwa mbaliiii

  • @hashtagdarling4738
    @hashtagdarling4738 5 років тому +1

    +254 supported....Funika baba aya ndo magoba ya kisasa.full suport broh.kazi safi sana.254 Ngoma tumeipokea bila chenga.

  • @ZacharyMangara
    @ZacharyMangara Рік тому

    Love the song,ujumbe uwafikie wote wapate juwa ukweli,

  • @suleshsulesh9600
    @suleshsulesh9600 5 років тому +1

    Kila atua duah usjr mungu yupo p1 nasi tutatoka tu nyimbo nzur sn wadau saport sn kwa enock

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 років тому +1

    Kazinzuri sana

  • @jostonmwanukuzi8332
    @jostonmwanukuzi8332 5 років тому +9

    Ngoma kali kuzidi video boy. Hongera sana, hope utafanya vizr zaidi. Ngoma imesimama sana....

  • @mabubakitambi1612
    @mabubakitambi1612 5 років тому

    Daaaaah,,, walifata jinaaaaaaa,,,, umenikuna dogo Mimi baada ya Mali ya urthi walifata pesaaa walipenda Mali zanguu,,, sinakitu Leo siwaoniii

  • @rozinahamisi84
    @rozinahamisi84 5 років тому

    Hii ngoma ni kiboko hajaimba na jibezz lake hii ameimba kwa utaratibu hadi raha nyimbo na video marks 100%💯✔

  • @jaywashington5777
    @jaywashington5777 5 років тому

    mziki unapokuzungumzia hisia kabisa za moyoni..mziki bomba kiplani...

  • @matundukafwila5754
    @matundukafwila5754 4 роки тому

    Hapa enock bella umenikonga moyo kwa kweli tumia wimbo huu kwa sauti hii tumia kuimba nyimbo nyingine

  • @plaqemalik8129
    @plaqemalik8129 5 років тому

    Nimekuja hapa ju ya Mimmie otherwise ngoma ni Kali pia 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tizotouchz
    @tizotouchz 5 років тому +1

    Bro umebadilka sanaaaa kakah nakukubali sanaaaa kakah umetisha sana kweli kwako walifwata jina

  • @kitebehassan7686
    @kitebehassan7686 5 років тому +25

    Ngoma kali 🔥🔥🔥fire 🇹🇿🇹🇿 🇺🇬🇺🇬

    • @isaiahkatana1270
      @isaiahkatana1270 5 років тому

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @miltonkoch9449
    @miltonkoch9449 3 роки тому

    Enock Bella uko na talanta. Ongea na alikiba uingie Kings. Talanta yako kubwa sana

  • @hamzaabega5599
    @hamzaabega5599 5 років тому

    Dah nakukubali sana enock naamini ipo cku inshaallah m.mungu atakisikia kilio chako ktk sanaa ya muziki wa kizazi kipya

  • @fredyanania6251
    @fredyanania6251 5 років тому

    Mwanangu enock bella we ni Mkali sana nilianza kukuelew tangu ukiwa Yamato we kaza mpaka kielewek

  • @Badkampany
    @Badkampany 5 років тому +1

    Harmonize ndani yako

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 років тому

    Wangapi tulio mtamani huyu video queen💙❤

  • @ibrahcataryan7114
    @ibrahcataryan7114 5 років тому

    binasfi hii ni miongon mwa nyimbo zangu boraa kabsa nilizowah kuzickia#WALIFUATAJINA

  • @AlexAlex-bw9er
    @AlexAlex-bw9er 5 років тому

    Uko sawa mdogowangu usikate tamaa!!

  • @iamsalimshabban
    @iamsalimshabban 3 роки тому +4

    so underrated, good music, keep pushing maaan

  • @sylvanusinjomango2169
    @sylvanusinjomango2169 5 років тому +1

    Ebanaa eeeee nimekupata sana mdogo wangu mungu akupe nguvu na uvumilivu katika kazi zako kitu konkiii
    Follow slyvanusi instagram 👏

  • @matanamaduhu7115
    @matanamaduhu7115 5 років тому +1

    Bonge la ngoma Big up

  • @MrLionVictor
    @MrLionVictor 4 роки тому

    Mbona hi nyimbo kali sana

  • @edwardmichael1918
    @edwardmichael1918 5 років тому

    Ebhanaeee! Mwaka Huu Watakukoma Mzee

  • @salvatory2987
    @salvatory2987 5 років тому +25

    Brother unajua sana, tatizo nahisi huna promotion ya mziki wako. Uko vizuri sana, you deserve more than this viewers

  • @FootballMoviesLaugh
    @FootballMoviesLaugh 5 років тому +39

    Anaengalia hii nyimbo hadi sasa gonga like hapa 🇹🇿

  • @allysinge952
    @allysinge952 5 років тому

    Tukirudi kwny ukwr ..! Hii ngoma ngoma ndio ngoma bora kabixa toka mwaka uanze