Enock Bella - I Swear (Official Video) SMS SKIZA 7913930 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,5 тис.

  • @EnockBellaDebase
    @EnockBellaDebase 6 років тому +768

    Najisikia furaha sana kwa dua na maombi yenu kwangu tafadhali msinitupe nyinyi ndo mabalozi wangu nipiganieni kadiri ya uwezo wenu amen

    • @cypriantz8959
      @cypriantz8959 6 років тому +8

      EnockBella tupo pamoja kaka
      pande hz najaribu ku suport sana muziki wako

    • @salhaheko3412
      @salhaheko3412 6 років тому +3

      Nice sog

    • @msafirimartin2164
      @msafirimartin2164 6 років тому +4

      EnockBella big up

    • @haysarmbia276
      @haysarmbia276 6 років тому +2

      Do worr brother ok kaza

    • @sadralisa9210
      @sadralisa9210 6 років тому +6

      Tupo pamoja hata sisi mashambiki wako wa Kenya twakuombea

  • @Rodgers393
    @Rodgers393 11 місяців тому +22

    nani mwingine amerudia kuona huu wimbo 2024❤❤

  • @issajohn8983
    @issajohn8983 6 років тому +378

    Aaah!!! Enock Bella ujue we nifundi mzee baba mko wapi shabiki wa enock gonga like twende pamoja.

  • @EnockBellaDebase
    @EnockBellaDebase 6 років тому +936

    Mungu awabariki ndugu zangu maombi yenu ndo mafanikio yangu msichoke kuni pambania mwanzo mwisho

    • @rahmaiddy7464
      @rahmaiddy7464 6 років тому +4

      Tuko pamoja ndugu

    • @Bangilana
      @Bangilana 6 років тому +8

      Heshima uliyo nayo itakufanya ufike mbali sana nakuona mbalii sana komaa

    • @emanuelykomba4957
      @emanuelykomba4957 6 років тому +7

      Uko vizuri kaka nakukubali sana kwa kazi zako

    • @msabahamalonda
      @msabahamalonda 6 років тому +4

      Pamoja sana

    • @chainbre275
      @chainbre275 6 років тому +4

      Never mind kaka we are here for you just keep going and aslo aim higher 😍😘

  • @Vickyoung_Ensanako
    @Vickyoung_Ensanako 5 років тому +42

    From Kenya. This is my No. 1 favorite Tanzanian artist #TeamEnockBellaKenya🇰🇪🇰🇪

  • @hajimaulid4024
    @hajimaulid4024 6 років тому +365

    Nice song umebadika Bela wap like zake kwa song nzur

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 6 років тому +117

    Hi ndo sauti tulio imiss Sana Kama akiendeleeaa hivi mbn atakuaa amazing Sana kuliko ile ya base Kama unakubaliana na mm gonga like hapaa

  • @kageorgy
    @kageorgy 6 років тому +75

    Kaka ameshoot video mtaa wangu.........Highrise na majengo Nairobi. Gonga like ya Enock Bella.

  • @Brilliant_gate
    @Brilliant_gate 4 роки тому +72

    Kama wakubali ENOCK Gonga LIKE tuhone kama tuko pamoja

  • @allymuchiri8767
    @allymuchiri8767 5 років тому +3

    Namuona mzee ojode na mzee kibiriti..mziki bomba ndani nairobi Kenya high rise..thank you enock Bella

  • @4bbless516
    @4bbless516 6 років тому +29

    Enock Bella yo always killed ma bruh hapo fresh weka kitu hapa kwenye neno langu

  • @alphoncepatrick4059
    @alphoncepatrick4059 6 років тому +261

    Hii nyimbo nilikuwa nasubilia video yake bonge la nyimbo gonga like kama unaikubal hii nyimbo

  • @msabahamalonda
    @msabahamalonda 6 років тому +57

    Kwa mwendo huu mwaka huu lazima Tutusue . Enock Bella fans Kama unamkubali na unapenda muzik mzur wa Bella bac Gonga like twende sawa.

  • @marehemsanga3455
    @marehemsanga3455 5 років тому +1

    enoki kuweza unaweza alafu unajiamin mungu yupo usichoke japo najua kuna vikwazo na anae viona niwewe sio sisi mashabiki inama funga kamba za buti nauendelee nasafali

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 6 років тому +23

    Ilove the way you Sing Enock uko free unajiachia poa na huvaa vinxuri Allah akuzidishie

  • @ainga93
    @ainga93 6 років тому +39

    Bro hii kazi safi kabisa. Fan wako mkubwa kutoka 254. Man *you are talented*

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 6 років тому +58

    Duuh Kali kabisa bro kwa hizi style utaniweza kabisaaaaaa

    • @harithhaitham64
      @harithhaitham64 6 років тому

      Mm kanikamata ile mbaya afu toka interview akajeliwe bas imempa nguvu nikuchukulia in a positive way haikumvunja moja

  • @ShukranFaraji
    @ShukranFaraji 9 місяців тому +3

    Hakuna wimbo naupenda kama huu duniani . ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rehemamwakio7377
    @rehemamwakio7377 5 років тому +4

    Najisikia furaha sana dogo wangu Nairobi tunakupenda kanyagia hapo tu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @legenddigale6025
    @legenddigale6025 2 роки тому +7

    Mzee mzima enock bella tupo pamoja love from somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @Athoben_tz
    @Athoben_tz 6 років тому +28

    Enock huu ndio uhalisia wako piga vitu kama ivi uone maa aniiiiiiii fireeeee

  • @salomewambui1979
    @salomewambui1979 6 років тому +21

    Ayeeeaaa uko tu Sawa twenda pamoja ..I swear iam commenting with clear thought 😘

  • @prudenceowini8125
    @prudenceowini8125 6 років тому +7

    Wimbo mtamu Sana Kaka, wangapi wamekubali kuwa wimbo hui umehit saana? Basi mpe Kaka like zake👍

  • @mzeehassan4867
    @mzeehassan4867 6 років тому

    Ndugu yangu Enock kaza buti ngoma kali Sana naikuona mbali sana utafikia malengo yako ila tu usiwe na misifa na kiburi tu. kama wasanii wengine wakikuwa hivyo

  • @jamhurikongo2758
    @jamhurikongo2758 6 років тому +1

    Niliwahi kujipata kwa hali sawia na ino hapa. Enock, nilikukosa ila sasa naamini umenipa sababu ya kuliwazika! Kama ni shukrani nikupe kwani kando na burudani, naliwazika kwelikweli.

  • @hashirisiraji317
    @hashirisiraji317 6 років тому +298

    walio sikiliza hii ngoma zaid y mara 10 kama mm nipe like

  • @deusnyahenga406
    @deusnyahenga406 6 років тому +28

    Mwanzoni mwa kutengana yamoto niliyeona kuwa atapotea kabisa ni ww lakin kwa haya madude duuu umekuwa kiboko yao ulokuwa nao yamoto au ulikuwa unawatungia nyimbo nn mbona wote wawili wamebuma mumebakia wawili tu na mbosso uko vizuri ni baraaaaa

    • @auleagidion4813
      @auleagidion4813 6 років тому

      Deus Nyahenga kabisaaaa

    • @abuusaidy1506
      @abuusaidy1506 6 років тому +1

      Alaf aslay unamuachia nan kwamfano yaaan ??😂😂

    • @DIweni
      @DIweni 6 років тому

      Katka wale huyu ndiye kapotea sema kwa hii unaona kajitahid😁

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 6 років тому

      Mboso abebwa wasaf

    • @ayubsamwel8408
      @ayubsamwel8408 6 років тому

      Kali xana mwanangu wa mikoroshin temeke

  • @cessirungu6355
    @cessirungu6355 6 років тому +7

    Can't get enough of this song, kazi safi Bella.

    • @saudiarabiya1826
      @saudiarabiya1826 Рік тому

      Inshallah 🙏 Mungu haachi mja wake👏👍🌹💜🤓.

  • @braysonzawad4705
    @braysonzawad4705 6 років тому

    Nakukubali sana Enock pambana utafika mbali tu usijali nipo pamoja nawe hata kwakuzicheki video zako God be with u forever love you. From B.Z.M Classic.

  • @hazinamussa6272
    @hazinamussa6272 6 років тому

    Mwanangu eeee hapo sawa kwanza sauti imepangiliwa pamoja na shakhili

  • @robertmose7045
    @robertmose7045 6 років тому +26

    From Kenya iko there Respect bro if una like song iko there wap lik 🔥 🔥

  • @chainbre275
    @chainbre275 6 років тому +19

    Yani kama umesikiza huwimbo Mara kwa mara ukiigia u tube gonga like yko 👌

  • @lyricsnation001
    @lyricsnation001 6 років тому +28

    Nice one Bella
    Mob love straight outta Kenya😍😍🇰🇪🇰🇪

  • @saum290
    @saum290 5 років тому

    Enock kumbe anasauti...Usirudie baze ulikuwa unaimba bana... I love,from kenya

  • @najatijafari9107
    @najatijafari9107 4 роки тому +1

    Pole kwa kuowa tunda ujala ww nakubali kazi zako mi mshabiki wako namba 1

  • @OphoroTube
    @OphoroTube 6 років тому +30

    Ndugu yangu hapa nakupa 100%. Nyibo yangu bora kwa mwaka huu 2019

  • @luckystanofficial
    @luckystanofficial 6 років тому +82

    bella on top wapi like hapa 254 mwona aje......gonga like ukipitanga...

  • @watitijames9429
    @watitijames9429 6 років тому +7

    I never knew Enock had such an incredible voice 😍😍
    Naikubali 💝💝✔✔✔

  • @timilaisebastian5942
    @timilaisebastian5942 6 років тому +1

    hii ndio miziki kijana achana na ukulumbembe karibu wanakupokea

  • @mitchellealiviza5909
    @mitchellealiviza5909 6 років тому +1

    I love this song,,walai huu wimbo naucheza Mara mia aki,,vocals nimezipenda

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 6 років тому +4

    Bellla Diamond alimchukuwa mbosso akakuacha ujitahidiii saaaana ataona hayaaaa Diamond tuko pamoja my brother Bella thanks saaana sauti yakoo nzuriiiiiiii saaaaana inachoma ndani ya roho tuko na wewe

  • @joshuaemanuel4257
    @joshuaemanuel4257 5 років тому +3

    Mapigo ya ngoma kama yote kama umekubali shabiki kama mimi fanya kugonga👍.Enock B, kuja hii side ya NAMANGA BORDER,wala ata kashow kamoja

  • @kstartv7449
    @kstartv7449 6 років тому +14

    Khali sana bro Bella... Kama unamkubali Kaka Bella gonga like hapa.

  • @EiyoSafichezo
    @EiyoSafichezo 6 років тому

    Huyu mtunzi anawaza sana... Idea simple halafu tena si simple.. Enock Endelea nasisi mafan wako twa-swear kukupa all the love na sapoti

  • @brendanekesa2048
    @brendanekesa2048 5 років тому +1

    Enooooooooooock Bella your voice is something else. Your just amelody of your own

  • @LLYKEJONNESS
    @LLYKEJONNESS 6 років тому +15

    Woooow 😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️ great message THIS right here is DOPE MUSIC!melodies vocals💯💯🇰🇪🇰🇪

  • @mondo-carmalulu6977
    @mondo-carmalulu6977 6 років тому +73

    gonga like twende sawa kama unamukubali enock Bella!

  • @czfmuziq7581
    @czfmuziq7581 6 років тому +75

    Kali sana kaka🔥

  • @mselemsalim1986
    @mselemsalim1986 6 років тому

    Kidoqookidoqoo wakiokua hawakupend na kukususaa watajileta et kwa kutakaa kukusaidiaa...
    Kazaa buti ENOCK...

  • @ShukranFaraji
    @ShukranFaraji 9 місяців тому

    My sweetheart song, sijuwi niseme nn kuhusu huu wimbo Yan nakupenda mpk naumwaa, kila nikibadilisha sm lazima niutafute niwe naoo

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 6 років тому +144

    Bella tuko pamoja sana umetisha hii songs iko poas sana.

  • @farmpridetz8974
    @farmpridetz8974 6 років тому +164

    Wangapi hawaamini wanachokiona

    • @franktom667
      @franktom667 6 років тому +4

      Mimi apa naona jamaa kaanza kulegeza sauti 😢

    • @fahadswaleh1383
      @fahadswaleh1383 4 роки тому

      Digos.....mejengo
      Number one

  • @Sanyah-le1od
    @Sanyah-le1od 4 роки тому +6

    Let's give Enock a million view ( n counting ).
    This is a nice piece with a good message, can be watched comfortably across all ages.
    We can do it . I support u E.B

  • @sampalsa_Official
    @sampalsa_Official 6 років тому +1

    Kazi nzuri sana mzee wangu , big up sana baba @Enock debase kwa #I swear kiukweli Kazi ipo sawa na beat ime tulia vizuri sana

  • @juniorlute9520
    @juniorlute9520 5 років тому

    Bella napenda nikikuona ukiendelea..ngoma safi sana..Kenya na wewe

  • @bizohdemoster8816
    @bizohdemoster8816 6 років тому +11

    Daaah mwanangu unajua knom ,I appreciate u broo good muxic

  • @doniisaya9179
    @doniisaya9179 6 років тому +21

    Hii Ni kali kweli Bro Woow Nice Song

  • @variety248
    @variety248 6 років тому +3

    ENOCK AWESOME WORK #BACK IN KENYA.

  • @sikituandolina8735
    @sikituandolina8735 5 років тому +1

    Wow nimehangaliya zaidi yamara 10 nimeipenda saaana

  • @254crazycommercials2
    @254crazycommercials2 6 років тому

    just feel like crying,you are back man,they were looking down upon you but lazima utawaonyesha kivumbi,tuko na wewe hadi mwisho,mob love bro from 254

    • @samsonyego2912
      @samsonyego2912 4 роки тому

      Hii nimekubali kaka, pole pole ndo mwendo aja waseme ndo wanakupa baraka, fan yako kubwa ndo mie

  • @douglasrucogoza2190
    @douglasrucogoza2190 2 роки тому +5

    I'm Douglas from Kigali Rwanda, Mr. E.Bella he is big man he is talented young guy plz give him some most likely

  • @rehemamwakio7377
    @rehemamwakio7377 6 років тому +6

    tamu sana bro na thank God unakuja dear mob love my bro nakupenda bure karibu kenya

  • @Nclexcorner
    @Nclexcorner 4 роки тому +3

    2021 from Liberia 🇱🇷. Love his voice from Yamoto band. Y’all need to get back together and take Africa on top! One ☝️ love, Africa from Monrovia Liberia

  • @karamahhassany9285
    @karamahhassany9285 6 років тому

    Umetisha sana humuu mzeee tupe inginee kamaa au zaidi ya hii ....ww ni mmmbwaaaaa kabisaaa tishaa mbayaaaa mzeebabaa

  • @isahbowy4676
    @isahbowy4676 5 років тому

    Safi sana enock bella nataka tufanye kolabo Isah bowy hapa kenya

  • @clariceimali3308
    @clariceimali3308 6 років тому +4

    Bella keep up kaka tia bidii utafika sweety usife moyo .I love your voice the song is so lit.

  • @kizakatunda6993
    @kizakatunda6993 6 років тому +66

    nice song bro and wanamkubali enock bella gonga like hapa

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 6 років тому +11

    Ukisikia riziki milango 7 ni uongo. Riziki ni mafungu mawili tu kupata na kukosa. Ila Bella upo vizuri mzee baba ... 🔥🔥🔥

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 5 років тому +1

      Riziki huwezi ukaikosa huja kwa wakati wowote ule kwa kuwa ni kama uhai wako ni asili imepangwa na #Mungu.Ni mafungu saba kama mbingu saba haina cha kukosa wala kuibiwa..!
      Lakini;
      Bahati huja Mara mbili tuu yaani bahati yako si yangu na ili ubahatishe lazima uwe na bahati yaani kupata na kukosa #Kubahatisha..!
      Yaani;#Bahati unabahatisha Riziki imepangwa ni yako na huwa haitabiriki ni siri ya #Mungu..!

    • @ibbu-tz
      @ibbu-tz 5 років тому

      @@shukuranikibona5893 ndio pale pale kwenye mafungu mawili, umeweka ufafanuzi tu.

  • @jamesjura5448
    @jamesjura5448 5 місяців тому +1

    Tupiganieni Enock Jameni❤❤

  • @dicksonshiraku2246
    @dicksonshiraku2246 5 років тому

    he is smart,, nampenda pia ndugu,, kutoka yamoto band to his current work,, ako smart enough

  • @christopherbeno6588
    @christopherbeno6588 6 років тому +9

    good work!! ila bella wa2 saiv hawakufatilii tu ila ukweli ngoma kali na utunzi mzuri kaka!!

  • @VEKTAOMOISIOROGENA
    @VEKTAOMOISIOROGENA 6 років тому +18

    The future is always bright.TUZIDI

  • @saadyhassany2399
    @saadyhassany2399 5 років тому +5

    Kaka enock hongera sana kaz nzr

  • @excelwithjamessm.6468
    @excelwithjamessm.6468 4 роки тому

    Napenda nyimbo zako Bella, Mungu na akupandishe level! Sauti tamu sana

  • @mkongafiber4285
    @mkongafiber4285 5 років тому

    Hahahshaaaaa eti we dada sema na wazee waniache huru mie!!!!! Chukua mzigo wa bure huo na kamtoto wa bure tumboni.

  • @liontvonline951
    @liontvonline951 6 років тому +5

    Safii Enock bella gonga like kama hii ngoma ni yee babaaaa.

  • @alexzacharia6887
    @alexzacharia6887 5 років тому +5

    Kama unaamin jamaa atasimamia vizur sasa hiv kwenye game gonga like hapa twend sawa

  • @wastonjessi4593
    @wastonjessi4593 6 років тому +61

    Ckuwahi kukuelewa ila kwa ngoma hii nimeielewa nawe kama imeikubali ngoma hii like nying tafadhar

    • @ropezpeter3465
      @ropezpeter3465 5 років тому

      Safiiii hii nyimbo na zinginee sijawahi kuzichokaa

  • @vincentkinuthia6905
    @vincentkinuthia6905 6 років тому

    Ngoma yenyewe ni mia juu ya mia. Nashukuru mola kwa fani ya muziki umerudi. Ile sauti ya baze pia irudishe angalau kidogo. Gonga like twende kazi

  • @emmanuelshukrani4158
    @emmanuelshukrani4158 6 років тому

    Walisema umeingia baridi, lakini umeonyesha joto lipo... Good work Enock Bella, it's a quite a good piece and educative, life issues...

  • @Director2nyifx
    @Director2nyifx 5 років тому +30

    ipo siku wakati wako utafika kaka ,uta trend hadi watu watashangaa nakuamini sana mkuu , uko vizuri sana usikate tamaa mashabiki wako wa damu tupo

    • @iddothmani3273
      @iddothmani3273 4 роки тому

      iko poa san ka
      K

    • @djdave8710
      @djdave8710 4 роки тому

      He is better than those who join illuminati usijoin maze

  • @liveleo1062
    @liveleo1062 6 років тому +32

    nilichofurahia kwenye huu wimbo ukiachilia mbali na uzuri wake, pia nimesikia sauti nzuri ya bongo flava humu. gonga like kama umenielewa nn namaanisha

  • @hushamkalinde4242
    @hushamkalinde4242 2 роки тому +7

    This is a Master piece,🔥🔥🔥🔥🙌Much Love from Kenya bro 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @raphaeljojo5914
    @raphaeljojo5914 4 роки тому +1

    Dah bonge la ngoma mzee hongera sana ila radio na tv zkulushe sana ila uwe juu zaid

  • @francisnjenga8512
    @francisnjenga8512 5 років тому

    hatari mzee kazi safi nimepnda sana vile hii wimbo iko na ;mafanzo mazuri kwa sisis vinjan na pia wazazi star......star......star.... pongezi kutoka kwa kakajay 254

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 4 роки тому +35

    We are now in 2020,,gonga like ya huyu msee

  • @elinakoeleus2523
    @elinakoeleus2523 5 років тому +3

    Kama mziki huu umekugusa gonga like APA kama Ni shabiki wa enock

  • @jamaicajamaica2711
    @jamaicajamaica2711 5 років тому +3

    We mzee baba we ndio unakata tamaa ila sisi wanao tunakukubali kinyama hujawahi kukosea na wala kwenye game hubahatishi wanao mkubali mzee baba eno like kama zote

  • @yasintabulali6263
    @yasintabulali6263 4 роки тому

    Nikisikia nyimbo hii always nakua happy na muda mwing iko masikio big up enock

  • @madamboss3026
    @madamboss3026 5 років тому

    Hey enecko u r up.bravo gud songs.nijambo lawafika vijana wingi w leo.ndoa nyingi n watoto n vyakusingiziwa.wamejifunza n watakuwa makini.mabro kma umeikubali gonga LOVE n like yko

  • @allyramadhani5033
    @allyramadhani5033 6 років тому +11

    Naamini juu ya kipaji chako kaka gud music

    • @sophiaissa7931
      @sophiaissa7931 5 років тому

      ally ramadhani good song 😗😗😗

  • @victorkimutai8048
    @victorkimutai8048 6 років тому +4

    #I swear... Bella usije korogwa Na zile external opinions umeweza sana.. salute sana

  • @jamesmwita3401
    @jamesmwita3401 6 років тому +4

    Enoki umetisha like spatag lakn leo naiman so mimi jamn ni za Bella Enock

  • @wekesaamos4976
    @wekesaamos4976 5 років тому

    Kweli unaeza usiokope we fanya kazi yako nanguvu bna thanks so.... Much may GOD blessed.........!!!!!!!!!!!

  • @zakiakayanda1444
    @zakiakayanda1444 6 років тому

    Bonge la ngoma ,enock kwa mwendo huu utatisha ile kinomanoma gonga like hapo kama unamkubali enock bella

  • @frankchina9246
    @frankchina9246 6 років тому +4

    Silazimixhw oa oa oa..
    Nakubal san vionjo..
    #enockbella..

  • @brianochieng5369
    @brianochieng5369 6 років тому +4

    i love this song to the TOP...this is your breakthrough Enock Bella

  • @dullahkitabu8496
    @dullahkitabu8496 6 років тому +8

    Binafsi huwa nakuelewa sana nice video nice sounds nice music

  • @mbarakamngayunga9558
    @mbarakamngayunga9558 6 років тому

    Daaah,Bella upo vizuri sana brother, hii idea mpya kabisa ,sina shaka na uandishi wako,the best song for me. Mungu akupe nguvu..

  • @jacoblusana1082
    @jacoblusana1082 6 років тому

    Bella hii apa imeniacha kimya ,nimeikubali asilimia 100 kutokea Nairobi 254 Kenya