BISHOP IKONGO ATAJA WANAO HUSIKA NA UTEKAJI TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @Simions-q2i
    @Simions-q2i 2 години тому

    Ni kweli kabisa hata Mchungaji mwingira ana kampuni ya ulinzi

  • @SophiaNyangasaSophia-yc2ro
    @SophiaNyangasaSophia-yc2ro 36 хвилин тому

    Ulikuwepo kuona havihusiki jiangalie nyambafu

  • @jofreysimba1665
    @jofreysimba1665 Годину тому

    Hogela bishop wangu ikongo

  • @mariamumdaki5298
    @mariamumdaki5298 24 хвилини тому

    Kweli kabisa Bishop

  • @ommymsangi9182
    @ommymsangi9182 49 хвилин тому

    Serikali zote zilizopita na hii ya sasa ikiwepo zote ni zaa CCM kwahio huwezi kuzitenganisha awamu hizo.

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 години тому

    Mbona mnamchambua kama karanga wandugu

  • @eliasmwanawima1129
    @eliasmwanawima1129 Годину тому

    Kwasasa ni idara ya uhamiaji na sio jeshi

  • @hajirashidamani7709
    @hajirashidamani7709 3 години тому

    Kweli sasa nchi hii tumekwisha huyu ndiyo Bishop kaamua kujizima (DATA ) Yesu mhurumie

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga 3 години тому

    Hiyo miwani vipi?!!! Inakuwasha!!!

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm Годину тому

    Ivi m23 nini ilianzaje na kwa madhumuni gani kwani migogoro ya wenyewekwanyewe vilianzaje nikwanini ilitokea hivyo angalieni sana watawala mambo haya yanayotokea leo hapa inawezekana hata wenzetu walikua naamani naupendo lakini ikatokea ujinga fulani nchi zao zikakosa amani

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 2 години тому

    Huna msimamo, sijui imekuwaje nyie viongozi wetu wa dini mnakuwa waoga kusema ukweli, ma hii inawafanya mkose hata karama kwa Mungu. swala lipo wazi basi ongeeni ukweli tuone kumbe viongozi wetu wa Dini mmeshtushwa na hali hii. Mmekalia kupigia kelele waumini swala la sadaka tu.

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 2 години тому

    Wewe ni chawa hata kama utaongea.

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Годину тому

    HAKIKA HAYA NI MANENO MAZITO YENYE PUMZI KWA WATU WENYE AKILI ZA MBALI...

  • @SamwelKiure
    @SamwelKiure 3 години тому

    How asimia 8 unaipataje. Ni Askofu wa NN.

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 Годину тому

    Wewe si chawa bali ni kunguni.

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 22 хвилини тому

    Inaonyesha wewe unawajua watekaji, hebu twambie, watekaji na wauaji ni akina nani? Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya! Hiyo kazi yako ya uchungaji inakutosha, achana na uchawa we mzee wewe!

  • @alexsakilu2650
    @alexsakilu2650 2 години тому

    Toa jibu hizo asilimia umezipataje

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Годину тому

    Mmmmmm haya ni maoni yako sio m aya

  • @IsayaKamomonga
    @IsayaKamomonga 3 години тому

    Toka zako, mpuuzi.

  • @EzekielChalomhola
    @EzekielChalomhola 2 години тому

    Tena ni big chawa

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 19 хвилин тому

    Usamehewe

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 3 години тому

    We ni chawa tena wa kihindi mkubwaaaaa,acha upumbavu

  • @alexsakilu2650
    @alexsakilu2650 2 години тому

    Huna lolote wew ni Chawa ndio

  • @damianm.1833
    @damianm.1833 2 години тому

    wewe hueliwi hakuna kitu hakuna Ukweli

  • @godfregiiti8327
    @godfregiiti8327 2 години тому

    Wewe ni mpumbafu unaongea usiololijua

  • @NasraNjunde
    @NasraNjunde 2 години тому

    Ujui chochote ww chawa tu

  • @festofute58
    @festofute58 Годину тому

    Hivi askari wetu wameshindwa kuwafahamu na kuwakamata hao unaowafahamu wewe?

  • @HenryKisusi
    @HenryKisusi 4 години тому

    Hueleweki, hujulikani ulivyo, maoni yako ya hovyo kama ulivyo...... Kama, kama kama kama huwezi kuitumia kukanusha. Kweli wewe ni chawa kabisa unakiri kisha inakanusha pimbi.

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 22 хвилини тому

    Ivi wewe mchungaji au kibaraka

  • @edwindavid7037
    @edwindavid7037 23 хвилини тому

    😂😂😂😂

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 2 години тому

    Hueleweki kama popo.Wewe ni ndege au mnyama?Kama hujuwi nyamaza si lazima uongee.