ELIE MPANZU KARIBU UNYAMANI, UBAYA UBWELA SIMBA NGUVU MOJA, WALEEEEE WENZETU MWAKA HUU MNALO MTANUNA SAAAANA, VIJANA WENYEWE UMRI MDOGO SIMBA WAPO FITI, MAZEE YOTE YAKO UTOPWAX.
Mtangazaji unaongea sana kuliko unayemhoji kama unataka kuchambua basi na wew chambua,lakin kama unataka majibu kutoka kwa wachambuzi uliza swali wao wakujibu
Tunasajili wachezaji wazuri ila mfumo wetu wa uchezaji ni mbovu bado tunaogopa matokeo hatuchezi foootball mfumo wetu maisha kudifendi tuu ndio maana vinatuangusha
Welcome on board Mr. Elie Mpanzu .
karibu sana mjomba hapa unyamani. cheche zitawaka dirisha dogo
Hata sje nani
nakukubali sana brother jofle
Oyooooooooooo welcome Elie mpanzu
Hii ndio maana halisi ya ubaya ubwela❤
Jamani ninafurahii sana kama ni kweli.ninajua kunamajitu Sasa hivi mavi shughuli.
Ni kweli yupo
@@antonyndinga8890mimi nafuraha kama ni kweli basi yajayo ni😊😊😊😊😊😊
Nguvu moja ❤❤❤
Ubaya ubwela 🦁🔥💪
Yaaani kuna mijitu imeshanuna sasa karibu sana mwamba Elie Mpanzu hapa tumelamba Dume
Geoff unajuwa sana bro ,
Unamadini mengi sana kwangu upo kwenye top 3 ya wachambuzi bora na wakubwa kwa mpira wetu.
Shikamooo Simba
Shida tz makocha ni wengi sana
Marahaba simba yetu
Jofe nakuamini mchambuzi mzuri sana
Simba afanani na ngedere simba juuuuu🎉🎉🎉
Mashabik wa yanga hatumtaki chama
Nimefurahi sana mpanzu kuja kujiunga na ubaya ubwela
Karibu unyamani kaka
Viongozi na mzamini wamejitoa saana mwaka huuu wamesajili kwa kweli
Huyu Mpanzu Atafuta san machoz ya wa2 😂
Jamaa anaenda kubadilisha kila kitu pale mbele🔥🔥🔥...sijui kama kuna Mechi ya Ndani tunaweza kupata changamoto kwanzia January
Shikamoo Simba!🙌🙌
Utopolo hammtaki chama kwa hiyo mnataka aende wapi? Huyo ni wenu
Maji watu wataita mma, tus😅
sana tu
ELIE MPANZU KARIBU UNYAMANI, UBAYA UBWELA SIMBA NGUVU MOJA, WALEEEEE WENZETU MWAKA HUU MNALO MTANUNA SAAAANA, VIJANA WENYEWE UMRI MDOGO SIMBA WAPO FITI, MAZEE YOTE YAKO UTOPWAX.
Ubaya ubwela
Ww unaesema Simba inacheza kudifend hujui mpira kashabikie ngoma hivi unacheza ugenini ufunguke Kutafuta nn?
Mtangazaji unaongea sana kuliko unayemhoji kama unataka kuchambua basi na wew chambua,lakin kama unataka majibu kutoka kwa wachambuzi uliza swali wao wakujibu
Mimi siwaamini mpk nimuone tushachoka kudanganywa
Sgr no. 2
NA MARA YA KWANZA MLISEMA HVYHVY KUMBE HAMNA KITU.HADI TUMWONE USO KWA USO. NDY TUTAAMI I
Bado kizumbi au mabululu
Mabululu ni mzee
Tunasajili wachezaji wazuri ila mfumo wetu wa uchezaji ni mbovu bado tunaogopa matokeo hatuchezi foootball mfumo wetu maisha kudifendi tuu ndio maana vinatuangusha
😂😂😂😂kama ujui mpira unakaa kimya tu sio lazima u comment
@@mussaabdurabi2739anajidhqlilisha tu muulize mechi ngapi tumedefend
Hizo mechi za uarabuni ambazo hatuja defend tulitoka ngapi ngapi tulipata hata sure??
unasema tuna dfens wekwamacho yako yanyama mechi zauwala buni nimechi ipi unge sema tufunguke tunge shinda
kwan mexhi ngap hzo simba kadefend... maana ulivyosema ss🤣
Walimyumbisha sana Sasa ngoja Sasa awavunje viuno huyu Sasa rasim ndo apewe namba ya Chama hapo Sasa mo ameanza kuonesha anataka kubwa mkubwa Afric
Kwahyo bdo usajili unaendelea?
kwa club kubwa unaendelea
Izi propaganda ilibaki kidoogo zifanane na za maznoki
Uongo mtupu.
Toka lini mbona uongo sana
Ni kweli
ooooh endelea kufatilia kwa kina ......asante
Jambo jema kama tumemsajili mpanzu
Mpanzu nani alishindwa shalulile msitishe watu mpanzu wakawaida tu labda kwa fantan gate sio yanga mtahangaika sana mara ateba mara nani na bado.