MASHA ALLAH sheikh Othman Michael JazzakaAllahu Khayra kwa darasa nzuri twapatapa faida nyingi sana kupitia darasa zak Allah akulipe kheri hp duniani na kesho Akhera
Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh Othman. Allah atupe furaha, kila mwanamke mwenye huzuni katika ndoa yake. Allah akulinde Sheikh wetu kipenzi. Twakupenda sana. Usisahau hilo.
Sheikh kwanza nikupe sifa zako wewe sheikh unaonesha mkarim sana.mpole sana mashaaAllh mungu kakupa uzuru mashasAllah pia nimependa sana kuelimisha watu kwani mawaidha yako kwenye ndowa wengi hawayajuwi na wengi akina sie tumo kujifinza mengi kupitia kwako .nakushukuru sana sheikh mungu akuzidishi sifa ya elimu na akuzidishie afya njema ameen
Maisha ya ndoa yanahitaji akili ya ziada sana kwa mke na mme kila mmoja amsome mwenzake anapenda nn na hapendi nn na ktk ndoa kula vizur siyo kunenepa bali wanawake twapenda tupate nyama ya ulimi nasi kingine
Shekhe najuta kwann sikukufahamu zamani huenda nisingetenda kosa kuolewa na mtu asiesahihi Ila sijutii mungu atamleta aliena kheri na mm isnshalla nakupenda sanaaaa kwa ajili ya Allah
Yaan Kama Mimi sihtaji Tena ndoa maana sijaona mapenzi ya kweli kwa huyu mtu hajawahi hata kunisindikiza hospital kwa miaka kumi na sana sasa na nikijifungua najihudumia mwenyewe
MASHA ALLAH sheikh Othman Michael
JazzakaAllahu Khayra kwa darasa nzuri twapatapa faida nyingi sana kupitia darasa zak Allah akulipe kheri hp duniani na kesho Akhera
Mashallah shukran sheikhe wetu Allah akulipe kher darasa nzur baazi ya wanawake wananyanyasika wanapitia magumu kwenye ndoa sana shukran
SubhanaAllah Allah atuzidishie subra hasa wanawake tunapitia mengi.wanaume wamekuwa Hawana ihsan wala shukran.
Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh Othman. Allah atupe furaha, kila mwanamke mwenye huzuni katika ndoa yake. Allah akulinde Sheikh wetu kipenzi. Twakupenda sana. Usisahau hilo.
Shukran twakupenda pia
🤲🤲🤲🤲🤲😩😩
Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
Allah akulipe shekh wang leo na kesho akhera,
Sheikh kwanza nikupe sifa zako wewe sheikh unaonesha mkarim sana.mpole sana mashaaAllh mungu kakupa uzuru mashasAllah pia nimependa sana kuelimisha watu kwani mawaidha yako kwenye ndowa wengi hawayajuwi na wengi akina sie tumo kujifinza mengi kupitia kwako .nakushukuru sana sheikh mungu akuzidishi sifa ya elimu na akuzidishie afya njema ameen
Kuna kitu nilikosea naamana mungu kakupa uzuri wa kila kitu elimu na elimu ya dini na uzuri wa kila kitu mashaaAllah .hongera sana sheikh
Maisha ya ndoa yanahitaji akili ya ziada sana kwa mke na mme kila mmoja amsome mwenzake anapenda nn na hapendi nn na ktk ndoa kula vizur siyo kunenepa bali wanawake twapenda tupate nyama ya ulimi nasi kingine
Mashaa Allah Sheikh umeongea maneyno yenye Busara sana mno hakika waume wote wangekuwa hivy ingekuwa hakuna kuvunjika kwa ndoa
Subhanallah
Shekhe najuta kwann sikukufahamu zamani huenda nisingetenda kosa kuolewa na mtu asiesahihi Ila sijutii mungu atamleta aliena kheri na mm isnshalla nakupenda sanaaaa kwa ajili ya Allah
Nakukubali sana kaka angu
Jazakallah khayran sheikh wetu
Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad SWALALLAHU ALLEYHI WASALLAM AHLI ZAKE NA MASWAHABA ZAKE WOTE
Masha Allah Baraka Allahu fiik Rabbna ya hifdhaka
Allah akujaalie kheri sheikh ukija znz naomba unijuulishe inshallah
Allah Akulipe Kila la kheri sheikh wetu
Mashaallah
MAASHAALLAH
Shukrani sheikh
Jazakallah khayran
Shukran 🙏
Asalam alaykum
Naa akikataa kunipea and I want to move forward sheikh nifanye nini
Shekh nahitaji kuongea na ww ndoa yangu ina matatizo mume wangu simuelewi inaonekana hana somo la ndoa
Maashallah shekh waambie hao wanakimbilia kuongeza wake lakini upendo na matunzo ni sifuri tunavumilia sana wanawake tulio kwenye ndoa
Yaan Kama Mimi sihtaji Tena ndoa maana sijaona mapenzi ya kweli kwa huyu mtu hajawahi hata kunisindikiza hospital kwa miaka kumi na sana sasa na nikijifungua najihudumia mwenyewe
Hii ndio ile hela huna na maneno mazuri yanakushinda