Shukran sanaaa Sheikh Othman.... Umeongea kweli kabisa. Hiyo ndio tabia ya wanaume wengi. Na hawana usawa hata kidogo. Ndio Mana mwanamke akisikia mumewe anaoa , anaitisha talaqa. Awe muarabu awe mgiriama, make bora ni yule anae mridhisha mmewe hakas. Na mume hana haja kumsifu moja na kumkashif yule mwengine. Shukran kwa kutetea wanawake
Na wengi wanateseka na hilo ila hawajijui 🤲 yarabb muongeze mja wako huyu umri mrefu wenye baraka tele awrze kueneza nuru yako ktk mgongo wa radhi na waponyeshe wagonjwa wetu .
Aslm alkm wtw.... Kweli kabisa Sheikh Othman. Dada moja alimvumilia mmewe miaka. Alipo fanikiwa , alienda kuoa na akawahi kumjengea hadi nyumba, huyu wa kwanza amekodishiwa nyumba na watoto hawana pakulala room moja Sheikh wetu. Wanaume wanatesa Sheikh. Heri ukae bila na haiezekani.
Wanaume wengi sana wa siku hizi wanamshindwa kumuhudumikia mke mmoja tu na watoto wao ati anakwenda kuongeza mwengine, si afunge tu. Unakuta wan'ume wengi sana wa ulimwengu huu kakusanya wake analishwa akivishwa km yy ndio aloolewa ima hana kitu au pesa yake anaeka bank anajitia watengeneze maisha (biashara au kujenga) mwisho wake anongezea mke.
Ulimwengu huu na maisha haya ya sasa tunayoishi km kweli unaangalia mke na wanao basi hata hayo matamanio yatapungua. Hao wenye mali wengi wao hawana nguvu kwa pirika na majuku waliyokua nayo. Unakuta wanaooa wake wengi, wengi wao ni masikini, mafukara na wenye uwezo kidogo pengine wakuangalia mke na watoto kuwasomesha na kuwatunza basi. Lkn tatizo wanaume wa siku hzi wavivu wa kujishughulisha wanakwepa huku wanakwenda kuoa kwengine. Mambo yote wanaachia wake zao majumbani. Na pengine hata nguvu za kuongeza hana sikwambii kuitunza familia yake, ilimradi ufakhari tu, fulani kaoa na yy aonekane kidume aoe. Basi km unataka kuoneka kidume lisha mkeo usimuache anahangaika mitaani kukopesha biashara na kuuza. Na wengine wanafika mpaka Uarabuni kupiga deni yy bwanamkubwa kakaa nyumbani ananenepeshwa ili aongeze mke. Wanaume wengi sana siku hzi wamegeuza mtaji kuoa wake wengi.
Shee c wanawake Tu,wanaume wanangombanisha mpaka watoto wao WA mama tafauti,Niko na udhaifu mume ana watoto wakiume wawili lakini mmoja kamtelekeza kisa yeye kipenzi chake niyule alizaa na mke ndugu,atakacho ndicho hupewa,maskini huyu mwengine yeye nikaa jibwa kwake mlangoni ,kukubali atarushiwa kikiisha nibasi.shekhe toa darassa la Baba wabaguzi Kwa watoto madhara yake.🇰🇪001
Shekhe nimependa mawaidha yako mazuri. Hila wakina baba wapo wanaotoa watoto wao makafara. Mimi Nina ushuhuda wa kweli. Na Mara nyingi anatoa watoto wa mke wa kwanza
Maneno yako kweli shekh. Mwanangu yupo Canada mtoto wake wa miaka 6 kapiga cm polisi kashitaki mama kanigombea unaamini shekh wazee wamepewa warning kuwa akishtaki tena watawachukuwa watt wote. Tumewaambia waje za oman
AL MADRASATUL ISTIQAAMAH Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania. Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh, uongozi wa madrasa unapenda kuwataarifu kuwa eneo la madrasa linalotumiwa kwa sasa lilitolewa kwa muda. Katika harakati la kutafuta eneo lingine, Allah amejalia kupatikana kwa eneo jipya ambapo inahitajika Tsh 15,000,000 milioni, kwa ajili ya kununua eneo hilo. Hivyo tunawaomba kuchangia upatikaji wa eneo hilo ili tuendelee kutoa elimu bora na mafundisho sahihi kama atakavyo Allah Subhana Wataala. Tumeambatanisha picha za eneo hilo.Tuma mchango wako kupitia Tigo Pesa namba 0679 983270 (RASHIDI KITADU)
Asante shehe mwenyezi mungu akujaalie sana nafatilia sana masomo yako umekua mwalimu mzuri mtu yeyote anakuelew
Maashaallah mwenyezi mungu akuongoze umri wenye faida amina
Jazak Allwahu khayran,
Allwahumma barik Sheikh Othman,
Shukran
Mashaallah mashaallah mola akuhifathi
MashaaAllah nakupenda kwajili ya Allah shekhe unanipaa elimu Sanaa jazzakahu khayra
Shukran sanaaa Sheikh Othman.... Umeongea kweli kabisa. Hiyo ndio tabia ya wanaume wengi. Na hawana usawa hata kidogo. Ndio Mana mwanamke akisikia mumewe anaoa , anaitisha talaqa. Awe muarabu awe mgiriama, make bora ni yule anae mridhisha mmewe hakas. Na mume hana haja kumsifu moja na kumkashif yule mwengine. Shukran kwa kutetea wanawake
Wa siku hiz awana uadilifu kbsa
Ahsante kwa Darsa yako .ALLA azidi kukupa wepesi wa kufundisha Darsa nyeingine InshaAlla.akupe umri mfefu wenye manufaa na Afya njema.InshaAlla. Amin.
Nakupenda sana kwa ajili ya allah
Maashallah tabaraqallah
Mashaallah
Mash Allah tabarakallah jazzakallahu kher shekh othman
MashaAllah
Allah akubarki shehe Othman shukuran Kwa dawaq
Asante shekhe niombee dua mume wangu aweze kutambua majukumu yake
Mashllh
Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Shikamooo sheikh Othumani 100% sure
MashaaAllah sheikh mimi hapa ninapo fanya kazi yupo zezeta yuapendwa kuliko chochote namipia nampenda sana
Ma Sha Allah!!! Kweli kabisa Ustadh shuqran 🙏🙏🙏
Mashallah true that
Mashaallah kwa mafunzo mazuri
Na wengi wanateseka na hilo ila hawajijui 🤲 yarabb muongeze mja wako huyu umri mrefu wenye baraka tele awrze kueneza nuru yako ktk mgongo wa radhi na waponyeshe wagonjwa wetu .
Amiin
Amina Yarab alamin
Maa sha Allah
Mashaallah shukran jazzakallah
Maa shaa Allah tabaraqallah
Mashallah akupe nguvu naumri mrefu. Uzidi kutuelimisha
True shekh thax
Kweli hujakosea shekh mtihani watoto huku
Ni kweli sheikh haya yametukuta wengi asante
Pole
Masha Allah,masha Allah masha Allah asant Sana darsa nzr na inamafundisho mazr asant kwa ukumbusho Allah akulipe kher insha Allah
Maan shaallah. Kweli kabisa AFYA njema ndio kila kituu kuliko mali ulizo zichuma.
Shukran sana shekhe wetu yani haya mawaidha nikama umenitolea mm wallah kama ni wana wasikivu wanaume niwaskie jamani
MashAllah tabaraka rahman wajazaaqa Allah kher
😢😢😢
Aslm alkm wtw.... Kweli kabisa Sheikh Othman. Dada moja alimvumilia mmewe miaka. Alipo fanikiwa , alienda kuoa na akawahi kumjengea hadi nyumba, huyu wa kwanza amekodishiwa nyumba na watoto hawana pakulala room moja Sheikh wetu. Wanaume wanatesa Sheikh. Heri ukae bila na haiezekani.
Asalmu Alekum shek nimependa ulivo sema na mola akuzidishie
Mashallah.Huyo niukweli.
Wallah umesem kweli nishaona hayo yote mungu akupe kheri
Wanaume wengi sana wa siku hizi wanamshindwa kumuhudumikia mke mmoja tu na watoto wao ati anakwenda kuongeza mwengine, si afunge tu. Unakuta wan'ume wengi sana wa ulimwengu huu kakusanya wake analishwa akivishwa km yy ndio aloolewa ima hana kitu au pesa yake anaeka bank anajitia watengeneze maisha (biashara au kujenga) mwisho wake anongezea mke.
Ulimwengu huu na maisha haya ya sasa tunayoishi km kweli unaangalia mke na wanao basi hata hayo matamanio yatapungua. Hao wenye mali wengi wao hawana nguvu kwa pirika na majuku waliyokua nayo. Unakuta wanaooa wake wengi, wengi wao ni masikini, mafukara na wenye uwezo kidogo pengine wakuangalia mke na watoto kuwasomesha na kuwatunza basi. Lkn tatizo wanaume wa siku hzi wavivu wa kujishughulisha wanakwepa huku wanakwenda kuoa kwengine. Mambo yote wanaachia wake zao majumbani. Na pengine hata nguvu za kuongeza hana sikwambii kuitunza familia yake, ilimradi ufakhari tu, fulani kaoa na yy aonekane kidume aoe. Basi km unataka kuoneka kidume lisha mkeo usimuache anahangaika mitaani kukopesha biashara na kuuza. Na wengine wanafika mpaka Uarabuni kupiga deni yy bwanamkubwa kakaa nyumbani ananenepeshwa ili aongeze mke. Wanaume wengi sana siku hzi wamegeuza mtaji kuoa wake wengi.
Shee c wanawake Tu,wanaume wanangombanisha mpaka watoto wao WA mama tafauti,Niko na udhaifu mume ana watoto wakiume wawili lakini mmoja kamtelekeza kisa yeye kipenzi chake niyule alizaa na mke ndugu,atakacho ndicho hupewa,maskini huyu mwengine yeye nikaa jibwa kwake mlangoni ,kukubali atarushiwa kikiisha nibasi.shekhe toa darassa la Baba wabaguzi Kwa watoto madhara yake.🇰🇪001
Shekhe hii ni story ya maisha yangu kabisaa but inshaAllah mola ataniwezesha
Wazidi kunijenga kiakili shukrani
Jazakallah kher.
MA Sha Allah
Allah ya Afiki nina swali ustadh namba namba yako.
Shukran kwa darsa
Shekhe nimependa mawaidha yako mazuri.
Hila wakina baba wapo wanaotoa watoto wao makafara. Mimi Nina ushuhuda wa kweli.
Na Mara nyingi anatoa watoto wa mke wa kwanza
Kweli kabisa
From ubalikiwe Sana kwa maubiri
Shekhe upo eneo gani na naweza kukupataje Shekhe wangu
Chukua namba za simu hizo hapo zinazopitabkwenye skirini umpigie hawa hawa jibugi comenti maana muda hautawayosha ni mara 1 sana wanajibu
swadakta inshallah shukran shekhe
Maneno yako kweli shekh. Mwanangu yupo Canada mtoto wake wa miaka 6 kapiga cm polisi kashitaki mama kanigombea unaamini shekh wazee wamepewa warning kuwa akishtaki tena watawachukuwa watt wote. Tumewaambia waje za oman
Mwenyewe mke mdogo ila uke wenza waliuweza mitume na maswahaba
Uke wenza hasa kwa kizazi hiki sana nikujichumisha dhambi tuuu
The way unavyotoa mawaidha ya kunigusa moyo
Hakika umesema kweli mvumilivu baada ya kula mbivu hula mbovu
Swadakta
MashaAllah darsa mzur shukran
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
52710094
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
52710094
@@aliidrisaxmad856 waleikum Salam Al habibi
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
52710094
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatu
52710094
Mashallah
AL MADRASATUL ISTIQAAMAH
Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania.
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh, uongozi wa madrasa unapenda kuwataarifu kuwa eneo la madrasa linalotumiwa kwa sasa lilitolewa kwa muda. Katika harakati la kutafuta eneo lingine, Allah amejalia kupatikana kwa eneo jipya ambapo inahitajika Tsh 15,000,000 milioni, kwa ajili ya kununua eneo hilo. Hivyo tunawaomba kuchangia upatikaji wa eneo hilo ili tuendelee kutoa elimu bora na mafundisho sahihi kama atakavyo Allah Subhana Wataala. Tumeambatanisha picha za eneo hilo.Tuma mchango wako kupitia Tigo Pesa namba 0679 983270 (RASHIDI KITADU)
Swadakiki
Masha Allah
MashaAllah