LIKONI HADI UTURUKI: NYOTA WA HARAMBEE STARLETS MWANAHALIMA "DOGO" ADAM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024
  • Mshambulizi wa timu ya taifa ya soka ya Kenya maarufu Harambee Starlets na klabu ya Hakkarigucu Spor nchini Uturuki Mwanahalima Adam Jereko anayefahamika kwa jina la utani kama "Dogo" aeleza safari yake ya soka kwenye Channel ya (Beki TV).

КОМЕНТАРІ • 11