BEKI TV
BEKI TV
  • 97
  • 74 130

Відео

MKENYA ENEZ MANGO AISAIDIA FARUL CONSTANTA KUSHINDA LIGI YA DARAJA LA PILI ROMANIA (INTERVIEW)
Переглядів 125Рік тому
Beki shoto wa timu ya taifa ya soka kwa akina dada nchini Kenya Enez Mango Mudeizi amesema kushinda ligi ya soka ya daraja la pili nchini Romania ni ndoto iliyotimia maishani mwake. Nahodha huyo wa zamani wa Vihiga Queens aliyejiunga na mimba hao Oktoba mwaka jana alichangia mabao 26 kwenye mechi 13 na kuwasaidia kutwaa taji hilo kwa jumla ya alama 45, sita mbele ya Vulpitele Galbene iliyomaliz...
HATUNA KITU! KLABU YA VIHIGA BULLETS YALIA (INTERVIEW)
Переглядів 98Рік тому
Klabu ya Vihiga Bullets inayoshiriki kwenye ligi kuu soka nchini Kenya FKF inawataka wahisani kujitokeza na kuwasaidia ikisema haina uwezo wowote ule wa kifedha wa kuendesha timu hiyo. Timu hiyo inayomilikiwa na aliyekuwa Gavana wa kaunti ya Vihiga Askofu Moses Akaranga, ililazimika kupeana walk over kwenye mechi na Sofapaka kwa kukosa mbinu za kusafiri Nairobi huku jana ikikwama tena Nairobi b...
CHELSEA KUVUNJA REKODI KWA KUMSAJILI ENZO FERNANDEZ
Переглядів 323Рік тому
Taarifa kem kem kuhusu siku ya mwisho ya uhamisho wa wachezaji barani Uropa.
NITARUDI KENYA APRILI KUMZIKA MTU: KARIM "MTU KAZI" MANDONGA AAHIDI BAADA YA KUMPIGA WANYONYI
Переглядів 511Рік тому
Bondia wa Tanzania Karim Mandonga aliyemlima mwenzake wa Kenya Daniel Wanyonyi Jumamosi iliyopita kwenye pigano la uzani wa Super Middle katika ukumbi wa KICC Nairobi ameahidi kurejea nchini April mwaka huu kwa pigano lingine. Mandonga alijisifu akisema hakuna bondia East Africa anayembabaisha na kuwa ashamaliza na Wanyonyi sasa atarejea April kumzika mtu.
MAPENZI YAMWEKA MATATANI KOCHA WA MAREKANI GREGG BERHALTER
Переглядів 54Рік тому
Kocha wa timu ya taifa ya soka kwa wanaume nchini Marekani Gredd Berhalter anachunguzwa kuhusiana na madai ya kumpiga mkewe Rosalind walipokuwa kwenye uchumba miaka 25 iliyopita. Berhalter mwenye miaka 48 na aliyekiri kufanya kitendo hicho kwa sasa anachunguzwa na shirikisho la soka nchini humo huku aliondokea majukumu yake ya ukufunzi. Inadaiwa kitendo hicho kilichochewa na ugomvi walipokuwa w...
ALIKUWA NA WAKE WATATU: HISTORIA YA GWIJI WA SOKA MAREHEMU PELE NDANI NA NJE YA UGA.
Переглядів 322Рік тому
Hii ni Historia ya aliyekuwa gwiji wa soka duniani Pele kutoka Brazil aliyeaga dunia hapo jana akiwa na umri wa miaka 82 baada ya kuugua saratani.
WATANGAZAJI MZAZI TUVA, SELLY KADOT NA DJ FLASH WABASHIRI FAINALI YA WORLD CUP
Переглядів 279Рік тому
WATANGAZAJI MZAZI TUVA, SELLY KADOT NA DJ FLASH WABASHIRI FAINALI YA WORLD CUP
CECAFA YAUNGA MKONO WAZO LA RAIS WA KENYA WILLIAM RUTO LA AFRIKA MASHARIKI KUANDAA AFCON 2027
Переглядів 1912 роки тому
CECAFA YAUNGA MKONO WAZO LA RAIS WA KENYA WILLIAM RUTO LA AFRIKA MASHARIKI KUANDAA AFCON 2027
KOCHA WAMBUA AAMINI NEDDY ATIENO ATAWASAIDIA ULINZI STARLETS KUSHINDA LIGI YA AKINA DADA KENYA.
Переглядів 1112 роки тому
KOCHA WAMBUA AAMINI NEDDY ATIENO ATAWASAIDIA ULINZI STARLETS KUSHINDA LIGI YA AKINA DADA KENYA.
HII IMEENDA!!! Mtangazaji wa Radio Citizen Melody Sinzore abashiri timu itakayobeba World Cup.
Переглядів 5722 роки тому
HII IMEENDA!!! Mtangazaji wa Radio Citizen Melody Sinzore abashiri timu itakayobeba World Cup.
KENYA ITACHEZA WORLD CUP 2030 - WAZIRI ABABU NAMWAMBA AAHIDI
Переглядів 622 роки тому
KENYA ITACHEZA WORLD CUP 2030 - WAZIRI ABABU NAMWAMBA AAHIDI
WORLD CUP: ARGENTINA VS MEXICO, PESA TUWEKE WAPI? SIKILIZA UCHAMBUZI
Переглядів 1162 роки тому
WORLD CUP: ARGENTINA VS MEXICO, PESA TUWEKE WAPI? SIKILIZA UCHAMBUZI
CHEKI SELLY KADOT AMUTABI ALICHOMFANYIA BEKI MWAMBURI ARGENTINA YAKE ILIPOLAZWA 2-1 NA SAUDIA
Переглядів 2,4 тис.2 роки тому
CHEKI SELLY KADOT AMUTABI ALICHOMFANYIA BEKI MWAMBURI ARGENTINA YAKE ILIPOLAZWA 2-1 NA SAUDIA
USIPOTEZE BET! CHEKI UCHAMBUZI WA GERMAN VS JAPAN LEO
Переглядів 1172 роки тому
USIPOTEZE BET! CHEKI UCHAMBUZI WA GERMAN VS JAPAN LEO
MANCHESTER UNITED YAMTIMUA CRISTIANO RONALDO
Переглядів 2002 роки тому
MANCHESTER UNITED YAMTIMUA CRISTIANO RONALDO
WORLD CUP: MUNAI GENERAL AKA ABDI ATANGAZA ARGENTINA VS SAUDI ARABIA KWA KIARABU
Переглядів 3772 роки тому
WORLD CUP: MUNAI GENERAL AKA ABDI ATANGAZA ARGENTINA VS SAUDI ARABIA KWA KIARABU
WORLD CUP: PESA KWA ENGLAND AMA IRAN? CHEKI UCHAMBUZI
Переглядів 1722 роки тому
WORLD CUP: PESA KWA ENGLAND AMA IRAN? CHEKI UCHAMBUZI
WORLD CUP: PESA TUWEKE QATAR AMA ECUADOR? CHEKI UCHAMBUZI
Переглядів 2182 роки тому
WORLD CUP: PESA TUWEKE QATAR AMA ECUADOR? CHEKI UCHAMBUZI
POCHETTINO KUMRITHI TEN HAG UNITED? TAZAMA TETESI ZA UHAMISHO
Переглядів 882 роки тому
POCHETTINO KUMRITHI TEN HAG UNITED? TAZAMA TETESI ZA UHAMISHO
EXCLUSIVE: "HATUKUKOSANA" KOCHA WA YANGA TZ AELEZA SABABU YA KUMTIMUA KIPA WA KENYA PAULINE KATHURUH
Переглядів 1532 роки тому
EXCLUSIVE: "HATUKUKOSANA" KOCHA WA YANGA TZ AELEZA SABABU YA KUMTIMUA KIPA WA KENYA PAULINE KATHURUH
WANAWAKE HOYEE! MAREFA WATATU WA KIKE KUPULIZA KIPENGA QATAR
Переглядів 1612 роки тому
WANAWAKE HOYEE! MAREFA WATATU WA KIKE KUPULIZA KIPENGA QATAR
NAMCHUMBIA DAKTARI: STRAIKA JENTRIX SHIKANGWA AELEZA MAISHA YAKE NJE NA NDANI YA UGA.
Переглядів 3,8 тис.2 роки тому
NAMCHUMBIA DAKTARI: STRAIKA JENTRIX SHIKANGWA AELEZA MAISHA YAKE NJE NA NDANI YA UGA.
WATAKAOCHEPUKA QATAR KUFUNGWA MIAKA 7 GEREZANI.
Переглядів 932 роки тому
WATAKAOCHEPUKA QATAR KUFUNGWA MIAKA 7 GEREZANI.
EXCLUSIVE: FKF YAWEKA WAZI HATIMA YA KANDARASI ZA MAKOCHA FIRAT NA ALUMIRAH
Переглядів 1462 роки тому
EXCLUSIVE: FKF YAWEKA WAZI HATIMA YA KANDARASI ZA MAKOCHA FIRAT NA ALUMIRAH
RASMI: JERAHA LAMWEKA SADIO MANE NJE YA KOMBE LA DUNIA
Переглядів 1422 роки тому
RASMI: JERAHA LAMWEKA SADIO MANE NJE YA KOMBE LA DUNIA
LIKONI HADI UTURUKI: NYOTA WA HARAMBEE STARLETS MWANAHALIMA "DOGO" ADAM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE
Переглядів 2 тис.2 роки тому
LIKONI HADI UTURUKI: NYOTA WA HARAMBEE STARLETS MWANAHALIMA "DOGO" ADAM AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE
EXCLUSIVE: SIMBA QUEENS YAWATEMA SHIKANGWA NA INGOTSI
Переглядів 6672 роки тому
EXCLUSIVE: SIMBA QUEENS YAWATEMA SHIKANGWA NA INGOTSI
GWIJI WA NDONDI NCHINI KENYA PHILIP WARUINGE AAGA DUNIA
Переглядів 1292 роки тому
GWIJI WA NDONDI NCHINI KENYA PHILIP WARUINGE AAGA DUNIA
NIMECHANGANYIKIWA: SIJUI KAMA NINGALI KOCHA WA HARAMBEE STARLETS AU LA - ALEX ALUMIRAH
Переглядів 1832 роки тому
NIMECHANGANYIKIWA: SIJUI KAMA NINGALI KOCHA WA HARAMBEE STARLETS AU LA - ALEX ALUMIRAH

КОМЕНТАРІ