HATARI YA NDOA NYINGI KUVUNJIKA NA SABABU ZAKE "PASTOR MGOGO
Вставка
- Опубліковано 14 січ 2023
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
UA-cam : Pastor Daniel Mgogo ua-cam.com/channels/eNr.html...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Mchungaji kusema kweli nayapenda mahubiri yako mno! Wewe ni mganga wa nafsi yangu.
Kwa haya mahubiri nimenusurika zaidi, kupitia haya mahubiri nimefahamu nini cha kufanya ili nilinde ndoa yangu. Licha ya kufundisha kuhusu familia, hata mafundisho yako mengine huwa yananisaidia sana, nanufaika na imani yangu inakomaa zaidi. Baba mchungaji, Mungu wa mbinguni akubariki zaidi, akupe maisha marefu pia ailinde imani yako ili wafuasi wako tunufaike zaidi.
Wewe ni baba yangu kiroho hata kama sijakuona uso kwa uso.
Love from Rwanda.
Nakupenda Sana mtumishi kwa mahubiri yako
Asante mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho manzr ya NDOA nami Kama mwenye mhanga wa ndoa nipata kitu kupitia mafundisho yako...nipo TANZANIA
Amina sana mutumishi wa mungu uje nawuku kwetu burundi
True greatest man of lord GOd❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤ your teachings GOD bless you
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Mchungaji nayapenda mahubiri yako ni comedy ndani yake Kuna mafundisho mazuri safi.
Mch. Daniel mafundisho Yako yanagusa Sana nafsi za watu.
Swala la mahusiano ni lenye matatizo Sana ulimwenguni.
Siku nyingine ikikupendeza wafundishe watu SoMo hili:
" UTAJUAJE KAMA HUYO MPENZI ULIYE NAYE ANAKUPENDA AU ANAKUTAMANI TU!? "
Nalo ni tatizo kubwa kwenye mahusiano.
Ahsante Mch. Kwa kunielewa
Ubarikiwe sana baba nabarikiwa sana na mahubir yako japokuwa mm sipo kwenye ndoa ila najifunza mengi
Mungu akubariki uje na huku kigoma maana ndoa zinavunjika shetani kaziteka
Asante sana pasta wanaume wanatesa wanamuke sana
Ur very right pastor we only need to be loved as women..
Mahubiri yaliyokamilika...ynafundisha kweli kuhusu familia
Ubarikiwe mtumishi wa mungu point
Kweli kabisa huyu ndie mtumishi wa ukweli❤
Barikiwa sana mtumishi❤
Mungu na akubariki mtumishi wa mungu na akuongesee nehema
Dah blessings nying sana kwako
Nabarikiwa na mafundisho Yao mtumishi ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
Asante Kwa mafundisho
Much love daddy
Mungu akuzidishiye mafuta
Asantee mchungaji umegusaa.maishaa yanguu
Amen hallelujah ubarikiwe sana pastor
❤❤❤❤wanaokula barabarani wakitembea ni wenye kizi zao ni za viwango vya chini😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤true
Amina,🙏
You have been sent with God to teach the true gospel without laying people to follow you.
Thank you for the wonderful advice/ message. May God bless you pastor 🙏...
Barikiwa mtumishi wa Mungu
baba Mchungaji yupo powa sana .Abarikiwe
Amina
Ni kweli sema baba,!!
Mungu akubariki sana
Pasta mugogo, ubarikiwe, n'a utubariki nasisi
Amen
Ubarikiwe mtumishi
Nmekukubali mchungaji God bless you, ila kawaida huezi pata mwanamke wa mawazo.yako ila.tunapata msichana raw material tena unamtengeneza (proces her to be finished good) awe bidhaa ya niya yako so Mungu atusaidie
Mungu akubariki sana mchungaji
Barikiwa sana mtumishi
Ubarikiwe mutumishi wamungu
Amen ni bonny kutoka kenya mungu akubariki
kwa kweli u have really blessed me
Pasta amina sana nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako🙏 umenifanya nilale kwamanii😊
💥💥💥Kali sana,Mzee wa kujilipua nafatilia kutoka Nairobi Kenya
Pastor uko vizuri sanaa ubarikiwe
Mchungaji Mungu azidi kukubariki sana, ukazidi kutusaidia Kwa mafundisho Yako ndoa nyingi zisiangamie
Ni kweli kwa sababu uwa upendo wawanawake wengi huwa udumu kwenye vitu fulani fulani ivi kama mavazi chakula na vingine viyoo
Amina Sana mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mtumishi amina
You are true send of God
Mwenye maskio ameskia
Sema mchungaji
Pst iwish hii injili iyenee Kila mahali na walio na masikio waskie barikiwa🙏🙏
God bless u Paster
❤❤❤❤❤❤❤❤true
Hii ndio huduma la kweli sio Kama tunaoga kwa luninga za uongo
I love mgogo
ameen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nmebarikiwa neno Hilo limekua langu 🙏🙏🙏
Pastor you saying the truth more love from Kenya
Mungu akubariki mchungaji Mgogo mahubiiri yango yanatibu ndoa na familia 🙏🙏
Real pastor!!
True preaching
Aminaaa kubwaaa
Amen Amen
i have loved you teaching sir straight and inline with the Bible, to an extent even the question directing you to propose divorce you could not direct that but you direct the concerned to God. how i wish that all the preachers and counselors will know how to pray their part and leave gods side for God.
Swsswwwwwwweszwzweemwzzwww.wwszemwwwevszewswmwwwzezwesbes, to wsmmmezwzbwmeezd
Hatari kwa kweli pastor
@@mariambhake1075I 😊😊 a😮🎉❤❤🎉
The word of God has final say
Ukweli Kaka nakukubali ubarikiwe Sana na Mungu akuongezee siku zaidi
Ndoa yangu ilivunjika ooh my God
Mm muislam lkn huy pastor namuelew San san❤❤❤❤
Asante sana kwa haya mafunzo..mimi hukutazama siku zote nikiwa qatar.
Barikiwa mutimishi
Well said pastor
Mutumishi ubarikiwe sana
Mchuganji Mgogo mimi natamani nikuone live yani mahubiri yana nifuraishaka Sana
Jamani pastor where were u?
Kwa kweli unamzigo na ndoa za watu
Amen and Amen 🙏
Kaka job unatupa vitu vya thaman mkubwa ni mnyama mfalme wa lunyasi ❤❤❤❤. Mungu ibarik Tanzania mungu ibariki simbaaaaaa # nguvu moja # daima mbele tutafika katika yeye yote💪💪💪 Yana wezekana Simbaa nimshindi na ajawahi kukata tamaa🤛🤛🤛💪💪
Asante Kwa mahubiri
Ubarikiwe mtumishi wangu🙏🌹
Kweli kabisa baba 😀😀👍👏
MUNGU WA MBINGUNI AENDELEE KUKUINUA BABA AND LONG LIFE UFUNDISHE ULIMWENGU KWELI YA KRISTO
Ubarikiwe dana pasta
🙏🙏
Mchungaji mgogo,mahubiri yako,nitofauti na hawa wa huku wa shakahola
🎉❤
Kwangu nimesaidika saana asant mchunganji
Wewe paster Endelea tu. Lakini ,Usihitishe sadaka sawa
Ameeen 🙏
Ameen
Amina mtimishi
Ubarikiwe mtumshi wa Mungu
Nikweri mutumishi mungu akupari
Eeme
@@rajabuhasan8512 mm.
Muchunganji kweli huwa uta tubaririki kweli kama kweli tuko n'a masikiyo ya kusikiya huwa una tuogoza ki kweli n'a mungu akulinde ni mimi kamungo matembera Kito kutoka Congo Kinshasa
@@rajabuhasan8512 f
unanibari sana kazi yako ni njema
Let Blessings be multiplied double in your life forever
Amen pastor..🙏🙏🙏
Naomba ni kweli
Mungu akubariki Sana mjungaji🙌🙏
Mtumishi naomba no yk
Ameen 🙏
Barikiwa Sanaa pastor
Amani kwako mchungaji