Huu Muungano una matatizo matupu asema OMO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anasema huu Muungano hauna uadilifu wowote

КОМЕНТАРІ • 8

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 6 місяців тому +3

    Hukuna mtu sahihi kma huyu mzee juu ya wapinzani,huyu ni mrithi wa self sharif Hamad.

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 7 місяців тому +4

    Omo Allah akulinde kaka yangu Sababu ya kuwa mkweli zaidi...

  • @meekman1805
    @meekman1805 7 місяців тому

    Wow

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 7 місяців тому +6

    Father m mungu akuweke elimu haisemi uwongo mrithi wa seif

  • @samuelmakara
    @samuelmakara 7 місяців тому +1

    Nani anaisemea Tanganyika

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 місяців тому +2

      Kawaida anaedhulumu hana sababu ya kuzungumza.

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 7 місяців тому +1

      Anaezulumu hana la kuzungumza wala halalamiki.. anaezulumiwa ndio anaelalamika