Mahojiano ya BBC na Makamu wa Kwanza, OMO awajibu CCM wanaosema makubaliano yasiingilie katiba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @AliyussufHaji
    @AliyussufHaji 6 місяців тому +3

    CCM wote ni wazushi waongo ,wauwaji hata akae yoyote akiwa ni ccm itakuwa ni balaa tu

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 7 місяців тому +19

    CCM ni wizi mpaka wa roho za watu also CCM ni wadanganyifu kulikoni Ibilisi Zanzibar ilianza dhulma kwa 1964 na dhulma hio haitosimama mpaka dunia itakwisha Wazinjibar tutabaki kuwa wakimbizi wa nchi yetu siku zote kama Wasomali nchi yoyote ile utakayo kwenda duniani Wazinjibar wako sio kama wanapenda kuishi kwenye nchi za watu bali wanakimbia mateso ya CCM.thankx

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 7 місяців тому +3

    Wazanzibari hawatoridhika mpaka mtakapowaachia nchi yao na haki zao.

  • @ibrahimame9805
    @ibrahimame9805 7 місяців тому +8

    Mbeto Simzanzibar hyo atakua na huruma na sisi .yy anafurahi wazanzibar tukiuliwa . Yke si yanaenda

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 місяців тому +2

      Hii dhana ndio inayoharibu maridhiano, Wazanzibar wote hasa wa Unguja wana asili ya mahali kwingine na tukitafutana hivi hatutakwenda. Mhe. Jussa, Haroun nk ni typically Indian sio sawa unapohoji Uzanzibar wao, ni Wazanzibar kama wengine.

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 7 місяців тому +4

    ACT WAZALENDO WAKIAMUWA KUJITOWA NI KWAMASLAHI MAPANA YA ZANZIBAR NZIMA BILA YA KUJALI NI MFUWASI WA CHAMA GANI LAZIMA ACT WAJITOWE MUHANGA ILI WAZANZIBARI WAJE KUPATA MARIZIANO MAZURI NA YASIYO NA SURA MBILI (2) HIVI SASA MAKUBALINO MENGI YANA SURA 2

    • @AliHassan-ib8lq
      @AliHassan-ib8lq 7 місяців тому

      Usisemee kuwa ni Maslahi ya Zanzibar nzima,nadhani nikwamba kuna maono kwa wanasiasa iwapo tutapata kiongozi Mkweli na thabiti kwa Taifa hili, vyama vya upinzani hukosa soko, hivyobasi watatafuta chokochoko yoyote ilimradi tu watajikane, Sasa hivi Raisi tulienae ni Raisi wa kupigiwa mfano.anajitahidi na Serikali yake kuwafikia hadi wale waliokuwa hawafikiwi kirahisi.

    • @salyali7807
      @salyali7807 6 місяців тому

      @@AliHassan-ib8lq wakupigiwa mfano kweli kwa unafiq na uongo wake mwingi haijawahi kutokea zanzibar ...

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 7 місяців тому +11

    Mungu awalaani viongozi wa ccm wote , na inshallah Allah atawapeni maradhi mbwa nyie

    • @AbdulKarim-n4u
      @AbdulKarim-n4u 7 місяців тому

      Usiombee watu mabaya allah yupo na anawaona kua na subra ndugu sote tunaumia

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 7 місяців тому

      @@AbdulKarim-n4u "....Laana ya Mwenyezi Mungu iwapate walio dhulumu," (Qur'an Surat Hud, Aya ya 18)

    • @NoufelSalim
      @NoufelSalim 7 місяців тому

      @@AbdulKarim-n4u achana na mm ww waombee mazuri me na waombea mabaya

    • @salyali7807
      @salyali7807 6 місяців тому

      Allahumma ameen Allahumma ameen

  • @mussamussa2559
    @mussamussa2559 7 місяців тому

    Sio kweli

  • @tariquexplore
    @tariquexplore 7 місяців тому

    Arudi mkuranga aawachie wazanzibar nchi yao 😂😂😂, kwanini mnaforce sidi tunamtka mwinyi huku

  • @omarsaid6059
    @omarsaid6059 7 місяців тому +2

    Masisiemu inangalia mslahi yao na yawatoto wao sie tunaumia huku ivi mpaka raisi wa zanzibar tunachaguliwa na watanganyik ivi maccm wa zanzibar wenye kushika hatam mnakosea wapi mpaka tuendeshwe au tuletew rais ambae sio mzanzibar hashwa karene hii mnakosea wapi.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 7 місяців тому +1

    Mpuuzi sana, kwenu bara unatuletea fujo

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 7 місяців тому +2

    Madaraka mabaya sana pale yanapoinqia ndani ya nyoyo hatari sana kwa mustakbali wa akhera

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 6 місяців тому

    Sasa mi najiuliza maswali lakin majbu viongozi wa upizani wanataka nini zaidi ya roho za watu kuendelea kupotea, maana ccm washasema nchi hawatoi askari wao, jeshi lao, usala wa taifa wao, amiri jeshi mkuu wao ACT munatutafuta nini basi tena inatosha tubakini hivi chama kimoja tusharidhika maisha yaendelee, siasa basi hii! hamuelewi

    • @salyali7807
      @salyali7807 6 місяців тому

      Basi wafute vyama vingi. ... isiwe wanawadanganya wananchi kwa uchaguzi ikisha wanawaibia.. binaadamu gani atakubali dhulma .... CCM waseme tu hakuna vyama vingi then wananchi watakunja mikono wawe watumwa wa Tanganyika ... ambayo sidhani kama muungwana atakubali kudhulimiwa kwenye nchi yake khasa na wageni ... Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 7 місяців тому +1

    Mtangazaji mbona anaonekana kama mtoto wa shule😅

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 7 місяців тому +6

    MWINYI AMEKUJA ZANZIBAR KUCHUMA ZANZIBAR NA SIO KUWAUNGANISHA NCHI🤣🤣🤣

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 місяців тому +1

      Mhe. Mwinyi ni Rais wa Zanzibar na sio amekuja Zanzibar ni Mzanzibar kama wengine. Hivi aiunganishe nchi vipi wakati anadhaniwa kuwa nchi keshawaachia wasiomuunga mkono. Au huoni kuwa viongozi wa SMZ wote wakipiga kura hivi sasa Dr. Mwinyi hapati hata moja.

    • @knight6757
      @knight6757 7 місяців тому

      👀

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 місяців тому

    ✌️👊👍.

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 7 місяців тому +1

    Mvunje sheria nyinyi wenyewe ccm tena mkataa maridhiano

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 7 місяців тому +1

      Migogoro ya Zanzibar chanzo ni ccm.

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 7 місяців тому

    Kuwamakini shehe wangu selikali tuliokuanayo aitaji upinzani wakweli

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 7 місяців тому +2

    Huyu Nbeto hivi kweli hajui kama kuna watu waliuliwa, waliumizwa na kudhalilishwa wakati wa Uchaguzi? Mnapokubaliana waathirika na wahanga hao walipwe fidia kama kweli kuna dhamira njema kuna shida gani kuwalipa? Katiba hapo inahusika vipi? Au Sheikh Nbeto huna Utu? Kiongozi wako hajaonesha Utu wala Uungwana hadi sasa ameshindwa hata kuwapa pole wahanga na wafiwa. Huyu Mtu anapractice Dini gani? Kutekeleza makubaliano ni kuonesha Ustaarabu na kuwa Political matured. Kinyume chake ni kudhihirisha Ujahil na Ushenzi ulopindukia

    • @salma0000
      @salma0000 7 місяців тому

      Kina Mbeto ndio walee

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 7 місяців тому

    Laaana munazijua Nyie😢😢

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 7 місяців тому

    Mpeleke mama akawe makamo wKwanza wao wakijitoa wewe ciunapenda nadaraka

  • @maulidzagu-gb3mc
    @maulidzagu-gb3mc 7 місяців тому

    Kuweni na subira jamani

  • @MohamedMachano
    @MohamedMachano 7 місяців тому

    Mbeto kwao mara huy mtu wa kenya huy mvuta bang

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 7 місяців тому +1

    Mbeto unawashwa?

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 7 місяців тому

    Mulaaniwe na nyie Act Wazalendo Laana

    • @Yussuf-b3b
      @Yussuf-b3b 7 місяців тому +1

      Alaaniwe yule anaiba uchaguzi na kuuwa watu wasio na hatia na wale vibaraka wao,,,vurugu za uchaguzi zinasababishwa na uchaguzi haramu

    • @salyali7807
      @salyali7807 6 місяців тому

      @@Yussuf-b3b sawa sawa ... laanatullah ...

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 7 місяців тому

    Vipi bei ya sukari imeshuka? Usanii mpaka kwenye nyumba za ibada dalili za ......ni tatu maliza wewe

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 7 місяців тому +1

    Tumewachoka wapuuzi nyie, kazi kutengeneza migogoro kisha kujifanya kama nyie hamuhusiki

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 7 місяців тому +1

    Hawa Wanatuona Sisi Kama Wajinga Baada Ya Miaka4 Sasa Wanajifanya Wanataka Kujitoa Wakiona Bado Mwaka Mmoja Kuelekea Uchaguz Ila Hzo Siasa Waleteeni Wapumbavu Sisi Tunawajua Nyote Wamoja

    • @fayzfadhil5921
      @fayzfadhil5921 7 місяців тому +1

      we nawe kama zuzu una fikra za kimaskini sana, uyo mwinyi si aliwaambia mwenyewe kuwa wamsubirie mpaka ifike wakati fulani ndio atekeleze matakwa yao ndio maana hawakutoka sku zote kumsubria bwana mdogo .Fuatilia shehe usikurupuke

    • @abdulhamis9825
      @abdulhamis9825 7 місяців тому

      @@fayzfadhil5921 Ww Ulikuwepo Wakat Yanazungumzwa Ayo..? Na Kama Kulikuwa Na Mazungumzo Ayo Utajuaje Kama Ametekeleza Au Laa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 місяців тому

      ​@@fayzfadhil5921Nchi ina Katiba, kwa nini wakubaliane? Ningependa malalamiko yataje ibara ya Katiba iliyovunjwa.

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 7 місяців тому

      ​@@hajihassan5433Hata hii Serikali ya Umoja wa Kitaifa asili yake ni makubaliano hatimae likawa ni jambo la kikatiba,kwa iyo kinachokushangaza ww ni kipi watu wenye hekima na busara kukubaliana ili kurehesha umoja na mshikamano baada ya kuvunjwa iyo Katiba?????
      Au hujui ww kuwa iyo Katiba unayoizungumzia na kuiamini sana ilivunjwa?????

    • @rashidramadhani9264
      @rashidramadhani9264 6 місяців тому

      Mm naona hujui kitu.
      Mpumbavu km hao mabwana zako wa ccm.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 7 місяців тому +1

    Wanataka kumvuruga raisi na chama kwa mambo mazur yanayofanyika mbuzi nyie, hamna agenda

    • @mohammedhamad9392
      @mohammedhamad9392 6 місяців тому

      Acha ujinga haki itendeke tu

    • @salyali7807
      @salyali7807 6 місяців тому

      Mazuri ya dhulma ya wazanzibari? Laanatullah

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 6 місяців тому

    ACT acheni ujingq kila kitu munajua kila siku maneno ndo hayo hayo hakuna hata mmoja asiijuia ccm sasa mara hii mukituletea upumbavu tutawapiga mawe mumetufanya tuwe maadui na dola hakuna tunachofaidia zaidi ya kukandamizwa ajira hatupati na roho za wazanzibar wenzetu zimetoweka kipumbavu hatutaki siasa zanzibar.

    • @rashidramadhani9264
      @rashidramadhani9264 6 місяців тому

      Kumbe na ww kifuu tundu.
      Mbumbumbu.
      Mwehu.
      Duuh.
      Acha nikwambie.
      Kipindi inapitishwa serekali ya umoja wa kitiafa kulikua na chama cha cuf.
      Unakumbuka ww mwehu.
      Wakat inapitishwa serekali hii.
      Chini ya vidume v2.
      Maalim seif na dr amani kipindi hicho ni rais wa zanzibar.
      Wazanzibar tukatowa maoni yetu juu ya sekali hiyo ya umoja wa kitaifa.
      Na kubaliana km iwepo serekali hiyo ya u/wa kitaf.
      Hakukua na ubaguzi cuf na ccm tukawa sawa kunapendana.
      Leo huyu mwinyi ndio chanzo cha mtafaruko hapa zanzibar.
      Au ndio ww ulie pewa ajira kwa kadi ya chama cha mapinduzi.
      Km huyajui sema uwambiwe kinaga ubaga.
      Mambo yote hayo yana fanyika mm nipo na nimeshuhudia mengi.
      Ikiwemo mauwaji ya kutisha yalio fanywa na hao ccm.
      Ikiwemo na mauwaji ya alie kua rafiki yangu.
      Alikuja kuchikulia maskan na idara ya polisi.
      Wakampiga mpika baas.
      Wana mrejesha kwao aliwa maiti.
      Navuja damu kila kona ya mwili wake.
      Mbali na kile kikos kazi cha mazizin.
      Walivyo fanya unyama.
      Na kubaka watoto wa kike.
      Achia mbali ajali ya m.v speice ilender.
      Unanambia nn ww kojoz magozi....😮