KUFRU YAKITHIRI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 33

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +2

    Mufti na Masheikh mko kimnya sana jamani mtakwenda kujibu nini mbele ya Allah nyie Subhanallah

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 Рік тому +5

    Hao wanyongwe ili iwe funzo kwa wengine wasifanye uchafu huo

  • @hadhaminfadhwil-rab287
    @hadhaminfadhwil-rab287 Рік тому +3

    Wabakaji wote sio wazanzibar, ewe Mola tusaidie 😭🙏🏾

  • @abrahmanabdallah9494
    @abrahmanabdallah9494 Рік тому +4

    Kam Sheria za serikali hazisaidiii basi tuchukue Sheria za dini tuingize hapo kweny jambo hili ili tubakishe taifa salama

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 Рік тому

      Hao ni kuwaua tu wakipatikana ndio lililobaki maana Serikali imeshashindwa kabisa kudhibiti hili suala..

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 Рік тому +2

    Wanyongwe watu kama. Hao msiwalelee lelee huruma hailei mwana

  • @sultansaidomar8315
    @sultansaidomar8315 Рік тому +2

    Suluhisho la ulawiti ni kunyongwa tuu, kinyume chake hao wabakaji na walawiti wataongezeka kila kukicha

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 Рік тому +1

    Allah awalaani wadhalilishaji wa watoto.Wanaharibu jamii bora wafungwe kifungo cha maisha.

  • @ashabakary1462
    @ashabakary1462 Рік тому

    Wageni wetu mtatumalizaaa

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +1

    Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Рік тому

    Mitihan hii Allah atuepushe na fitina na tujaliye kheir na baraka ktk familia zetu

  • @w4058
    @w4058 Рік тому

    Hao Serikali wanapenda kusikia khabari hizo ndio maana na Masheikh na mufti kwa nini hawatowi fatwa madhali wamemdhalilisha mtoto wa ndugu yao Subhanallah kisa nini Yaarabiy pigwa mboko hadharani mpaka wafe

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 Рік тому +1

    Innalillah wainna illahi rajuon zanzibar imekuwa shamba la bibi😭😭😭

  • @abrahmanabdallah9494
    @abrahmanabdallah9494 Рік тому

    Ewe mola wetu tustiri na shahwa zetu yaa rabbiy

  • @w4058
    @w4058 Рік тому +1

    Mmezidi serikali kutujazia watu kisiwa kidogo lazima kuwe na limit

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 Рік тому

    Allah awaongoze na awasamehe popote walipokosea.

    • @khalidmohd
      @khalidmohd Рік тому +1

      Allah awajaalie kwanza wapate adhabu kali kawa inawezekana wanyongwe ndio lije swala la kuwasamehe

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 Рік тому

    😢😢Hatari

  • @alifakimati9614
    @alifakimati9614 Рік тому

    Acheni ujinga wenu huo upelelezi gani tena huo ukamilike wafyakeni ndani wakajenge taifa kisha wapelelezeni hao uraia wao inawezekana sio raia wa Tz.

  • @abdulfatahalsis8400
    @abdulfatahalsis8400 Рік тому

    Asante wifi kumbe pale ulikua unaenda kufanya hivyooo

  • @someparuranga7377
    @someparuranga7377 Рік тому

    Viongozi alive umba kila kilicho chini yajua kaweka hukumu zitumiwe kila nchi inafata dini take tucpangiwe sheria na wengine ili zisiwabane kwa matendo yao serikali icbebe mizigo ikaweka ndani nyonga finya

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Рік тому

    Sirikali Lazima Itowe Adhabu Kwa Wote Wanao Fanya Kitendo Hicho Chakuwateka Watoto Na Kuwalawiti Ili Wengine Wapate Funzo Waache Tabia Hizo Za Qaum Lotwiy...

  • @salimbinshaks1385
    @salimbinshaks1385 Рік тому

    Mbona hamuonyeshi

  • @jamilahamis2462
    @jamilahamis2462 Рік тому

    Zanzibar ya mtume msw hamta imaliza Bali itawa maliza makafili munafiki

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 Рік тому

    Mbona wanatuchafulia kijinichetu cha Bambi Hao

  • @aliabdalla9297
    @aliabdalla9297 Рік тому +1

    Huyo ni mtoto wa kaka yao kabisa alitoweka siku nyingi huyo mtoto kumbe ami zake ndio wamemfanyia unyama mtihani

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 Рік тому +1

    Ayo majina ya mwanzo sio Yao wame jipachika tuu watanganyika wakija zanzibar Wana jibadilisha majina

    • @mtumwakh.abdalla1813
      @mtumwakh.abdalla1813 Рік тому

      Hao ni wapemba

    • @hasnuumakame9219
      @hasnuumakame9219 Рік тому

      Jamani hatuwezi ku solve hili suala ikiwa Imani yetu tu kua wafanyaji ni Watanganyika, sio kweli watu wetu wa Unguja na Pemba tena mbaya zaid ni watu wetu wa karibu katika familia zetu ndio wafanyaji wakubwa wa vitendo hivi viovu..
      Mimi nasema saiv ifike wakati tukiwabaini hawa watu ni kuwaua tu ndio lililobaki maana Serikali imeshashindwa kabisa kudhibiti hili suala..

    • @mwanalelee6
      @mwanalelee6 Рік тому

      @@mtumwakh.abdalla1813 tena wa ole km nawaona