KUMEKUCHA HAMAD MASOUD UYO SASA KURA YA MAPEMA KAULI NZITO NI WIZI MKUBWA HATULITAKI HATA KUSIKIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • KUMEKUCHA HAMAD MASOUD UYO SASA KURA YA MAPEMA KAULI NZITO NI WIZI MKUBWA HATULITAKI HATA KUSIKIA

КОМЕНТАРІ • 57

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 18 днів тому +2

    Umeongea kwli kaka mashaallah Allah atakulipa kwa ukwli wako ccm niwizi t hawana lakufanya wemehemewa na simba OMO rais wetu 2025 inshaallah wanamuogop nasisi hatukubali ushaguz wa siku mbli tutapigana sisi kwa sisi ujinga ujinga sasa basi

  • @AbdallahHemed-j7k
    @AbdallahHemed-j7k 18 днів тому +5

    Angalau umesema kweli duh

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 18 днів тому

    Hongera Hamad Massoud Umeanza kuiona haki! M/Mungu akusaidie urudi waliko wengi kuidai haki ya Nchi hii

  • @rajabsalimalqushairiyyu7023
    @rajabsalimalqushairiyyu7023 18 днів тому +2

    Hotuba nzuri kabisaaaaaa

  • @IbrahimKassim-j8o
    @IbrahimKassim-j8o 18 днів тому +2

    Correct father it's true

  • @kagetaabdallah3712
    @kagetaabdallah3712 18 днів тому

    Safi sana kaka uchaguzi siku moja tu masheikh wa zanzibar wapo kimya

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 18 днів тому

    nashallah mungu atakuongoza utakua sawa na utashirikiana na wenzako kudai hakii

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 18 днів тому +5

    Ukisema kweli utasifiwa ww umeongea hongera kweli haki sawa kwawote

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u 18 днів тому

    Hongra sana mungu atakulipa kher

  • @dullahsaleh8507
    @dullahsaleh8507 18 днів тому +5

    Saa mbovu kuna muda inasema ukweli

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 18 днів тому

    Hapo umeongea nakukubali,ukiongea ukweli tunakupenda.❤

  • @ZanzibarTrltrusttours
    @ZanzibarTrltrusttours 18 днів тому +1

    Na hawo Wana wanaletwa kwa wingi Zanzibar hivi sasa kwa kidungizio Cha kujakufanya kazi kumbe wote wabaingizwa wajewanchague mwinyi 2025 kwasababu Wazibar halisi hasa hawamtaji mwinyi hapa.

  • @eddiqota
    @eddiqota 11 днів тому

    uchaguzi wa siku 2 ni aina nyengine ya wizi wa wazi wa haki ya maoni

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 18 днів тому

    Hatutaki kura ya mapema sisi na wakileta machafuko kwa kulazimisha wao kukaa madarakani basi nguvu ya Mahakama ya wananchi tutawapindua inshaallah na huku tukiwa na nguvu ya Mungu

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 18 днів тому +1

    leo mmekupendaaa bure

  • @ZanzibarTrltrusttours
    @ZanzibarTrltrusttours 18 днів тому

    Hapo umeiona haki hamadi Masoud Allah bado hajakuacha mkono Tena akuendeleze kwa msimamo wako huo.

  • @sulaymanmohammed6448
    @sulaymanmohammed6448 18 днів тому

    Sema kweli japo ina uma ukweli utabakia ukweli tu la haki lisemwe bila kutafuna maneno

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 18 днів тому +1

    Baba mm ni ACT lakin umeongea point

  • @user-nt3my1jf9t
    @user-nt3my1jf9t 18 днів тому +2

    Washenz wanatafuta kuiba tu hawana Nia njma hao washenz

  • @HassanMchoro
    @HassanMchoro 18 днів тому +1

    Kweli kk wanatak kutuwa t bas sisi wazanzibar wanatufanya muhanga WA kutuwa

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 18 днів тому

    Washenz wapo kimaslah ya madarak sio maisha ya watu kila kitu bei wao wanashiba fresh tu

  • @khamismussa1097
    @khamismussa1097 18 днів тому +2

    Jamani chonde chonde hatari mwataka kuleta mauwaji tena Rais hili jukumu ni lako kesho mbele ya mola utaenda kujibu nn

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 18 днів тому +1

    CCM Yale malalamiko ya misingi yaliyokuwa yakililiwa na upizana pamoja na wakaguzi wa chaguzi wa ndani na nje hawakuyaona wameona la uchaguzi wa mapema tu kwasababu ya maslahi yao

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 18 днів тому

    Wanafanya kwa yao hayoo zanzibar kupiga kura kwa siku 2 wakat bara hamna ivo

  • @JumaOmar-kp8rx
    @JumaOmar-kp8rx 18 днів тому

    Safi sana

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 18 днів тому

    hongera

  • @MakameAly
    @MakameAly 18 днів тому +2

    Ama kweli mtu si mbwa

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 15 днів тому

    Kwa CCM kuuwa watu ili kulinda madaraka kwao sio shida kwani maisha ya watu kwao hayana thamani

  • @LutenTz
    @LutenTz 18 днів тому +1

    Apo nikupe maua yko hamad masod Ningepeda sn muheshimiwa ungane na viongozi wa act kwa ajili zanzibar nawe umo kwenye istoria ya ukombozi wa znz

  • @SalumRwambo
    @SalumRwambo 16 днів тому

    Kauli zenu ndiyo zinazo sababisha yote haya

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 18 днів тому

    Ccm wanachekesha kwa kweli

  • @user-om2ur5by9n
    @user-om2ur5by9n 17 днів тому

    Kiongoz anapoona kuna ktu kinaweza kuhatarisha amani ni kukiondoa tu yanini kulazimisha hicho kitu ilihali watu wengi hawataki pia.. Au hao wanaokataa kura ya mapema wao si raia? Hekma tu zinakosekana unalazimisha jambo ambalo mnajua linaleta madhara ilimradi muwe madarakani

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z 18 днів тому

    Wilaya ya ilala ina watu wengi kushinda Zanzibar ila huku tuko wengi siku ya uchaguzi

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 18 днів тому

    Milipokua na magufuli hamukuisemea sababu na nyny mulipata ulaji humohumo kwenye kura ya mapema lkn safar hii mumeshutuka kuwa hamna chenu ndio umeujuwa ukweli,yangu ni maneno tu wala sina jengine

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 18 днів тому +1

    Bao la mkono halitakiwi mara hii

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 18 днів тому +1

    ASANTE NITAKUPA KURA YANGU

  • @ISSAJR-fo5nt
    @ISSAJR-fo5nt 18 днів тому

    Mzuri akiwa hayupo yule mbaya anakua mwema😅

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 18 днів тому

    Naona umezinduka juu yahili akilin imerud

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 18 днів тому

    Upo saw mkuu

  • @ShehaHassan-ev7st
    @ShehaHassan-ev7st 13 днів тому

    Kumbe cuf ipo!?

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 18 днів тому

    Bara wanaogopa wapinzani watakinukisha wakileta hio mapema

  • @Is-hakaRuweikh-k9s
    @Is-hakaRuweikh-k9s 11 днів тому

    Hawa ccm ni mbwa!!

  • @AshuraVuai
    @AshuraVuai 15 днів тому

    Tangia uasi njo kwza uzungumze km mtu

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 18 днів тому

    Balahau huna chama ingawa maccm ni madhalim

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k 18 днів тому

    We domo kayaa hata icho unachokisema hujiamini unaogopa ogopa sikwakua unasema hakki hapana bali umetumwa tuu uonekane kama hutumiki huko uupande fulani

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 18 днів тому

    Hana lake huyu

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 18 днів тому

    Kumbe chama chako bado kipo hai

  • @user-fs7bs6gy4z
    @user-fs7bs6gy4z 18 днів тому

    Hii ya kueka uchaguzi siku 2 znzbar ni mbinu za CCM kufnya unyang'au wao mbona Bara hawafnyi ivyo wakati kuna idadi kubwa mno ya wabiga kura lkn uchaguz ck moja au huku hakuna jeshi au huku huku hakuna wafnyakaz wa serekali !!? au ndio kw sababu jeshi lote hua wamelihamishia huko maana mzanzbar 1 kila ikifika kindindi cha uchaguz hua analindwa na askar 10 huku bara mitaani hua kweupe wallah askar unawaona mmoja mmoja tu hujui wameenda wapi kumbe wako huko maana wabara huku hawaaminiki mtu anatoka kwenda kituoni kumpigia kura mgombea wa cha upinzani lkn akifika kituoni tu anabadili maamuzi anapia kura CCM hakiya Mungu na serekali ya jamuhuri ya Muungano inalijua hilo na ndio ata hawana wasiwasi nao .

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 18 днів тому

    Ccm,wezi,sema,popote

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 18 днів тому

    😂😂😂😂😂 siasa bwana usituchezee akili wewe sema ukweli lakin wewe ni ccm hata kinana alisema kuhusu ubaya wa uchaguzi wa 2020 lakin baado ni ccm kwaio tunakujuwa mzee

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 18 днів тому

    Bora pemba kuwe na raisi wao na unguja kuwe na raisi wao.ili porojo litaisha mana hutuna nchi wala bendera wala paspoti vyote ni vya Tanzania..

  • @hamadyussuf5307
    @hamadyussuf5307 18 днів тому +1

    Huna lolote wewe kibaraka tu wa ccm