@@yakobokuzenza6837acha kujitoa faham kama we huna shida basi wapo wananchi wanaumia kwa kukosa maendeleo maisha kua magumu biashara mtihani kodi zipo juu yote huyaoni au maendeleo ni bara bara na matreni ya umeme tu kutwa wanyonge wamlilia raisi angalia hata wanaomlilia makonda kwenye mikoa anayotembelea ndio utajua 😢
We mpumbavu endelea kulalamika tu kulalamika Rais wa Nchi wakati wenzako wanapambana kujiletea mnaendelea,Kwa hiyo unataka Samia akuletee mnaendelea ukiwa kwako pasipokufanya kazi
Mashaalla Rais wetu tunakupenda usiwaridhishe maadui Kwa upande wa mavazi jitahidi stara Kwa ajili ya Allah usidhihirishe mapambo nakupenda Rais wangu
Hongera sana rais wetu mimi zaidi nakuelewa sana.tunakuombea kwa mungu akujalie umri mlefu inshaallah
Hongera sana mama
Hongera mama Samia umeweza sana
Very good
Mungu azidi kukutu za Mama yetu kipenzi Nakupenda sana Mama
Mpeni hongera rais wetu tuna rais msomi shupavu
Fantastic... Mashallah...
happy mother's day mama
Umeweza cn huna baya ❤ mama
Shida huyu mama watusaidii watanganyika,watu wanaiba hela na hakuna maendeleo,, RIP JPM
Hakuna maendeleo nyumbani kwako
Allah atakuongoza kazi nzr unayofanya miaka mitano tena inshaallah
@@yakobokuzenza6837acha kujitoa faham kama we huna shida basi wapo wananchi wanaumia kwa kukosa maendeleo maisha kua magumu biashara mtihani kodi zipo juu yote huyaoni au maendeleo ni bara bara na matreni ya umeme tu kutwa wanyonge wamlilia raisi angalia hata wanaomlilia makonda kwenye mikoa anayotembelea ndio utajua 😢
We mpumbavu endelea kulalamika tu kulalamika Rais wa Nchi wakati wenzako wanapambana kujiletea mnaendelea,Kwa hiyo unataka Samia akuletee mnaendelea ukiwa kwako pasipokufanya kazi
Ahsante
Mama siku zote huwa unapendeza ila leo umependeza sanaaaaa
❤
Hongera sana Rais wangu umeweza Mungu akusimamie mitano tena👍
when I hear you .I feel my fate