HUU NDIYO WASIA MZITO: ULIOTOLEWA NA SHEIKH KISHK, KWA WANAWAKE WA NCHINI BURUNDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @UkhtyAmina17
    @UkhtyAmina17 7 місяців тому +7

    Mashaallah Mungu akupe umri mrefu ili uzid kutuhusia zaid shekh Nurdeen kishk, nakupenda kwa ajil ya Allah jallah fii ghulaa.

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 7 місяців тому +6

    Masha Allah sheikh kishik Allah akujalie umri mrefu uzidi kufunza yaliyo ya heri

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim9352 7 місяців тому +1

    MashaAllah TabaraqaAllah sheikh letu Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye mafanikio leo hapa duniani na kesho akhera,akupe hatua uzidi kuitangaza na kufundisha dini yake,dini iliyonyooka... Alhamdulillah kwa neema ya kuzaliwa Muslim❤❤❤

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 7 місяців тому +1

    Masha Allah, nataman name ningekuwepo hapo mbele nmekaa namsikiz Sheikh wetu, Allah azid kukubarik sheikh wetu wa fakhari nawe akulipe dunian na akhera hakika ww ni mwalim wetu tunajifunz meng sana through u jazakallahu kheir 👏

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 7 місяців тому +1

    Mungu akuzidishie kher shekhe kishik

  • @beauty2239
    @beauty2239 7 місяців тому +2

    Mungu akujaalie kherii nyingi na zaid pumzi ya umri mrefu uzidi kutupa elimu juu ya uislamu .inanikumbusha mbali siku ya kwanza niliposikia mawaidha yako redion nilijisikia na aman ndani ya moyo nikasema ninan huyu aliyepewa sauti nzuri na kutoa darasa zuri kwa waislam hakika mungu kila mtu kampa uwezo wake katika kufundisha tusiache kuswali tusiache kujistir tusiache kuwa wwnye upendo tusiache kumuomba mwwnyez mungu

  • @mwaminianasi
    @mwaminianasi 7 місяців тому +3

    Allah akuhifadhi sheikh wangu kipenzi cetu ❤❤❤❤❤❤

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 7 місяців тому +1

    Jaman Mim Nampenda sheikh Nurdiin Sana sana Ningalikuwa Mwanamume kasi yangu kubwa basi ningekuwa Mtumishi wake Tu wala nisrngrhitaj kulipwa yaan nampenda 😥Allah amfanyie wepes Kila penye uzito Allah akupe Umr mrefu wenye kher Na wewe Sheikh Nurdiin🤲🤲Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah jazakallah kher🥺🤲🤲🥰

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 7 місяців тому

    Ma sha Allah Tabaarakallah 😍
    Allah aturuzuku waume wema wenye dini na tabia njema nasi pia tuwe wema kwao Bi idhnillah🤲🤲

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому +1

    Oooh allah na utujaalie Wanamaker tuwe na upendo kwa waume zetu na wao wawa na upendo kwetu ili upendo udumu nacuweze kushamiri❤🎉

  • @UkhtyAsiyaah
    @UkhtyAsiyaah 7 місяців тому +1

    Maasha Allah Sheikh Nurdeen kishki Allah Akuhifadhi akulipe kheri umewapa daعwa waislam waburundi kweli kiasi na uwezo alio kujaalia Allah 🤲🏻🤲🏻

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому +1

    Ooh Allah jaalia nafsi zetu ziwe ni zenyehuruma na upendo na umoja bila kujali kabila la mja❤❤❤

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 7 місяців тому

    MashaAllaah tabarakaAllaah wa Alhamdulillaah
    Allaah akutangulie kwa Neema zake Sheikh wetu na akuzidishie ilmu ya manufaa uzidi kuelemisha jaami sababu jaami inakuitajia

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 7 місяців тому

    Mashallah shukran ndugu kishki usitelewe kurudi siu japo nikijiji kidogo.walifurahi kwa beberu la kukodishwa. from sauda New Zealand

  • @FarHeart-y2h
    @FarHeart-y2h Місяць тому

    Jamani sheikh nurdin kishk ataoa wangapi. Mashaallaah tabaarakallaah Allah atujaaliy tuongozane nae firdausljannah inshaallaah pamoja namasheikh wote nikiwemo namm ukhty far-hat Mashaallaah

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 7 місяців тому

    MashaALLAH TabarakaALLAH Mola akupe Afya njema umri mrefu uzidi kutupa Elim, akupe asanat ya dunia na ahera

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 7 місяців тому

    Jazaka llahul kheir Sheikh Kishki 👌

  • @AshaSalim-y2z
    @AshaSalim-y2z 7 місяців тому

    Ma nsha Allah Tabarkallah Allah karibu cheikh wetu kishiki

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Ooh allahtufanye tuwe ni wenye kuwaheshimu wazazi wetu na tuweze kupata pepo za wa zazi❤❤❤❤❤ wetu

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Allah akupe mwisho mwema❤❤❤shekhe kishki kwani umekuwa mstari wa mbele ktk kuitangaza dini

  • @AbdulHassan-x7b
    @AbdulHassan-x7b 7 місяців тому

    Mashalla ❤❤❤❤❤❤❤ Allah awajalie maisha mazulii hap dunianii na kexho ahelaaa

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Oooh allah tujaalie tuwe ni wenye kutiii mafundisho ya bwana wetu mtume❤❤❤

  • @jumaahmadi
    @jumaahmadi 7 місяців тому

    Shekh zuber nakupenda sana kwaajili ya Allah form Tz

  • @FatumamuidinemuemedeMuemede
    @FatumamuidinemuemedeMuemede 7 місяців тому

    Mashaallah mungu akulinde

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Oooh allah tuwe ni wakwanza kuomba msamaha kwa yule tulooo mkosea ili allah nae are awe wa Kwanzaa kutusamehe❤❤

  • @NajetTinziya
    @NajetTinziya 7 місяців тому

    Mashallah Allah azid kukup umri mref zaid sheikh nurdeen kixhiki

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 7 місяців тому

    Ma sha Allah Tabaarakallah 😍

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er 7 місяців тому +1

    Ma sha Allah jzaka Allahu kheri ❤

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 місяців тому

    Masha Allah !💐

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 7 місяців тому

    Mashaallah allah akupe kheri nyingi duniani na akhera

  • @MuhozaRahma
    @MuhozaRahma 7 місяців тому

    Asante saana sheikh kuja kwetu karibuni tena

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 7 місяців тому

    Mashallah tabarakallah Allah awabariki nyote Allahuma aamin

  • @nkubirially
    @nkubirially 7 місяців тому

    Aslam aleikum wa rahmatullah wa barakatuh sheikh wetu tunakupenda sana SI upange siku Moja utembereye Rwanda

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 7 місяців тому

    Masha ALLAH ❤ ♥ 💖 🎉🎉

  • @SalmaMarselino
    @SalmaMarselino 7 місяців тому

    Mashaall😊😊😊😊

  • @makangepj
    @makangepj 7 місяців тому

    Wahadahulashallikalla ❤❤❤❤❤

  • @AmissaMuhamed-ds8re
    @AmissaMuhamed-ds8re 7 місяців тому

    Maanshaa Allah YA RAABBII

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 7 місяців тому

    Masha Allah shekh wetu

  • @ArabOman-x7h
    @ArabOman-x7h 7 місяців тому

    Mashallah Allah akuifazi shehe wetu

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 7 місяців тому

    Maashallah Tabarak Allah ❤❤❤❤

  • @AsmaHindu-fv7re
    @AsmaHindu-fv7re 7 місяців тому

    Maash'allah 🥰🥰

  • @BurundiaishaAkt-bf9ms
    @BurundiaishaAkt-bf9ms 7 місяців тому

    MASHA ALLAH

  • @Account-n3x
    @Account-n3x 4 місяці тому

    Masha allha sheikh

  • @rehemaally8128
    @rehemaally8128 7 місяців тому

    Ma Sha Allah❤❤❤❤

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Oooh allah fungua milango ya kheri yarabi

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Oooh allah jaalia kheri

  • @MhhmadAlfageer-pu2ng
    @MhhmadAlfageer-pu2ng 7 місяців тому

    Maa shaa allahu

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 7 місяців тому

    Mashaallah

  • @FarHeart-y2h
    @FarHeart-y2h Місяць тому

    Hii nidawa ya waislaam wote tupendane tushikamane ili tupate kheir zake Allah sw siburundi tu mpk ss watanzaniya wadararisalma jiji lagharama soote inshaallaah

  • @omanmct135
    @omanmct135 7 місяців тому

    Mashalllah

  • @bora0066
    @bora0066 7 місяців тому

    Ameen 🤲

  • @makangepj
    @makangepj 7 місяців тому

    Munguakupemaishamarefudunianinakesho akhera 2nakupenda shekhe we2

  • @omanmct135
    @omanmct135 7 місяців тому

    Kweli kabisa❤

  • @sabraaally3256
    @sabraaally3256 7 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 7 місяців тому

    Wallah kishk watu wakupendaa kwa ajili ya allah

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому +2

    Wakina mama burundi mjifunze sunna ya kuvaa nicabu jama stara ya kisheria zaidi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

      Naipenda sauti yako unavyosoma quruuani shekhe kishki hapo nikiswali nyuma yako ntatowa hata mchozi.mana unakisomo cha kuvutia

    • @zainabhussain4114
      @zainabhussain4114 7 місяців тому

      Kweli wanatakiwa kujifunza

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 7 місяців тому

    Oooh allah navutujaalie tuwe ni wenye kueshimu na kutunza siri za ndani kwetu

  • @mariamndikumana-nn9ly
    @mariamndikumana-nn9ly 7 місяців тому

    😂😂😂❤

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 7 місяців тому

    Jamani yani unayo ongeya kuhusu wana wake ni uwu kweli kabisa

  • @UkhtyAsiyaah
    @UkhtyAsiyaah 7 місяців тому

    Kwafuraha wakiña mama hatamani sheikh aondoke jmn sheikh kipenzi cha watu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 місяців тому

    Unasoma quruani vzr shekhe kishk nikiswali nyuma yako kisomo chako kitanitoa mchozi kabisa unajuwa kuipa hakki quruani

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 7 місяців тому

    Wambiye wa zazi ndo wana Mambo hayo

  • @biashaomar2367
    @biashaomar2367 7 місяців тому

    Masha Allah

  • @FarHeart-y2h
    @FarHeart-y2h Місяць тому

    Hii nidawa ya waislaam wote tupendane tushikamane ili tupate kheir zake Allah sw siburundi tu mpk ss watanzaniya wadararisalma jiji lagharama soote inshaallaah