MUME AMJIBU MKE |AMEENDA OMAN KAZAMIA MIAKA 7 NIKAOA KABINTI KADOGO |ANAMFUKUZA |HATOKI KWANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 840

  • @salha6596
    @salha6596 2 роки тому +34

    Baba tumpe Hongera alishindwa kuzini akaona afazali aowe Hana kosa lolote zahiri isuluhishe hii Familia tu

  • @getrudagabriel6370
    @getrudagabriel6370 2 роки тому +18

    Baba unahekima sana,,mwenyezi Mungu,akujalie miaka mingi na her dunian,,uwe na mwisho mwemaaa

    • @0ttii
      @0ttii 2 роки тому +3

      Sana.tu.dada.ss.wanawake.tukishapata.hivi vipesatunajisahau.sana

    • @naimamohammad8870
      @naimamohammad8870 2 роки тому

      Amin Amin Amin na ss wote Amin

  • @mamaafrica3920
    @mamaafrica3920 2 роки тому +93

    Kwanza uyo mke mkubwa ana makosa unakaaje miaka saba bila kurudi nyumbani kwani Hana hisia pili uyu ni mwanaume lazima Kuna wakati Ana hisia kama mwanaume miaka 50 uyo bado anawakilisha mimi niko safari miaka kumi Sasa na Nina watoto wa nne na mume wangu Ana miaka 50 kama uyo mzee lakini mimi kila miaka miwili naenda kuona family na Nina ratiba kilasiku lazima tuongee kwa cmu maana iyo ndio ishara yakuonyesha bado tuko pamoja na kuliwazana pasipo na mawasiliano apo akuna upendo

    • @amanothmanhamimu1174
      @amanothmanhamimu1174 2 роки тому +3

      That is true uhai wa mahusiano ya mbali ni mawasiliano

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому +10

      Halafu huyu ni muislamu ana nafasi yakuoa hadi 4 alitaka azini ? Sasa yeye km alikuwa na mapenzi kweli miaka 7 umemuacha mwanamme ulitegemea ataupeta tu ? hata km hanithi .

    • @فاطمةسعيد-ث2ق
      @فاطمةسعيد-ث2ق 2 роки тому +3

      @@amanothmanhamimu1174 kabisaa

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому +1

      Kabisaa

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому +1

      @@amanothmanhamimu1174 kabisaaa

  • @daliyasaadi1547
    @daliyasaadi1547 2 роки тому +15

    SUBHANA ALLAH SASA MIYAKA 7 HALAFU MUME AKAE TUU HUYO NIWIVU TUU LAKINI MUME HANA MAKOSA

  • @ummulkulsum6124
    @ummulkulsum6124 2 роки тому +15

    Huyo mwanamke anamakosa makubwa sana ikiwa mume alimpa muda miaka 2 mungu atamlipiahuyu mbwana yuko sawa makosa mke ndio mkosaji hii ni dunia amuogope mungu

  • @mariamahmed8586
    @mariamahmed8586 2 роки тому +20

    huyu Mzee namuelewe sana wanawake wengi wakisafiri wanabadilika hakili nakusikiliza ya watu do mana bt huyu Mzee yko sawa

    • @jasminishafii5478
      @jasminishafii5478 2 роки тому

      Kwelikabisa

    • @husnambulwa5020
      @husnambulwa5020 2 роки тому

      Kweli kabisa hata hapa America ni hivyo hivyo wanabadilika na kuwacha waume wao. Huwezi wacha Mke aende arachukuliwa na mume mwingine. Nimeiona

  • @aishairakoze2133
    @aishairakoze2133 2 роки тому +6

    Innalillahi wainnailayh Rajiuun uyo mwanamke hana adabu Subhanallah we dada kama we ni muislam rudi kwa Allah aca kumzalilisha mme wako apo kidini hamna ça kwa mkee mkubwa wa la nini akizaa tu uyo mkee mdogo sasa atuwaciye maneno mkishafika warabuni mnabadilika sanaaa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 роки тому +17

    Aisee Mungu anisamehe makosa yang mwanamke wivu ndio unamsumbua pia ana mdharau mume kwasababu anapata fedha

  • @mammam4701
    @mammam4701 2 роки тому +24

    Hila n ukwer tukifika oman tunabadilika sana... Wanawake 🙏🏿UO NDO UKWER KABS ALLAH HATUJALIE TUKUMBUKE NI WANAUME AMBAO TULIKUBALIANA NAO KUJA UKU TUSIWAZARAU PESA INAMWISHO

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому

      True hili ndio ttzo ,,,,maan pesa hutuharibu akil sie

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@aminaamiri7684 Naam

    • @gracelauzi9746
      @gracelauzi9746 2 роки тому

      @@aminaamiri7684 pesa ndio zina mpea maneno yote huyo bb sasa alivyo kubali aoe na yy hana nyumba na hapo ana watoto wake hapo amuachie nani hapo aridhie kama bb mdogo hana shida na watoto ila yy aleta shida juu ya hela lakini tukiwa huku tujue pesa hailei ila baba kajaribu Sana kukaa na watoto wake baba akae hapo alikubalia yy waishi kwa upendo asiwe na chuki wala asieke roho mbaya wtt wamtenge baba ww Dada huko Omani ujue pesa Zina mwisho

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому

      @@Awatee hutk kuadhithiwa 😄 🤣

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 2 роки тому

      @@husna34562 hampitwi 😀😛

  • @queenhuu2852
    @queenhuu2852 2 роки тому +11

    Ila bimdogo mashallah Kitt kizr sn ,,

  • @eashaeasha9776
    @eashaeasha9776 2 роки тому +10

    Wewe Dada popote ulipo najua kua unasoma comment Ila nikuulize Kwanza unawezaje kukaa miaka 7 bila kwenda Kwa mumeo au watoto wako wakuone? Hata kama pesa hapana wote tupo huku Ila hiyo miaka hapana Kwa kweli huyu Baba ana haki zote kuoa mwengine SASA Acha maneno mengi pesa zako Jenga nyumba ingine ambao ni yako mwenyewe

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 роки тому +1

    Hongera sana Baba,kuoa ni wajibu wako,nyumba ni yako,hii ni hiari yako,huo ni Wivu unamsumbua..Silaha ni ile ilioko mkononi wako..Watoto wanahitaji ulinzi n mapenzi.Wanaheshimika

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 2 роки тому +8

    Baba mstaarabu, alivumilia sana. Allah amjaze kheri

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 2 роки тому +2

    Kweli huyu baba kaongea point Sana. Alafu mpole Sana.. Hawezi kkuacha watoto aichi mbali. Lazima watoto W anatakiwa uwangaliz... Wewe mdada wa Omani fikilia kabla ya uwamuzi. Kuwa nahofu ya mungu

  • @hashimshariff2743
    @hashimshariff2743 2 роки тому

    Maximum TV wacheni kuuliza masuala ya upuzi kwa huyo mzee. Amepitia mengi maisha ya tabu sasa masuali ambayo hayana mwelekeo

  • @فاطمةفايز-غ1غ
    @فاطمةفايز-غ1غ 2 роки тому

    Tuheshimu Waume zetu..Sana Tena sana.mwanamume akioa Ni Jambo la Halali.ni kheri kuliko kuzini..makosa Ni kwamba kumueka Kwa nyumba ya mke mkubwa.na ikiwa mume Hana nyumba nyengine ya kumweka mke mdogo BC hapo ndio matatizo.

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 2 роки тому +13

    Sheria nimsumeno jaman baba anahaki yakuishi na mkewe hapo maana uanzilish wa kiwanja na nyumba ninguvu zake kutoka shamba msimuonee baba yetu jaman

    • @zuwenasaleh9613
      @zuwenasaleh9613 2 роки тому

      Ni Kweli kabisa

    • @aminasuleiman8120
      @aminasuleiman8120 2 роки тому

      Swadkataaa!!

    • @magidalenarauya4286
      @magidalenarauya4286 2 роки тому

      Wewe mtangazaji unaupande Moja umelipwaa huyo mama ,wewe ungeweza kukaa Miaka Saba bila mke?huyo baba jasiri,akapange kwanini wakati akiwa kwake?huyo mwanamke sio,yeye Hana bwana Miaka Saba?hajaona wanae Hana haya?

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 роки тому +5

    Asalam Alaykum ! Mwanangu ZAHIR Kwa kweli mimi najuwa ALLAH Amekupa hikima kumbwa sana ya Kukutanisha watu Alahamdulilah shukuru kwa hilo , Huyu bb mkumbwa kama ATAKA SUNA Za NABII WETU MOHAMAD SAW AKUBALI KUKA NA HUYU MKE MWENZA NA ALLAH A5ALETA BARAKA KWAO AMIN AMIN, MIAKA 7 WEEEE , PILI HUYU MUME PONGEZI KWAKE MASHA ALLAH

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      Mashallah ❤️❤️❤️

    • @mwinyiadadi1604
      @mwinyiadadi1604 2 роки тому

      Kaka zahir mambo mengine ni magumu yanafunga mana na dini kwa hyo unatakiwa utafute ushauri kwanza laa sivyo heshma yako itashuka,huo ni ushaur tuu

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 2 роки тому +8

    Mzee ana sheriya kuowa, vipi umuace mume miaka 7, kuliko kuzini bora ameoa, ila angeowa mtu ata wa miaka 40, uyo bado mdogo na hana kazi maalum. Mume ana sheriya vipi akapange na ana nyumba

  • @Naw89
    @Naw89 2 роки тому +6

    Subhaanallah mtihan kweli
    Mambo ya kudhalilisha familia haya

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 2 роки тому +1

    HUYU MZEE CHENGA SANA ... SASA KAMA UNA MRUHUSU MKEO AKATAFUTE MAISHA NA UNAKULA KUPITIA YYE KWANINI USIVUMILIE MANA NDIO MAISHA ULIOCHAGUA....... ILA HUYU MAMA ANAHITAJI KUPEWA HESHIMA YAKE

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      Sawa kabisa asante kwa kuona hilo

  • @khdijahomary3947
    @khdijahomary3947 2 роки тому

    Pole sana Irumbu yaan huku oman nihatar wa2 wanaongeza2 mikataba hata hawafikirii family

  • @fatmaothman2702
    @fatmaothman2702 2 роки тому +18

    Mpeni haki yake baba wa watu

  • @kuruthumshaban460
    @kuruthumshaban460 2 роки тому +12

    Huyo mwanamke ndo anamakosa Sana Tena Sana ajifikilie hata akienda kulalamika kwa viongozi wadini yeye ndo ataonekana mwenyew makosa.. Kwanza kukaa miaka saba bila ridhaa ya mumewe.. Miaka saba una mume na watoto duuh mama unashida kwakweli

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 роки тому

    Dada nakushauri ukae utafakari muyamalize na mumeo miendelee kuangalia watoto wenu mumeo inaonekana ulimforce aowe ili upate sababu ya kumuacha tafadhali yamalizeni mumeo mtu mzuri masha Allah yeye hana wewe unacho msaidie tu si yupo na watoto anakaa nao

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 роки тому +1

    Dhahir mdogowangu kuwa makin sana katk kesi kama hizi, kidini mwanamke mkosa sanaaa na kuxaa sio sababu ,na adhukuru mungu mume ajampa talaka lkn anakosa kubwa watu humu to tonafatilia tumesoma din yan kajidhaluisha sana mrangi mwenzio

  • @yuriaudi9746
    @yuriaudi9746 2 роки тому +7

    Dad acha zalau kumbuken mlipotoka mume anaongea saiii mkipata pesa mnakuwa jeuli acha jeuli dd mume anaongea haki ata uwong una makosa dad kuwa makini mume mpole sana

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      Aibuuuu 🥺 naona mie

    • @jasminishafii5478
      @jasminishafii5478 2 роки тому

      Mpolehasa hd nimempenda😂😂 wenyemacho tunaona ngoja tumfumbue maskio mana ameleta zarau hd kesiyake tumeifunika

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому +5

    Hii habar inaniuma sana namuona km babaang yamemkuta aya mzee wa wat mpole anaongea kistrab 😥😥haki amemdhalilisha .....
    Kidin akirud baba atagawa vyumba hana pakumpeleka kwengne nyumb ndio iyoiyo...
    Maan yy alimfanya mzee akaowa hali ya kuwa hana sifa za mathna

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      Nikweli 💊💊😭 yote kaogopa kuzini aisee 😭😭 uwiiiiiiiiiiiiiii subhannallah

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 роки тому +3

    Daaaha inasikitisha huyu mzee msataarabu na mvumilivu kalea watoto 5 miaka yoote hiyooo Subhanallah. Mke anamakosa makubwa saana kukaa miaka yooote hiyo bila ruksa ya mumewe Hiyo ni dhambi kubwa saana alafu mke ameingia wivu wakijinga

    • @athumansuphian5891
      @athumansuphian5891 2 роки тому

      Hao watoto huyo baba hajawalea pekeake huyo Dada lazma alikua anatuma pesa sio bure watoto anawahudumia hyo hawezi kukutumia yeye pesa amlishe mkemwenzie hilo haliwezekani mzee jiongeze

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 2 роки тому

      @@athumansuphian5891 money is not every watoto psychology rest of their life itawasumbuaa hapo pesa imesaidia nini wakati wanaona baba yao ana dhalilishwa?

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 роки тому +9

    Kwa makini ukimsikiliza mzee anaonekana ana busara sana mengine ni mapungufu tu ya mwanadamu wanawake hawaaminiki hata kidogo kumruhusu kuoa alijua hato owa

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 роки тому +3

    Maskin baba wa watu Pole Sana Ila tatizo sio kuoa jaman Ila tatizo kumuweka ndani jaman INAUMA 😭Ila we Dada mkubwa umefanya makosa jaman 😭Kaka Zahir Hongera Sana kaka angu Allah akubarik

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 роки тому

    Huy dada Hana Akili tena kamkosea Sana Huy mume Kwa kitendo cha kukaa MDA mrefu bila kurud Tanzania Huy Baba katumiwa hekma tena Jambo linalomfurahisha mwenyez mungu

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 роки тому

    Mzee vizuri umeoa ishi maisha yako akirudi mtapambana mbele kwa mbele, mambo mengine yasikuume kichwa

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 роки тому

    He's very right, mwanamme ana hisia za juu na ni ngumu kuvumia na hayo ndio maumbile yao na hulka yao na ndio maana wameamrishwa kuoa zaidi ya mke mmoja.
    He's supper right.

  • @mwanaidi3296
    @mwanaidi3296 2 роки тому +7

    Mm nipo na huyu baba kwa asilimia 70

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому

      mm Kwa jinsi nilivyomsikiza nipo nae Kwa 90% Kuna baadhi ya watu wanamlaumu huyo Mzee na wao sijui pia Wana Miaka Saba nje ya inchi hawajakutana na waume zao kama huyo mwanamke.huyo mwanamke kwanza anamdharau mumewe Kwasababu kashapata viela kidogo na uenda Kuna MTU anamdanganya, mbona kabla ya kwenda nje walikuwa wanaelewana na maisha Yao yalikuwa magumu.

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      ❤️❤️❤️

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 роки тому +19

    Huyu baba Hana kosa hiv wewe mwanaharusi umeolewa umefundwa kweli ndugu yangu Mana km umefundwa huwezi ukamuweka mume bila tendo hata wiki leo miaka Saba jamani khaa hebu uwe na adabu na mumeo umefika Oman unamletea kiburi mumeo si vizuri ndugu yangu umeomba miaka miwili umeenda kukaa miaka Saba kakuvumilia sana huyu baba itakuwa ushapata bwana huko haiwezekani basi hata hisia ndugu yakumkumbuka mume huna halafu wewe unataka umtenganishe watt wake na baba yao kwa mdomo wako na dharau zako nyie watt msimsikilize mama yenu eti kila kitu na hudumia mwenyewe watoto umewaacha wadogo mumeo kakaanao na kuwalea vizuri leo unaleta kidomo Domo wewe endelea kukaa Oman mwache baba wa watu apate Raha kwa dogo apunguze vikombe vya kahawa Mana miaka Saba si mchezo vikombe vya kahawa km vyote babaangu hapo hamna kutoka kama nyumba mmejenga wote atoke aende wapi na mkewe na ukirud huko utafute kungwi akufunde ujue jinsi ya kuishi na mume sio dharau sijapenda kabisa unavyomdharau baba watu kiss kushika vijihela

    • @halimamimarich3799
      @halimamimarich3799 2 роки тому +1

      n mjinga uyo mwanamke...amejisahamu sana n vipesa vya oman...itakuaa ameptaa kibwana uko...mjinga sana mwanarus Allah atakulanii uko uliko na pesa zko utozjuaa thamn yke...ujuii mume n pepo mshenzi sana we daa

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 2 роки тому +1

      Kabisaaa

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 роки тому

      🤣🤣🤣mbn vikombe vya kahawa 🤣shaghala sewi gahawa shahi😂😂

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +5

    Kikubwa ni Maridhiano Umri Sio kitu Mungu awajaalie muwe ki2 kimoja nyote Inshallah Na huyu baba upande mwengine Hana makosa Watoto waskilizwe Ili tujuwe ukweli wote Mungu Yu Mwema 🤲 atasaidia

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 2 роки тому

    Hata kama unamlisha mumeo ndo uje umuanike hapa mtandaoni? Kwani hakuna familia?? Na huyo binti alio olewa kwani akila huo ugali unaoununua wewe kwani wewe unapungua wapi?? Tuwacheni roho mbaya sisi wanawake, lete toba wewe mwanamke mwenzangu. Subhnallah Allah atustiri sisi na atupe mwisho mwema,

  • @georgebundala4609
    @georgebundala4609 2 роки тому +5

    We mtangazaji hovyo badala umsiilize mzee u balance story wewe unamihemko ya yule mama

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 2 роки тому +27

    Uyu baba inawezekana ikawa ana shida lkn na mama nayeye ana makosa mn utakaaje oman miaka 7 bila kuja kuona familia na kumtia moyo mumeo wapo wt wanakaa ata miaka 10 lkn kila baada ya miaka 2 au 4 wanarud nyumban kwnz mtu ushazaa nae wtt 5 bd mna endekeza migogoro wtt wakubwa ao ukitaka akae mbal na wtt wake na yeye anaelekea uzeeni tena atakuja kusaidiwa na nani na wtt utakua ushawalisha sumu me nashaur kw vile wamejenga wote apewe baba vyumba 2 akae na mkewe wajichumie wenyewe na yeye akae na wanawe t

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 роки тому +2

      Sindio hapo kwanza kama unampenda mumeo muage miaka 2 umemaliza rudi nyumbani. Sasa huyu miaka 7 jamani

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +3

      hakika ndugu, huyo MKE hizo ela kidogo ndiyo sinamfanya mpaka amdharau mumewe na bila shaka kashapata MTU amsumbua uko omani.

    • @halimaomar3280
      @halimaomar3280 2 роки тому +1

      @@MuhammadHassan-xp6dc ni makosa miaka 7 ni mingi jamani

    • @halimaomar3280
      @halimaomar3280 2 роки тому +1

      @Aziza Yahiya ni mingi sana hiyo miaka huyu mama nae atakama

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +2

      @@halimaomar3280 yani mtihani MTU Allah atupe wake wema na nyinyi mpaka waume wema,ila huyo mwanamke amuombe Allah msamaha na amuombe mumewe kafanya makosa.

  • @aishatarimotarimo2689
    @aishatarimotarimo2689 2 роки тому +7

    Masikin hadi huruma huyu mzee jaman tusijasahau sana huku tuwe tunarud nyumban kuona family

  • @omnsultan383
    @omnsultan383 2 роки тому +6

    Kweli tupo katika hali ya utafutaji lakini huyu mbambanaji mwenzeti anamakosa mambo yafamilia huwezi leta kwenye media tubadilike jamani ambao tupo oman

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 2 роки тому

      Leteni tu mada zenu tungejuaje kama muko Omani

    • @saifarafa8728
      @saifarafa8728 2 роки тому

      Watu tuwe na huruma baba mtu mzima kama huyu kumpelekapeleeka kwenye sheria sio vizurii au mwezetu kashapata kibabu cha kimanga? Maana si kwa kumdhalilisha mumewe,

  • @FatimaFatima-wk1jk
    @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому +10

    Zahiri ukiwa una ongea mambo ya kifamilia usiwe unaegemea upande mmoja maana unavyo muuliza maswali huyu Baba ni kama una msuta vile 😓

    • @jacquilinenoah949
      @jacquilinenoah949 2 роки тому

      😂😂😂😂😂

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 2 роки тому

      Kweli kabis

    • @jamilashabani1092
      @jamilashabani1092 2 роки тому +1

      Nae ana kosa.kwann asingemtafutia pakuishi uyo mke mdogo mpka amlete apo

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 2 роки тому +1

      @@jamilashabani1092 Harafu akienda huko kwenye nyumba nyingine na Watoto pale watabaki na Nanii?Kumbuka ile nyumba Inamuhusu walijenga kabla mwanamke hajasafiri.Ulitaka ampeleke wapi yeye sikakataakuru kwa mumewe mwenyewe Bwana miaka 7.kwanza jamaa ilifaa apewe zawadi,kavumilia sanaa.
      Mwanamke anagongwa huko Omani mwenzie anateseka Tz.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      @@jamilashabani1092 Na hiyo ndio nadhani shida ya mke mkubwa kuhofia mke mdogo akipata watoto hapo itakuwa mgao wa kilichopo itagaiwa na kwa huyo mwanamke. Kitu ambacho kipo sana tena pengine waliokutwa kuambulia patupu kukosa haki ya walichochuma Wazazi wao

  • @رظنيرريمسمرظووسَيو

    Pole baba wa watu, mm nipo oman miaka 6,inaenda na kila miaka 2 narudi nyumbni nakumbuka niliaga nilipewa ruhsa,,, na mume,,, asa ww cha kukueka oman ivo kitu gn, km ni dhiki ni dhiki tu, umejidhalilisha sn, ww miaka7duh, mume anahaki, wataishi pamoja hapohapo

  • @alimahmoud358
    @alimahmoud358 2 роки тому +1

    Babu engeza kuowa mke mwingine .huyo aliyekuwa huko umangani waarabu lazma hawamuachi nndo mana harusi.

  • @Valdo.Suleiman
    @Valdo.Suleiman 2 роки тому +4

    Zahir unakosea kumkosoa mzee kutokua na idhni yakumueka mke wake ndani,sasa kama hana kipato chakutosha atamueka wapi,kumbuka pia bado ako na watto.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      mtume Mohammed kakataza mwanaume kuoa na kumuweka huyo mkeo kwenye nyumba ya mwezio hakufanya sawa

    • @sofiyasofiya6469
      @sofiyasofiya6469 2 роки тому +2

      Kiukweli uyo dada ayuko sawa mia7 Oman 🇴🇲 mascat unatafuta nini rabda uyo baba yuko sawa sisi wote tumekuja kutafuta Oman 🇴🇲 lakin tunarud kuona watoto na kumpa faraja mume shoga kazama kisha unaomba msada kwa vyombo vya habari

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому +1

      @@sofiyasofiya6469 msiba wallah nini tutamjibu Allah tukifa mume hana radhi nae hajui kma pepo yake ipo kwa mume wake nasio watoto wake wala families yake 🥺😭

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 роки тому +18

    huyu Mzee nimemsikiza vizuri na nimemuelewa watu wengi naona kazi yao kulaumu tu, kabla haujalaumu elewa hayo maneno kwanza, kwanza huyo mwanamke Kwa upande wa dini ana makosa unaongezaje mkataba bila kushahuriana na mumeo ,pili kama nyumba mlichangia nyote ulitegemea akapange na wakati yeye pia ana haki yake hiyo yote ni roho mbaya na kujiona tiyari Allah kashakurudhuku kitu ktk mali ndiyo unamdharau mumeo,Sasa kama anasema alikuwa anamlisha yeye na mkewe kwani kabla ya kwenda uko nje kufanya kazi yeye ndiyo alikuwa anamlisha? awache kumdharau mumewe kwani alilazimishwa amsaidie simapenzi yake tu, hauwezi juwa siku Allah akampandisha mumeo na wewe akakushusha hizo mali chache zisikudanganye,huyo mwanamke hapo amekuzuia Nini kama ukitaka kurudi au ndiyo hizo roho mbaya na wivu usiokuwa na maana, enyi wanawake hakika miongoni mwa sababu zitakazowapelekea kuingia peponi ni kuwatii waume zeni haijalishi ata kama ni maskini kiasi gani acheni kuwadharau waume zenu, ipo siku uenda akaja kuwa msaada mkubwa kwako,kuliko yule ambae ulimuona ndiyo Bora kwake.

  • @halimaally8668
    @halimaally8668 2 роки тому +15

    Daaaaah kwann kumdhalilisha mbaba wa watu Sijapenda wallah mzee mwenyewe anaonekana hata shida kabisa mngeyamaliza kifamilia tuu, angefanyiwa baba ako au ndugu yako ungejisikiaje daaah binadam tumekosa utu🤦‍♀️

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 2 роки тому

      Ogopa wanyonge

    • @zakiakiriani2817
      @zakiakiriani2817 2 роки тому

      Uyu mke mkubwa matatizo sana baba mpole sana

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 роки тому

      Mimi pia nimemuonea huruma sana baba wa watu ni mpole mama watoto ndo ana makosa atakaaje uarabuni miaka yote hiyo labda angerudi na kwenda tena

    • @latifaabdallah1737
      @latifaabdallah1737 2 роки тому +1

      @@dadaagnes4483 Hata angeongeza watatu dini inamruhusu na awaweke hapo happy mbona na yy need kwake ampeleke wapi !!!jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mzee anaonewa jamaani.

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 2 роки тому +5

    Zahir be careful nyumba c ya mwanamke peke yake na kama anataka mume asingekaa Oman miaka 7 sheria ya kiislam wake 4 ungerudi mapema na pesa kidogo mukaanza biashara yasingefikia hayo tulia ugangwe maradhi c ndwele

  • @sophiamvungi3829
    @sophiamvungi3829 2 роки тому

    ..hahaaaa! Zahir,hivyo vigongo huyo mzee wawatu masikini,lkn safii iwe fundisho kwa wanaume wavivu!

  • @thawabunsombo2604
    @thawabunsombo2604 2 роки тому

    Yaaani huyu bwana ana Tatizo kapigika tu kimaisha na mstaharbu sana Allah akufanyie wepesi kwenye ridhiki

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 2 роки тому +4

    Mie nipo Omani na Nina miaka 5 ila kila nikimaliza mkataba lazima nirudi nyumbani Maana pesa inatafutwa lakini Roho haitafutwi mara pa baba kafa mama kafa mtoto kafa pesa itakusaidia nini lakini ukirudi ukiona familia ukaja tena Roho tako pia inakaa vizur

    • @stelasianga9468
      @stelasianga9468 2 роки тому

      Hallo..naomba number zako kairati..nikuulize kitu best

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 роки тому +1

    Kumleta mke nyumba mlio jenga na kuna watoto sio sawa ange owa ampangie mke wake nyumba ibaki kua heshma ya watoto sababu atakapo ishi na kuzaa umo umo nikuwaletea watoto shida kwa miaka yabadae

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      Na ndio hofu ya mke mkubwa ambayo waliopita kwenye hizo changamoto wanajua hilo

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 роки тому +2

    Wake wawili kuishi nyumba Moja mbna ni kawaida tuu

  • @SamsungGalaxy-kx2zj
    @SamsungGalaxy-kx2zj 2 роки тому +1

    Nilivyo msikiliza mama watoto ameonyesha anae mshikaji na yuko Tanzania au yuko nae huku kazini kwake hasa kwa mrangi mwanamke muongo hawezi kukaa miaka yote hii bila kurudi na ya julikana kila baada ya mwaka mmoja na miezi 10 hupata ruhusa na ana katiwa tiketi kwenda na kurudi hakuna kizuizi kumzuia asione watoto wake

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 роки тому +2

    brother Zahir nakuamini ni kuwapatanisha tu hao na mungu atawabariki na kukubariki na wewe pia

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 2 роки тому

      Zahir fanya taratibu umurundishe huyo mama family ienderee

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +7

    Baba yuko sawa kabisa bora kaoa uyo wa Oman kashapata bwana huko hakuna mtu anayeweza kuvumilia miaka 7 unakula unashuba

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 роки тому +4

    Huyo mnamke mkubwa yawezekana ameolewa. Pia mwandishi inainekana ametumwa na huyo mwanamke maswali ya dhihaka. Kumuacha mwanamke hata mwaka ni mtihani. Kadhalika kaka kwa Karne hii wanawake wanatamaa sana na Dunia, ukileta jambo la dini kukaa wanawake wawili sehemu Moja kwa sasa ni tatizo. Uislamu hauangalii umri katika mapenzi, Mzee anaoa kijana na Mzee anaolewa na kijana.
    Nakushauri kaka huyo mwanamke mdogo mtafutie sehemu nyingine hapo utadhalilika sana, mwanamke ameingia wivu na tamaa, pia anaweza kuwa na mwaume mwingine.

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 роки тому +2

    Jamani mwaka mmoja haujaisha lakini siwezi naona kama nimekaa myaka saba siwezi kukaa miaka hata miwili bila mume wangu kwa kweli waarabu watanisamehe

    • @Zahara-or3cf
      @Zahara-or3cf 15 днів тому

      Hatari mi nina mwaka na nusu natamani nifike 4 ila naona siwezi

  • @janetchinga9357
    @janetchinga9357 2 роки тому +5

    Kajitaidi baba kulea watoto wake 🙏🙏

  • @fatumamsellem7622
    @fatumamsellem7622 2 роки тому

    Wewe mama kua na Iman
    Wakila chako kuna ubaya gani
    Mume kakustahamilia siku zote hizo
    Kwenye miti hakuna wajenzi
    Na kwenye wajenzi hakuna miti.baba akae hapo na mama mpya
    Na wewe mama mkubwa urishike mkija make nyote.na watoto wenu
    Mukae nae kwa iman
    Umepata mume mzuri

  • @amanothmanhamimu1174
    @amanothmanhamimu1174 2 роки тому +10

    Huyu Mzee hana tatizo hata kidogo na amevumilia sana na bado anaendelea kuvumilia uyu mwanamke ameingia na roho ya tamaa ya Mali anasahau kama uyo ni mumewe na amezaa nae

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 2 роки тому +1

      Kwanza alimruhusu mwenyewe haoe SASA maneno ya NN huyu Dada nime mtoa hakili na yote wivu tu

    • @jjjhhb4300
      @jjjhhb4300 Рік тому

      Uyo mwanamke ndio mwenye makosa na ujue izo pesa za msimu usipokua na malengo utamkumbuka mumeo

  • @allyadam7355
    @allyadam7355 2 роки тому +2

    Mama muongo baba nimkweli San wallah

  • @princebabu6977
    @princebabu6977 2 роки тому +8

    Zahir mdogo wangu hili suala ni la ndoa na wivu, huyo mwanamme yupo sahihi kwa mujibu wa sheria za uislam, pia hata kama atarudi huyo mke mdogo ana haki ya kukaa hapo kwa mumewe na sheria inaruhusu. Huyo mwanamke wa Oman kisheria yupo kwenye makosa makubwa kwa kukaa miaka 7 huko bila makubaliano na mumewe, pia kwa kukaa miaka minne bila kuwasiliana na mumewe sasa mume afanye nini zaidi ya kuoa. Hivyo Zahir kuwa makini kwa kuangalia sheria za dini inavyotakiwa kuliko kuangalia sheria za kidunia. Maana na wewe utaingia kwenye dhima siku ya kiama.
    Mwisho kutokana na maongezi ya huyo mume nyumba ni yake kwa asilimia kubwa kuliko huyo mwanamke, na pia kuwa makini wanawake hawachukuliwi dhamana maana wanageuka sana. Na Allah ni mjuzi zaidi

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому +2

      Naaam ❤️ Wallah akifa leo mwanamke 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @amanothmanhamimu1174
      @amanothmanhamimu1174 2 роки тому +2

      Umeongea ukweli mtupu

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому +1

      @@najmaulaya2261 😭😭😭

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      @@amanothmanhamimu1174 😭tubadilike wanawake pesa zinapita tu

  • @kitchenwithmanca2261
    @kitchenwithmanca2261 2 роки тому

    Sasa wew zahir mbona kama umetumwa kumchamba baba wa watu mana ivo unavomwendea kidedea kwa kumfokeaa kama dada amekupa kipesa.

  • @hidayabakar7026
    @hidayabakar7026 2 роки тому

    Wanavituko mama Yuko anapamba kwaajili ya watt wakifanisha watt masomo faida Yao Wooten wakati
    Yeye Baba vuvuzela halina mbele wala nyuma

  • @lathifaa860
    @lathifaa860 2 роки тому

    Saa kaka Zar uyo mama ataka Oman pakalini uyo mama kapaka mume wakiarabu baba yangu pesa ya omani ninampajeuri

  • @kitchenwithmanca2261
    @kitchenwithmanca2261 2 роки тому +1

    Heee Zahir hii umebooaa for sure. Ushakamatishwa cha uharabuni wew

    • @tekrasumamrimi3583
      @tekrasumamrimi3583 2 роки тому

      Yaaani so Siri zahiri anavutia upande mmoja tu anaboa

    • @mamags8828
      @mamags8828 2 роки тому

      Kweli kabisa😂

    • @mamags8828
      @mamags8828 2 роки тому

      @@tekrasumamrimi3583 kabisaa 😂

  • @salmaidd8328
    @salmaidd8328 2 роки тому

    Jaman mmi mwanyewe nimemwelewa bba yangu niku alikua Anampenda mke wake ila huyo mma anamaslai bba yuko poa kwanza ssi warangi bba zetu hawaowangi wake wawili ovyo bila sababu arudi amrihtie mume wake maan bba hanashida

  • @graciousmbise5464
    @graciousmbise5464 2 роки тому +1

    Zahir maswal yak nimagum huyo baba ndiy ameoa unapomuliz et nisahihi kuhishi na mke wak hapa ww unaona angetakiwa aishi wap na huy mke wake huyo dada hajal watot mda wote huo yuk oman kwel hiy saw

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 роки тому +1

    Mtangazaji mjinga sana kama haelewi
    Kwamuujibu ya huyo baba nikwamba waeslamu wana owa wake mpaka 4 na wake elewana wana paswa ishi nyumba moja. Pia uyu mtangazaji kama hana Eshima. Huwezi uliza mzee kama huyo maswali machafu kama hiyo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 роки тому +2

    Zahir leo umetuboaa haswaaaaa mzee wa watu roho mbaya tuy huyo mwanamke

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому

    Kaka Zahir usitiwe dhambini na Mtu kumbuka tunakuamini sana...fanya haki kwa wote udimuulize maswali ya dhihaka hyo Mzee anaonyesha tu anasema ukweli hyo Baba na ww pia ni mwanamme...kumbuka wanawake tuko na changamoto nyingi.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому

    Aelekee wapi vip zahr ataishi hapo hapo kwa mume wake

  • @jasminjumanne4157
    @jasminjumanne4157 2 роки тому +2

    Mie nafanya kazi Omani lkn kila miaka2 narud nyumbn dada fanya urudi kwa mumeo kwanza ushukuru kakulelea watoto wako angekua mwanaume mwengine angepeleka watoto wako kwa ndugu zako ili aish na na mwanamke vzr wake

  • @mamaibra2402
    @mamaibra2402 2 роки тому +1

    Ww mwanamke usiwe jeuri kwa sababu ya kipato leo mume amekutwa uzembe kuwa na adabu mm nimekaa Oman miaka 4 na nimefanya kazi dubai miaka 5 lkn nilikuwa tunawasiliana na mume wangu mpaka nimemaliza mikataba angu akanambia sasa mke wangu rudi vas tena nimerudi mpaka leo nipo tables watoto wetu na nampenda mume wangu ba ananipenda

  • @tariqbutt9516
    @tariqbutt9516 2 роки тому

    Wote wa2 wanamakosa kwanza kama huyo Bwana kwanini aingize mke ktk nyumba ambayo amejenga na mke Wa 1 ingepasa ajenge nyumba nyingine au akapange na mkewe (dogodogo) sasa hao ni kama amekarbisha vita ya fitina ( uchawi nk) nani alaumiwe kama sio huyo Bwana watapigana maskadi kinoma ( Mimi yalinikuta hayo) mpaka nime simama Nina msifu YESU KRISTO alie hai.

  • @makrinamakrinahahahahadah4629
    @makrinamakrinahahahahadah4629 2 роки тому

    Yani bila kuldu ahaaa siyo vizuli ata uchungu wa watoto anna

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 роки тому

    Hapo pa kuongezea mahari mm weeeee nani akubali iyo kitu! Hayo mengine sio shida zetu

  • @fatmaothman2702
    @fatmaothman2702 2 роки тому +10

    Bora alivyoowa hakufanya zinaa kwa kumkosea Allah

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 2 роки тому

    Wanawake siku zote huwa watu wakukandamizana tuache roho mbaya mmomchamba mke mkubwa mbona kamruhusu mumewe aowe na yy sio km anamchukia mke mwenziwe tatizo ataekwaje mke ndani ya nyumba alojenga yy pia yy kukakaa omani ili wanawe wasome ashaona akirudi wanawe hawatoweza kusoma tena sasa mnatakaje uyo mume km haki ya ndoa si anapata kwa mke mdogo ndio mana wakaruhusiwa wake wanne muache roho mbaya wanawake kukandamizana mtu anatumwa omani mnafkiri ana raha uko na mikazi si maisha tu umaskini

  • @fatimaomar1172
    @fatimaomar1172 2 роки тому

    Subhana Allah

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +1

    Sasa mwanamke miaka 7 upo oman hujawahi rud mume nyumbani afanyeje sasa

  • @hguhg9175
    @hguhg9175 2 роки тому

    Mm binafsi sijapenda hivyo bora ungefanya mawasiliano na kuwambia mdogo amuweke wap kulikon kukaa kimya kwa mwenzi wako ww vip tena hiyo tabia ikomee hapahapa isijetokea kwa watu wengine pesa mapito tu ilikin mme ana haki hado kwa mungu ww pepo yako utaipataje kama mme wako wamfanyia hivyo mwashuhulishwa na pesa pesa nn achen roho mbaya kuja oman sio shinikizo la kuwadharau wenzenu muache tabia hizo

  • @fathmaoman1186
    @fathmaoman1186 2 роки тому +1

    Kosa kubwa sana kumdhalilisha mumeo

  • @umahmed8273
    @umahmed8273 2 роки тому +1

    Baba ana haki hapo na akitaka wag awane nyumba si ina vyumba 6 kila mmoja achukue 3 maisha yaendelee, baba aondoke ende wapii jamani na nyumba ni haki yake ipoo

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 роки тому +5

    Zahiti huyo bb ana haki ya kumleta mke hapo huyo mwanamke ni mshenzi tu utakaaje nnje ya nchi miaka Saba

  • @ajirathabdulnoor4832
    @ajirathabdulnoor4832 2 роки тому

    Bi mkubwa kavuruga Kila kitu mwenyewe. Pole sana Mzee.

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +1

    Mmmh maskini mzee wa watu huyu mwanamke amefanya vbaya sana mume wako ukae nje miaka 7 yote hiyo,mm mwaka wa 9 niko saudia na kila daada ya miaka miwili lazima niende kwetu kenya nikaone familia yangu iweje yy amalize miaka 7 bila kwenda hata kukaa na mume wake hata miezi miwili ya vacation ,mm ntasema ana mwanaume huku kwa sababu ni ngumu sana kuvumilia hata miaka miwili nikujikaza tu waah mm siwezi mpaka niende kenya mwanzo nikae na familia miezi miwili ndio nirudi nianze tena contract wwe mume ni kitu chengine bwana na kumuekea heshma ni kitu cha maana sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Mashallah, zahir, una busara sana.

  • @aimanshija4230
    @aimanshija4230 2 роки тому +1

    jamani fulus inatutoa Iman na huruma,,kwanza ilibidi amshukuru sana mumewe kulea watoto tu pia jambo kubwa,,wengine wanashidwa kumaliza mikataba Yao kisa watoto hawana mlez ,, kukulea watoto tu ww ukaongeza miaka ilibidi amshukuru sana,,

  • @ummulkulsum6124
    @ummulkulsum6124 2 роки тому

    Bi mkubwa amuogope mungu asijionekuwankukaakwakenoman ndio kumfanye atiye mume unyonge iwapo watt wanaishi vzr mungu awafanyie wepes

  • @jeda1234
    @jeda1234 2 роки тому

    Pole sana baba yangu wanawake wakifika omani wanabadilika

  • @rajabuabduly468
    @rajabuabduly468 2 роки тому

    Mzee yupo sahihi kbs uyo mke anamatatizo

  • @Gasimba785
    @Gasimba785 2 роки тому

    Huyuu mzee mpole saana

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 2 роки тому +3

    Mwandishi kuwa makini Sana hiyo ndoa .

  • @hawaabdallah4782
    @hawaabdallah4782 2 роки тому +1

    Huyo mwanamke mwenzetu hajafundwa huwezi kumzalilisha mumeo kiasi hicho

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому

    mwanamke uyo NDO anawatia ao watoto wake wawe kibri na kufanya wasiskie baba Yao nawewe mtangazaji usiingilie maisha ya uyo baba kuhusu kuowa au miaka wewe oji kazi yako uyo mzee yupo point kabisa miaka saba mama katelekeza family yako

  • @shokatihamis3231
    @shokatihamis3231 2 роки тому

    Mama naar kumbe uko hivyo kweli nimeamini pata pesa tujue tabia yako

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 2 роки тому +1

    Mzee hata Kama Angeoa Mwanamke Wa miaka 20 Ni halali yake Kwan kakosea wapi?