Umkopeshapo jirani yako cho chote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake. Kumbukumbu la Torati 24:10 Simama nje, yule umkopeshaye akuletee nje ile rehani. Kumbukumbu la Torati 24:11 Naye akiwa ni mtu maskini, usilale na rehani yake. Kumbukumbu la Torati 24:12 Sharti umrudishie rehani lichwapo jua, apate kulala na mavazi yake, na kukubarikia; nayo itakuwa ni haki kwako mbele za Bwana, Mungu wako. Kumbukumbu la Torati 24:13 Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako; Kumbukumbu la Torati 24:14 mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia Bwana juu yako, ikawa ni dhambi kwako. Kumbukumbu la Torati 24:15
Maelezo yaliyo katika video hii yatakusaidia sana unapoanza biashara ndogo au kubwa na kufanya uweze kufanikiwa sana.
.
iko mkao mzee shukrani ziende kwa mdhamini wetu wa kipindi
Shukrani buda.. Mdhamini kama mdamini au sio
Asante mwalimu kwa somo nzuri hii, nashukuru
Hongera sana
Good idea 👍👍👍👍
Bro Asante sana kwa ushaur wako ubalikiwe sana
Amen. Karibu sana
Kabisa mzee wangu
Pamoja sana!
Naipenda haswa pande ya uaminifu
Umejifunza nini apo kwen uaminifu.
Asante kk
Mambo
Fresh sana mkuu. Mbabe TV
@@brobabuu3973 nice
This is what i call PROPER USE OF SOCIAL NETWORK
I wish everyone to have the same mindset, You are very RIGHT Magida
Bro nmekuelewa sana
Umkopeshapo jirani yako cho chote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake.
Kumbukumbu la Torati 24:10
Simama nje, yule umkopeshaye akuletee nje ile rehani.
Kumbukumbu la Torati 24:11
Naye akiwa ni mtu maskini, usilale na rehani yake.
Kumbukumbu la Torati 24:12
Sharti umrudishie rehani lichwapo jua, apate kulala na mavazi yake, na kukubarikia; nayo itakuwa ni haki kwako mbele za Bwana, Mungu wako.
Kumbukumbu la Torati 24:13
Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako;
Kumbukumbu la Torati 24:14
mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia Bwana juu yako, ikawa ni dhambi kwako.
Kumbukumbu la Torati 24:15
Barikiwa sana MKUSHI. Nimependa sana maneno yako.
@@brobabuu3973 nilipata point moja na nimechukua hiyo kuifanyia kazi. Hasa Siri ya tatu na nne hasa nne
Nitumie namba yoko bloo
*0766245639* WhatsApp
Ndugu nimekuelewa sanaa
asante ssana ndugu
bro this is awesome...umeniongezea thamani today
Shukrani sana mkuu.. 💫
Nakubari sana bro
Asante sana ndugu.
Point tupu kubwa SANA
Ipi umeielewa sana?
Asante
❤❤
Good
Thanks Yussuf
Makini sana akili mingi
naam
😢😢😢
Mm nahitaji kujua hyo uliyofundishia ni program gani na ninaweza vp kuipata?
Km nikipata nanba yako itapendeza zaidi. Asante!
Karibu sana mkuu. Nimetumia VideoScribe kufanya presentation.