Bro Babuu
Bro Babuu
  • 13
  • 54 733
Fursa ya uwekezaji maana ya hisa | ZIJUE SIRI ZA KUPATA FAIDA KATIKA HISA 2023 | Hisa ni nini?
@Hisa @Sokolahisa @HisaCRDB
Fursa ua Uwekezaji, Maana ya Hisa
Je Hisa ni nini? Au nini maana ya Hisa? Karibu kutazama video hii hadi mwisho uweze kujifunza na kujua Nini Maana ya Hisa na ni faida zipi utazipata unapowekeza katika Hisa.
Karibu uweze kujifunza nami hadi mwisho na ukiwa na swali lolote kuhusu masuala ya uwekezaji kwenye hisa Usisite kuniandikia katika comment nami nitakujibu.
MY CHANEL: cutt.ly/U1JJpZx
Переглядів: 560

Відео

JINSI YA KUPATA SUBSCRIBER WENGI KWA MUDA MFUPI // Jinsi ya kukuza channel yako ya Youtube 2021
Переглядів 1,8 тис.4 роки тому
JINSI YA KUPATA SUBSCRIBER WENGI KWA MUDA MFUPI // Jinsi ya kukuza channel yako ya UA-cam 2020 Katika video hii nimeeleza jinsi ya kukuza channel yako ya UA-cam kwa njia rahisi sana na zinazofanya kazi kwa mwaka 2021 Utaweza kuongeza subscriber walio wengi kwa muda mfupi sana ikiwa utaifata kama ilivyoelekezwa 00:00 Intro 00:54 Subscriber wakudumu 06:03 Upload video nyingi katika Channel Yako 0...
JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL YA YOUTUBE HATUA KWA HATUA {Ku-Upload video ya kwanza kwenye channel} 2020
Переглядів 3574 роки тому
JINSI YA KUFUNGUA CHANNEL YA UA-cam HATUA KWA HATUA {Ku-Upload video ya kwanza kwenye channel} 2020 Jinsi ya kufungua channel ya youtube na kuupload video ya kwanza limekuwa ni swali linaloulizwa na watu walio wengi. Ila kupitia video hii utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kufungua Channel yako ya UA-cam kwa njia rahisi zaidi na kukuwezesha kumiliki Channel yako kwa hatua hizi chache. Usipange...
FAIDA ZA KUMILIKI YOUTUBE CHANNEL // Muda sahihi kufungua channel yako Youtube 2020
Переглядів 5724 роки тому
FAIDA ZA KUMILIKI UA-cam CHANNEL // Muda sahihi kufungua channel yako UA-cam 2020 Katika video hii nimekueleza FAIDA ZA KUMILIKI CHANNEL YAKO YA UA-cam leo, kama ambavyo utasikia katika video hii zipo FAIDA zaidi ya tatu za wewe KUMILIKI CHANNEL YAKO YA UA-cam leo hivyo ni muhimu kufungua CHANNEL yako sasa. Pia nimejibu swali la ambalo limekuwa likiwasumbua watu wengi kwamba JE NI MUDA SAHIHI K...
JINSI YA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA YAKO [Mbinu/Siri za kuongeza faida] SEHEMU YA 2
Переглядів 3164 роки тому
JINSI YA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA YAKO [Mbinu/Siri za kuongeza faida] SEHEMU YA 2 zipo mbinu mbali mbali za kuongeza mauzo na faida katika biashara yako na leo nimeshiriki na wewe katika kuchambua mwendelezo wa mbinu za kuongeza faida au mauzo katika biashara yako hapa Tanzania. Kufikia mwisho wa video hii ni dhahiri utakua umepata elimu ya kutosha kuongeza mauzo yako katika biashara unay...
JINSI YA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA YAKO / siri za kuwanasa wateja wengi katika biashara PART 1
Переглядів 1,6 тис.4 роки тому
JINSI YA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA YAKO // Mbinu za kuwanasa wateja wengi katika biashara yako. Katika video hii nimeeleza kwa mapana njia za kuwezza kuwavutia wateja wengi ktk biashara yako na ni jinsi ya kuweza kuongeza mauzo yako kwa kila mteja mwenye kuuliza bei ya bidhaa/huduma unayotoa. #Jinsiya #kuongezamauzo #mauzo #mbinu #siri #biashara
JINSI YA KUUZA ZAIDI KATIKA BIASHARA YAKO: Jinsi ya kuongeza mauzo/faida katika Biashara yako 2020
Переглядів 9734 роки тому
JINSI YA KUUZA ZAIDI KATIKA BIASHARA YAKO: Jinsi ya kuongeza mauzo/faida katika Biashara yako 2020. Katika video hii nimeelezia njia inayoweza kutumiwa na mfanya biashara yeyote kuongeza mauzo katika biashara yake kwa kutumia mbinu hizi Usiache ku subscribe, comment, share and Like this video. Share this video with a friend: ua-cam.com/video/INg96jj4dIw/v-deo.html Let’s connect: Instagram: inst...
JINSI YA KUWEKA AKIBA kuSAVE: Fahamu jinsi ya kujilipa kwanza 2020
Переглядів 5114 роки тому
JINSI YA KUWEKA AKIBA kuSAVE: Fahamu jinsi ya kujilipa kwanza 2020 Ni furaha na malebgo ya watu wengi kuwa na AKIBA ya pesa ila ni wachache wanajua njia sahihi za wao kuweka AKIBA. Leo nimekueleza kwa upana sana jinsi ya kujilipa mwenyewe na kuweka akiba. Ungana nami hadi mwisho wa video hii kujifunza zaidi. Usiache ku subscribe, comment, share and Like this video. Share this video with a frien...
JINSI YA KUNZISHA BIASHARA BILA MTAJI: Mbinu za kuazisha biashara bila pesa Tanzania 2020
Переглядів 1,9 тис.4 роки тому
JINSI YA KUNZISHA BIASHARA BILA MTAJI: Mbinu za kuazisha biashara bila pesa Tanzania 2020 Ni shabaha ya watu walio wengi kuanzisha biashara, ila ni wachache walio na mitaji ya kuanza biashara zenye faida kubwa. ungana nami nikudokeze mbinu unazoweza kutumia kuanzisha biashara bila kuwa na mtaji wa pesa na ukapata mafanikio makubwa. Kuna mengi sana yakujifunza katika video hii, na pia katika Cha...
JINSI YA KUNZISHA BIASHARA YENYE FAIDA: mbinu za Kupata wazo zuri la biashara.
Переглядів 8 тис.4 роки тому
JINSI YA KUNZA BIASHARA YENYE FAIDA: mbinu za Kupata wazo zuri la biashara. Ni malengo ya watu wengi kuanzisha biashara, ila ni wachache wanaopata mawazo sahihi ya biashara zenye faida kubwa. ungana nami nikudokeze njia unazoweza kutumia kupata wazu zuri sana la biashara yenye faida kubwa. Kuna mengi sana yakujifunza katika video hii, na pia katika Channel hii. Usiache ku subscribe, comment, sh...
FAHAMU SIRI HII KUHUSU PESA
Переглядів 2 тис.4 роки тому
Pesa ni kitu kinachohitaji maarifa ya juu sana kuanzia kuitafuta, kuimiliki na kuikuza na hata kuitumia. Sasa leo hii nataka tueleza siri moja kuhusu pesa ambayo wengi haifahamu au wanaifahamu na wanaipuuzia. Hususani wengi walioajiriwa na waliojiajiri watakuwa na mengi yakujifunza katika video hii. Usiache ku subscribe, comment, share na ku-Like video hii. Don't click this : ua-cam.com/video/I...
SIRI 4 ZA UTAJIRI KATIKA BIASHARA
Переглядів 36 тис.4 роки тому
Siri nne (4) za utajiri katika biashara yoyote ile utakayopanga kuifanya basi maelezo yaliyo katika video hii yatakusaidia sana unapoanza biashara ndogo au kubwa na kufanya uweze kufanikiwa sana. Usiache ku subscribe, comment, share and Like this video. Share this video with a friend: ua-cam.com/video/INg96jj4dIw/v-deo.html Let’s connect: Instagram: bro.babuu Twitter: twitter.com...
KARIBU SANA BRO BABUU | Business Tips
Переглядів 2054 роки тому
karibu katika channel yangu ya Bro Babuu, Business Tips ujifunze mambo mengi kuhusu biashara na jinsi ya kujikwamua kotoka katika lindi la umasikini. . Nifuate kwenye Instagram: LINK: bro.babuu #BroBabuu #BusinessTips #Mafanikio

КОМЕНТАРІ

  • @DavidMasatu-yg3nt
    @DavidMasatu-yg3nt 2 дні тому

    Good idea 👍👍👍👍

  • @KakuleAnicet-jo8vy
    @KakuleAnicet-jo8vy 2 місяці тому

    Asante mwalimu kwa somo nzuri hii, nashukuru

  • @HappinessIbrahim-yd9co
    @HappinessIbrahim-yd9co 4 місяці тому

    Nakupenda kaka yangu uwe na moyo huohuo

  • @mubasanta
    @mubasanta 7 місяців тому

    Asante kk

  • @drhashimramadhani8596
    @drhashimramadhani8596 9 місяців тому

    Iko vzr

  • @samwelibenson1802
    @samwelibenson1802 9 місяців тому

    Naomba namba yako

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 11 місяців тому

    Heko sana bro babuu

  • @MatutuAbdallah-yf4pz
    @MatutuAbdallah-yf4pz Рік тому

    Bro nmekuelewa sana

  • @softtlipssLive
    @softtlipssLive Рік тому

    📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡📡💰💰💰

  • @softtlipssLive
    @softtlipssLive Рік тому

    ❤❤❤❤❤

  • @user-he9vm4xr1t
    @user-he9vm4xr1t Рік тому

    Bro Asante sana kwa ushaur wako ubalikiwe sana

  • @KapalataKitaulo-iu8by
    @KapalataKitaulo-iu8by Рік тому

    Kabisa mzee wangu

  • @ifigenianyaki686
    @ifigenianyaki686 Рік тому

    Big up kaka unanondo kalii

  • @saidikhalifa8592
    @saidikhalifa8592 Рік тому

    Nitumie namba yoko bloo

  • @furahaandrew7367
    @furahaandrew7367 Рік тому

    Nakubari sana bro

  • @chubakakabanja9981
    @chubakakabanja9981 Рік тому

    Hogera sana. ila urekebishe sauti. Nakufata nikiwa Congo bukavu.

  • @neemasteven9223
    @neemasteven9223 Рік тому

    Safi sana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Asante

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Asante

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому

    Asante

  • @MIBWA
    @MIBWA 2 роки тому

    Safi safi

  • @Zylla2024
    @Zylla2024 2 роки тому

    Hongera Sana kazi mzuri

  • @evaristfabian6125
    @evaristfabian6125 2 роки тому

    Mm nahitaji kujua hyo uliyofundishia ni program gani na ninaweza vp kuipata? Km nikipata nanba yako itapendeza zaidi. Asante!

  • @MIBWA
    @MIBWA 2 роки тому

    Mambo

  • @peterthomas7674
    @peterthomas7674 2 роки тому

    Asante sana

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 2 роки тому

      Karibu sana Bwana Peter. wapi fundisho hili limekugusa zaidi?

  • @billmkushi849
    @billmkushi849 2 роки тому

    Umkopeshapo jirani yako cho chote kikopeshwacho usiingie katika nyumba yake kwenda kutwaa rehani kwake. Kumbukumbu la Torati 24:10 Simama nje, yule umkopeshaye akuletee nje ile rehani. Kumbukumbu la Torati 24:11 Naye akiwa ni mtu maskini, usilale na rehani yake. Kumbukumbu la Torati 24:12 Sharti umrudishie rehani lichwapo jua, apate kulala na mavazi yake, na kukubarikia; nayo itakuwa ni haki kwako mbele za Bwana, Mungu wako. Kumbukumbu la Torati 24:13 Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako; Kumbukumbu la Torati 24:14 mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia huo; asije akamlilia Bwana juu yako, ikawa ni dhambi kwako. Kumbukumbu la Torati 24:15

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 2 роки тому

    This is what i call PROPER USE OF SOCIAL NETWORK

  • @evaristfabian6125
    @evaristfabian6125 2 роки тому

    Nashukuru sn kwa somo lako kaka bt naomba kujua hyo program uliyofundishia inaitwaje?

  • @seven_Jj
    @seven_Jj 2 роки тому

    Makini sana akili mingi

  • @frankbenandi8764
    @frankbenandi8764 2 роки тому

    safi sana uza matokeo 🤝

  • @yussufnassor624
    @yussufnassor624 2 роки тому

    Good

  • @4logocanxel661
    @4logocanxel661 2 роки тому

    Ndugu nimekuelewa sanaa

  • @totobadezzy1959
    @totobadezzy1959 2 роки тому

    We charii ni noma sana unasoma vitabu vya muandishi gani bro

  • @Udindigwa
    @Udindigwa 2 роки тому

    Point tupu kubwa SANA

  • @kelvinadamson7408
    @kelvinadamson7408 2 роки тому

    Vp wewe ushapata leseni

  • @tack255
    @tack255 2 роки тому

    Inamaana kua ukiwekewa matangazo ndo una lipwa?

  • @jescamushi4783
    @jescamushi4783 2 роки тому

    Asante kwa video Hii… naitumia lakini nitaendelea kuitilia Mkazo Zaidi

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 2 роки тому

      Asante kwa kushukuru endelea kutupa mrejesho

  • @ndamugobaflorian7763
    @ndamugobaflorian7763 2 роки тому

    Ahsante sana

  • @mdeetv6610
    @mdeetv6610 2 роки тому

    Mboma wewe haufikishi

  • @telymedia2508
    @telymedia2508 2 роки тому

    Umesema kuwa ku approad sa kama hawaangalii itakuaj

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 2 роки тому

      Unachotakiwa ni kutengeneza content nzuri na kujua namna ya kuzi-Upload... Mwanzo utaanza chini pole pole, ila baada ya Muda zitaonekana na wengi na utapata waangaliaji wengi. Umenielewa?

  • @qurannasunnahtzonlinetv7432
    @qurannasunnahtzonlinetv7432 3 роки тому

    Naitaji part 2

  • @qurannasunnahtzonlinetv7432
    @qurannasunnahtzonlinetv7432 3 роки тому

    Video ya kuendelea somo hili ipo wp

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 3 роки тому

      Sijapata muda wakuitengeneza ila soon itakua tayari

  • @kbonlinetv1469
    @kbonlinetv1469 3 роки тому

    Brother nisaidie nipate subscribers ,ntakutumia hata pesa

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 3 роки тому

      Focus kuweka content nzuri na zinazopendwa zaidi wafuatiliaji watakuja wenyewe.

  • @mohsixtus7048
    @mohsixtus7048 3 роки тому

    Great broh

  • @marydaud9744
    @marydaud9744 3 роки тому

    Asante sana naahidi kulifanyia kazi

  • @despnawilliam2889
    @despnawilliam2889 3 роки тому

    Asant lkn maneno mengi

  • @matukimerchant5170
    @matukimerchant5170 4 роки тому

    Bro babuu, habari yako? Ninashida na ninadhani unaweza kutatua changamoto Yangu. Siombi pesa usije ukashituka. Je unaweza kunisaidia? Mawasiliano yangu Ni †255 685 761 200. Barua pepe: matukim79@gmail.com. please naomba kupata mawasiliano yako tuzungumze.

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 роки тому

    Kazi nzuri sana..... nipe tip ya thumbnail na title ......Bado najifunza na pia bado mgeni so ushauri wowote unakaribishwa...... Hii video maandishi uchoraji it’s excellent ila hapo kwa sauti rekebisha kidogo kakangu haikua clear vile.......

  • @egidiusthadeo5573
    @egidiusthadeo5573 4 роки тому

    Shida camera mzee