Waaoow tamu Sana ingawa hii simulizi inawafundisha wanandoa na pia wapenzi ambao hawajaoana walioko kwenye mahusiano ama wapenzi kwani hakika usaliti nikitu kimoja kibovu Sana nisawa na Sumu ama tindi Kali ama kifo tuu maana mwisho wake ni kaburini tuu Ila niheri mtu kukuheshimu ndoa yake na kumheshimu mwenzake kwani dharau za madhaifu ya mmoja Kati ya wanandoa wengi ndizo huleta haya.
First of all storyteller and it's actors, they did very well. We can learn three major issues, moja' tusipende kuwaacha wake zetu wakati tunasafiri maana mwanamke mara nyingi huwa anajawa na mihemuko mikali sana ya kimapenzi. Mbili, Tujitahidi kuweka social distance Kati ya shemeji Yako na wew. Tatu, Ukioa jitahidi kumshubisha vzr mkeo maana asiposhiba mengine yawezatokea mfano jafety n meji ake.
Anko Jay mimi niko peke yangu nilikuwa nataka kuolewa but simulizi zako zanifanya nasikiya raha mbaka sitaki ndowa tena yani zimenitosheleza Lo Anko Jay wewe ni mkali kweli 😂😂😂
We kak unajua kusimulia mpaka mtu anainjoi❤🎉🎉🎉🎉
Hongera kwa kuinjoi😊
Nimekuelewa sana kaka ukweli kuna haja ya kuwa na watu kama wewe hongera na endelea kuelimisha jamii💝💝💝💝💝👍👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waaoow tamu Sana ingawa hii simulizi inawafundisha wanandoa na pia wapenzi ambao hawajaoana walioko kwenye mahusiano ama wapenzi kwani hakika usaliti nikitu kimoja kibovu Sana nisawa na Sumu ama tindi Kali ama kifo tuu maana mwisho wake ni kaburini tuu Ila niheri mtu kukuheshimu ndoa yake na kumheshimu mwenzake kwani dharau za madhaifu ya mmoja Kati ya wanandoa wengi ndizo huleta haya.
@elizabethmburu2210 kunywa soda kwa mangi chap❤
Hongera msimuliaji napenda sauti zako
Kaka ankojei hongera Mie nimetota mafunzo mengi Sana Muno shukuraa😘😘
Ume enjoy
Asante simulizi fupi kwa burdani nzuri yenye mafunzo mazuri 👌♥
I just learn alot of lessons in this story guys thanks so much
Hongera sana kaka kwa kutoa simulizi yenye mafunzo makubwa sana kwenye maisha yetu
Yuko vizr kikazi
Wow nimejifunza kitu story nzuri sana
Umejifunza nn Lily
Imeweza Sana hii simulizi so rose pole Sana bt uko mashakan Sana daaah nmepnda Sana wallah nice time I like rose.....
Ila anko j mm nakupenda unasauti nzr jmn 😘😘😘
Ndio yaleyale 😄😄
Saaana,sasa hapa naisikia ninyi mlishaisikia miaka 2 iliyopita sasa ndio saut imenoga balaaa
Waaooo ank j kwa simuliz mix nakupendaga tu kwa usimuliaj makin
Simulizi kali.Inaitaji filamu iwe funzo kwa jamii.
Haswaa
Aisee unajua nakuombea mungu akuzidixhie zaid
Kumbe wanaume mna magobole na hamsemiiii 😆😆😆😆😆😆😆 but the story is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😅😅😅
Wako nao
Utakutana nalo uwanjan
@@omarymasuza9299umefurahishwa kujua una gobore
Asant kwa simuliz njuli anko jy nimejifunza Sanaa mung akupe maisha malef
Simulizi tamu sana,pia Ina mafunzo mengi sana maishani,nimependa sana
Mwandixhi hongera xana kwa kazi nzuri
Jamani Anko 😃😃😃.sasa hy anamiheuko ya miezi tatu na wle wako na miaka wasema aje juu wko na niwengii🙈🤭
Hapo sasa 🤣🤣🤣
@@johariabdalla3099 😃😃
Aa inasikitisha sana kweli mapenz upofu
@@sarahmbwale6587 lakini inautamu wake🤭🤣🤣🤣
@@vero756 à to get
Nice😘kaziii njemaaa Sanah kipenz unafanyaaa
Du Tamthilia ni tamu sana Bali mwisho ni Masikitiko.
We noma sana nimeipenda story yako
Story nzuri👌
Amazing ❤❤
Hongera kwa story mzuri mjuba
First of all storyteller and it's actors, they did very well. We can learn three major issues, moja' tusipende kuwaacha wake zetu wakati tunasafiri maana mwanamke mara nyingi huwa anajawa na mihemuko mikali sana ya kimapenzi. Mbili, Tujitahidi kuweka social distance Kati ya shemeji Yako na wew. Tatu, Ukioa jitahidi kumshubisha vzr mkeo maana asiposhiba mengine yawezatokea mfano jafety n meji ake.
Ushauri mzuri sana
Uko vizuri sana kaka imenifundisha kitu
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Ahsante sana kaka nimejifunza kitu usart sio mzuri
kazi nzuri sana kaka upo vzuriiiii
Hngr kw simuliz tam ❤
Unakipaj kizuri cha kubabili sauti hongera sana
Daah simulizi tam Sana hii msimuliaji ukovizur Sana pokea maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asanteeee kwa stori nzuri yenye kutufundisha anko J ww ni 🔥
Love from 🇧🇮 Burundi❤👌
Ben(from Nairobi Kenya)
Amakuru yawe nakukunda chane
Diane mambo
8q
Turikumwe ma belle ❤️❤️
Mungu akupe maisha maref Anko jay Ili 2fulah zaid
Asanteni sana maisha mema rose be blessed ❤❤💖
Ahsanteee sana tumewapa na tumefurahi mno
Somo nzuri kabisa
Ni Bora ungeweza kabisa filamunili watu waelewe zaidi🎉🎉😅
Nimeipenda sana hi simulizi na imenigusa sana tena sana!
Daaah inatia nani 😋😋kama umekamilika kulowa kyupi lazima aisee tusidanganyane
Ko we ulilowa ulipoisikiliza hii
Nahisi
@@lydiarichard8307 eeeeh bana kawaida mrembo
Sio uwongo
😀😀😀 kumbe nanyie mnaloa
Japhet muongo we ungerudi tu chumbani ukapambana na Rose wako kwakweli😊
Wow!asante sana simulizi mix 😆😆
NJOO USIKILIZE SIMULIZI YA KUSISIMUA YA KIJANA MLOKOLE ALIYE PENDWA NA JINI HUTA JUTA KUISIKILIZA
Wahoooooo, Ni Bonge La Story.❤️
NJOO USIKILIZE SIMULIZI YA KUSISIMUA YA KIJANA MLOKOLE ALIYE PENDWA NA JINI HUTA JUTA KUISIKILIZA
@@terashangwe255 wapi huko
Daaaah mauwezo
Mdomo wa frola ndoF
😭😭😭😭 ulisababisha mpaka kupigwa Hadi kifo angeliomba msamaha wasingefika huko kauli zake ndo zilimponza
Anko Jay mimi niko peke yangu nilikuwa nataka kuolewa but simulizi zako zanifanya nasikiya raha mbaka sitaki ndowa tena yani zimenitosheleza Lo Anko Jay wewe ni mkali kweli 😂😂😂
Duh
Mary usifanye hivyo kubali uolewe ufaidi mautamu 😊😂😂
@@mporipori99kweli
@@mporipori99akikuomba utamuoa?
Vizuri mungetoa na filamu ili kuifanya tamsilia iwe nzuri zaidi ❤
Big idea
😂😂
Yap
Nimeipenda sana hii simulizi
Nakbl san❤❤
Uncle j umetishaa🥰
Big up Bro
Daaaaaahhhh uaminifu mdg sanaaa
Simulizi nzuri Uncle,japo ina mizuka take😁😁😁
Amazing ANKO J🔥🔥🔥
Umetisha sanasana❤❤❤❤❤
Asante kaka msimulizi sauti zote hko nazo😆😆😆
Tiwi sport ama
Waaaa hili simulizi ni tamu chungu waaa nikali kishenzi
Asante sana kwa simulizi tamuuuu sana
Kumbe umeipenda
WhatsApp
Uko wapi best
É a melhor historia que já ouvi big up brow jay umeuwa 🔥🔥😂
Mmmh
Linda e bem interessantes
I'm no.1 thanks simulizi mix
No 2
Simuliz nzuri sana hongera msimuliaji
Ila hii story bhana Ime nipa laha xaan yaan daah yote Kwa yote acheni 2❤❤❤
upo vzuri kaka kaz nzur
Saaana
Anko J naipenda sana hizo sauti unavyozibadilisha mpaka unanisisimua hongera kwa kazi nzuri! Rachael from Ongata Rongai Nairobi- Kenya
Hongera kwa kusisimuka😊
@@mporipori99😢😢😢
Flora oooooh my name😍😍😍😍
Thank you for ur advise uncle j
This story🥰🥰
Uko vzr sana jamaa simulizi nzur sana
Asanteeee sn nliwams kwa kpnd kref sn
Good stroy,and educative
Asante sana Anko jay kwa simulizi nzuri yenye mafunzo tele na sauti yako tamu
Somo gumu sana
Ok
Kaka msimulizi hongera simulizi nzuri sana na unavozijuulia hizo sauti kuziigizia utafikiri kweli yaani umewaona😁😁
Kumbe nawe umependa asha 😄😄
Sio utani utadhani ameona filam
Daaahh!! Hii story kali
Ushawishi kwa mabachela
Mapenzi yananguvu Japhet
Acha kumlaumu Flora 🤔
Hongera, nimeipenda na nimejifunza mengi
Hongera sana hak nimejifunza mengi sana hak nawapa hongera
Anko jay hongera sana
❤❤❤❤❤❤❤❤ mm nipo mwenyewe ila siachi kusiKilinza 😢😂😂😂😂❤ hogela Sana kaka kwasimulizi yk nzuli yenye mafunzo
Hii hadith n nzuri 🎉🎉🎉n ina mafunzo mingii sanaaa🥰🥰🥰🥰🥰 hongera sanaa n asante pia❤️
Huyu Japhet ni mimi kabisa 😊
Angalia na ww
Pia wewe chuka sana
Kwa hiyo na wew ulimtenda shemeji yako?
@@mohammedmweta1307tena aaangalie kwa macho yote
Makubwaaaaaaaa
Asante kwa tahadhari anko Athman Jay
Story nzur mnoo😘
Vizuri ❤️❤️💓😀😃🌝🌝😺😺🙉🙉
Sitor nzuri sn
Wao,nsumulizi nzuri muno
Nimependa usimuliaji wk
Mmmmh,kuna watu wenye miili yao ,kujitia vidole😮😮
Wengi sana
We hauwezi
Ety huwezi ww
Ila hii simulizi angeisimlia yule dada wa mtungi simulizi ingelikua kali balaaa daah
Tamu jmn👌
Hongera sana Anko J kwa sauti tamu pongezi nyingi kwa mtunzi 😍😍😍😍simuliz Nzur na yenye mafunzo
Love stor
good story
NJOO USIKILIZE SIMULIZI YA KUSISIMUA YA KIJANA MLOKOLE ALIYE PENDWA NA JINI HUTA JUTA KUISIKILIZA
Fanya flm
Duh! Ahsante kwa Story nzuri
The best story
What nice one but wanaime sio waminifu
Kaka uko vzur intakufollow
Jaman hyu msimuzi yko sawa hongera yko umenimalza ningejua uko wpi ninge kufuata kwani umeniuwa na hio sauti
Utamu kolea
Napia kama alivyodai kwamba atakutesa ukikataa ni muongo asingekufanya chochote kicheche huyo!
Kaka upo vzr ktk simuliz hii
Much love from kenya asante kwa simulizi nzuri na yeye mafunzo
Somo kubwa ya kuweka mke au mume wako nyumba moja na ndugu zako kenya 🇰🇪
Wadada turidhike na waume zetu story nzuri sana yenye mafunzo ya kueleweka
Naomb no zko
Simulizi nzuri sana tunafundishwa kutokuficha jambo ukweli umuweka mtu huru siku zote
Waaaah hii kali
Mjifunze vijana msijeingia mtegon
Waoooh Mimi nimekojow
Umek6joa pekeako du uko na nyenge sana wewe sasa si ukunje huku
@@hamisholela2403 nikija utaniweza wew, unajiamin Kama Huyo shemej?🤣😋
@@afsarazia831 nitafute mm kwan upo wp ww
@@michanokhamis6636 😄🤪🤪🤪🤣
@@michanokhamis6636 😄🤪🤪🤪🤣
Mmi pia nampendaga uncle jay Sana Ana simulia vzr mashaAllah