HUYU MWANAFUNZI MH BALAAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 370

  • @GladwelWangare
    @GladwelWangare 2 місяці тому +2

    Pole saana.pokea uponyanji katika Jina la Yesu. Twendelee

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Рік тому +15

    Afya ni muhimu jiangalie hali yako. M.mungu atakuaafu Inshallah 🤲🏻

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua Рік тому +10

    Kwa kweli tunapenda sana simuliz zako ila afya muhimu kwa upande wangu nakwambia upumzike ili upate nafuuu ya haraka japo nita boeka

  • @samuelkimomo2336
    @samuelkimomo2336 Рік тому +3

    Pole kabis naa Endelea hivo

  • @THEDONSIMULIZI
    @THEDONSIMULIZI Рік тому +1

    Anko jay Leo ndan ya simuliz tam na nzuri ah hii kitu ni 🔥🔥🔥🔥🔥 tuendelee tu

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 9 місяців тому +1

    Anko jay hiyo sauti iko tuu, Sawa jikaze na KAZI mungu atakulinda mashabiki wako tutaboeka sanaaa jikaze tumekuzoa sanaaa❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪

  • @Mejumaa-x9f
    @Mejumaa-x9f 9 місяців тому +1

    pole Sana Ankojay kazi nzuri mungu akupe afueni yaaraka

  • @didah345
    @didah345 Рік тому +1

    Pole Kwa kuumwa nakuombea afueni ta haraka....uzidi kutuburidisha

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz Рік тому +5

    Pole sana ankojay kwa mafua mungu akuponye haraka ila naomba usitupumzishe sana tutaboeka wengne hatuna sehem tunazotoa faraja isipokua humu kwenye simuliz😊😊😊

    • @mporipori99
      @mporipori99 6 місяців тому

      Karibu niwe nakupa faraja 😊

  • @LéontineVyizigiro-j9b
    @LéontineVyizigiro-j9b 7 місяців тому

    Amin simulizi inanikumbusha mbalisana maishayangu matupu asante

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 Рік тому +1

    Masha Allah what a nice story, lucky him to have two beautiful wife's , thanks 👍❤

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od Рік тому

    Sawa Asante pole na pumzika upone kuumwa ni ibada pia tutavumilia tu

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому

    Anko pumzika mpaka upone afya ni muhimu sana tunakujali afya yako pole sana kipenzi wetu tunakuombea sana mungu akupe afueni kuwa na imani utapoa kwa uwezo wa mungu tunapenda sana na kukujali

  • @najatakajumulo9292
    @najatakajumulo9292 Рік тому +3

    Pumzika kidogo kama hujisikii vizuri.

  • @ClaraSamwel-i3t
    @ClaraSamwel-i3t Рік тому +2

    pole sana Anko akee, utapona...

  • @FaidhaFay
    @FaidhaFay Рік тому +7

    Tumeridhia ivo ivo anko jay mm Niko single swz kukaa bila kuskilz simulz😂😊😊

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 Рік тому

    daaaah pole sana anko mungu akufanyie wepesi kwa mimi naona tuendelee bana sawa sauti iko sawa na wala haina shida

  • @Fatum112
    @Fatum112 Рік тому

    Pole sana...kama waeza endelea mpenzi wetu naomba uendelee.
    Ankojay tumekuzoea sana Allah Akupe shufaa ya haraka my love inshaAllah

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 Рік тому +3

    Pole sana kaka Allah akupe shifaa ya haraka sauti mbona IPO sawa tu kaka ❤❤❤

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z Рік тому +2

    Pole sana Anko jay pumzika than uende hospital hunywa dawa ukicome for simulizi your feesh with a new vioce tunakuombea quick recovery 🙏much❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪but in Dubai ❤❤❤❤❤

  • @bettywayera8501
    @bettywayera8501 Рік тому

    Pole sana,,,ankoj utabona kwa jina la yesu, meza dawa

  • @chrisgasper1158
    @chrisgasper1158 Рік тому +3

    Pole kwa mafua ila ukisimam utatuacha na upweke mbn lkn bd saut yako nzur anko j

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 Рік тому +3

    Hello wadada wenye sura za kawaida nyinyi sio wabaya mpo😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Рік тому

    Pole habibi anko Jay Allah atkupa afuwan tunakupenda sana ww ndo faraja yetu

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 Рік тому +1

    Pole sana anko kwa mimi simulizi ndiyo faraja yangu kwa siku kwakweli tapoleka

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo Рік тому +1

    Pole sana anko j kwa homa hiyo itaisha tu tengeneza tangawizi,ndimu,kitunguu swaumu kienyeji pmj na asali hiyo ni dawa nzuri sana nakutakia kila la kheri

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 Рік тому +5

    If you're feeling too had then you have to rest i wish you quick recovery we love you

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 Рік тому

    Asante sana ankojay kwa simliz na pole sana kwa mafua mwenyezi mungu akupe afueni ya haraka kwa maoni yangu naona upumzike kiasi angalao upone ndio tuendelee afya mhimu anko one ❤❤❤❤❤

  • @aishaobo6186
    @aishaobo6186 Рік тому

    Pole sana na shukran kwa kutujali ila pumzika maana mwili hauna spare ujue tunakutakia shiffaa ya haraka in shaa ALLAH

  • @NishimweAisha
    @NishimweAisha 5 місяців тому

    Pole sana ankojy mungu akusaidiye utakuwa sawa napenda sawuti yako hata iwe ya mafua

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 Рік тому +1

    Kwa kweli maisha ya mtu mungu pekee ndiyo mweye kujui kwa nini Lazima kama mtu hataki tana si mtu wako. Jamani shatani ni adui wa mtu siku sote pole kaka. Mungu hawaji mtu wake nashukuru sana kupokea yesu kuwa mwokozi wa mishe yako asente Sana ANKO JAY mungu hakubariki sana

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Рік тому

    Asante kwa simulizi nzuri ankojey

  • @salmasoliman2047
    @salmasoliman2047 Рік тому

    tuendeleee Wangu Akocheiii👌👌👍👍

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 Рік тому

    Pole anko, pumzika upone, from kenya

  • @sarafinahprince4265
    @sarafinahprince4265 Рік тому

    Leta mazuri my dear sauti mbn Iko sawa jmn

  • @gracekahindo6937
    @gracekahindo6937 Рік тому

    Pole Ango j kapumuzike kidogo tutakumiss 🎉🎉

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 Рік тому

    Said imetisha Sana hila mwnafunz amezidi jamani hongereni Sana wote tunawapenda mnooooooo jamani amezidi shaka

  • @jacintahsulubu5602
    @jacintahsulubu5602 Рік тому +1

    Waaah wapenda hizi vitu mikono juu❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 Рік тому

    Pole sana broo afya muhimu sana pumzika Ila kuusu sauti imezidi kunoga bala❤

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Рік тому +31

    Pole sana kwa mafua Ankojay, from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 pumzika kiasi but tutaboeka sana coz tushazoea simulizi kila siku 🤔🤔😪😪 quick recovery my brother

  • @nahimananeema
    @nahimananeema Рік тому

    Pole sana , pumzuka kwanza japo kwetu ni shida

  • @pendopoly
    @pendopoly Рік тому

    Ankojay unapenda sana.kujisifiya sasasasa kilasimulizi zako unapenda kusema.kuwa.wiwi..ni. mzulisani mimi napenda sasa sauti ya.ko🥰🥰🥰🥰🥰🥰na..penda. ukisimuliya🥰

  • @jamilarimo5546
    @jamilarimo5546 Рік тому +1

    Nimewahii love, shufaa yaharaka ankoo j

  • @Salma-id4yl
    @Salma-id4yl Рік тому +3

    Mungu.akusaidie.sauti.yako.ifunguke.ila.tupe.tuu.maana.ukipumzika.tuta.boeka
    Sana❤️❤️

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 9 місяців тому

    Anko jay jikaze Tu, tumekuzoa kusikia simulizi zako mashabiki tunakuombea mungu akupe nguvu🙏🙏🙏🇰🇪

  • @RahilAisha
    @RahilAisha 11 днів тому

    Pole San ako hey pumuzik kwanz

  • @judyauko8134
    @judyauko8134 Рік тому +3

    Pole zangu Desmond kwa yote yaliyokupata. Shukran mwandishi pamoja na msimulizi. Anko J you have never disappointed us na pole kwa homa.❤❤❤ from Kenya

  • @NurusiaAlly
    @NurusiaAlly Рік тому

    Pole San anko mungu akufanyie wepes upone haraka

  • @halimajottohhalimajottoh3385

    Pole Anko pumzika n mungu akupe afuen y haraka inshallah 🙏

  • @جولياناالحويطي

    Pole Sana Alla aachilie uponyaji waharaka

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 Рік тому

    Pole sana anko ndo maana nimejaribu kukutafuta UA-cam sioni simulizi mpya ooh qr❤❤❤❤❤

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Рік тому

    Anko JY tafathari munitumie Raiti Ningejuwa 3nakwenderea ntashukru sana wakwetu njombe Felix na mumis💚💚💚💚💚💚💚

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k Рік тому

    Pole sana ank ukipumzika itakuwa pow mungu akuponye

  • @Sabinajosephndunguru-xq9lc
    @Sabinajosephndunguru-xq9lc Рік тому

    Poleee sana afya ni muhimu zaidi Ank j

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Рік тому +1

    Wow fantastic 👏

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 Рік тому

    pole Sana anko jay kwa kuumwa punzika Kwanza tunajali afya yako

  • @faizajumwa4696
    @faizajumwa4696 Рік тому

    Pole pumzika kiasi👌🏻🇰🇪

  • @MercylyneLwindi
    @MercylyneLwindi Рік тому

    Aky pole wa mafua Qr kln tumekuzoea tutakuwa na pweke heri ujikaze tuu❤❤❤❤❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Рік тому

    Pale sanaa ankojay kwa mafua nakuombea kwa mungu upone haraka uendele na kazi mapumziko mema ciao ciao ❤❤❤❤😂😂

  • @hassinafati3512
    @hassinafati3512 Рік тому

    anko jay pole na homa allah akufanyie wepensi upone haraka anko pumzika tu tutasubiri tu tunakupenda san anko jay wetu 😘😘

  • @WinfridaMungure-cy1cq
    @WinfridaMungure-cy1cq Рік тому +2

    Daah I will miss your voice anko j please recover as early and come back tunakusubiria tuko pamoja nawewe kwenye kila kipindi 💝💝 tunakupenda mno

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Рік тому

    Pole sana ako jay mungu akupe uponyaji waharaka pumzika twakuelew❤❤

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому

    Tunakurumia kweli Anko J lakn nnani ataiga sauty yako mpaka akave iyo nafac ili upumzike,,,pole sana Mungu akupe afuen uendelee na kaz yako,,Mungu atakuondolea fluu In Sha Allah

  • @amriyaali-gy9rl
    @amriyaali-gy9rl Рік тому

    Mungu akufanyie wepesi

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 Рік тому

    Pole sana ankol jay mungu atakupona

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 Рік тому +2

    Pole anko jay kwa kuumwa Ila tunaomba uendelee hivyohvyo na saut yako ya mafua ❤❤ tunakupenda sanaaaaaaa hata mim ninamafua kama wew😂😂😂 mwayaa 😘😘😘

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 2 місяці тому

    Pumzika hata mwezi mzima Afya kwanza sie tu nakuombea dua ❤

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Рік тому

    Pole sana Anko jy pinxika kwanza usi foc nimwili huyo tuta kusubiri usijali tuko pamoja nawe asante uhuguwe pole

  • @fatoomysaleh7827
    @fatoomysaleh7827 Рік тому

    Pole sana Anko jay kwa kuumwa Allah atakuponyesha kwa haraka Inshallah. Afya ni Bora pumzika Hali utakapoweza kuwa sawa ingawaje sauti Yako imekuwa hamasa zaid kwani sauti Yako hiyo ni dhahabu .Mungu akubarikie zaid

  • @violetmulya
    @violetmulya Рік тому +9

    Your health comes first it's very important to take a short break if you are not well, wishing you quick recovery ❤❤❤

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 Рік тому +1

    Kaaah!!mwanafunzi tena,kapanua miguu😂😂😂

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Рік тому +6

    quick recovery Anko jay ukiona umezidiwa unaeza pumzika kidogo but tutaboeka sana, Mungu skip one kipenzi chetu from Kenya 🇰🇪❤

    • @imeldalikulu
      @imeldalikulu Рік тому

      Weeee anko unapumzikaje bwana lete story bwana

    • @mwanajumamohammed4356
      @mwanajumamohammed4356 Рік тому

      @@imeldalikulu muwe na imani basi tumuache tu mkaka wa watu apumzike jamani

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому

    Asa nte Anko j na mtunzi simulizi nzuri lna mafunzo pia

  • @ashuraissa7160
    @ashuraissa7160 Рік тому

    Tuendelee Anko J, pole sana

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 Рік тому

    Aiseee pole xn ankoj qwa mafua mungu akuponye

  • @RozinaShirima
    @RozinaShirima Рік тому

    Pole sana ankojay....pumzika kidogo kwani afya ni muhimu

  • @butoyizuwena8583
    @butoyizuwena8583 Рік тому

    Ank pole sana Allah akuponye kwahalaka kipenzi chetu

  • @WitnesiMgeni
    @WitnesiMgeni Рік тому

    Pole ank j mungu akujalie upone haraka

  • @yuaja24tv54
    @yuaja24tv54 Місяць тому +1

    Imetimia miaka 18 tangu niisikilize hii simulizi pendwa

  • @VeronikaJerome
    @VeronikaJerome 4 місяці тому

    Pole ankojay weenderea sauti yako nimsuri

  • @NdayizigaFildaus
    @NdayizigaFildaus Рік тому

    Mmmh pole sana Ankojay kwakuumwa tunakuombea Dua uweze kuka vizuri kwaharaka inshaAllah nikweli na mwili unahitaji. kupumzishwa ila tutabaki. Wapweke sana😢😢ikipita siku Moja 2 haujatupa. Simulizi tunaumwa jee kwahizo wiki 2 situtafariki. Kbs🙆🫣🙈

  • @monamgh1557
    @monamgh1557 Рік тому

    Pole sana ankojay bora pumzika leo❤

  • @mwanaishakanze5029
    @mwanaishakanze5029 Рік тому

    Pole sana Ankojay Allah akupe shifaa y haraka, uzidi kutupa vitu vitamu

  • @FadhilMohamed-d5i
    @FadhilMohamed-d5i Рік тому

    Duuu pole Ankojay Allah atakupa shifaa ya haraka lkn ukipumzika tutamisss sauti yako usijali Allah atakupa nguvu twakupenda saana Ankojay

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 Рік тому +2

    Mhm Anko J yaani haachi kujisifia ananichekesha akijitolea mfano nakuwa hoi😂😂😂 shukran kwa simulizi nzuri sana 😂😂❤❤❤

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 Рік тому +1

    With 7mins ago waaaaah number 24 😢 enyewe ankol jay ebu pumizika kwanza lakini tutaboeka

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Рік тому

    Jamani ayi kumbe mpenzi unaumwa pole Allwah akupe afya nasihha ❤❤❤

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 Рік тому +1

    Pole anko ,get well soon bcz tutakaaa bila simulizi kweli siku itakuwa ndefu vumilia plz

  • @RodrigueSaido-rw4mw
    @RodrigueSaido-rw4mw Рік тому

    Pole kwamagonjwa piya ungepumzika tu... Ili upate nafuu

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Рік тому

    Pore shuja wetu tunarizika kama haupo tutaboreka🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @PiliKhamis-mb6ty
    @PiliKhamis-mb6ty Рік тому

    Pole sana ww lete simuliz usipunzike anko jy

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 Рік тому +1

    Pole sana Anko mungu akuponye

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z Рік тому

    Anko jay safi sana asante always ❤❤❤❤❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Рік тому +2

    Hi bezngu? Ankojay Poe nakuumwa lakini Asante Ankojay kwa simulizi 🙌
    Mungu atakuponya tena tutakuombea🙏

  • @fatmamasoud1398
    @fatmamasoud1398 Рік тому

    Pole sana anko mungu akuponye

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Рік тому

    Mmmh😂😂😂ok sawa ,pole Anko j mungu akuponye dia, kunywa ginger 🫚 kwa wingi 😊😊😊

  • @THEDONSIMULIZI
    @THEDONSIMULIZI Рік тому

    Hiiii simuliz tamu sana aise

  • @lucyjohn1342
    @lucyjohn1342 8 місяців тому

    Poleee sanaaa.mpumzik

  • @raphaelwitn
    @raphaelwitn Рік тому +2

    Anko J pumzika kwanzaa mpaka upone😊😊 mafua

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 Рік тому

    Waaah😢😢,,ansante sasa swali n mumewe madam alipopatana n n habari ya kifo cha mkewe alidoo