MKE WA MCHUNGAJI AUKANA UKRISTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • #SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
    Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya UA-cam ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.
    MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906
    ..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

КОМЕНТАРІ • 207

  • @jumaali8596
    @jumaali8596 4 місяці тому +2

    Yesu hakuwa Mkristo

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 3 місяці тому +3

    Dini mbele ya M/Mungu ni Uislam. ukristo c dini ya M/Mungu hata yesu mwenyewe sio mkristo

  • @hudhaifatissa7490
    @hudhaifatissa7490 Рік тому +1

    ALLAH humuongoa amtakae ..... alhamdulillah
    Nyie wakristo nafsi zenu ndizo zinasema kweli dini sahihi ni ipi. Ila shaytwan anawapambia kibri ktk nafs zenu
    Ukiwa mbishi subiri siku roho inatoka
    Yaa rabby tujaalie mwisho mwema 🤲

  • @kalekela-j1e
    @kalekela-j1e 3 місяці тому

    Tunafuatilia sana TV Mwaipopo, tunashukuru sana.

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db Рік тому +1

    Shekhe Allah Akupe Umr Mrefu Wenye Kher na ww

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому +2

    Subhanallah msiba mzito hùu Allah awahifadhi waislam na vizazi vyetu

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 Рік тому

    Masha Allah, Barak Allahu feek sheikh mwaipopo,shukran jazeelan

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db Рік тому

    MashaAllah,Allah Amuongoze Huyo mama kw Kuijua Haki na Ameifata,Karbu ktk Din ya Kislam din ya Haki,

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 Рік тому +6

    Yesu ni Bwana hatutetereki, hatudanganyiki. Tutaendelea kung'ang'ana kwa Yesu mpaka mwisho wetu hapa Duniani.

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 роки тому +1

    Kazi nzury sheikh mwaipopo Kaz nzuri

  • @babyzuchu3866
    @babyzuchu3866 Рік тому

    ALLAH Akbar subhaallah 🙏 Allah umuongoa amtakae inshaallah 😢😢

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Рік тому

    Nakupenda Kwa ajili ya ALLAH' Sheikh wetu Mwaipopo

  • @salmaminja9395
    @salmaminja9395 2 роки тому

    Mashallah kher minnallah. Hakika upo ktk khaki Ya Lilah. Allah Akbat

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 2 роки тому +1

    Mungu akujalie Kila lenye kher

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 2 роки тому

    Takbiri,Takbirii Allah wa kibar

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +4

    Takbiriii Takbiriii Allah Akbar ! Alhamdulilah Mwenyezi Mungu amekupenda akakutoa ktk ukafiri ukarudi ktk Dini ya haki Dini ya kweli Dini ya uislam.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому

    Allhamdulillah. Allah kwakukurudisha kwenye uislam

  • @TeacherMuhsin
    @TeacherMuhsin 4 місяці тому

    Allwahu Akbar

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 місяці тому

    Ungesema karejea dini furani Wala usiseme dini ya MUNGU, Mungu Hana dini unayosema.

  • @babauna3458
    @babauna3458 2 роки тому +3

    JazakakaAllah sheikh mwaipopo ,Allah akuhifadh na akujalie mambo mazuri hapa Duniani na Akhera , Nakupenda sanaa sheikh wangu kwa msimamo wako wakuimarisha hii Dini ya Hakki.

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 2 роки тому

    Allahu akbar takbilli mashllah

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 роки тому +1

    ALLAH AKBAR , ALLAH AKBAR , ALLAH AKBAR wallillaih amdhu

  • @vklhkhjji8070
    @vklhkhjji8070 2 роки тому +3

    Takbirr Allah Akbar. Alhamdulilah kwakurudi kwenye mwangaza nakutoka kwenye giza Allah akujalie kila lakheri

  • @mponimpafred3487
    @mponimpafred3487 2 роки тому +1

    Masha Allah Mungu amuwekeye wepesi

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 роки тому

      Wakristo wote msidanganyike uislamu ni dini ila haimtukuzi Wala kumwabudu Mungu was kweli huyo Allah siyo Mungu wa kweli,hata maandiko ya vitabu vyao vyenyewe yanathibitisha Hilo.

    • @Jamalkishangu
      @Jamalkishangu 2 роки тому +1

      Ukristo sio dini aliyoitangaza Yesu, dini hiyo ilianzishwa miaka zaidi ya 14 baada ya Yesu kuondoa. Dini hiyo ilianzishwa mjini Antokia nchini Uturuki na Paulo ambaye alikuwa mpinzani wa Yesu na wanafunzi wake, Paulo na Yesu hawakuwahi kuona. Yesu haufamu ukristo Wala hakuwahi kusali Kanisani, yote hayo ni kwa mujibu wa Biblia na baadhi ya wachungaji waliopo Kanisani, na wale waliosilimu.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 роки тому

      @@Jamalkishangu Ukristo ni dini kwa sababu Kuna wanamuamini Yesu

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 роки тому

      Yesu you pamoja na wamuaminio na kumuabudu.Kanisani yupo wakati wore,kwa vile wewe unamuelewa Yesu kimwili,ndiyo maana unataka aingie kusali kanisani.Mnadai Yesu alisali msikitini,si kweli bali alisali kwenye sinagogi.Huko alisema Yeye alikuja kwa ajili yawadhambi,si kwa ajili ya watu wema.Ndiyo maana hata nyie mnasema Yesu alisali msikitini ni kwa sababu alikuja kuwaoko ninyi kwa kuwa aliona mnadhambi nyingi

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 Рік тому

      ​​@@edwardntamaboko3414 Sasa hili usemalo ili isiwe porojo, Mwenye-Enzi-Mungu wa kweli umjuae wewe aitwa nani❓
      MAANA KATIKA UISLAM, USHAHIDI UPO Q17/110

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 Рік тому

    Mwaipopo unapenda jitahidi usome uujue Uislamu kw usahihi

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 2 роки тому

    Allahu Akbr 🤲

  • @kabebemazambi5757
    @kabebemazambi5757 Рік тому

    Mungu atuongoze 😢😢😢😢😢

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 роки тому +1

    Kazi kweli kweli,

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 роки тому

      Ameijuwa haki ilipo,hapana kazi hapoo!

    • @binthkhamis8042
      @binthkhamis8042 2 роки тому

      @@mussammanga7791 kabsaa.mbona dini safi na yenye khaki bora ufatilie hutakuwa mwepesi kwa mambo yko...

    • @MathewRajabu-ko4bz
      @MathewRajabu-ko4bz Рік тому

      Mnajulikan nyie kwa uongo acheni unafiki wakidini

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 2 роки тому +2

    Kwani kusema Yesu sio Mwana wa Mungu ahimfanyi kutokuwa Mwana wa Mungu Allah anaogopa Yesu kuwa Mwana wa Mungu unaonekana ukiwa mwiislamu ukasema Yesu kristo ni Mwana wa Mungu Allah anaumia sana na mbinguni zake na milima zinapasuka na kutetemeka wakristo tunamuumizaga Allah kwakusema Yesu ni Mwana wa Mungu atutaacha kusema mpka Allah akubari Yesu ni Mwana wa Mungu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому +1

      Tutasema YESU NI MWANA WA MUNGU mpaka mbingu na milima yake hewa ya Allah zipukutike 😂😂😂😂

    • @mansourhubby7398
      @mansourhubby7398 2 роки тому

      Mungu yupi

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 2 роки тому +1

      @@mansourhubby7398 Allah ni kusema mwenyezi Mungu hilo sio jina sema anaitwaje huyo au ni asiyejulikana?

    • @mansourhubby7398
      @mansourhubby7398 2 роки тому

      Soma pole pole sema: muombeni mwenyez Mungu kw jina la Allah ama kw jina la arahmah.....ana majina mazuri.

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 роки тому

      Nyie wakiristo hamufahamu Mungu ni Muumbaji hazai Ala hazaliwi wala hakuna aliefanana nae Yussu mtoto WA Mariam aliezaliwa kwa Miujiza kwa Neno lake tu Alla alipo mwambia zaa na Akazaa Neno alilopekewa kupita Malaika wake Jibril Yessu Si Mungu wala mtoto WA Mungu ni Mtume WA Mungu kwa Wana WA israili Yale Makabila kumi na mbili

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому

    MashaAllah

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Рік тому

    ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 2 роки тому

    SubhuAllah allah

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 2 роки тому +1

    Masha Allah Allah awalipie kwa kazi na awajalie duniani na akheri na awaingize jana

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 2 роки тому

    Takibirrrrrrrrrr

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому

    Ndugu zangu tusomeshe watoto wajae imani,Allah atupe mwisho mwema,kuna walevi lakini juu imani huwambii kitu

  • @salmaminja9395
    @salmaminja9395 2 роки тому +1

    Jazakallah khaira Mwaipopo. Allah azid kukuongoza. Allah Akbar

  • @HAKHISALUMU
    @HAKHISALUMU 2 місяці тому

    Sio dreee ya kuishi

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 2 роки тому

    Bless

  • @رسكيعبده
    @رسكيعبده 2 роки тому

    Wakristu rohozinawauma wislamu dini yahaki hakunampango wakumuabudu yesu

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 2 роки тому +1

      Ole Wako Usipomwabudu Yesu Ungali Hai Maana Kuna Heri Kwa Wale Wote Wanaomwabudu Pasi Na Kumwona.

    • @AnethShadrack
      @AnethShadrack 2 місяці тому

      Kanuni ya mkristo kiiman mtoto au mzazi ama mke anawajibika
      Mwenyewe mbele za Mungu kumtafuta kwa bidii yake mwenyewe.
      Ndio lile neno kila mtu atauchukua mzigo wake ,yaani kila mmoja atajijibia mwenyewe

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 Рік тому

    Mbona hamna sauti

  • @HajjKhamis-yk9zz
    @HajjKhamis-yk9zz Рік тому

    Hao watt kabla mama kurudi ktk uislam walikua wakifata Iman gani

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 2 роки тому

    Allahu akbaru

  • @twalaataib7337
    @twalaataib7337 2 роки тому +1

    Subhanallah Allah ataupa uislam nguvu🤲🤚🙏

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому

    Kuna watu hawajasoma dini ila kwenye ukafiri hapana,tamaa ya pesa iliwashika

  • @simonmwanyika8288
    @simonmwanyika8288 Рік тому

    waislamu mmepigwa hapo naona mchungaji anapiga hela hapo.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 роки тому +2

    Wewe Mwenyewe MWAIPOPO umeuacha UKRISTO ukiwa hujamjua KRISTO, huwezi KUWA MKRISTO unaye Mjua kweli kweli KRISTO ukawa Mwislamu!! YESU NDIYO NJI KWELI NA UZIMA mtu hatafika Kwa MUNGU bila kupitia kwake Yoh3:16 (YESU NI NURU YA UZIMA YA ULIMWENGU)

    • @shukujaibu7143
      @shukujaibu7143 2 роки тому

      Pole kakuacha kama jiwe la maili yesu mwenyewe atakukataa

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 2 роки тому

      @@shukujaibu7143 Kwa Yesu kristo ni uzima wa milele tupo Kwa Mungu wa kweli ambaye Yu hai njooni waislamu Allah hayupo hai kama yupo hai nionyeshe kwenye Quruan

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому +1

      @@shukujaibu7143 Wewe Maamuma, YESU KRISTO ndiye aliye niita na sasa ndiye ninayemfuata na nimeivaa nira yake atanikataaje? Mathayo 11: 28-30 karibu Kwa YESU KRISTO YU HAI atakayekuja kuhukumu walio hai na waliokufa akiwemo Muhamadi ambaye na yeye anasubiri kuhukumiwa Kwa sababu hajui atakachofanywa.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 роки тому

      @@paulmushi2428 yesu ye ahukum kama nani?

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 роки тому

      Edward Thomas
      Uislamu siyo dini ya kumtukuza Mungu,urubuni ni mwingi,ubaguzi,mauaji,ugaidi was vikundi vya kijihad vyote ni vya kiislamu,siwezi danganyika kwa uislamu,waislamu wamerubuni watoto wengi,wanapotoa huduma Kama maji unalazimishwa usilimu,washindwe na walegee kwa jina la Yesu ukristo ndiyo dini ya kweli,ukafiri ni uislamu hata vitabu vya hadithi zenu vinasema hivyo.

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 2 роки тому

    Mama Mungu amekupa bahati kubwa, milioni 100 sio kitu kuliko moto wa jahanamu.

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h 3 місяці тому

    Nyinyi Wazanzibari musiojielewa sikilizeni maneno hiyo ni kazi ya CCM na nchi zamagharibi

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 роки тому +1

    MASHAA ALLAH

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 4 місяці тому

    Wewe mama naenda tutahubiria wengine wataokoka nawewe mama tutamduombea urudii Bwana wako Yuko vizuri wewe umevamiwa.

    • @RehemaMahmoud
      @RehemaMahmoud 4 місяці тому

      Dini nn nyinyi tafute njia ya kuingia kwenye ufalme wa Mungu sio uislaam njia ni Yesu

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому

    Ninge chukua ml 100 alafu ni waambie ukristo siyo dini na wiislamu ndo dini sahii. Na pesa nimesha tumia.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +2

    Subhuanallah yani hawa watu wa msalaba wananunuwa waislamu kwa gharama ivi ? Wanafanya biashara ya Dini msiba huu . Ndugu zangu Waislamu msirubuniwe na pesa tumuogopeni Mwenyezi Mungu tuogope siku nzito ya Qiama. Pesa tutaziacha hapahapa Duniani.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому

      Acha kuamini Kila kitu kinachosemwa hapo Huo ni UWONGO anunuliwe Kwa milioni mia moja Kwa kitu gani alicho nacho? Si bora pesa hizo tuzipeleke Kwa Watoto yatima!

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@paulmushi2428 wee kafiri naonba usinitag staki kelele na wewe. Huo muda wa kuja kubishana hapa nenda kasome bible ujuwe Je Paulo alianzisha ukristo kwasababu zipi? Kwanini Yesu hakuwa mkristo, Kwanini Makanisa yalianzishwa baada ya Yesu kuondoka. Kwanini Yesu alisujudu nyinyi mnapigq magoti ?

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@paulmushi2428 Nenda ujiulize na usome usipoteze muda wako hapa . Jiulize je iweje Yesu aseme msile Nguruwe Paulo aseme mle Nguruwe, iweje Yesu aswali ktk Sinagogi ( msikiti) Paulo awaingize kanisani, Je Paulo ni mrumi Kwanini awaletee ukristo ambao unapinzana na maandiko ya Mwenyezi Mungu. Paulo kawaambia msitahiriwe wakati Yesu alitahiriwa ? Paulo aliuwa wanafunzi wa Yesu ktk MASINAGOGI ( MISIKITI ) . Nenda jiulize Paulo ni nani ukisha mjua hutakuja kupiga kelele hapa .

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому +1

      @@nakundwamkubwe7823 Nisikutag Kwani hapa ni chumbani kwako? kama hutaki acha kuandika!! Mimi siyo kafiri je nikuonyeshe kafiri? Yuda 1:4 na Wanaokana YESU SI MWANA WA MUNGU hao ndiyo makafiri!

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому +1

      @@nakundwamkubwe7823 Unauliza habari ya UKRISTO na KANISA Soma Mathayo 16:16-18 ikusaidie
      Eti tunapiga magoti hatusujudu Mkristo anaruhusiwa kusujudu au kupiga magoti Soma Zaburi 95:1-6 itakusaidia na Kama YESU hakusujudu Kila mahali alipiga magoti acha Ibada za Ibada za kukaririshwa.

  • @protasmathias5064
    @protasmathias5064 Рік тому +1

    uongo huu, mama ni wa uongo na shekh nae ni wa uongo, wote wawili mmepotea tu, hamna vitu kama hivi kuna sababu za siri mnazijua wenyewe mmezificha tu, Mungu wangu akayaweke wazi yaliyojificha hapa najua.

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 Рік тому +1

      Ungetueleza na ww Siri hizo ili tujuwe Muongo nani Kati ya wahusika na ww! Au ww ndio mume wa mama huyu? Povuu!!

    • @mohamedsuleiman2785
      @mohamedsuleiman2785 Рік тому

      Boss unamjuwa huyo mzungumzaj alikuwa makers to kuliko ww na akayona hak akasilimu

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db Рік тому

      Kma Uongo Tuelezee ww Ukwel ,Achaa Kufata Mazoea Din Ya Haki N Uislam 🙏

    • @Anuarmustafa4128
      @Anuarmustafa4128 2 місяці тому

      Na wewe ndie muongo kuliko shetani iblisi mbwa wewe

  • @yahayahanafi3234
    @yahayahanafi3234 Рік тому

    Shehe waipopo. Tupopamoja. Endelea. ,na. Dawa. Tupopamoja

  • @stephanontangale4807
    @stephanontangale4807 Рік тому

    My people perish due to the lack of knowledge

  • @omaar5693
    @omaar5693 Рік тому

    mh😮 answer sunn mwamjua lakini
    hivi aritadi????
    si changa la macho jamani

  • @mponimpafred3487
    @mponimpafred3487 2 роки тому

    Sheikh Mungu akubariki

  • @omarmwajao222
    @omarmwajao222 2 роки тому

    Mashallah

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 2 роки тому +1

    Ukimkana Yesu mbele za wanadamu naye atakukana mbele za Mungu.

    • @shafiismaily9223
      @shafiismaily9223 2 роки тому +2

      Hajamkana yesu) issa bin maryam) yesu siyo mungu, karudi kwenye dini ya yule aliyemuuba yesu)issa

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 2 роки тому

      Kwani nyie Wakristo Mungu wenu anaitwa Nani Mara Yesu ndio Mungu hapa unatwambia ukimkana Yessu mbele ya Binaadamu atakukana mbele ya Mungu kwa hivyo unatwambia Kuna Mungu na Kuna Yussu

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 2 роки тому

      Sasa mbona mnatuchanganya Mungu ni nani na Yesu ni nani

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db Рік тому

      Mm cjamuelewa Mbele ya Mungu ,Mungu Gan Yesu Atakua Mkanya Mbele

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk 4 місяці тому

    Uyo bado nimwislam huyu mama majini anayo naenda uko upotevuni umeyakumbuka mjini mwaipopo atakupa majini mengitu.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +2

    Ona dada angu ulivyo jistiri ulivyo pendeza mashallah !! Vipi ulivyo kuwa unatembea uchi kwa kuvaa vitopu na vimini ktk umri huo ? Ilikuwa aibu kutembea uchi. Uislam ni stara alhamdulilah.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому

      Nenda kaowe Sasa 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +1

      @@paulmushi2428 Ataolewa na Kaka zangu wa kiislam wenye heshima zao . Me mwanamke siwezi kuowa mwanamke mwenzangu kama makafiri mnavyo owana jinsia moja 😩😀😀.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому

      @@nakundwamkubwe7823 Kwa kweli Makafiri ndiyo Wale wa Yuda 1:4 wanafanya hivyo si ulisikia Kule Zanzibar!! pia nashukuru kujua wewe ni Mwanamke nilikuwa sijakusoma kumbe naongea na mdada

    • @gracekikula6279
      @gracekikula6279 2 роки тому +1

      Hajawahi tembea uchi huyo,anajistiri hivyohivyo dada wa watu ila kajua kutembea na mashemeji zake(kaka za mume wake)hana lolote ibilisi nnasi mtupu hapo alipo.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 2 роки тому

      @@gracekikula6279 Haya maneno uliyo andika utakuja kuyajibu siku ya Qiama!! Kumzushia mtu uongo ni Dhuluma! Dhuluma hii utakuja kuijibu.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +3

    Shekhe Mwaipopo Kwanini unafanya kosa ulilo fanya Kwa Leyla kuweka namba ya uyu dada hapa? Sio kila anae tazama hapa ni mtu mzuri utamponzea dada watu . Watu wange mtafuta uyu dada Kwa namba yako .

    • @hawakiza6067
      @hawakiza6067 2 роки тому +1

      Kweli kabisa

    • @gracekikula6279
      @gracekikula6279 2 роки тому

      Anatafuta bwana muislamu huyo,kachoka kuishi na kafiri binti wa watu,mwacheni.

    • @asiakheir8684
      @asiakheir8684 2 роки тому

      @@gracekikula6279 kafiri hata awe na mipesa tele,hata mimi hapana aendetuu

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 Рік тому +1

      ​@@gracekikula6279 hah😂😂😂😂😂KWA HIVYO UMEKUBALI MPAKA UMEJISEMEA MWENYEWE WAKRISTO NI MAKAFIRI 😅😅😅

  • @protasmathias5064
    @protasmathias5064 Рік тому +1

    wote wawili hawa watakuwa ni waganga tu, hamnaga vitu kama hivi

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 роки тому +2

    Yesu Christo aliwambia wafuasi wake (disciples) na wote wanaomwamini kwamba nimempa Bure nanyi wapeni Bure kwa hivyo waliomuahidi shiling milioni 100 ni wahuni kama ni kweli kuna jambo kama Hilo Yesu Christo ni mwana wa Mungu na pia ni Mungu ni ngumu muislamu kuellewa mambo haya bila mwongozo wa Roho Mtakatifu wa Mungu.Mungu wa wakristo ni Mungu wa lbrahimu isaka na Jacob Yesu Christo atakuja kuja kuhukumu wanadamu wote wa dini zote duniani nithahiri kwamba ni king of kings and Lord of lords point of correction sisi wakristo tunatangaza wokovu wa Yesu Christo sio dini dini ni ya mafarisayo kuna tafauti ya wokovu na dinip loll

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +2

    Ndugu zangu tuwe na msimamo na dini yetu,wallahi inahuzunisha njaa zitatupeleka motoni

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 Рік тому

    Waongo wawili wamekutana 😅😅😅😅😅

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 Рік тому

    Na Kwa ambao tupo nje kama Zambia tufanyaje Kwa malipo?

  • @AthumanKinyange
    @AthumanKinyange 3 місяці тому

    Ww daud mwangati shetani mkbwa jini bibi zako na babu zako

  • @bakarali3863
    @bakarali3863 2 роки тому

    Ikiwa hajaolewa tupo tayari kumfanyia nusra ya ndoa

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 роки тому

      Kaolewa na anawatoto wakubwa ila kwasababu amerudi kwenye Uislam sheikh anetaka aachane na mumewake yaani ndoa ivunjwe

  • @romanusdominicus5184
    @romanusdominicus5184 2 роки тому

    DUA INALIPIWA?

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 Рік тому

    Amerudishwa kuwa mfuasi wa shetani

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 Рік тому

      Ngoja niku oneshe shetan yuko wp👇
      (1)Timotheo 1:20
      Ktk hao wakristo wamo himenayo Na iskanda ambao mm paul mtume wenu nimempa shetan watu hao
      Wakristo ili shetan awafunze wakristo wasimtukane Mungu
      🖕👇
      Uyo ndo shetan ana wafunza msi mtukane Mungu🤣🤣

  • @jamesmfikwa5093
    @jamesmfikwa5093 2 роки тому

    100m.... hahahaha kweli mwisho wa Dunia u karibu.

  • @barackamosi4116
    @barackamosi4116 2 роки тому

    Wewe mwaipopo amakweli umerogwa hakili

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 Рік тому

    Uongo😅

  • @emmymichaelchristopher4063
    @emmymichaelchristopher4063 Рік тому

    Hiyo mipango tu.Mnachukuana wenyewe Kwa wenyewe alafu unasema amerudi kwenye dini. Alafu kudanganya aina faida

  • @gracekikula6279
    @gracekikula6279 2 роки тому +3

    Msisahau kumwambia kuwa pale anapoishi ni kwa kafiri afanye ahame akaishi kwa ndugu zake waislamu na asijihusishe na chochote cha kafiri anayeishi naye

  • @michaeljoseph3118
    @michaeljoseph3118 2 роки тому +2

    Ww Amnakitu Unapotosha Tu Watu Ww;

  • @sharifanzunda8332
    @sharifanzunda8332 2 роки тому +1

    Uyo mama ni muongo hajalazimishw kuslimu ndug zang waislmu tusichoche chuki

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 роки тому +1

    ONDOA neno MKE WA MCHUNGAJI hao waliashachana kitambo acha kutuongopea kama vile Ulivyokuwa unadanganya watu eti SISTER ASILIMU ukiwa na maana (Sister wa Roman Catholic) kumbe uongo ni dada wa kawaida tu wa mtaani!!

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 2 роки тому

    Je kanisa lilimpa iyo million 100?

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 2 роки тому

    Sheikh kwanini unamlisha maneno? Wewe hajasema aliaidiwa Wala kupewa unapomuuliza kanisa lilikuaidi nini maana yake unamuwekea maneno,,wakati huo yeye kasema mmewake ndio aliemshawishi na sio kanisa

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 роки тому

      Ndivo ilivo ktk ukristo Uyo mwaipopo ametokea Uko uko kwaiyo yte anayajua ayo Ukimuona muislamu kaingia kwnye Ukristo basi ujue ni kw maslahi ujue kaahidiwa kitu ama Mapnz

  • @shabanihassan8678
    @shabanihassan8678 2 роки тому +2

    Sheikh wamchongo 😂😂😂😂😂 na uyo mama wa mchongo

  • @happynessmsoffe7947
    @happynessmsoffe7947 2 роки тому +1

    p

  • @MusaMapalange
    @MusaMapalange 5 місяців тому

    Muongo

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 роки тому

    Biashara inaendelea, yaani kuombea Dua unakatwa pesa? Isipojibiwa hiyo Dua utairejesha hiyo pesa uliyokata? Mama kaletwa hapo Kwa nia ya kutangaza biashara ya Mwaipopo! Wewe mama rudi kwenye Ndoa yako.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 2 роки тому

      Mimi nilipochoka ni mtu kuvunja ndoa ya MTU hii ni mbaya sana!!!

    • @mickdadybakari6052
      @mickdadybakari6052 2 роки тому

      Kuna mahubir ambayo huwa kwenye mikutano hamchukui pesa kuziita sadaka maamae

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому

      @@mickdadybakari6052 Sisumbuki kujibu Matusi yako kwani ndivyo ulivyo lelewa na mafundisho ya dini yako ya mchongo ya Mwarabu mkureshi wa Makha asiyejua kusoma Wala kuandika.

    • @mickdadybakari6052
      @mickdadybakari6052 2 роки тому

      @@paulmushi2428 acha kukaza fuvu dini Ip ya mchongo ya hii na ile ambayo kitabu chake kimeandika watoto walimpa mvinyo baba yao na wakalala nae ahahahahaaaa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 роки тому

      @@mickdadybakari6052 Nakwambia Ukweli dini hiyo niya mchongo ya Mkureshi mmoja wa Makha asiyejua kusoma Wala kuandika, aliyekuwa anaabudu jiwe jeusi Al hajar Al aswad akawadanganya eti ni Allah (Yaani Mwenyezi Mungu)

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 роки тому

    Kanisa lilikuahidi laki 100 kwa lipi ulilokua nalo kama sio uongo na kutapatapa. Vuguvugu wewe

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb Рік тому

    Na wewe mwaipopo c ulibadili dini sasa unchangeable nini

  • @nyasiopascal1867
    @nyasiopascal1867 2 роки тому

    Shetani amekaa juu ya vichwa vyenu mnafundisha uharamia Eti dini ya Mungu ni Mungu gani kwenu nyie

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 2 роки тому

    Mashaallah

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Рік тому

    Mashaallah

  • @momadesuales
    @momadesuales Рік тому

    MashaAllah