Dokta mie Nina tatzo kubwa,, saut yangu inakwaruza sana na natumia nguv sana kuongea,, had mishipa ya shingo inauma ckohoi ina naumia sana kifua,, hocptal nimeenda nikapewa dawa za kifua na areg lakin imedunda,,, naumia sana nikipgwa na upepo kidogo tab tupu, nisaidie
received 🤝
Of course
Doctor mi na miezi 5 Sasa toka sauti imepotea nifanyejee
Doctor, mimi ni mtoto wa kiume lakini nina sauti laini nahitaji besi, dawa ni nini?
Aseta mina feni
Dokta mie Nina tatzo kubwa,, saut yangu inakwaruza sana na natumia nguv sana kuongea,, had mishipa ya shingo inauma ckohoi ina naumia sana kifua,, hocptal nimeenda nikapewa dawa za kifua na areg lakin imedunda,,, naumia sana nikipgwa na upepo kidogo tab tupu, nisaidie
Mm pia niko na hii hali Ulianza toka 2020 nilienda hospital lakini walisema sina chochote mpaka sasa bado nasumbuka na sauti
Kwa mwimbaji afanye Nini maana ni KAZI ya Kila siku na sauti inakuwa inapotea
Kwakweli hapa ndo changamoto tuliyonayo
Mura Mbuya