MEDICOUNTER: PRESHA YA KUPANDA (High Blood Pressure)
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Ugonjwa wa shinikizo la damu la juu unatajwa kuwa mmoja wa maradhi yanayosababisha vifo vya ghafla kwa watu wengi duniani lakini watu wengi hawafahamu chanzo chake na namna ya kujilinda dhidi ya madhara yake pindi wanapokuwa wameupata.
Dafrosa Prosper amemtafuta daktari bingwa ili kujua kiundani.
Asante kwa mawaidha mzuri dactor mungu akubariki
WONDERFUL DOCTOR. The narration is so clear and effective. thank you for making it simple to understand. Keep informing people.
Ahsantee doctor
Dah ubarikiwe sana doctor
Kweli maneno yako
Asante
Hubarikiwe
DOCTOR MTU MBAYE ANA PRESSURE YA KUPANDA QNAWEZA KUFANYA MAZOEZI YA KUKIMBIA?
Dr
Daktari habari yako
Nakuliza dok presha yangu inakuja 145 /80&90 na roho inapiga sana iko 100
Hospital yote nimenda wanani ambia niende gym hawani pati dawa wananiambia hatuelewi
asant sana doctor kwa helimu yako, sasa ujatupa namba ya mawasiliano, ili tupate kuuliza vingi zahidi plz
Piga +255628317970 au whatssap nikusaidie
Tena nyinyi mnajibu comments kweli
He MTU akianza dawa at I hawezi kuacha maisha yote hats akipona? Nimetumia dawa mizi mitatu mfllizo nikiwa normal naambiwa nitumie tu Hanna kuacha maisha yote! Nilpopimwa ilikua 160kwa90 baadaye 120 kwa80, mwanzo nlikua tu na mshtuko, nimeacha chumvi Niko saw lakini naendelea na dawa!
PIGA 0683147077
KUPATA TIBA YA
¶PRESHA YA KUPANDA NA TIBA YAKE*
Magonjwa ya moyo hasa presha ya kupanda na kushuka yamekuwa sababu ya vifo vya binadam wengi.
Presha ya kupanda au hypertension ni hali ambayo mapigo ya moyo yakuwa zaidi ya 140/90 mmHg,hapa wataalam watakuambia unapresha ya juu..kuwa na presha ya kupanda kunaweza sababisha kifo cha ghafla kutokana na moyo kusimama kufanya kazi(stroke)
Je nini sababu ya tatizo hili?
*SABABU KUU ZA PRESHA YA KUPANDA*
*Unene kupita kiasi
*Vyakula vya mafuta
*Kurithi kwa familia
*Unywaji wa pombe kupita kiasi
*kula kiwango kingi cha chumvi
*Dawa au kemikali za kuzuia mimba
*Dawa za kutuliza maumivu
*Magonjwa ya figo
*Kutofanya mazoezi
Sababu zote hizo hupelekea kuziba kwa mirija ya kupitishia damu(narrowing of the blood vessels).
Ambapo moyo ndio muhusika mkuu wa kusukuma damu hio,hivyo pindi mirija hii ikiziba,moyo utahitajika utumie nguvu kubwa katika kusukuma damu sehemu mbalimbali za mwili matokeo ya kutumia nguvu kubwa ndipo wewe unapoona mapigo ya moyo yanaenda mbio kupita kiasi.
Moyo unaumaa na mwisho hupelekea kifo kama hatua za mapema hazijachukuliwa.
*DALILI KUU ZA KUWA NA TATIZO HILI*
*Mwili kuishiwa nguvu
*Mapigo ya moyo kwenda haraka isivyo kawaida
*kuhisi kizunguzungu
*Kukosa nguvu za kiume kwa wanaume
*Kuzimia
*Miguu kufa ganzi.
PRESHA INATIBIKA,
KWA KUREKEBISHA NA KUSAFISHA MIFUMO ILIYOHARIBIKA, PRESHA INAKOMA,
#MSHAURI NA MTAALAMU
☎️ +255712126669
+255765084330
Baadae uache
Ulifanikiwa kuacha
Kusafisha kivipi?
@@kaukinatalia8029 akiacha tu kiharusi kinamhusu,