NYWELE ZA MKRISTO -- WANAWAKE NA WANAUME--- (1 Wakorintho 11:---) | MTUME MESHAK

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 69

  • @ShukuruDaudi-ue6in
    @ShukuruDaudi-ue6in Місяць тому

    Amen 🙏 🙏 Asante Sana BWANA YESU KRISTO atusaidie sana na akuzidishie,akubariki 🙏 🙏

  • @chantalmavandu4950
    @chantalmavandu4950 2 роки тому +1

    Asanti sana na Mungu wa mbinguni akubari

  • @lachey4895
    @lachey4895 4 місяці тому

    Amen amen

  • @charleskamau645
    @charleskamau645 2 роки тому +1

    Hapo ni kweli Kabisa

  • @furaharutondo9213
    @furaharutondo9213 2 роки тому +1

    Amen jina labwana lipewe sifa

  • @NamwitaIbraham
    @NamwitaIbraham Рік тому

    Amen amen sifa nizako milele

  • @dadafrida9202
    @dadafrida9202 10 місяців тому

    Amina

  • @serenakimigho8449
    @serenakimigho8449 2 роки тому +1

    Asantii mtumishi kwa ufahamu zaidi

  • @soeurdorismakandahatcher8418
    @soeurdorismakandahatcher8418 3 роки тому +2

    Ubarikiwe sana mtumichi Wa mungu !! Thank you Jesus Glory to you 🙏🏾🙌🏾

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 2 роки тому

    Amina Sana Mungu nibadirishe kilakitu 🙏🙏🙏🙏

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 роки тому +2

    Asante mungu kwa kumleta huyu mtumishi wako,ili nijue na nijieregebiahe, ninazidi kuelewa,Amen man of God 🙏🇰🇪🇰🇪 .

  • @johndeogratias2543
    @johndeogratias2543 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana nimekuelewa

  • @benibaraka1701
    @benibaraka1701 Рік тому

    Mungu turehemu

  • @daudsimon1488
    @daudsimon1488 Рік тому

    Aminaaaaaaaaaaa

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 2 роки тому

    Amen Amen mtu wa MUNGU

  • @rebecakigutu
    @rebecakigutu Рік тому

    Now ndio nimeelewa Mtumishi meshac una karama ya kunenea na kutafsiri kumbe ...nilikuwa sijui kama mtu mwenye kalama ya kutafsi huwa ananena na apo matafsiri yanatokea ..Amen nimejifunza kitu

  • @marypeter4584
    @marypeter4584 2 роки тому

    Amen, asante Bwana Yesu kutusaidia kupitia mtumishi wako

  • @susanwanyoni249
    @susanwanyoni249 Рік тому

    Amen and Amen ukweli kabiza

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Рік тому

    Ameen

  • @drivenitz7733
    @drivenitz7733 3 роки тому +1

    Kazi nzuri sana kbs mubarikiwe

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana naendelea kujifunza na, sitoacha kukusikiliza siku zote

  • @jeannesumaili8718
    @jeannesumaili8718 2 роки тому

    Asante Mungu kwakunionesha njia nilikuwa nimepoteya kabisa Mungu akubariki 🙏

  • @furahaeto6193
    @furahaeto6193 3 роки тому +1

    Asante sana papa Mungu aturehem

  • @gmdalalimchamungu_tz1170
    @gmdalalimchamungu_tz1170 2 роки тому

    Napokea ufahamu huu katika Jina la Yesu. Mungu alisha anza kunifundisha kuhusu nywele nahapa nimepokea uthibitisho kamili, huwa nilichukia kuchonga kichwa lakini pia kunyoa pank, na nilishaweka marufuku kwa watoto wangu pia.

  • @Deborakasa
    @Deborakasa Рік тому

    🙌🏾🙏🏾

  • @gracemwangosi9017
    @gracemwangosi9017 2 роки тому

    Amen mtume wa Mungu 🙏

  • @PhoebyMary-ji8zz
    @PhoebyMary-ji8zz Рік тому

    Man of God pray for me please huwa ni request yangu Kila siku

  • @celestinecherop7038
    @celestinecherop7038 2 роки тому

    Amen

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 роки тому +1

    AMENI KUBWA NA MUNGU ANISAIDIE KUTUBU NA KEEP BAKI KUMUABUDU MUNGU KTK KWELI

  • @johnstamina8242
    @johnstamina8242 3 роки тому +1

    AMINA HAPA KAZI T

  • @miriammpatrick5795
    @miriammpatrick5795 2 роки тому

    Amen Amen Amen

  • @nellygathoni2496
    @nellygathoni2496 2 роки тому

    Mtume meshake ni vibaya kushuka nywele zako natural ni vibaya

  • @rebekamoses9220
    @rebekamoses9220 2 роки тому

    Amina🙏🙏

  • @florenciapharles1049
    @florenciapharles1049 2 роки тому +1

    Lawi 19:27

  • @MwungeriOlivier-pr3jh
    @MwungeriOlivier-pr3jh Рік тому +1

    Munisaidiye namba za meshake

  • @mwaliashazaina1836
    @mwaliashazaina1836 3 роки тому +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @Itslucky12318
    @Itslucky12318 3 роки тому

    Amen 🙏🏾😭

  • @brendakiwira2299
    @brendakiwira2299 2 роки тому +1

    Thank you Mtumishi meshack... How about having dreadlocks? Is it allowed?

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 2 роки тому +3

    Tufanye nini basi kunyoa sivyo kusuka sivyo Ku blow dry pia sivo...Eeh Mungu nipe neema ya kuelewa mahubir na maandiko niondolee moyo mgumu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 роки тому +1

    Mm nomeelewa TU timekatazwa kusuka na mawigi na Kama mwanamuke lazima tuache kujipamba tuache ubishi jehanamu ipo

  • @mercitumusifu8639
    @mercitumusifu8639 3 роки тому +2

    Kunyola ni zambi kwa mwanamke. Nywele kwa mwamke ni utukufu inamaanisha alipewa nywele ma fasi ya kitambaa. Uulize Mungu Vizuri kwa ingine ubarikiwe

    • @UkweliMinistries
      @UkweliMinistries  3 роки тому

      Kuoa inaaribu utukufu wa Mungu. Je kuoa ni dhambi?

    • @innocentbaraka7609
      @innocentbaraka7609 2 роки тому

      Weka maandiko uanziye 1 corinthiens 11 :1 mupaka ku 16 njo utaelewa maana ya maelezo ya kuhusu kufunika kichwa kwa mwanamuke kupitiya Roho mutakatifu katika Paulo.
      Wewe usisome andiko kisha uikatiye mujia nahauyaelewa conclusion.

    • @innocentbaraka7609
      @innocentbaraka7609 2 роки тому +2

      Kichwa wazi ni kama alinyolewa , lakini wakati kichwa inaonekena inanyele ndefu , maandiko yanasema bien kama ni utufu tayari kwamwanamuke nayakwamba amekwisha kufunikwa tayari! , Kwa maana amepewa nyele ndevu kwa vazi

    • @daudlukumay2741
      @daudlukumay2741 2 роки тому

      ATI kuowa ni dhambiy

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 2 роки тому +1

      Kuoa SI dhambi,Bali kuoa bibi ya mtu ndo chukizo Kwa Mungu,yule bwana wa kwanza ndo ndoa ya halali,ukitoka Kwa ndoa yako ya kwanza,ndoa ya ujane ukaoelewa Kwa mwanamme mwingine Hilo ndo chukizo Kwa Mungu,ndoa haibarikiwi..proverbs 5,7,,,mipango za kando pia ni makosa mbele za mingi..About nywele ,Mimi najua nywele usishuke ,usichanue (blowdry sababu hiyo ni ya kishetani)women's hair is her glory but sijaona kitambaa kila saa Kwa kichwa ,,,about men kunyoa nywele kitute kisimame Kwa kichwa ni mbaya ipo Kwa leviticus 21:5,,tattoos is a sin.Anyway majibu yote imo bibilia,tuifanye bibilia rafiki wetu wa karibu

  • @gracemwangosi9017
    @gracemwangosi9017 2 роки тому

    Yesu tusamehe 😭😭😭🙌🙏

  • @nuruanaelisha8731
    @nuruanaelisha8731 3 роки тому +1

    Hiyo ni lugha gani inayotumika kabla ya kutafsiri kwa kiswahili???

  • @charleskamau645
    @charleskamau645 2 роки тому

    Deadlocks not allowed in the Bible. Lakini kwa wale hawajaokoka wana Uhuru wa kukaa vile wao wanataka

  • @jeniphaledaschali4594
    @jeniphaledaschali4594 3 роки тому +1

    Nataka kujua naumuulize mungu wewe mtumishi ake je mwanamke hatakiw kufundisha?from tz

  • @happyemanuel-zc9ob
    @happyemanuel-zc9ob Рік тому

    Me cjaelewa kabisa ,kwani ukiwa umesuka nywele ukamwita mungu(kuomba) hawezi kushuka et kisa umesuka? Me najua Mungu anaangalia moyo Safi na utayari wako kwake

    • @StellaLwesya
      @StellaLwesya 3 місяці тому

      Pole dada,soma 1 korintho 11 yooote utaelewa ,soma 1timotheo 2:9..... Soma Petro 3 hao nimitume waliokaa chin yayesu asilimia 100, sasa hao niwaongo kama kwamaandiko haya hutaelewa mungu akusaidie maana hata mm nilikuwa kama wewe.usipende kubishana na mungu ila penda kumuuliza mungu je hii nikwel maana wachungaj wengi wanaona wakiwaambia mtahama kanisan kwasababu yatamaa ya sadaka zenu

  • @SamuelUwiragiye
    @SamuelUwiragiye Місяць тому

    Hiyo luga unaongea ilianza lini?

  • @jeniphaledaschali4594
    @jeniphaledaschali4594 3 роки тому +1

    Hiii nikweli tupu tupu tupu

  • @jeannetisango9685
    @jeannetisango9685 3 роки тому

    Kitamba chamwanamke ni nwele zake nasiyo kitamba chaguo kwasababu wanawake wengi wananyowa nwele zawo kwasababu havae kitamba chaguo

    • @UkweliMinistries
      @UkweliMinistries  3 роки тому

      Leta andiko, usipotoshe watu.

    • @jeannetisango9685
      @jeannetisango9685 3 роки тому

      1WAKORITHO 11:13-15

    • @jeannetisango9685
      @jeannetisango9685 3 роки тому +2

      Apo awasemi kitamba chaguo bali nikudegeneza nwele zetu nasiyo vitabaa vigine au kunyowa au kusuka bali nikutegeneza nwele zetu.

    • @UkweliMinistries
      @UkweliMinistries  3 роки тому

      @@jeannetisango9685 Sisi tunafundishwa na Roho ila kama unavyo sema ni kweli, kwanini anasema ya kwamba ni bora angenyoa. Yaani tayari huyo hiko na nywele. Sasa kwanini mtu ambae ana nywele aitaji tena kufunika Sasa kwanini awambie eti wanyoe. Kwanini wa nyoe?

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 3 роки тому

      @@jeannetisango9685 Mungu ashatuvika nywele zake wala hakuambiwa namtu tuwe nanywele ndefu,hvyo anajua tuna nywel ndefu ndio maan anatuamuru tuzfunike

  • @innocentbaraka7609
    @innocentbaraka7609 2 роки тому

    Sasa ndugu , nikusema tuondoe andiko hili kwa biblia ?
    Kwa sababu ukitaka uelewe Siri hiiiiiiii usiishiye pale katikati ya 1 corinthiens 11 : 1-16.
    1 Wakorintho 11:13
    Je! Inapendeza mwanamke amwombe Mungu asipofunikwa kichwa?
    1 Wakorintho 11:14
    Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake?
    1 Wakorintho 11:15
    Lakini mwanamke akiwa na nywele ndefu ni fahari kwake. Kwa sababu amepewa zile nywele ndefu ili ziwe badala ya mavazi.
    1 Wakorintho 11:16
    Lakini mtu ye yote akitaka kuleta fitina, sisi hatuna desturi kama hiyo, wala makanisa ya Mungu.

    • @UkweliMinistries
      @UkweliMinistries  2 роки тому

      Ambao wamefundishwa na Roho wanajua Ukweli wa Mungu.

    • @innocentbaraka7609
      @innocentbaraka7609 2 роки тому

      Siri ya Mungu Na Siri ambayo Roho mutakatifu inafunuwa ikipinga Neno lililotanguliya ; je! , Roho mutakatifu , Neno la Mungu laweza kujipinga!?.
      Kwa sababu hadi ufikiapo hautapata katika maandiko kwamba kivuniko ya kichwa ao vazi la kichwa ni hiyo kitambaa wanaenda kununua sokono , hâta nawewe na hili ninalosema unajuwa vizuri sana kwamba kwa uwajibu wa maandiko matakatifu sisemi uongo.
      Labda tuite Roho mutakatifu iliyo funuliya Paulo kwamba ni ya michanganyiko? (jambo ambalo hata wewe n'a hâta mimi hatuezi tukasema) , labda Roho mutakatifu iliyo funuliya Paulo ni mbili (jambo ambalo hatuezi tukashuhudiye).
      Ila kama tunapasha weka musingi wa maandiko matakatifu katika Yale Paulo aliyo funuliwa , ingelitubidi tufahamishwe kumbe nazengine vitabu vya biblia kuhusu mwanamuke wakati alikuwa akifika mbele ya Mungu , je! , Alikuwa akitoshwa kitambaa ili kubaki mbele ya Bwana Mungu nanyele ndefu peke Yake ?
      Posons le fondement sur les écritures saintes : Hesabu 5:18
      kisha kuhani atamweka mwanamke mbele za BWANA, naye atazifungua nywele za kichwani mwa huyo mwanamke, kisha atampa hiyo sadaka ya unga ya ukumbusho mikononi mwake, ambayo ni sadaka ya unga ya wivu, naye kuhani atakuwa na hayo maji ya uchungu yaletayo laana mkononi mwake;
      Hesabu 5:19
      tena kuhani atamwapisha huyo mwanamke, naye atamwambia mwanamke, Kwamba hakulala mtu mume pamoja nawe, tena kwamba hukukengeuka kuandama uchafu, uli chini ya mumeo, maji haya ya uchungu yaletayo laana yasikudhuru;
      Ufike mupaka ku verset 21 kwenye mwanamuke anaapishwa mbele za bwana ! , Hasa kwa maombi mbele za Mungu tangu awali , wanawake walikuwa wakifika mbele ya Bwana Mungu wanaondoa hicho kifuniko kya sokoni ili kubaki nakifuniko cha kichwa ambacho Mungu aliwawekelea!!!
      Nandiyo conclusion ya mutume Paulo.

    • @innocentbaraka7609
      @innocentbaraka7609 2 роки тому

      Ndugu shabaa yangu si kukufuru Ama kutusi Roho ya Yesu Kristo inayokutumikisha kwa kazi ya Mungu.
      Ila ya zaidi nikuzidi kuombeana na usiwayi tena towa andiko ya 1 corinthiens 11:15 ku internet ambapo dunia yote wanakutazama kisha uipatiye andiko ambayo inaeleza kinyume , hapo utakuwa umeiabisha huduma ambayo unayo.

    • @JESUSISLO891
      @JESUSISLO891 2 роки тому

      Shida yako ni moja kwa kawaida tunajua wazungu wako na nywele zao na si bandia wala wigi Bali waafrika wanasuka nywele ambazo si zao wala hawajui zatoka wapi!

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 2 роки тому

    Amen

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 9 місяців тому

    Amen

  • @ASIYAMUSA-tr9kr
    @ASIYAMUSA-tr9kr 5 місяців тому

    Amen 🙏