Dear brother Aston, you made a very strong explanation in relation to the question of women to put on their scaff during the church services. I absolutely agree with you. May God bless you servant of God.
Ukiwa unaota unafanya mapenzi kwenye ndoto kila siku,kwanza Tubu,hiyo roho ya uzinzi halafu toa sadaka kuvunja angano hilo kwa damu ya YESU KRISTO,kila dhambi tunatakiwa kutubu kila siku bila kupoteza mda
Ukiota Roho ya uzinzi kwenye ndoto Tubu, toa sadaka,funga na kuomba na uiharibu hiyo ndoto kwa Jina la BWANA wetu YESU KRISTO na kwa Damu ya YESU KRISTO
Hakuna aliyemtakatifu kama Mungu ndio maana yeye ni moto. Hivi Kuna kitu kisafi zaidi ya moto? Mwanadamu maisha yake yanatakiwa yawe yakutubu tu na kujitakasa Kwa YESU KRISTO mpaka siku anayokufa ndipo ataokoka.
1. Repent 2. Give your life to Christ (If you have not yet done it) 3. Fast 4. Read the Bible DAILY (Feed your Spirit with the word of God) 5. Make peace with people that have hurt you in the past. Don’t hold grudges. Live right. Forgive whoever wronged you. 6. Always ask the Holy Spirit to lead and guide you. Matthew 17:21 Isaiah 58:5-12 Matthew 6:14 Romans 8:14 For additional teachings about dreams particularly eating in your dreams search Pastor Kevin L A Ewing eating in dreams on UA-cam. He has great teachings about dreams and their meanings (Biblically). May God bless you 🙏🏾
Ukiota Roho ya uzinzi kwenye ndoto, Tubu,toa sadaka na ufunge na kuomba kwa ajili kuvunja angano hilo kwa damu ya YESU KRISTO,omba kila siku bila kuchoka
‼️Asante sana kwa majibu hayo, tho nina swali hapo kwa wanawake KUTOITWA hata WAEVANJELISTI .. JE, TUTAWAITAJE WALE AMBAO WANAENDA NJE NA KUPELEKA HABARI YA YESU KRISTO NA KUVUNA NYOYO/WATU, NI KWA AJILI YA UFALME /YESU ⚠️⛔⁉️
Yesu asifiwe sana. Question yangu tunaona watu mitandaoni wanatoa ushuhuda namyili Yao ilizikwa mnatwambiaje kuhusu hawo watu wanaludi kwamapenzi yamungu ao ya KISHETANI? MBONA HATA PROMOVER TV TULIWAHI KUWAONA
Jacktan Barikiwa sana. Muulize Prophet kuna familia hazina uwezo wanaishi kwa chumba kimoja baba mama hapo kwa hicho chumba. Sasa wazazi wanafanya mapenzi huku watoto wakisikia. Je na hao watoto wako chini ya laana?
Muulize prophet atufafanulie kuhusu kitabu cha revelation 11,nataka kujua kuhusu hawa watu wawili ni kina nani?.and by the way he is a man of great wisdom and his teachings are true as according to my understanding.
Wale walikuwa na ambiwa kuvaaa vitambaaa siwalikuwa wa na nwele ndefu sababu wali kuwa wazungu sasa sisi weusi ha tuna ndefu , kwahiyo tuvae tu kitambala njo vizuri
Munieleweshe kweli hiyo timotheo inasema mwanamke ajipambe si kwa kusuka tu bali kwa adabu pia inamaana haijakataza hila inasisitiza Ata mkisuka muwe na adabu na kutii
Kusokota nywele zako kama Rasta hiyo ni mitindo ya kuzimu,Kuna mapepo yako kuzimu yanasokota nywele,zikate hizo Rasta za kusokota nywele zako,au zirudishe ziwe kawaida sio kusokota nywele
Binafsi nilimwona dada mmoja ambae ni rafiki angu alikua hasuki wala kuvaa mawigi ila alipo anza kujipamba nilimwona kwa ndoto kaingia kwenye maji machafu sana anacheza na anafurahia,,,,ki ukweli haya mapambo ni uchafu kabisa
Ni Kuita Roho wa Mungu kuwa ni shetani, mfano mtu ananena kwa lugha ukasema kufuru. Heri unyamaze tu. Yesu walimkufuru alipotoa pepo wakasema anatoa kwa Belzebul ( mkuu wa mapepo) kumbe anatoa kwa Nguvu za Mungu wa kweli ambaye ni Yeye mwenyewe. Akasema yeye atasamehe ila mtu akimkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa
BWANA JAKTANI TUNAOMBA ATUFAFANULIE KUHUSU WATU WALIOPATA CHANJO JE WANYEJE MANA CHANJO NI 666 JE WAFANYEJE? AU NDO WAMEDHAINGIZWA KTK UFALME WA SHETANI?
Huyu bwana anayo hekima sana,yupo vizuri sana,anajibu kwa hekima kabisa
Jamani Mungu wangu haya mambo yanatisha tungeyanua mapema lakini hatujachelewa tumtumaini Mungu na kutenda haki
Dear brother Aston, you made a very strong explanation in relation to the question of women to put on their scaff during the church services. I absolutely agree with you. May God bless you servant of God.
Barikiwa Jacktan. Hakika mtumishi wa mungu Adam Aston Mbaya ana hekima, maana anajibu kulingana na neno la mungu.
Bwana awabariki watumishi wa Mungu nimejifunza mengi na kubarikiwa sana
Bwana Yesu ~ ASANTE KWA KWELI YAKO na MANENO YA UZIMA 🙏🙏🙏
Amen Eeh Mungu nipe Hekima kama ya Prophet Adam Aston Mbaya
Mungu aturehemu na kutuongoza kwa huu mda ambao tumebakisha hapa tuniani tuweze kutenda yaliyo mema
Hakika Mungu yu pamoja nanyi watumishi wa Mungu aliye hai Haijalishi swali limeulizwa mara ngapi bado mnajibu kwa amani na furaha I connect.
Hakika tunabarikiwa sana kwa kazi njema kutoka kwa watumishi wa MUNGU. MUNGU awabariki sana sana katika jina la BWANA YESU KRISTO. Amina.
Amen I thank God who moved my heart to watch promover tv I have learned alot
Amen nimebakiwa Sana sitakwenda jehanam Mimi na family yangu yote❤ ameni
Mungu awabariki sana mutumishi Jactan Mutumishi Langi na Nabii wa Mungu Aston,hakika haya mafundisho yanabariki
Amen
Amen nimeelewa majibu YESU tusaidie
Bwana awabariki sana watu wa Mungu mnafanya kazi kwa moyo bila kujali uchovu
Ukiwa unaota unafanya mapenzi kwenye ndoto kila siku,kwanza Tubu,hiyo roho ya uzinzi halafu toa sadaka kuvunja angano hilo kwa damu ya YESU KRISTO,kila dhambi tunatakiwa kutubu kila siku bila kupoteza mda
Mungu awabariki kwa huduma hii
Mungu akulinde Aston
Majibu mazuri kabisa kulingana na BIBLIA
May God bless you prophet Aston Adam Mbaya I no longer use make up
Amen Amen Amen, kweli nyinyi ni watumishi wa MNGU, nauliza hivi nikioka kupitia mahubiri yenu kwenye UA-cam tena Mwenyezi Mungu atanipokea?
Ndio
Ukiota Roho ya uzinzi kwenye ndoto Tubu, toa sadaka,funga na kuomba na uiharibu hiyo ndoto kwa Jina la BWANA wetu YESU KRISTO na kwa Damu ya YESU KRISTO
My dear men of God you are blessed.
Kwanini watumshi wa Mungu awasemi Ukwel kuhusu mapambo yaani wanawake tunaangamia kuhusu maarifa
Mungu. Asante. Kwa. Ushuhuda. Huu
Aston mbaya ajifunze kiswahili
Hakuna aliyemtakatifu kama Mungu ndio maana yeye ni moto. Hivi Kuna kitu kisafi zaidi ya moto? Mwanadamu maisha yake yanatakiwa yawe yakutubu tu na kujitakasa Kwa YESU KRISTO mpaka siku anayokufa ndipo ataokoka.
Barikiwa sana jactan Mungu asikupungukie❤
Amen
Asanteni sana kwa neno,,Nina swali,, eating in dream what do I do to solve it
Dunga na Kuomba litaondoka kama ni la kishetani
1. Repent
2. Give your life to Christ (If you have not yet done it)
3. Fast
4. Read the Bible DAILY (Feed your Spirit with the word of God)
5. Make peace with people that have hurt you in the past. Don’t hold grudges. Live right. Forgive whoever wronged you.
6. Always ask the Holy Spirit to lead and guide you.
Matthew 17:21
Isaiah 58:5-12
Matthew 6:14
Romans 8:14
For additional teachings about dreams particularly eating in your dreams search Pastor Kevin L A Ewing eating in dreams on UA-cam. He has great teachings about dreams and their meanings (Biblically).
May God bless you 🙏🏾
Kweli mt Aston anasema ukweli wa neno la Mungu, hapo watu tutii ili tupone jamani. Nitampataje huyu mtumishi? Nataka kuwasiliana nae
Jamaniiiiiiii
Mnatuchanganya mjue😎 mamangu ESTA MASANJA alisemaje? Hapana kwakweli ufaham wangu mmeuvuluga Sasa😪😪😪😪😪nifanyeje mm sasa
Na Esta Masanja ni nabii, apa lugha gongana, tumuulize Mungu mwenyewe
Ukiota Roho ya uzinzi kwenye ndoto, Tubu,toa sadaka na ufunge na kuomba kwa ajili kuvunja angano hilo kwa damu ya YESU KRISTO,omba kila siku bila kuchoka
asante sana huwa inanisumbua sana hii
‼️Asante sana kwa majibu hayo, tho nina swali hapo kwa wanawake KUTOITWA hata WAEVANJELISTI .. JE, TUTAWAITAJE WALE AMBAO WANAENDA NJE NA KUPELEKA HABARI YA YESU KRISTO NA KUVUNA NYOYO/WATU, NI KWA AJILI YA UFALME /YESU ⚠️⛔⁉️
Uinjilist mwanamke anaweza kufunya,ispokua ndani ya kanisa, huruhusiwi kuubiri
Jacktan mimi napenda umuulize kuhusu siku za ibada kati ya jpili na jmos je kuhusu hilo akuonyweshwa
MUNGU aturehemu tukubali kubadilika na kuanza upya, kuomba Toba na Rehema kwa MUNGU, hakuna kingine tumeshajua ukweli
Nice
Iweje kutubu baada ya kumpokea mnyama kwenye chanjo? nawakati umempinga Yesu Kristo au Roho Mtakatifu? Hapo sijaelewa....
Kweli kbs
Amin
Je, mtumishi wa MUNGU, Aston Adam Mbaya amekuja na kitabu chake cha ushuhuda kilichotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili au kiingereza?
Hapana
Yesu asifiwe sana. Question yangu tunaona watu mitandaoni wanatoa ushuhuda namyili Yao ilizikwa mnatwambiaje kuhusu hawo watu wanaludi kwamapenzi yamungu ao ya KISHETANI? MBONA HATA PROMOVER TV TULIWAHI KUWAONA
Sijaelelewa swali hebu tudia kuandika
Unamanisha misugule ama
Hakuna mtu mtakatifu mbere za mungu ndio mungu akasema tukitubu atatusamehe
Jacktan Barikiwa sana. Muulize Prophet kuna familia hazina uwezo wanaishi kwa chumba kimoja baba mama hapo kwa hicho chumba. Sasa wazazi wanafanya mapenzi huku watoto wakisikia. Je na hao watoto wako chini ya laana?
Vyumba vyamaombi muna wanawake na wanaume kumbe sivizuli kuhubili wala kuwa vihongozi wachumba
Muulize prophet atufafanulie kuhusu kitabu cha revelation 11,nataka kujua kuhusu hawa watu wawili ni kina nani?.and by the way he is a man of great wisdom and his teachings are true as according to my understanding.
Enocko na Eliya
🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Wale walikuwa na ambiwa kuvaaa vitambaaa siwalikuwa wa na nwele ndefu sababu wali kuwa wazungu sasa sisi weusi ha tuna ndefu , kwahiyo tuvae tu kitambala njo vizuri
Mungu atusaidie sana
Kuwa na nywele zako za asili tu,bila ya kuongeza chochote ,kama kusuka Rasta,wigi na naadoido mengine kwenye nywele zako,
Promover naielewa sana
Asalipo,au anapotoa unabii....alafu pia asipewe title,Asante.ila tu asiwe kiongozi
mm ninaomba kujuaniko Romano nimeambiwa lazima nichome sindo villa hivyo siondoki je nifanyeje
Munieleweshe kweli hiyo timotheo inasema mwanamke ajipambe si kwa kusuka tu bali kwa adabu pia inamaana haijakataza hila inasisitiza Ata mkisuka muwe na adabu na kutii
Hilo swala LA kuona nguo za ndan some tymz zina anikwa nje ni changamoto
Mwanamuke kunyowa nyele zote nizambi ?
Alama ya mnyam ndyo kma hyo kujiunga na freemanson nn
Tupo pamoja watumishi
Samahani naomba kuuliza kupaka rang nywele ili zibadilike rangi au ili kuficha rangi ya mvi ni dhambi ili zi
Ni dhambi
Nauliza je naukizoga nywele yako ukisokota raster bt ywele yako bila kuongeza kitu kingine?
Kusokota nywele zako kama Rasta hiyo ni mitindo ya kuzimu,Kuna mapepo yako kuzimu yanasokota nywele,zikate hizo Rasta za kusokota nywele zako,au zirudishe ziwe kawaida sio kusokota nywele
Versace spirit hata Kuna fashion yake ilitoka..angalia hiyo picha yake na uone nywele yako ya kusokotwa
Jactan ni sawa kua mwalimu wa Sunday school kama wewe ni mwanamke
Ila mimi mwanzo nilikuwa nasuka rasta aisee kunamaono niliona nikaogopa Sana hadi leo Suzuki rasta
Maono Gani hiyo tena?
Halima uliona maono Gani hayo?
Funguka tujue
Sasa unasuka nini
Binafsi nilimwona dada mmoja ambae ni rafiki angu alikua hasuki wala kuvaa mawigi ila alipo anza kujipamba nilimwona kwa ndoto kaingia kwenye maji machafu sana anacheza na anafurahia,,,,ki ukweli haya mapambo ni uchafu kabisa
jaman kukufuru roho mtakatifu ndo kufanyaje??!
Ni Kuita Roho wa Mungu kuwa ni shetani, mfano mtu ananena kwa lugha ukasema kufuru. Heri unyamaze tu. Yesu walimkufuru alipotoa pepo wakasema anatoa kwa Belzebul ( mkuu wa mapepo) kumbe anatoa kwa Nguvu za Mungu wa kweli ambaye ni Yeye mwenyewe. Akasema yeye atasamehe ila mtu akimkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa
BWANA JAKTANI TUULIZI JE WALIOPATA CHANJO JE?WAFANYEJE?
Mbona amejibu hilo
Wengine tupo nje Na mtandao wa internet hatupati update kwa mda baadhi ya ushuhuda unatupita hasa live kwani tuvumiliane Sana
Muombe BWANA YESU KRISTO akusamehe na ufute hiyo kwa damu ya YESU KRISTO
NIKIOMBEWA UKOMBIZI JU YA HIZO DOTO NA INABAKI INAJIRUDIYARUDIYA NIFANYEJE?
Soma Yohana8:36
Tubu
Mana yake nikusema tuchanjwe tusicha njwe
Uamuzi wako ni hiari
Ninafurahishwa na majibu yake yote yanatoka kwa Bible
BWANA JAKTANI
TUNAOMBA ATUFAFANULIE KUHUSU WATU WALIOPATA CHANJO
JE WANYEJE
MANA CHANJO NI 666
JE WAFANYEJE? AU NDO WAMEDHAINGIZWA KTK UFALME WA SHETANI?