Praise God mtumishi am Serena from Kenya but currently working in saud Arabia me nilikuwa natafta mtumishi wa ukweli kusema ukweli niliona kadhaa lakini to me Roho wangu alipenda xana mafundisho yako kusema ukweli Mungu anakutumia. So nimekuwa nikikufatilia imagine nowadays me hushinda You tube kuskia mahubiri yako so to that point kuna wakati niliskia ukihubiri na ukaingia kwa maombi so pia me nikaomba na ww nikakuona inspirit way unanipea Bible then siku ingine nikaona unaniombea ukinishika kichwa ukanipaka mafuta. And to me nikiwa kenya nimewai ekelewa mikono at ni received Holy Spirit but haijawai tokea so nilikuja kupokea Roho nikiwa saud nilikuwa naomba xana na kufunga ad nikaanza ku profesy kuongezea na mahubir yko nimekuwa ki Roho xana Asante poster and may God protect you and bless you na azid kukutumia kaa chombo chake kitakatifu Amen
Hallelujah to the Lamb of God. Nimepata mafunzo mengi ya Ukweli kabisa na bibilia imekuwa rafiki yangu kubwa. Naomba Sana niongozwe na Holy Spirit. Asante Mungu Kwa neno na kutumia Mtume Meshak
Hallelluyah utukufu kwa Mungu Muumba Wetu Tanzania tumepata baraka toka Kwa Mungu juu Mbinguni uamsho na baraka tele Asante Mungu wetu Asante Mtume wa BWANA WETU YESU KRISTO AMEN
Mtumishi BWANA YESU ASIFIWE samahani ivi mtu akiwa ni mjamzito je analuhusiwa kufunga maombi pasipo mungu kusema nae mwenyewe yaani akiwanamaombi yake bnafsi analuhusiwa
An evil and adulterous generation seeks for a sign, but no sign will be given to it except the sign of Jonah.” So he left them and departed. Matthew 16:4
Wewe yuda stay away from our Apostle usimfatilie hata Wacha sisi wenye tunataka kufunguliwa Wacha tumfate wewe tafuta wako mwenye anakupotesha na kuwapeleka jehanam ndo mtajua bt Kwa MTUME wetu usijaribu kumuongelelea a beg live him a lone u Rose ontiri
Kisha nikawa napelekwa huku yani mimi nikitaka kwenda ngambo nyingine sitaweza mpaka nihinde kule ninako pelekwa nilipo henda tu nikamshika dada yangu kwenye pega nayeye hapohapo akahanza kutetemeka hivyo na mshukuru Mungu kwahilo ijapokuwa kuwanzia siku iyo sijasema neno lolote nanilivyo kuwa nikihomba nasikia moto lakini hivi nikihomba sisikii moto ndo najiuliza shida nini yani nilikuwa tu nikihomba nasikia moto sana mwilini au nakuwa nalia lakini sisikii dalili izo tena nashindwa kuhelewa baba yangu
Mtumishi ebu tufafanulie kuhusu kuchora tatoo ni SAwa kwa Mkristo naona pana mtumishi anatetea kupitia bible anatumia AMPC Bible anaqoute Isaya 45.5 nimeweka video yake. ua-cam.com/video/ffHD7zqrwq8/v-deo.html
Ubarikiwe sana pst kwa mafundisho mungu akubariki sana
Praise God mtumishi am Serena from Kenya but currently working in saud Arabia me nilikuwa natafta mtumishi wa ukweli kusema ukweli niliona kadhaa lakini to me Roho wangu alipenda xana mafundisho yako kusema ukweli Mungu anakutumia. So nimekuwa nikikufatilia imagine nowadays me hushinda You tube kuskia mahubiri yako so to that point kuna wakati niliskia ukihubiri na ukaingia kwa maombi so pia me nikaomba na ww nikakuona inspirit way unanipea Bible then siku ingine nikaona unaniombea ukinishika kichwa ukanipaka mafuta. And to me nikiwa kenya nimewai ekelewa mikono at ni received Holy Spirit but haijawai tokea so nilikuja kupokea Roho nikiwa saud nilikuwa naomba xana na kufunga ad nikaanza ku profesy kuongezea na mahubir yko nimekuwa ki Roho xana Asante poster and may God protect you and bless you na azid kukutumia kaa chombo chake kitakatifu Amen
Amina
We truly love you because we see God in you! I agree. It's just that simple. I give the LORD JESUS for helping me find this channel.
Hallelujah to the Lamb of God. Nimepata mafunzo mengi ya Ukweli kabisa na bibilia imekuwa rafiki yangu kubwa. Naomba Sana niongozwe na Holy Spirit. Asante Mungu Kwa neno na kutumia Mtume Meshak
Hallelluyah utukufu kwa Mungu Muumba Wetu Tanzania tumepata baraka toka Kwa Mungu juu Mbinguni uamsho na baraka tele
Asante Mungu wetu
Asante Mtume wa BWANA WETU YESU KRISTO
AMEN
Amina
Mtumishi BWANA YESU ASIFIWE samahani ivi mtu akiwa ni mjamzito je analuhusiwa kufunga maombi pasipo mungu kusema nae mwenyewe yaani akiwanamaombi yake bnafsi analuhusiwa
Hallelujah hallelujah mtumishi fanya Kama MUNGU atakavyo kutumia hata Kama ni Mimi sema baba ili nipate kutengenenza na mungu
Mungu wa Ibrahim, Musa, Isaaka na Waisraeli atutendee mema yake , Amina , Nairobi kenya...
Mtumishi wa Mungu wasamee bure baba 🙏awajui wanacho ongea, mwenyezi Mungu akubariki siku zote za maisha yako 🙏
Kazi Safi mtu mkuu wa Mungu. Am much happy of what u ar doing even though the majority ar against. Watu hawataki kweli. God bless you Sana 🙏
Amen. i believe the Holly Spirit talking through you.God bless you.
Mtumisi wa Mungu ubarikiwe sana t kbarikiwa sana kpitia wewe
Amen. Mungu akubariki kwa Kazi hiyi Mtume.
Ubarikiwe sana mtume Meshack
Ni abigael
I missed this one surely. God bless
Amet
Amen 🙏🏾
Respect Kenyan pastors. Do miracles like them man of God.Stop attacking them because people from your country are coming to Kenya for prayers
An evil and adulterous generation seeks for a sign, but no sign will be given to it except the sign of Jonah.” So he left them and departed.
Matthew 16:4
Kama wee waona manabii wa ukweli Kenya basi usishiriki nasi please maana apa wanakemewa nawe wakereka🤭
Wewe yuda stay away from our Apostle usimfatilie hata Wacha sisi wenye tunataka kufunguliwa Wacha tumfate wewe tafuta wako mwenye anakupotesha na kuwapeleka jehanam ndo mtajua bt Kwa MTUME wetu usijaribu kumuongelelea a beg live him a lone u Rose ontiri
Very young, but deeply rooted in Jesus Christ 💪🏽👏🏽
Mtu akijazwa na Roho Mtakatifu huwa anahisi vipi.. na je, mtu anapokea Roho Mtakatifu vipi au baada ya Muda gani? Naomba kupata kujua. Shalom🙏
Naitaji kupokee roho mtakatifu
Mm nimepewa neno kutoka Ezekiel 8:1_18 baba niambie inamaana ngani?
Amen
Kisha nikawa napelekwa huku yani mimi nikitaka kwenda ngambo nyingine sitaweza mpaka nihinde kule ninako pelekwa nilipo henda tu nikamshika dada yangu kwenye pega nayeye hapohapo akahanza kutetemeka hivyo na mshukuru Mungu kwahilo ijapokuwa kuwanzia siku iyo sijasema neno lolote nanilivyo kuwa nikihomba nasikia moto lakini hivi nikihomba sisikii moto ndo najiuliza shida nini yani nilikuwa tu nikihomba nasikia moto sana mwilini au nakuwa nalia lakini sisikii dalili izo tena nashindwa kuhelewa baba yangu
Amen Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu 🙏 🙌
Jameni nilipitwa na hii live lakini jina la Yesu Kristo lipewe sifa Amen
Mtumishi ebu tufafanulie kuhusu kuchora tatoo ni SAwa kwa Mkristo naona pana mtumishi anatetea kupitia bible anatumia AMPC Bible anaqoute Isaya 45.5 nimeweka video yake.
ua-cam.com/video/ffHD7zqrwq8/v-deo.html
Amen 🙏🙏
Amen