Maajabu ya Chanzo cha Mto wa Pili kwa Ukubwa Tanzania: Mto Malagarasi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @muhitiraamissy7198
    @muhitiraamissy7198 Рік тому +1

    Waha asiliiya burundii

  • @fredrickjoseph6545
    @fredrickjoseph6545 Рік тому

    Hongereni Kwa kupanda Miche ya asili...tfs njooni mpande Miche ya asili na maeneo ya mijini...huku tumepanda miti ya ugenini ambayo Haina faida Kwa ikolojia ya kwetu

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 Рік тому +4

    Chanzo cha maji huchukua eneo kubwa sana la ardh ili maji yaendelee kutililika inatakiwa uhifadh wa maeneo husika yalindwe kwa kutokata miti wala kulima ili yale majani yaweze kutunza ukungu ama unyevu wa maji na kutosababisha ukame katika eneo husika

  • @maduuikangira9864
    @maduuikangira9864 Рік тому

    Mti rafiki kwa maji ni mkaratusi tu kwa mti huo huvuta maji mengi Sana

  • @maduuikangira9864
    @maduuikangira9864 Рік тому

    Mti rafiki kwa utunzaji maji ni mkaratusi tu ukikata mkaratusi unaharibu chanzo Cha maji kwa sababu mti wa mkaratusi huvuta maji mengi Sana hivyo mti huo husababisha kuvuta mvua ili inyeshe kwa wingi ili mti huo upate maji.

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 Рік тому

    Duh

  • @christopherkiswaga9270
    @christopherkiswaga9270 Рік тому

    Miti rafiki kwa maji yafaa ipandwe sehemu nyingi katika nchi yetu