JAMAA APANDA MLIMA KILIMANJARO NAKUSHUKA KWA SAA NANE, WENGINE WANATUMIA SIKU SABA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 34

  • @giftchristianmeela1409
    @giftchristianmeela1409 2 роки тому +3

    Hongera sana, Watanzania tunakwama wapi..?

  • @hamzasalum613
    @hamzasalum613 2 роки тому +4

    Namimi nitavunja rekodi kwakutumia masaa mawili 2

  • @deoyessaya8689
    @deoyessaya8689 2 роки тому +1

    Alikuwa peke yake Kama alikuwa na mtu wa kumsaidia mzigo nae atangazwe

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 2 роки тому +1

    Apande kwa kupitia Machame au Marangu tuone sio njia hizo fupi fupi. Ila wageni wanakua wengi kwa sababu lock down imeisha na watu wengi waliahirisha safari zao

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 роки тому +2

    Hongera zake!! Sio kazi ndogo

  • @omarysaid9940
    @omarysaid9940 2 роки тому +2

    Hebu apandie machame rout tuone kama akipewa siku mbili atatoboa kama hatakuwa marehem!! hahahaha

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому

      Kwani mbali zaidi

    • @hallin9561
      @hallin9561 2 роки тому

      mache gate to the summit ni kama kilometer 42 with bad condition on high altitude of 5895 meter above the sea level

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 2 роки тому +2

    Naenda kuvunja iyo rekodi😡😡😡😡mlima wetu ,rekodi washike wengine🥴🥴

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому

      Hahahaaa naamini mwezi mzima nitapiga kambi nikupokee hushuki

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 роки тому +1

    Daàaah.. Mapafu mazima mno. High altitude anakimbia?

  • @denismshanga2201
    @denismshanga2201 Рік тому

    Mpaka samit masaa nane, labda kama sipajui hapo juu

  • @rojahman9971
    @rojahman9971 2 роки тому

    Jinga Sana mnasema amevunja likodi semeni tujuwe wengene wanakimbia masaa mangapi

  • @altaf.ibrahim
    @altaf.ibrahim 2 роки тому +3

    Kwani ka mtanzania ni tsh ngapi kupanda manaa naoni ni watali tu ndo wanweza kumudu gharama

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому

    Hongera zake

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 роки тому +1

    Huyu ni MTU mbad

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 роки тому

    izo record zimevunjwa na wengi tu, ni vile watanzania uwa hatuwekewi kipaumbele, mim mwenyewe mwaka 2017 niliwah kupanda na kushuka kwa masaa kumi kwa kupitia lango la KILEMA kisha nikashukua MARANGU gate,
    waafrika tunajibagua na hatujikubari.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +1

    Basi sawa

  • @kingmsanya3524
    @kingmsanya3524 2 роки тому +2

    Uyo jamaa hapo nyuma ndoo hatari sasa ila kinacho niuma mimi tuna promote sana hizi ngozi nyeupe

  • @annassuleiman4508
    @annassuleiman4508 2 роки тому +1

    Sasa walijuaje kama kipanda mlima wote huo??

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 2 роки тому

    Eliya muya - Mambo ya royo tour na Mpana mlima Kali Yana husiano gani?

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 роки тому +3

    Kwao wanalima balidi hao

    • @fatmamamlo7882
      @fatmamamlo7882 2 роки тому +1

      Mavuno mvua barid inalimwa 😅😅😅😅😂😂🤣

  • @cctvplustanzania
    @cctvplustanzania 2 роки тому +2

    Safi.

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 роки тому

    Dah ila uyo rasta Guide wa Activeferian ni mkongwe nimeanza kumuona zaman sana ad leo bado yupo anaHike

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому

    Kwa masaa 8 na sio kwa saa 8 . kiswahili ina wingi nayo km English ilivyo na singular na plural .

  • @innocentboykid244
    @innocentboykid244 2 роки тому +1

    Tatizo lenu mnatafta umaarufu ebu apewe mzigo wa kilo 25 apande nao na arudi nao wee unwzani guard awezi kupanda kwa hyo Siku hewa ikiwa nzuri tu mtu unapanda na maelezo yote nikwamgeni mgeni akiwa mchovu ndy maana vituo vikawekwa yeye Kama Ni umaarufu alitaka angepanda na kilo ya mzigo 25 tuone Masaa Yake nane

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 2 роки тому

    Hata wa tz tunatishanaga tu tunaweza kupanda hivyo hata zaidi

    • @mdta8161
      @mdta8161 2 роки тому

      😂😂😂kaka nenda kapande siye tumejaa presha watanzania utahema wewe shauri yako😂😂

    • @innocentboykid244
      @innocentboykid244 2 роки тому

      @@mdta8161 amepanda kwa kujifrahisha tu bila mzigo apande na mzigo Kama pota

    • @mdta8161
      @mdta8161 2 роки тому

      @@innocentboykid244 😂😂😂 umeonaeeh

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 2 роки тому

    Ione hii nzuri kwa birthday
    ua-cam.com/video/StfQ0BEcrw0/v-deo.html