Salamu Maria

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Kwaya ya Mtakatifu Theofilo, Kutoka Parokia ya Mtakatifu Patrick, Thika, wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu maalum wa mwezi wa Mama yetu Bikira Maria.Wimbo huu umetungwa naye Maximilian Mashamba.
    Solo: Joan Wambura & Francis Ndatha
    Audio: Holy Family Media
    Video: Studio Iris Pro
    Kinanda: Maximilian Mashamba.
    Karibuni na Mungu atubariki sana.

КОМЕНТАРІ • 143