Alikua na hadhi ya bondia wakulipwa vizuri.Alikua Anajua ngumi vizuri sana.Hatujui kwanini haswa Aliamua kucheza kwa Malipo hayo! Huenda ni ktk wale boxers waliokua wakipigania kuweka Record zao sawa.Ili waje kulipwa vizuri.lkn sio kwa pambano kali namna ile.RIP Champion
Ktk hii tanzani huyu mwakinyo huwa ni mtu mwenye upeo mkubwa ila namm mungu ndio kamnemesha kuwa hv huyu mwamba anamsimamo sw ila namm siku zote ukitaka kunyesha msimamo wako wapo watakao kupinga wapo ambao watako kusapoty ila ndugu yangu mwakinyo unyesha msimamo wako wako upo vzr ndugu yangu ila kwa wale mambumbumbu hawawez kukuelew ngugu
Kuna siku watakuelewa tu hatakama upo chin ya ardi the champion💪💪
Umeongea ukweli kaka hasani mwakinyo
Alikua na hadhi ya bondia wakulipwa vizuri.Alikua Anajua ngumi vizuri sana.Hatujui kwanini haswa Aliamua kucheza kwa Malipo hayo! Huenda ni ktk wale boxers waliokua wakipigania kuweka Record zao sawa.Ili waje kulipwa vizuri.lkn sio kwa pambano kali namna ile.RIP Champion
Nakuelewa Sana Mwakinyo Bongo Mabondia Wengi Awajielewi Kk
Mapambano ya mkali Nani Daah😢
R.I.P @HASSAN_MGAYA
Kuna wakati unapigana bila pesa sababu unataka kutimiza ndoto yako
Hata wewe umetokea huko kwenye Elfu 60
Sio kwenye Kupigana mtu wangu.
Wanshindwa kujua kua uwez kupata jina bila kupita uku chin
Kaz ya mungu aina makosa
Mwakinyo anawazindua waliolala lakini viziwi
Efu 60 sawa lakini sio kwenye profesheno boxing
mwakinyo unaakili sana wewe ndio bondia ambaye nakesha kuangalia ngumi zako wengine mafisi tu una akili kubwa
Wajina wake
Ndio wepi hao mabondia wanaopigana mashindano ya mkali nani😂😂
Ktk hii tanzani huyu mwakinyo huwa ni mtu mwenye upeo mkubwa ila namm mungu ndio kamnemesha kuwa hv huyu mwamba anamsimamo sw ila namm siku zote ukitaka kunyesha msimamo wako wapo watakao kupinga wapo ambao watako kusapoty ila ndugu yangu mwakinyo unyesha msimamo wako wako upo vzr ndugu yangu ila kwa wale mambumbumbu hawawez kukuelew ngugu
Broo hakuna kiasi cha fedha chenye kuzidi uhai wako, ni ajali kazini Tu.
Rip HASANI MGAYA
Mabox zibukeni kioo kipo mnatazama gizani
Yani efu 60 tu ina kuua mmmmmmmm hatari kwakwer
Acha zako hata kama ni bondia mdogo mwakinyo hebu tubie garama za kujiandaa kwa bondia mdogo
ivi iyo kofia imechakaa au naona vibaya?
Hawa lazima walima afya kwanza kabla kiingia ukingoni