Mimi nafikili ukiwa mshauli itafaa sana pia ukitoka hapo ungempigia jaji walioba akushauli mimi nimekupa kula zangu miaka yote ila kwa sasa waachie wengine
Ccm wako smart sana mbowe,,,the same tactics wametumia kuiua CUF,, ZANZIBAR NA BARA,,, leoo hakuna NCCR ya mbatia kwa sababu ya viongozii akina selasini..
Wajumbe wajue kama watataka kwenda kugombea kwenye nafasi za udiwani na Ubunge na wakifanya makosa kwenda na Mbowe hakuna kura watakayopata kwakuwa wananchi wanamtaka Tundu,sasa kura zao zipo mikononi mwao ni maamuzi yao
MBOWE NADHANI WATU AWASEMI LAKINI UKWELI ILE CHADEMA KUWA NA VIONGOZI WA KABILA MOJA ... NADHANI NDIO TATIZO PALE CHADEMA..NA HUKUMU KWA MBOWE...IFIKIE MAALA KATIBU MKUU AWE MSUKUMA AU MSEMAJI ATOKE MBEYA AU HATA MWEKITI SEHEMU NYINGINE SIO LAZIMA AWE WA MOSHI..HAPO CHADEMA ITAAMINIKA
Kwa kauli ya mbowe anasema kujua ladha ya sumu haionjwi Je yeye ni sumu Kwa chama au ni sumu Kwa wagombea wa nafasi ya chama hicho cha chadema 😢 27:4027:42
Chief. Bro. Step down while still in huge demand and use your influence to shape atakaekupokea while you command power nje ya structures while a lifetime committee member mwenye afya na nguvu za kisiasa and uchukue kiti cha Baba wa Alternative Parties. Uwe katika hali ya kuweka vitu sawa just incase. Huu mpasuko wa sasa utarudisha nyuma as it did na EL move. Kwa EL ile move mlichemsha biiiig time and an apology will be in order. My personal views. Jaribu step down move siku ya Mkutano wa Uchaguzi similar to how JK alipoza woga wa uasi pale Mkapa alipokuwa candidate tena mbele ya Nyerere. Baba! Utaona mavuno yake Kitaifa sio kichama tuu! My Two Cents. P.s. I agree age discrimination leo hii ni criminal and very wrong it should be merit based and succession planning is crucial kwa Taasisi yoyote ile. P.s.s. Wito uwe kwa manufaa ya Taifa na Jamii kwa Ujumla sio manufaa binafsi ya vyeo katika ngazi yoyote ile. Hiyo ni space CDM should occupy na ni niche.
Kaka kama kijana mwenzangu penda kulitumikia taifa lako kuwa chawa si afya tumuige nyerere, magufuli py lakini tuyaache yakuiba uchaguzi na kuvunja katiba
KWAKIHA watu wa kigoma watakuita Ntahaga ondoka ukapumzike inatosha unataka Nyerere mapalala bobu makani wakirudi wakukute wewe ni m/kiti toka kabisa unataka nn
Hata kama Mbowe kakaa muda mrefu madarakani lakini si heshima kumvunjia kwa sasa. Kapambana sana na CDM na kaitoa mbali mno hususani kipindi cha dikteta Magufuli, alifilisiwa, aliporwa mali zake na yule Mwendazake. Lissu aangalie namna ya kufanya kampeni zake na asifanye personal attack kwa Mwenyekiti wake.
Unataka kuipeleks wapi CHDM in 5 yrs to come? Kila wakati ukiongea sera yako ni TL na mwendazake, je hao ndo mkakati wako wa kuishinda CCM? After 20 yrs in the same position you can " tie a knot at the end of the lope"
Kuangalia watu wenye hoja na akili inafurahisha sana, unaona kwanini CHADEMA imekuwa kiharaka sana, sababu ni mtu smart sana mwenye mipango, watu kama hawa ni watu wanaohitajika sana kwenye nchi na Chama, ila kibaya watu wawili smart wanagombania nafasi inayoweza wagombanisha, ila Mbowe kilichomuangusha ni kumchukua Lowassa mwenye sifa ya Ufisadi na CCM kumuweka Magufuli mwenye sifa ya usafi
Mbowe umefikia kiwango cha mwisho kuongoza chama kama mwenyekiti nakuomba upumzike, kwa mwendo wa huyu mama mh. Lisu anafaa sana, Mbowe umetudanganya kwa miaka mingi sana, na anavoongea utafikili yuko makini sana, Mbowe ukirudi kwenye uenyekiti uanakwenda kuuwa chama pumzika.
Umecherewa kuachia chama eti chama chako? We una akili kwer? Mwachie lisu na heche huna ajenda mpya tunajua cha kufanya🇹🇿✌️✌️❤️❤️🚣♂️🚣🚣♀️🚣♂️🚣🚣♀️🚣🚣🚣♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nataka kumuuliza mwenyekit kuwa Kwa kauli yake ya kusema kipindi hiki cha mtifuano wa uchaguz wa ndan wa chama Kila mmoja kuwa na mpambe wake lissu na watu wake Wana diaspora Je suala la kukamatwa Kwa mwana siasa Dr slaa linaweza kuwa sehem ya kudhofisha wapambe wa upande wa lisu?
Sijaona bado mpinzani wa ukwer km mbowe.ao lisu na slaa na kund lake waliiacha chadema wakaenda kuunga juud waungana tena kalb na uchaguz? Wajumbe kuwen makin na uyu lisu na kikund chake
Akipta lissu naama chama naenda kuunga juudi.mbowe ndio mpinzani wa kwel sio apa tz TU.afrka sijaona km mmbowe wajumbe msikiuze chama kw bei rahs kw lisu.
Mzee waachie na wenzio waongoze tunakupenda Sana heshima yako ibaki palepLe
Baba must go,achia wengine na wao waongoze
Pumzika kwny Uongozi Ili uangalie wengine watakavyokiungoza chama. Ng'atuka Ili ubaki na Heshima Yako Mhe.
😂ז
mbowe must gooooo sio cha famry chama
Mimi nafikili ukiwa mshauli itafaa sana pia ukitoka hapo ungempigia jaji walioba akushauli mimi nimekupa kula zangu miaka yote ila kwa sasa waachie wengine
Mbowe be smart and be strong,,,vyama vikubwa na vyenye mifumo mikubwa vina njia nyingi sana za kuua upinzani...
Mbowe anachukua muda mwingi sana kutoa historia, kiukweli hana sera, zaidi ya kujitapa.Wajumbe nendeni mkatutolee mtu huyu..
Sizani kwa aina ya siasa unayoifanya iliwahi fanikiwa kwa vyama pinzani katika nchi za kiafrika kukiondoa chamactawala madarakani.
Sijui nimjinga kihasi gani huyu mzee
Ccm wako smart sana mbowe,,,the same tactics wametumia kuiua CUF,, ZANZIBAR NA BARA,,,
leoo hakuna NCCR ya mbatia kwa sababu ya viongozii akina selasini..
Wajumbe wajue kama watataka kwenda kugombea kwenye nafasi za udiwani na Ubunge na wakifanya makosa kwenda na Mbowe hakuna kura watakayopata kwakuwa wananchi wanamtaka Tundu,sasa kura zao zipo mikononi mwao ni maamuzi yao
Watu Wana maumivu makubwa sana moyoni Mzee wachia madaraka usipasue chana
pumzika mzee kwa heshima acha kutumika kwa sasa hatuna imani na wewe
MBOWE NADHANI WATU AWASEMI LAKINI UKWELI ILE CHADEMA KUWA NA VIONGOZI WA KABILA MOJA ... NADHANI NDIO TATIZO PALE CHADEMA..NA HUKUMU KWA MBOWE...IFIKIE MAALA KATIBU MKUU AWE MSUKUMA AU MSEMAJI ATOKE MBEYA AU HATA MWEKITI SEHEMU NYINGINE SIO LAZIMA AWE WA MOSHI..HAPO CHADEMA ITAAMINIKA
Acha ukabila na ubinafsi mpumbavu wewe.
Kwa kauli ya mbowe anasema kujua ladha ya sumu haionjwi Je yeye ni sumu Kwa chama au ni sumu Kwa wagombea wa nafasi ya chama hicho cha chadema
Lisu arudi kwa mashoga wenzie ubelgiji, ,, mboe✅✅✅
Be stong Mbowe, Vijana wengi wanaongozwa mihemuko zaid kuliko mahitaji sahihi ya chama
Utachangia ukiwa inje mzee
Ila huyu mwamba 😊, ni Mtu na Nusu aisee 🙌.
Pamoja kuwa na mapungufu yake lakini ni mtu sana
Namna tu anavyojibu maswali kwa busara.
Obama ndio mwene siasa mwenw mvuto Duniani kafanya nini alipo ingia madalakani zaidi ya kudhoofisha Africa na kumuua libya
Mboe we achia tu tumekugundua unatumika na ccm kuizofisha chadema
Kwani chadema ni ya baba ako
@@AbbasSaid-fp5rg wewe uchawa unakusumbua
Ccm wanapenda aina za siasa za mboye kwa sababu wanajua ni mtu mjinga asiesoma nyakati
Hivi mboye anatuonaje
Mbowe hekima💯
Mbowe ni kiongozi wa kuongoza chama Lisu anachafua kwa maslahi na dhamira ya waliomtuma ili kuua chadema.
Kwa kauli ya mbowe anasema kujua ladha ya sumu haionjwi Je yeye ni sumu Kwa chama au ni sumu Kwa wagombea wa nafasi ya chama hicho cha chadema 😢 27:40 27:42
Huyu Baba kwa Sasa hivi anaongea vitu ambavyo Out Point Story nyinyi Sana Hadi anabore
Kazi kubw umeifanya, ila achia ili Chama kisionekane cha Familia au kichaga, una Nia nzuri, mfuate Zitto au Nyerere ulinde heshima yako,
Chief. Bro. Step down while still in huge demand and use your influence to shape atakaekupokea while you command power nje ya structures while a lifetime committee member mwenye afya na nguvu za kisiasa and uchukue kiti cha Baba wa Alternative Parties. Uwe katika hali ya kuweka vitu sawa just incase.
Huu mpasuko wa sasa utarudisha nyuma as it did na EL move.
Kwa EL ile move mlichemsha biiiig time and an apology will be in order. My personal views.
Jaribu step down move siku ya Mkutano wa Uchaguzi similar to how JK alipoza woga wa uasi pale Mkapa alipokuwa candidate tena mbele ya Nyerere. Baba! Utaona mavuno yake Kitaifa sio kichama tuu!
My Two Cents.
P.s. I agree age discrimination leo hii ni criminal and very wrong it should be merit based and succession planning is crucial kwa Taasisi yoyote ile.
P.s.s. Wito uwe kwa manufaa ya Taifa na Jamii kwa Ujumla sio manufaa binafsi ya vyeo katika ngazi yoyote ile. Hiyo ni space CDM should occupy na ni niche.
👊✌✌
Kubali kuachia kiongozi. Umeongoza mda mrefu, waachie na wenzako ndyo maana halisi ya Demokrasia
Mboe must go
You the good leader to leading
Mpeni mauwa yke ndg freeman aikael mbowe
Kafanya mengi ila kwa sasa apumzike
Kaka kama kijana mwenzangu penda kulitumikia taifa lako kuwa chawa si afya tumuige nyerere, magufuli py lakini tuyaache yakuiba uchaguzi na kuvunja katiba
Bila ya Ccm TANGANYIKA inawezekana.
Mbowe Sauli Lissu Daud tutaona mwisho wake ata kwakuchelewa
KWAKIHA watu wa kigoma watakuita Ntahaga ondoka ukapumzike inatosha unataka Nyerere mapalala bobu makani wakirudi wakukute wewe ni m/kiti toka kabisa unataka nn
Hata kama Mbowe kakaa muda mrefu madarakani lakini si heshima kumvunjia kwa sasa. Kapambana sana na CDM na kaitoa mbali mno hususani kipindi cha dikteta Magufuli, alifilisiwa, aliporwa mali zake na yule Mwendazake. Lissu aangalie namna ya kufanya kampeni zake na asifanye personal attack kwa Mwenyekiti wake.
=usifanye mambo kwa hisia, fanya kiuhalisia=busara za Mbowe
Achia madalaka miaka ishilini na Moja imetosha achia na wengine waanzie ulipo ishia
Mbowe Ana akili sana,,,,huyo Tundu lissu yupo baraza la wazee
Unachelewa kujua kuwa hayo yalishapita toa kauli ya mtu anayejua nini uchangue chama kife au kipakie imara kwa wewe kuachia ngazi
Unataka kuipeleks wapi CHDM in 5 yrs to come?
Kila wakati ukiongea sera yako ni TL na mwendazake, je hao ndo mkakati wako wa kuishinda CCM?
After 20 yrs in the same position you can " tie a knot at the end of the lope"
Wajumbe msitoke nje ya mstar mwekundu.mkabzn kw mala nyngine tena chama kwenye mikono salama ya ndg mbowe.mpen mauwa take mpka washangae
Kumkabidhi mbowe chama hapanaaa, miaka 20+ inatoshaaa
Lissu yupo ni baraza la wazee...
Yupo ambaye akipewa hicho chama,atachuma nakukiuua
Kwa hoja za Mbowe, ina maana ikitokea Mungu akamchukua Chama kitakufa kwa sababu yeye Alfa na Omega ameondoka?
■MZEE WATANZANIA WANAMTAKA LISUUUU!!! UMEZOEA KUIBIWA KURA NA MARIDHIANO YENYE MANUFAA KWENU NA KUDOLOLOSHA HATIMA YA TAIFA..
Kuangalia watu wenye hoja na akili inafurahisha sana, unaona kwanini CHADEMA imekuwa kiharaka sana, sababu ni mtu smart sana mwenye mipango, watu kama hawa ni watu wanaohitajika sana kwenye nchi na Chama, ila kibaya watu wawili smart wanagombania nafasi inayoweza wagombanisha, ila Mbowe kilichomuangusha ni kumchukua Lowassa mwenye sifa ya Ufisadi na CCM kumuweka Magufuli mwenye sifa ya usafi
Mataahira nyie kama kura zenu zinatosha kuitwa chama kikuu mrudisheni huyu Mzee
1.Kwanini awanuulizi mbowe akishindwa uchaguzi atakubari?
2.Kwanini mbowe anaongelea kushinda sio kushindwa?
Ukuona kenya ruto na kinyata au??😊
Mboye ajasoma arama za nyakati
Sijasikiliza lakini nakumbuka mbowe alisema hahitaji kujinadi.au mambo yamekuwa mazito? 😂😂
Sio kwa huyu mwamba Tundu Lissu
Mbowe wewe ni kiongozi njoo kwenu ulikozaliwa ccm.
Wew mbowe achia ngazi,,tumekuchoka kama hicho ni chama chako tukuachie
Mboye atutajie ni nchi gani Africa chama tawala au regime imetoka madarakani kwa style yake ?
You have nothing to tell us you must gooooooo,
Viongozi Wana njaa Sana hasa waupinzani ndio maana sisi tunabaki na CCM ila Mimi namshauri tundu lisu aje CCM
Ccm kufanya nn mkuu😂
Amemaliza Vizuri
Mbowe kuwa smart,,be strong 😅
We kama huamini Mbowe ni kichwa, pole sana.
Wanasubili viti malumu
Tundu lisu aje ccm kufanya nini kichaa huyu, akatibiwe milembe kwanza.
Acha uongozi wew 😮😮
Jibu maswar mkuu historia haipigiwi makof
Ninyi waandishi msimuombee hayo kwa ajili ya umri wake, tafuteni maswali ya maana, sisitizeni maamuzi ya demokrasia ndani boksi.
Achia ngaz bado utakuwa na heshima kwenye chama
Kengeza mchumia tumbo
TANGANYIKA Inatakiwa MABADILIKO.
Acha wengine washikilie lungu mbowe
Ninakukubali na usikubali kuwa kwenye mrengo wa kuwasema wengine
Uliweka maridhiano mbona bado siasa ikawa ngumu
Kija umeuliza maswali ya msingi
Usituambie history ya Magufuli aliyekata kauli miaka mitano iliyopita, tuambie baada ya Magufuli na mazingira hayo umefanya nini kuhusu hiyo Chaso
Magufuli alikuwa dikteta ni vyema akasemwa maovu yake ili viongozi wengine wasiige na pia kizazi kijifunze mema na mabaya ya viongozi wao.
Mbowe wanakuonea mtani, wewe ni mstaarabu sio kama lissu.
Acha wengine watawale
Mbowe Akili mingi
Njia sahhi yakutafuta maridhiano sio hio unayo itumia akuna maridhiano apoo
Utu wa mtu ni pamoja na kuwa na aibu
Hivi serikali inamsomesha mtoto wako halafu unaitukana tena serikali hiyohiyo, halafu serikali hiyo hiyo ikuache, serikali gani hiyo.
Kuitukana selikari nikiwa ila kuikosoa si kosa
Malumbano yenu muna kupeleka wp chama
Mbowe umefikia kiwango cha mwisho kuongoza chama kama mwenyekiti nakuomba upumzike, kwa mwendo wa huyu mama mh. Lisu anafaa sana, Mbowe umetudanganya kwa miaka mingi sana, na anavoongea utafikili yuko makini sana, Mbowe ukirudi kwenye uenyekiti uanakwenda kuuwa chama pumzika.
Anaongeaje na watanzaniaa akiwa amekunja nne.
Usijifuche kwenye kivuli cha magufuri mzee kama mugabe ww miaka 20 yote mmmmh
Umecherewa kuachia chama eti chama chako? We una akili kwer? Mwachie lisu na heche huna ajenda mpya tunajua cha kufanya🇹🇿✌️✌️❤️❤️🚣♂️🚣🚣♀️🚣♂️🚣🚣♀️🚣🚣🚣♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa nini malumbano uchaguzi si utaongea!!!!!
Nataka kumuuliza mwenyekit kuwa Kwa kauli yake ya kusema kipindi hiki cha mtifuano wa uchaguz wa ndan wa chama Kila mmoja kuwa na mpambe wake lissu na watu wake Wana diaspora Je suala la kukamatwa Kwa mwana siasa Dr slaa linaweza kuwa sehem ya kudhofisha wapambe wa upande wa lisu?
Hamna chama hapo tena
Mzee muachie lissu
Atoke bhn tumemchoka 😂😂😂
Sijaona bado mpinzani wa ukwer km mbowe.ao lisu na slaa na kund lake waliiacha chadema wakaenda kuunga juud waungana tena kalb na uchaguz? Wajumbe kuwen makin na uyu lisu na kikund chake
Mnafiki sana mboweeeee
LISU anasumbuliwa na TAMAA ,anataka kutajirika haraka ,
Wewe naona huji tambui mbowe ana kipi kipya unacho kiona.
Wewe mpumbavu lissu angekua na nia hiyo angeongeka Muda unaongea ukiwa umelewa au
Mbowe kapanda mchicha ndan ya chama Cha chadema na Sasa chama kimekua mbuyu mpenz mauwa take wajumbe
Absolutely...
Human beings are selfish
Akipta lissu naama chama naenda kuunga juudi.mbowe ndio mpinzani wa kwel sio apa tz TU.afrka sijaona km mmbowe wajumbe msikiuze chama kw bei rahs kw lisu.
Haahaa pole kaka.mbowe ni snitch now
Huna hata aibu brother ondoka ili chama kiendelee kuwa na nguvu
Subiri Uchaguzi acha porojo.
Wakenya ni wapumbavu
Chadem hawaji kupata kiongoz kama mbowe
2
Mmmmmm 😂😂😂
Ni KWELI level ya kufikiri kwa vijana WETU, waliopo mashuleni, na vyuo imepungua sana. NAIKUMBUKA REVOLUTION SQUARE MLIMNI SIJUI KAMA BADO IPO
Huyu mbowe ni Kiongozi makini sana. Chadema haitakaa ipate kiongozi kama huyu.