Timbulo ft. Jux Nashukuru (official video)
Вставка
- Опубліковано 10 чер 2019
- Baada ya kimya cha muda mrefu
Nakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo
huu mpya nikimshirikisha JUX
Audio imefanywa na producer MOCCO GENIUS
Video imefanywa na Dr. EDDY chini ya DREAMLAND
director kutoka Kenya
LOCATION: Some where in AFRICA
Nyimbo nzr sana na ujumbe umetufkia ok alf nyie mnaomba like c dhan kama mnajitambua
Timbulo and brother jux bg up sana nakukubalini
One point inayofanya niwakubali 👉 mnafanya miziki kwa staili ya kipekee sana hakika nakubalini sana kama upoyeyote unae niungamkono kupitia like piga like hapa.
Mwenyewe naelewa sana kz zao
Timbulo hujawahi niangusha hta siku moja
nawashukuru sana Timbulo na Jux kwa wimbo wenu mzuri....big up
Timbulo umeua mzee baba 💪
Jaman timbulo anafanana otile wa kenya hadi sauti kama umeona hilo 👍
Sikuzote wakikutana mafundi wa muzik hakiharibik kitu big up Timbulo & Jux yan km mmeniimbia mm.....
timbulo umefunikwa broh... jux ni fire
wapi like za Timbulo.
Sauti nachoroo
Zipo
ngoma kareee jombaa
Zablon Chesa tuko. Pamoja
It soo nice
Timbu kumbe anaweza Sana jamani sauti imendana na mchorooo hatari sana
Waliokuepo kwa ajili ya jux.. like zenu
Timbulo kambadisha jux
Na jux kama ataimba miondoko hii atakua BONGE LA star
Jux anajua xn
african boy kafunga kazi yote .......👏👏👏👏👏👏👏👏👏
bonge la song
timbulo ana bonge la melod daaah yani real star hutakiwi kuwa hvo
Music Is Feelings,,,,, Timbulo Kíllin' Me Soft,,, Wonderful Melody 💪💪💪❤❤❤👏👏👏
Domo langu zito kukwambia ukweli nashindwa nakuelewaga toka enzi hzo😍😍😍
Angel Mwandata unishindi mimi aiseee
Thinker 24h 🤣🤣🤣basi tupo sawaaa
Daah asee likes nyingi sana kwa Timbulo maaan tumesubir sana ngoma kwa huyu jamaaa
HAKIKA umerudi kaka pamoja na wimbo tumeupokea vizuri
kama unamkubali gonga like 1
Nice
pamoja
🇰🇪Watching from Thailand.... the song is🔥
Moto fire🔥 🔥 🔥 🔥 shabiki wako kutoka kenya🇰🇪
😂😂😂kama cyo Da Vee Money tungekupora kabisa😂😂😘
Timbulo ni msanii makin sana namuelewa sna nipe lake yako hapa kama unamuelewa timbulo na jux fund😍😍
Forever
Timbulo hujawahi niangusha unajua kinyama sema kitu kimoja unakaa kimya sana mzee baba shida nini
Ooohhh big up sana timbulo nakuelewaga sana
Mmmm ngoma kali sana wazee wakazi,tuliku miss sana timbulo kwenye game
Jux angepush hii ngoma ingekuwa na milioni, lakini ju ya kiburi he did it once!!!!!!! This is a hit
Jux we ni nyoko asee umeua mkali big up Timbulo mmetisha sn
Kazi safiii.. Timbulo kawakishaaa.. Jux kalipua i say😇😇
Timbulo never disappoints 🔥🔥
Daaah nyimbo kali mno jaman mafundi mmekutana
welbe back my brother timbulo nyimbo kar video kar
##nakukubari sana timbulo
No comments always best 👍💪
Mmetish san bong la ngom asee ni bomb san gong lk twend saw kam na wew umeikubal hii
gonga like kwa wotee nmewaelewa wooooteee pga nduruuuuuuu uyoooooo
Jux hiv kwa nn mshkaj wangu au koseagi we jamaa una tisha kama njaaaa Bonge la song saf Timbulo mmetisha
Timbulo bro ume fichwa mnoooo.... jux ka imba na hisia kali sana.
Music is life thanks so much Timburo and Jux for make good music together🎤
Jux🔥Timbulo🫡 2023 still a banger 🔥🔥🔥
This boy is mah best artist from Tz from Kenya azidi kuzidi
Daaah ungemweka beka flavour kwa miondoko ya wimbo huu ingekaa poa zaid
Wow wonderful song, love u all Timbulo an Jux 😘😘Bg up
Jux kumbe root za Chines ulikuwa unasuka Video. Makini
Huku timbulo , huku pen pol leo mmeifanya siku iwe nzuri sana
I love this song big up timbulo love you
Kama Umeona Jux bado ana feelings za Vannesa ,,,weka like hpa
Dah hua nikisikiliza huu wimbooo nafrah sanaa moyoni .
Jamani jux unashindwa kujizuwiya isia zako kbs nyimbo tamu cngrlation
Kazi safi sana ,I love it
Jux msenge sana yani nyimbo kama yako dah umemkalisha timbulo
Ngoma Kali timbulo ft jux nawaelewa san
Jaman hii ngoma in internetion
timbulo & jux huu ndo mziki mzuri.. nawakubali san
ongela kaka
Mmetisha sana yenyewe hiyo
Daaaa!!! Majamaa wapo vema yan nawaelewag xanaaaaaaa
Timu KIBA tuliokuja kucheki ngoma naomba tujuane kwa like
Mashallah like zenu jamn naomb dah voice hzo mi hoiii
Jux kauwaa km nyimboo yakeee dah
Verse yako nimeielewa jux 😄😄😄
Nawapenda nyote mmeimba vzr sanaa inaitaji ushilikiano
Jux anaimba kwa hisia coz yupo kwny ctrec yaan anamaansha alichoimba #rud vanesaa
Wimbo mzr sn...keep it up brother appriciate your talent
My eyes still focusing on you for what you've always doing
Well done Timbulo
Mambo mazur sana
Sila Wilson yes, of course d
@@silawilson7486 .
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 Nilimiss sana nyimbo kutoka kwako 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
Jux my love.... Let's of love from kenya
Wimbo mzur alafu wote mmeimba vzur we love you
Wote mmetishaaa king rnb jux ft timbulo
Kichupa kakinogesha jux...like mingi hapa
this is bongo fleva Timbulo hua hukosei #JUX NOMAAAAA SANA but pia moko umeblka xn good music #NASHUKURU
Nyimbo iko poa sana utauza tu timbulo big up sana
Hiv hawa wanao dislike ngoma Kali kama Hii wanakua Na chuki binafsi au?? Hebu gonga like kama ngomA umeielewa
mgogo wa kwanza kucoment Kama nawe umeikubali hii gonga like za kutosha
Given Edward 😂😂😂
Like kwa african boy,,,,,,,,,,tixh xna👍👍👍👍👍
Kizuri kizuri tu ata,iweje hii nymb nzr jman
Asee jux ametishaaaaa...kafanya kitu kimoja hatwareee
Ngoma kali kutoka Kwa wa kali Wang 👏
Sijui, ila nilikukosa sana na umetenda haki kutupa hii hapa. Pia mimi nashukuru sana.
T-style noumer Sanaa... BiG talent ever
Wapi likes za Juma juxe na Timbulo jamani +254 .Watanzania wapite na like hapa na wakenya pia.Onelove
Unaweza kazana sana
Wap juma jux 👍
Jux you are my role model and my dream is one day tufanye collabo
Timbulo To the world
Jux always on 🔥🔥🔥🔥🔥
timbulo nyimbo mpya lini
Fundi ya music nakukubali sana bro uko poa,no kiki za ajabuajabu,busara na hekima big up sana timbulo
timbulo I will always remember you hata nko na nyimbo zako zote your a man
Uko poa ila ungeimba peke yako ingekuwa good zaidi 💪
Mfuasi ndo very soul searching I like that song beyond descriptions!!
wale wa jux twende sawa
M siku zote nakukubali tu, mziki wako ni bora sana
Fireeeeeeeeee wakal wawil in da building
Kenyan's in the comments.
Juxx na timbulo tunwakubali buree
Mmmmh!!! Ila Kama Jux kafunika..
Byotherway...nmependa chorus.
Big up Timbulo
Umeongopa
Timbulo kamziba jux
Baddest My Bro Timbulo.
Jux umekionea iki kitimɓuro...umemmeza vibayaaa
ngoma kar sana iko powa saana good kwako timbulo ft jx
I never know what they're saying but I love Jux. One love from Jamaica 🇯🇲🇯🇲
hili goma kinyes mtaan ifafuka balaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
timbulooooooo nakukubali sana brother
Samira bahati My class mate❤❤❤❤❤
Anayejua anajua tu asee Jux umeuaaaa sana
ngoma kaliii sanaa timbulo 💪💪💪💪👌👌👌
Mama eeeeeh. Siri kubwa kupendwa aaaaa
Hey bro Jux, huu wimbo umfikie Vanessa Mdee 🌹👏
Noma sanaaaa
Kama umeona Jux amewasha like down 👇👇