THURSDAY SERVICE || PASTOR GEORGE MUKABWA || 20-07-2023
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #jrctz #jrcchurch #Tanzania
#jrctz #Tanzania #jrcchurch
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
#jrcchurch #Tanzania #jrctz#youngministersconeference2023#
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Man of God, truly God bless you and keep you always. You have been a blessing to me . Mimi ni mshindi katika Kristo Yesu.
From Kenya pastor be blessed Niko kiwango kingine kupitia hili funzo
Nabarikiwa sana … tafuta baraka--, maandiko very rich, wazazi, viongozi wa kiroho,utii.
From kenya pastor...hakika nimemuona mungu kupitia somo lako....ivi leo naweza kuomba ata kusoma biblia na kuelewa kiroho...hakika roho wa bwana yu juu yako
Asante pastor kwa neema ya neno la Mungu.Mungu azidi kukuinua sana.Unatuponya sana
Ubalikiwe pastor
Asante Mtumishi,
Nimeshina mahubiri yako.
Ubarikiwe.
AMEEEN
Ameen from Jordan 🇯🇴 haki mtumishi nimebarikiwaa na kuenda viwango vingine
Namshuru Mungu kunipitisha nisikie mafundisho haya! Barikiwa mtumishi
Asante sana. Sina maneno zaidi. MUNGU Atukuzwe!
MUNGU akubariki saaana mtumishi unatubatiki sana
Amen pastor nabarikiwa mno namafundisho yako pastor
Amina mtumishi mashundisho haya yananibariki sana, Mungu akuzidishie mafunuo
Amen Amen baba Asante kinywa lazima nitatamka jambo na litadhihilika
Glory be to God ,nakufatulia mtumishi kwa somo hili ,be blessed 🇧🇭🙏
Amina mtu wa mungu ubarikiwe sana maneno mazuri sana
Amina mtumishi wa mungu
Ansante Baba najiona Tajiri mno maana kwenye imani nimesimama vi vitu vichache kuanzia sasa nitabadirika Ahsante mtumishi
Asante baba kwa,somo zuri mnooo nimebarikiwa sana baba
Ubarikiwe kwa somo zuri pastor
Hallelujah pastor unanibariki na kunifundisha mafunzo mazuri mnoo barikiwa milele na nahisi kuyafutilia amina
Mungu akubariki sana mchungaji Kwa maafundisho Yako amen 🙏🙏🙏
Ameen🙏🙏🙏 watching from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen Amen Mukabwa Kuzimu lazima itetemeke baba nkuelewa vzr na tangu nakufuata naona naenda mbali
Amen 🙏 asate kwa fuzo from kenyA barikiwa mutumishi
Asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri. Ubarikiwe sana.
Amen baba nipo nakufuata na nakuelewa vzr from Egypt
Ukweli kabisa pastor,hata mimi nililala nikasikia nimepigwa kwa ubavu wangu wa kulia, kuamka nikawa na maumivu makali sana, but kupitia mafundisho yako nilichukua maombi ya kufunga na kukataa roho za magonjwa, and now am healed in Jesus name Amen 🙏🙏 be blessed Man of God 🙏🙏.
Ameen
Amee🙏🙏🙏
Kupitia hili fundisho 👏👏nipo viwango vingine amee🙏🙏
Mungu azidi na kuzidi kukuongeza zaidi na zaidi Mtumishi wa Mungu Alie hai
Ameni mtumishi! Nimebarikiwa
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu! Jamani naweza pata Namba za huyu mtumishi namkumbuka kipindi Cha nyuma sana!
Be blessed man of God
Ahsante mtumishi wa mungu nimemuona Bwana ,,,Ameeen
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Be blessed man of God! Mafundisho yako yananipa Amani
Amen mungu akubariki sana pastor unatupariki❤❤❤
Mungu wangu Leo napokea kinywa
Asante YESU KRISTO KWA NENO LAKO
Naanda ushuguda in Jesus name
am blessed man of God with your teachings🙏
🎉❤
nimebariwa Sana nilikuwa nimevunjika moyo umenijenga Sana mutumishi mungu akubariki sana
Vyanzo vya Baraka:
Connection na Wazazi wako , watumishi, kuomba pamoja, Sadaka, Maombi ya usiku Maombolezo 2:19, Sadaka Ina sauti mbele za Bwana. Tusiwe tu wa Kuomba, sadaka huchochea mavuno, Sadaka huwa inatangulia Ndio mavuno yanakuja. Zahuri 50: 5-6, Sadaka husababisha huchochea Baraka.Sadaka ni kumbukumbu mbele za Mungu, Matendo 10:1-4, nguvu ya kutamka
Nna madeni sana kila kona biashara imedondoka kodi ya nyumba imeisha nisaidieni ndugu zangu.
Asante nimepata kitu
Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏
Mukoraze cyane mukozi w imana Asante sana amen ❤❤
Amen
Hakika
Kupitia maombi ya kufunga na kuomba Nilipokea Neema ya uponyaji wa madonda ya tumbo
Kila siku najifunza kitu kipya
Fasting ni dawa ya alcers
Ameen
Amina nimefunguliwa Kwa kipengele Cha kutamka barikiwa sana baba
Amen 🙏🙏
Amen Amen Amen Amen Amen 🙏
Amen
Amina mtumishi wa mungu mafundisho yako yananipa nguvu ya kuendelea
Amen 🙏🙏🙏🙏
Ameeen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Amina
Amen