Mmenikumbusha mapito ya UDSM huwa nilikuwa nikisikiliza wimbo huu siwezi kuzuia machozi kutoka hasa pale mwishoni NISHIKE MKONO BABA MUNGU AWABARIKI MNOO
Imagine wimbo kama huu hauna hata watazamaji 100,000 Markerting ni tatzo😢 Wimbo huu nimeishi nao miaka zaidi ya 5 sasa nadhani tangu tunasali yombo 5 kwa pastor Hiza Nabarikiwa lkn nahuzunika haujawafikia watu wengi
vizuri nashulu sana UWATA GLORY SOUND STUDIO KWA KAZI NJEMA MLIYOIFANYA PIA NA KWAYA YA MABIBO KUTUNGA NYIMBO NZULI NA ZENYE MGUSO KATIKA MOYO HUSUSANI MAISHA YA HAPA DUNIANI NA TULIPOTOKA TULIPO TUENDAKO
Hongera mwazishaji wa kiume nimefurahi sana kumbe siku hizi mwimbaji!!! Umenifanya nikumbuke sinde ukwata ezi hizo. God bless u. Najua huwezi kunikumbuka.
2023 still listen the song 🙏🙏so blessed
This song jamani!!!!!....Every time I listen to this song, it takes me far....Mungu awabariki sana MHC🙌
Aseee Tulipotokaa ni mbaliiii
ni kweli kabisa mtumishi wa BWANA
Mabibo hostel choir Mungu azidi kuwabariki huko mlikoenda jamani kila wakati nasikiliza nyimbo hizi nabarikiwa mnooooo
2024, still Listening 🎧,,❤
Hongera kwa kazi ya Mungu
Amen ubarikiwe
wimbo una nguvu ya Mungu
Mmenikumbusha mapito ya UDSM huwa nilikuwa nikisikiliza wimbo huu siwezi kuzuia machozi kutoka hasa pale mwishoni NISHIKE MKONO BABA
MUNGU AWABARIKI MNOO
babu wewe noma hongera sana
Powerful song 🙏
Haleluya CHAIR
Wimbo umetulia kuanzia upigaji vyombo hadi ujumbe ndani yake
Hatima ya kesho yetu hatuijui imefichwa machoni mwetu 🎵🎻... I'm much blessed with this song!
Wimbo mzuri sana huu nimeupenda, keep it up
meck Bugemwe Be blessed
Mungu aendeelee kuwapigania but bado waweza kuwashrikisha wengine baraka hii
Wajina huu wimbo me pia naupenda Sana aiseeee
Tuwaombee vijana wakizazi cha leo kiweze kuwanautulivu wali yajuu wamujue mungu kamamlivyokuwa nautulivu nnyie
Imagine wimbo kama huu hauna hata watazamaji 100,000
Markerting ni tatzo😢
Wimbo huu nimeishi nao miaka zaidi ya 5 sasa nadhani tangu tunasali yombo 5 kwa pastor Hiza
Nabarikiwa lkn nahuzunika haujawafikia watu wengi
What a great song...may God bless you Mabibo Choir,mnanibariki Sanaa!
Amen Amen
UGSS Production mmeutendea haki huu wimbo. Asanten sana
nashindwa nieleze vip namna navyobarikiwa na wimbo huu.....naupenda sana...Mungu abariki huduma yenu
Mungu akubariki pia.
Aman Bugemwe Mungu akubari sana ndugu . pia unaweza kuendelea kuwajulisha wengine ili nao waipate baraka hii.
Hallelujah
Kuna kitu kizuri kinakuja 💯💯💯💯💯
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu ni mwema atatuwezesha kufika
very beautiful. Ili tufike salama kwa Baba. God bless you.
Be Blessed more Man of GOD
Tumetoka mbali na safari bado. Mungu nisaidie nimalize vizuri mwendo
Usituie majaribuni tushike mkono baba ninatamani kufika kwako,hongereni sana mabibo choir,mnanibariki sana
Asante sana Mwenyekiti Sinai
MUNGU akuinue mara dufu kwa unyenyekevu huu hatustahili Chochote kwako Mkuu Mungu akubariki Sana
Power between all of us👐👐
Nawapenda sana Mungu awabariki
mnanikumbusha mbali
ubarikiwe sana
Amen Amen Amen Mungu awabariki jaman nabarikiwa sana na huu wimbo naupenda mnoo Mungu akuze huduma yenu Amina
AMEN
Mbarikiwa sanaa wapendwa
Mbarikiwe sana wapendwa kwaya za chuo zina raha sana nakumbuka dodoma chuoooo!!!!! Mungu awabariki sanaaa
Be Blessed more Man of GOD
Mungu aibarik huduma yenu wimbo mzur sana
🥳🥳🥳🥳🥳💖
ubarikiwe sana Jolly
Amen🥰
uyo sololist wakiume jamani daaaaah yuko vema kuliko kawaida
Barikiwa Sana bro....
Mmbarikiwe sana🙏🙏
vizuri nashulu sana UWATA GLORY SOUND STUDIO KWA KAZI NJEMA MLIYOIFANYA PIA NA KWAYA YA MABIBO KUTUNGA NYIMBO NZULI NA ZENYE MGUSO KATIKA MOYO HUSUSANI MAISHA YA HAPA DUNIANI NA TULIPOTOKA TULIPO TUENDAKO
welcome UWATA GLORY SOUND STUDIO
Nice work servants of God
be blessed
mungu atukuzwe san
Shemeji zsngu wasukuma daaa mbali sana
Mbarikiwe Sana Wimbo unambariki kila mtu Msiyapoteze mafuta haya Mzidi kumtumikia Mungu naye atawainua Zaidi
wimbo mzuriii kwakwelii
Amen sana
Mungu awabariki kwa kazi nzuri
Amen Sana
My favourite song
this song has been a great blessing to me🙏
be blessed so much
Tabu zetu ni za kitambo tuuu. Mungu atusaidie tufike salama
great great great!
Be Blessed Servant of GOD
Asanteni sana kwa mnaoendelea kushiriki baraka hizi kwa kutazama na kusikiliza ujumbe huu.
Be blessed.
Hongera mwazishaji wa kiume nimefurahi sana kumbe siku hizi mwimbaji!!! Umenifanya nikumbuke sinde ukwata ezi hizo. God bless u. Najua huwezi kunikumbuka.
Mnaimba vizuri sana , mbarikiwe sana, ila mzidi kuwa hodari katika Bwana, mkiukomboa wakati wake.
Mungu awainue mfike mbali zaid!
Nice song
Be Blessed Servant of GOD
I love this song
Be Blessed more Servant of GOD
Ameee
Mumu awanjaze nguvu
Penda sanaaa
🙏🙏
Waoh wimbo mzur huu
iko poa sana
BARIKIWA SANA
Nishike mkono Baba natamani kufika salama salimini🙌🙌🙌🙌peke yangu siwezi!!!!
Milkaaa
nipo nanyi mno
hongereni
by IKOJA Simon
Dada zangu Wa cigogo wamecheza vzr zaidi hahahaaa
Duniani tunapita
First 😊😊
Amen nikweli Yesu nivushia
nice song jaman
Hiviiii kifaaa gani mlikitumia kuchukulia video hiiii mbona quality mbovuuuu
Jaribu kuview tena ndugu...itakuwa network performance
Nice song mungu yu mwemaaa
Tumetoka mbali na safari bado. Mungu nisaidie nimalize vizuri mwendo
Hakika mambo n fire